JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
Hongereni sana nakukubali sana mwabukusi kwa kutetea mambo yakipuuzi yanayofanywa na baadhi ya wasomi mbumbumbu ili kukomoa watu wasio na hatia hongera sanaaaaaa
Nchi ina utulivu Sasa Naona mnaongea tena Kwa mikwara , Ila acheni Siasa chafu tunapenda Amani na utulivu, fanyeni Siasa na sio Lugha chafu, hata kama sio nyinyi wafuani wenu wanatukana Saaana mbona hamja wahi wakanya? Tunawapenda na kuwakubali saana Ila muwe wastaarabu
Mwambukusi munakushauri tafuta jinsi ya kupeleka taarifa ukiongea mpka mishipa itoke aitasaidia,shida ya mawakili wetu wengi wanaitwa wasomi lkini Awana waledi,ukimuangalia mtu kma mwambukusi Kuna wakati anatetea lkini wakati huohuo maneno yke yanafunja Sheria ndio mawakili wetu
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
Hongera Mwabukusi na mawakili mnaotetea kuonewa sisi wananchi bila majosa Mungu awaongezee maalifa amen
Hongereni sana nakukubali sana mwabukusi kwa kutetea mambo yakipuuzi yanayofanywa na baadhi ya wasomi mbumbumbu ili kukomoa watu wasio na hatia hongera sanaaaaaa
Big up sana mweshimiwa mwabukusikwa kusimamia haki za raia watanzania,we kuwa jaji mkuu Tanzania.
Asante mtetezi wetu
HONGERA SANA MWAKIBUSI
Nchi ina utulivu Sasa Naona mnaongea tena Kwa mikwara , Ila acheni Siasa chafu tunapenda Amani na utulivu, fanyeni Siasa na sio Lugha chafu, hata kama sio nyinyi wafuani wenu wanatukana Saaana mbona hamja wahi wakanya? Tunawapenda na kuwakubali saana Ila muwe wastaarabu
Wewe unaongea nini?
Mara nyingi huwa najiuliza,,Uonevu unafanywa na wasomi, juu..kama tunasoma kwaajili ya kuwaonea wananchi wenzetu kuna sababu yoyote ya kusoma?
Mungu wetu yu hai, Madeleka.
Congratulations Mwambukusi
We will play the game out of Frame work!
Tanzania eeeeeeee nchi yangu eeeeeeee
Msiseme mwabukusi sema mweshimiwa mwabukusi
yes sir
inasikitisha mtu anaingizwa jela Tanzania kwa kutoa maoni yake tu kupinga mkataba wa kishenzi wa Bandari
Tumechoka kubambikiwa kesi pindi tunapodai haki
Tumechoka kubambikiziwa kesi pindi tunapodai haki zetu
Hiii nchi watu waliopewa Madara wananyanyasa watu wasiokua na hatiaa
GENGE LA WAHUNI HAWO😇😇😇😇😇😇😇
Mhuni unaye mtetea kwa uovu na chuki za kidini
@@andrewkissavah8272 CHADEMA CHAMA CHA TEC 🥵🥵🥵🥵🥵🥵🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kama weee
@@joycemfuru4752 jifunzeni Kiswahili before you comment 🤒🤒🤒🤒
Munu yupo
Nchi ya hovyo
Bado ana akili za kitoto, alikua ataachq
Sauti ya mamlaka
Mwambukusi munakushauri tafuta jinsi ya kupeleka taarifa ukiongea mpka mishipa itoke aitasaidia,shida ya mawakili wetu wengi wanaitwa wasomi lkini Awana waledi,ukimuangalia mtu kma mwambukusi Kuna wakati anatetea lkini wakati huohuo maneno yke yanafunja Sheria ndio mawakili wetu
Mbwa wewe
Kavunja Sheria ipi?mtu anatetea wanyonge wewe unaleta ushabiki
Hata kuandika maneno yako tu hujui,
Itakuwaje mawazo na maneno ya wasomi!!!?
Yupo sawa ukimuangalia Ni kwa vile tu sarakasi zinazofanywa na watumishi wa umma zinavyomkera
Nchi ya kijinga Sana hii inasumbua watu wenye akili
Nchi ya kijinga Sana hii inasumbua watu wenye akili