MWANAMKE ALIYEPIGANA na JAMBAZI mwenye BASTOLA na KUFANIKIWA KUMUUA, ASIMULIA - '' NILIMPIGA JIWE''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มี.ค. 2022
  • MWANAMKE ALIYEPIGANA na JAMBAZI mwenye BASTOLA na KUFANIKIWA KUMUUA, ASIMULIA - '' NILIMPIGA JIWE''
    Mke wa Mfanyabishara Castola Mnoge, Juliana Damiani, mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma, amesimulia jinsi alivyopata ujasiri wa kumpiga na gongo jambazi na baadaye kushika jiwe kupambana na majambazi wengine ambao walivamia nyumbani kwao usiku kwa lengo la kuwaibia fedha.
    Tukio hilo la kutisha limetokea hivi karibuni saa chache mara baada ya mumewe kuwasili nyumbani akitokea kwenye biashara yake ya Mpesa akiwa na mauzo ya siku ndipo alipofanikiwa kumpiga na gongo kisha kupata msaada wa majirani wenye hasira kali ambao walimshambulia zaidi hadi kumuua huku majambazi wenzake wakifanikiwa kutoroka.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 975

  • @netlity5532
    @netlity5532 2 ปีที่แล้ว +264

    Mapenzi ya kweli yamejidhihirisha kigoma! Tanga mnalipi la kusema hapa 🙌 sikiliza dakika ya 6:08 Hadi 6:16 halafu njoo unipe like hapa 😜

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 2 ปีที่แล้ว +2

      Tanga umalaya

    • @lovenessfrancis9947
      @lovenessfrancis9947 2 ปีที่แล้ว +15

      Tanga hakuna jipya siku izi ata mapishi kwisha

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 2 ปีที่แล้ว +9

      Aaaaah hivi tukio hili lingetokea Tanga mke angekimbia?

    • @netlity5532
      @netlity5532 2 ปีที่แล้ว +6

      @@mashramadhani1989 hizo ..nge hatuwezi kuzijadili maana bado hazijatokea.... Watu wa kigoma Kwa sasa ndo wameshika usukani kwenye mapenzi ya kweli

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 2 ปีที่แล้ว +2

      @@netlity5532 aaaaaaah hatari sana kigoma

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 2 ปีที่แล้ว +53

    Yn hiyo kaul imeniingia San yn kwamba sikuogopa bastola sabab nilijuwa kuwa mme wng asha kufa ckuwa na sabab ya kuishi dàaaaah 💪😭😢🤔

  • @dorisurio8001
    @dorisurio8001 2 ปีที่แล้ว +32

    Ni Mungu mwenyewe..hongera Sana mwanangu

  • @gracapk10
    @gracapk10 2 ปีที่แล้ว +18

    nimekupenda Sana dada... dumu kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 2 ปีที่แล้ว +148

    Hii inaitwa self defense.kufa kupona Ni muhimu kujitetea.
    Nani amemkubali huyu binti Kama Mimi.Mungu awape ujasiri Wanawake wajue kujitetea Mungu.akiwa upande wao watashinda tuu.👆

    • @julianakavula8195
      @julianakavula8195 2 ปีที่แล้ว +1

      True

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 2 ปีที่แล้ว +1

      Zao hazijafika ndg yangu,na watakuwa walijiganga,chezea kigoma wewe!

    • @sjosephmashany-eu6rf
      @sjosephmashany-eu6rf ปีที่แล้ว +2

      Wanawake wa kiha ni mashuja sana wakipenda wanapenda kweli

    • @merymahu4500
      @merymahu4500 9 หลายเดือนก่อน

      Mm hapa huyu mama Mungu amlinde

    • @hanifamsenda-py8qu
      @hanifamsenda-py8qu 8 หลายเดือนก่อน

      Ttzo kujieleza sasa...

  • @mecksaloon81
    @mecksaloon81 2 ปีที่แล้ว +50

    Hongera kwa ujasiri wako dada mrembo, Kaka umepata mke mwema

  • @aswileedson2978
    @aswileedson2978 2 ปีที่แล้ว +38

    Wewe mwanaume una Deni la kumlinda na kumpa heshima mkeo. Anakupenda ameyatoa Maisha kwa ajili Yako, halafu kesho umzingue tutakunyooosha, Hongera mwanamke wa shoka.

