MaashaAllah. Allah ajalie kheri katika shughuri zenu. Nashauli muangalie na watu wa kipato cha chini nao wapate bidhaa kutoka kwenu. Allah ajaalie haki katika kazi zenu na muwe na matawi Tanzania na nje ya Tanzania.
Ma Shaa ALLAH TABARAKALLAH ,Kwa Kuwa Mmefungua Kwa Kuanza Kwa Neno La ALLAH,Nawaombea ALLAH Awamiminie Barka Yaa RABB Na Awahifadhi Na Kila Shari Yaa RABB
USHAURI WANGU .WANGEWEKA MAJORA YA VITAMBAA ILI MTEJA ACHAGUE RANGI IPI ANAYOHITAJI NDIO ASHONEWE... CZ KWENYE DISPLAY KUNA RANGI NYINGI AMBAZO HAZIHUSIANI NA KANZU
120 ndo bei? Mbona mnanunua jezi za simba na yanga kwa fedha km hz. Bei inatokana na quality ya bidhaa ukitaka kanzu za 3,000 Zanzibar zipo kibao njoo ununue.
Duuuuh bei kubwa sana aisee jpo ndo hvo kofia yaan hvo vilemba vya elfu 35 mie huku nje nakinunua elfu nne mswala elfu 5 ukipiga hesabu ya Tanzania hata elfu kumi haifiki hvi kweli hta km ni kodi ndo ifike elfu 45 duuuuuuh oky Sawa hakuna shida
Sasa kusoma duuratul fathi na kufungua duka kuna mahusiano gani? Watu wa bida'a mbona hamna huruma kwa kiasi hiki? Hv haya yote mnayozua umma utaweza kuyafanya kweli? Alioyaacha bwana mtume yanatushinda kuyatekeleza,nyie mnaenda kuanzisha mambo mengineeeee
Mpuuzi ww! Sasa kuna kosa gani hp yy kusoma qur an. Ulitaka waeke spiker wakiimba tarabu? Ww unosema bida toa aya na hadithi mtume aliyokataza kisoma qur an mtu anapofungua biashara yk.
Bora ya Dua ni ile yenye quran.. kumhimid Allaah kisha kumtakia rehma mtume... msijifnye hii Dini ni yenu ivyo wakifnya watu hukosea ila nyie ndo mko sahihi
MaashaAllah. Allah ajalie kheri katika shughuri zenu. Nashauli muangalie na watu wa kipato cha chini nao wapate bidhaa kutoka kwenu. Allah ajaalie haki katika kazi zenu na muwe na matawi Tanzania na nje ya Tanzania.
MASHA ALLAH 💚💚💚
MashaAllah
AKA BACHUCHU MOMBASA 001
🇰🇪+254🇰🇪
Ma Shaa ALLAH TABARAKALLAH ,Kwa Kuwa Mmefungua Kwa Kuanza Kwa Neno La ALLAH,Nawaombea ALLAH Awamiminie Barka Yaa RABB Na Awahifadhi Na Kila Shari Yaa RABB
MashaaAllah tabarakah Rahman
MaashaAllah
Mashallah 🎉❤
Ma Shaa Allah👏
masha allah
Mashaallah tabaraka rahman
Mashaalla ❤❤
Maa Shaa Allah
❤❤mashaallah
MashaAllah ❤❤❤
Mashaallah
Kanzu za watoto bei gani
Mashaallah alimradi quality tu, mpo wapi
Mashallah
Lipo wapi?
Mashallah. Kiwanda kipo sehemu gani ss wengine tuko mbali tunaomba maelekezo
Hapo wataingia matajiri tu mnauza bei sanaaa kofia za kiomani45,000 😮 Mimi kariakoo mtoro nitaipata kwa sh 15,000 hadi 13,000
Nenda kanunue...sie tutanunua hapo...shida iko wapi...
USHAURI WANGU .WANGEWEKA MAJORA YA VITAMBAA ILI MTEJA ACHAGUE RANGI IPI ANAYOHITAJI NDIO ASHONEWE... CZ KWENYE DISPLAY KUNA RANGI NYINGI AMBAZO HAZIHUSIANI NA KANZU
Majora yapo kaka donman tena kwa rangi unayotaka
Allah akufanyie wepesi
Dua ya nguvu ya 500,000
Mashallah Allah abarki
Hiii mbn bei sana
asalamu aleykum
Hapo ingekuwa vitambaa vina zalishwa Tanzanian ingekuwa rahisi zaid nina wasiwasi wana ingiza vitambaa kutoka nje
Phone No iko wp babu??
