WAZIRI MKUU AMBANA MKURUGENZI kwa KUKAIDI MAAGIZO ya RAIS SAMIA; "MNAJADILI MAAGIZO YA Mhe. RAIS?"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- WAZIRI MKUU AMBANA MKURUGENZI kwa KUKAIDI MAAGIZO ya RAIS SAMIA; "MNAJADILI MAAGIZO YA Mhe. RAIS?"
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Mh.. Waziri Mkuu safi Sanaa 🤗👊✌️💪🏽🙏🏼
Huyu ndio waziri mkuu!! Hana kona kona, unajua kusimamia itifaki ,Fanya kazi !!!
Safi sana
Huyu ndio Magufuli aliyokuwa anafanya siyo bibi Tozo wenu. Hongera Sana Waziri Mkuu hongera sana Wanaume
Nakuelewa sana waziri mkuu wetu jembe letu nakupenda sanaaa! Mungu akupe nguvu..
Duuuuh hii nchi hatar sana
Majaliwa bila ww nchi hii haiendi
Age kuwa rais uyu majaliwa tugefulai sana anaweza
Jamaa noma anakuja na data
Asante Barbara ya muhimbili uliyo ISHITUKIZIA NIMEIONA KAMA TAYARI LEO
mhesh lala nao mbele
Huyo Mkurugenzi hana ethics ya Uongozi..anawezaje kupingana na Rais wa nchi?
Angekuwakuw Magu kashatumbuliwa. Tena n takukur ingemfatilia. Rais akiongea ameongea
Huyu Mkurugenzi HANA nidhamu; Bila shaka HAPASWI kibaki ofisini. Tutaangalia mkeka wa Mama unaofuata.
Next magufuli Allah akupe pumzi kiongoz wetu
Sio unatoa majibu ya naomba mkalifanyie kazi, wataendelea kupiga sana Hela,.,., Shda zitakuwa kwetu ☹️☹️
Mkuu nakukubali sulut
Inaonyesha wazi huyu dada mbabe sana hata uko ofisini kwake watu wakiwa wanahaha na kazi mikono nyuma wakipata tu makucha nje nje umeambiwa na mkuu wa nchi ufanye hivi unafanya yako kwa mashauliano na watu walio chini
Huyu mama ni mtu poa sana hana makuu na mtu Busega tuna enjoy sana kuwa na yeye.
My next president ever thanks sir I'm proud of you sir
Sahau hilo, ipo safu rasmi toka kwa Old CEO miaka mia ijayo.
huyo dada ni mjeuri sana hafai kuwa mkurgenzi
Ingekuwa Raisi ingeeleweka tu
Mhm Raisi ndie mmiliki wa pesa zote nchini nizakwake duhuuu tunahitaji katiba mpya haraka sana
Wewe jembe letu mungu akupiganie tunakutegemea
Njoo nahuku Musoma mjin ni madudu tu
Kabisa
SASA MAHAMUZI YA BARAKA LA MADIWANI ALIBADILISHWI NA MAAGIZO YOYOTE ATA RAIS
Safi Mh Waziri Mkuu Majaliwa Kuna baadhi ya Watumishi wanazingua kweli
Hawataki kufuata itifaki
Hii ndo sauti ya mamlaka
Nayeye asiwe mmoja wa watakaokuwa katika usimamizi wa huo mradi
Idd Kasim mchepuko wake
2025 Ni yako Kwan viongozi waache tamaa Kwan tunamtaka wazir mkuu
Mh. Waziri mkuu mungu akulinde, una hekima sana lakini una msimamo sana, na uko kwa ajili ya nchi. Ama kweli wewe ni jembe. Watanzania tunakuitaji msaidie mama yetu.
Utapiga kelele kamateni wekani ndani.kila sku sera hizohizo hao wtu kmateni.
Mheshimiwa njoo na mwanza ujionee mwenyewe
Kanuni zinavunjwa na wakubwa
😂
Machinga wanachamoto