BENKI YA DUNIA yatoa MCHANGANUO wa nchi na kiwango chake cha MAPATO 2024/25, fahamu TANZANIA ilipo

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 42

  • @MuhamdJuma-ix3uu
    @MuhamdJuma-ix3uu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Good news kwetu hongera Tanzania na hongera viongozi wetu kwa kuipambania nchi yetu kwa kuipaisha kiuchumi

  • @salimmadafa4840
    @salimmadafa4840 2 วันที่ผ่านมา +1

    Am not surprised Russia being Higher income but am surprised China being Upper Middle income....

  • @vocalizertz6868
    @vocalizertz6868 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    India lazima iwe kama Tanzania kwa sababu ya population kubwa ,

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ina maana hata Ukraine pia nayo iko higher income pamoja na vita vya miaka 2

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nawakubali sana wadogo zangu

  • @jacksonjudicate9388
    @jacksonjudicate9388 5 วันที่ผ่านมา +1

    Brother @Sky let's call a spade a spade, THE LATE HON.JPM MADE AN ECONOMIC CHANGE IN TZ, tukapanda kuwa uchumi wa Kati wa chini.... Bila Sisi km taifa kujifungia ndani Na kupambana kuwezesha wafanya BIASHARA wa ndani we WONT MAKE IT.

  • @nkeshimanayuda1115
    @nkeshimanayuda1115 5 วันที่ผ่านมา +9

    Russia pamoja na vikwazo lakini bado iko juu kwa kipato. Safi sana

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 5 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa hivi Russia wanakitu inaitwa capital control na oligarches ndo wanaumia zaidi.

    • @RaymondPaul-bs7su
      @RaymondPaul-bs7su 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@GeorgeAkasha-zx2rj Hiyo ndio kitu gani capital control na oligarches??

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unaishangaa urusi kuwa higher income ,je Ukraine nayo si umeona nayo imeorodhesha kwenye nchi za higher income.

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@RaymondPaul-bs7su Capital control maana yake ni kwamba kama ww ni mrusi na umewekeza ndani ya urusi na faida inayopatikana ndani ya urusi huwezi kuitoa nje zaidi ya $ elfu kumi kwa mwaka, maana yake ni kwamba pesa nyingi zitabakia nchini.Pia oligarches ni wale matajiri waliofaidika na kuanguka kwa USSR(1989-1992) yaani kipindi Cha ubinafsishaji wa rasilimali umma kuwa z watu binafsi, hao matajiri walinunua kwa Bei ya kutupwa(Ndogo) kuliko thamani yake halisi na baadae ndo matajiri wakubwa wa sasa hivi nchini urusi na duniani pia.Hao oligarches ndo wanaumia sababu wao ndo wawekezaji wakubwa nchini urusi na pesa zao zaidi ya $ elfu kumi hazitoki nje ya urusi.

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@MathewNathan-yb2bz Capital control and high interest rates for Russian oligarches.

  • @mlelwatv5831
    @mlelwatv5831 5 วันที่ผ่านมา +7

    China watu ni wengi sana so ukichukua kipato Cha nchi ukigawanya kwa idadi ya watu unapata per capital income ndogo Ila Pato lake ni kubwa sana

    • @salimmadafa4840
      @salimmadafa4840 2 วันที่ผ่านมา +1

      May be this explained...thank u @mlelwatv5831

  • @AliBakar-sx7lu
    @AliBakar-sx7lu 5 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 5 วันที่ผ่านมา

    wamejifungia kisha wakaja na takwimu zao, tuache kupokea huu upuuzi km waafrica.

  • @eliasaNgahehwa-l2f
    @eliasaNgahehwa-l2f 5 วันที่ผ่านมา +1

    Russia hawawazi hayo bro wapo na league yao bro

  • @abel_esam
    @abel_esam 4 วันที่ผ่านมา

    Kinachoangaliwa ni Per capita income ambayo ni ratio ya pato la taifa (GDP) kwa idadi ya watu
    CHINA ina watu takribani billion 1.4 Pato lake la taifa ni zaidi ya USD trillion 17.
    Europen union yote pato lake ni kama USD 16 tillion. Hii ni kama nchi 27 hivi za ulaya na idadi ya watu wao haifiki million 500. Idadi yao ni kama moja ya tatu tu ya idadi ya wachina.
    Hii ndio sababu ila kiujumla uchumi wa china ni mkubwa kuliko uchumi wa nchi zote za ulaya

  • @JamaliUssene-di1qm
    @JamaliUssene-di1qm 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kk mm naskiliza kutoka moçambique 🇲🇿 mbona ss aujatu taja apo tujuwe tupo kwenye maps gani

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial 5 วันที่ผ่านมา

    🧭🤳 Skay Mozambiki 🇲🇿 haipo au kwenye ramani?? Maana haijatajwa.