Namuona mjomba Ngeruko akiongoza dua
Mtavaaa wenyewe kwendeni zenu bei uta fikiri mnauzia matajiri kumbe
mabaibui. Majuba hiyi ndio otakua sawa
Wapi hii?
Kipo wap jamani ichi
Imamu ghazali anasema katika kitabu Chake cha ihyaa uluumi Dini kuvaa kanzu za rangirangi ni katika tabia za mahanisi
Imamu atakuwa amehafilika hapo 😅
Kwakweli kanzu ni nyeupe hizi zingine ni magauni tu....
Hvi ntofauti namagomeni ama
Amna atakitu cha shilingi elf kumi
Iyo ni. Biashara aiiusiani na dino michpngo ya rzk
Sasa kiwanda gani bei kubwa kuliko kaliakoo sbola tukanunue dukani tulitegemea bei yenu iwe ya kiwandani chini Sana Sasa nyie mabei makubwa sana
120 ndo bei? Mbona mnanunua jezi za simba na yanga kwa fedha km hz. Bei inatokana na quality ya bidhaa ukitaka kanzu za 3,000 Zanzibar zipo kibao njoo ununue.
Wewe angaria uwezo wako
Muhimu kuchangia vya ndani
Kuchangia vya ndan hata ikiw Kuna kilchobora Cha nje kulko Cha ndan na Bei imepoa khaa
Acha kuwahusudu wenzako wewe ni muislamu unataka upewe bure? Usiharibu biashara ya wenzako sio uislamu ni tabia za kitwaaghuut
Bidaa ni mbaya kuliko maaswiyah tambueni tu kila munachokizusha katika dini hii mutarudishia nacho wenyewe
Iko wapi hapo bidaa
punguza bei, yan kilemba kutoka 12 had 25 imezid
Duka ilo. La. Watanunua matajir. Masilikini tutavaa mitumba ya omani. Uturiuki
😂
Kawafundish babaako
Hayo ndo majitu ya bidaa
Hilo la bida lipo wapi hapo duuu punguza husda
Eleza maana ya bidaa ili tujuwe
Duuuuh bei kubwa sana aisee jpo ndo hvo kofia yaan hvo vilemba vya elfu 35 mie huku nje nakinunua elfu nne mswala elfu 5 ukipiga hesabu ya Tanzania hata elfu kumi haifiki hvi kweli hta km ni kodi ndo ifike elfu 45 duuuuuuh oky Sawa hakuna shida
Sasa kusoma duuratul fathi na kufungua duka kuna mahusiano gani?
Watu wa bida'a mbona hamna huruma kwa kiasi hiki?
Hv haya yote mnayozua umma utaweza kuyafanya kweli?
Alioyaacha bwana mtume yanatushinda kuyatekeleza,nyie mnaenda kuanzisha mambo mengineeeee
Ulitaka wafungue kwa bongo flavor?
😂😂Ila tukimuwahi Kwa Dua Anapona mbn😂@@thamani5842
Mpuuzi ww! Sasa kuna kosa gani hp yy kusoma qur an. Ulitaka waeke spiker wakiimba tarabu? Ww unosema bida toa aya na hadithi mtume aliyokataza kisoma qur an mtu anapofungua biashara yk.
Bora ya Dua ni ile yenye quran.. kumhimid Allaah kisha kumtakia rehma mtume... msijifnye hii Dini ni yenu ivyo wakifnya watu hukosea ila nyie ndo mko sahihi
Acha kukaza fuvu ww mfuasi wa mafuta
watu wa BID'A wanachosha mno! hayo mnayoyafanya kuwafundisha nani??
WE UMEITWA HUMU AU UNAWASHWA MAKALIO YAKO MPUUZ WEWE
Bidaa we inakuhusu nn
We nawe kubabako imekua mpaka duka la kanzu pia mwataka litolewe dalili katika kitabu na sunna haaa its too much.
Baba yako
😂😂😂@@MukhutarAbdulshakur
Mijitu ya bidaa hovyo sanaa
😅
Hao ndo majitu ya bidaa
Mashallah
Mashaallah
Mashaallah