  • @user-ei8mz8ck9q
    @user-ei8mz8ck9q 5 วันที่ผ่านมา

    Thank u so much for the updates!
    Je unaweza ukaandaa kipindi cha malezo zaidi namna gani wamegawanya mapato ya nchi husika mpaka kuziweka ncho zote duniani katika makundi hayo manne.
    Poa inakuwaje China sio high income ikiwa ndo nchi yenye viwanda vingi na uchumi unaokuwa kwa kasi?

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 วันที่ผ่านมา

      Mbona ni rahisi tu? China pamoja na kuwa ni nchi ya pili yenye pato kubwa zaidi duniani, lakin hilo pato lao ukiligawanya kwa idadi ya watu wake, jibu linakuja kuwa kila mwananchi wa China amechangia kiasi kidogo cha pato la taifa kuliko mwananchi mmoja mmoja wa Urusi, Marekani, au Canada.
      Mfano mwingne ni huu hapa 👇
      Kundi letu tupo 100, tukichanga elfu 5 elfu 5 inakuja laki 5.
      Kundi lenu mko 10, mkichanga elfu kumi kumi inakuja laki moja.
      Tukiangalia mtu mmoja mmoja kundi lenu litaonekana watu wake wana kipato kikubwa zaidi kuliko kundi letu kwa sababu ninyi mko kumi ila mna uwezo wa kuchanga elfu 10 elfu 10. Sisi tutaonekana kwa sababu tuna uwezo wa kuchanga elfu 5 elfu 5 tu. Japo ukiangalia kundi kama kundi la litakuwa limechanga hela nyingi zaidi ambayo ni laki 5 ila sisi kundi letu tumechanga laki moja tu. Ila tukihesabu mtu mmoja mmoja kundi lenu limechanga hela nyingi zaidi ambayo ni elfu 10 elfu 10 ila sisi ni elfu 5 elfu 5 tu

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 5 วันที่ผ่านมา +1

    Takwimu zao hazijawahi kuwa za kweli wanatufanya wajinga akili zetu ziwaze feza TU na sio kuwaza utajili tulionao tofauti na fedha na sasa mrusi kaamuwa kuwaonyesha ukweli anatumia raslimali zake na uchumi unasonga higher level na sisi Africa tujifunze kwa mrusi tuwaze kutumia raslimali zetu na sio kuwaza mikopo TU na mikopo ni utumwa. Ukopae ni mtumwa wa akopeshae vitabu vitakatifu havidanganyi

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 วันที่ผ่านมา +1

      Russia today wamechapisha habari iyo na wameweka chanzo Cha HABARI iyo YAANI world bank,,,wewe unapinga world bank HALAFU unasifia uchumi WA URUSI ambao umechapishwa KWENYE world bank AMBAYO URUSI wameikubali

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c 5 วันที่ผ่านมา

    Vyote havina maana kikubwa uzima

  • @djafro8729
    @djafro8729 5 วันที่ผ่านมา +1

    Dj sma wachana na kenya.

    • @hopechidera
      @hopechidera 5 วันที่ผ่านมา +3

      Wenae wachana na dj Sma,huyu sie....

    • @thamani5842
      @thamani5842 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@hopechideraUyo Dj sma mwenyewe ata hamjui, kwa lipi nalo ata iachwe

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 วันที่ผ่านมา

    IMF ndo waliipoteza Tanzania 🇹🇿 shilling baada ya nchi Mapepari kutengeneza War 1978/79 … Tanzania tuamake? My ….
    ??

  • @jumamohamedkidiaunga9224
    @jumamohamedkidiaunga9224 5 วันที่ผ่านมา

    Data zao nyingi nizakuangalia sura....kuna bias kubwaa hapo

    • @tomleetz3525
      @tomleetz3525 2 วันที่ผ่านมา

      Angalia vizuri iko low income

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 5 วันที่ผ่านมา

    Upuuzi mtupu

  • @hitngwasutv971
    @hitngwasutv971 5 วันที่ผ่านมา

    Acha kutwambia upuzi wa BBC Bado nawew naukubwa ulionawo Bado unakubali upuzi cnn

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 วันที่ผ่านมา

      Tuletee za kwako ambazo ni za kuaminika.

  • @djafro8729
    @djafro8729 5 วันที่ผ่านมา +1

    Dj sma kwani wewe ni muuaji kama ruto

    • @hopechidera
      @hopechidera 5 วันที่ผ่านมา +2

      Kwan dj Sma umemsikia wapi ndani ya iyi video???

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 5 วันที่ผ่านมา +2

      achana nalo chizi Hilo linamuwaza Dj smah​@@hopechidera

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 วันที่ผ่านมา +1

      Umesikia sauti ya Dj Sma hapo?

    • @abubakarimsere
      @abubakarimsere 5 วันที่ผ่านมา

      Umerogwa😂😂😂