  • @ndohoriomsacky445
    @ndohoriomsacky445 2 ปีที่แล้ว +14

    Wanawake wanapiga sana ukikaa na mke wako vizuri atakutetea kila kona

  • @witneywilly
    @witneywilly 2 ปีที่แล้ว +26

    Eeh Mungu mlinde huyu dada... kwann mmemuonesha sura huyu dada jaman. Si salama kwake

    • @FridaMmari
      @FridaMmari 8 หลายเดือนก่อน

      kama ilikuwa si salama si salama tuu MUNGU ndie anamlinda, unazani wanaomfanyia mtu ubaya hawamjuii, mpaka wanaenda kwao wanamjua

  • @MilioneaTv
    @MilioneaTv 2 ปีที่แล้ว +91

    Una sifa zote dada mrembo mcha mungu una mahaba ya dhati pia jasiri wadada wa mwendo kasi mjifunze hapa

    • @rahmambugi1950
      @rahmambugi1950 2 ปีที่แล้ว

      ❤️

    • @fwarrymwebi6615
      @fwarrymwebi6615 ปีที่แล้ว +1

      Why am l crying alone??? Congratulations mama kwa kupigania mumeo maisha ya wawili ni safari

    • @pstelyxhadee904
      @pstelyxhadee904 8 หลายเดือนก่อน

      @@fwarrymwebi6615 surely there is something to learn here

    • @user-uc8ei8kn3l
      @user-uc8ei8kn3l 3 หลายเดือนก่อน

      Mwendo kasi

    • @jeremiahissangya4333
      @jeremiahissangya4333 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi so unable zote hata Mimi mwezako. Sina

  • @bengachuru1390
    @bengachuru1390 8 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana kwa huyu mama. Mapendo iko kati yenu. Mungu abariki nyumba yenu. Poleni kwa mashambulizi.

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 2 ปีที่แล้ว +6

    Hongera dada kwa kupata ujasiri ambao umesaidia kumwokoa mume wako,Mungu akusimamie.

  • @pendopendojoshua7624
    @pendopendojoshua7624 2 ปีที่แล้ว +18

    Kwa kweli Mungu kakutetea mwanamke jasiri.

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 ปีที่แล้ว +9

    Hongera sana dada kwa kulipigania penzi lako Mungu akulinde

  • @stellahemilian9168
    @stellahemilian9168 2 ปีที่แล้ว +3

    Bastola ilikua na risasi moja tu walipompiga mumewe ikaishia hapo.mungu ni mwema alikujaza ujasiri, hongera.

    • @skuhenga
      @skuhenga 2 ปีที่แล้ว

      Hapana itakuwa ili jam..

  • @tabithamulwa8714
    @tabithamulwa8714 2 ปีที่แล้ว +9

    Congrats my SIZ your are one in a million am proud of you with thank God for granting you life as a family be strong every thing happens for good for those who love the lord more grace in Jesus name

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 ปีที่แล้ว +24

    Maashaallah super women kama hawa ndio wanastair tuzo ,lkn pia nunuen silaha na nyinyi

  • @eliaspeter1258
    @eliaspeter1258 2 ปีที่แล้ว +34

    Huyu Mwanamke ni zaidi ya Mke

    • @brightermwailolo3409
      @brightermwailolo3409 2 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli hata ndugu anaweza kuacha ..anakupenda wa dhati na Kumpenda Mungu

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 2 ปีที่แล้ว

      Huyo ni Simba jike hatari kuliko hata dume

    • @gloriaaugustino8031
      @gloriaaugustino8031 2 ปีที่แล้ว

      Si mnasema hakuna mapenzi siku hizi

    • @eng8251
      @eng8251 ปีที่แล้ว

      Huyu sio kama wale wavaa vikuku miguuni

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 2 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah bro umepata mke mwema Mungu ambariki na aendelee kumpa mapenzi na ujasili

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 2 ปีที่แล้ว +14

    Haya ndio mapenzi ya dhati sasa,,,, huyu ndie mwanamke wa shoka hakukata tamaa wala uoga wa kukimbia tukio ,, Allah amponye huyo mume wake arejee km awali na awadumishe kwenye upendo wao hadi wazikane

  • @carolineondabu4539
    @carolineondabu4539 2 ปีที่แล้ว +7

    Dada wacha mungu akulinde sana hapo ulitumia zaburi 23:1...mungu hawalinde siku zote

  • @muonambali
    @muonambali 2 ปีที่แล้ว +15

    A definition of true love. MOLA awalinde na kuwaongoza katika maisha yenu ya ndoa, 💪🏿😍🙏🏿

  • @agnesmagehema576
    @agnesmagehema576 2 ปีที่แล้ว +6

    Hakika wewe ni mwanamke Jasiri Mungu akulinde na kukupigania na Mumeo akupende Daima

  • @SakinaShaban-kl8fx
    @SakinaShaban-kl8fx 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenamke sehemu yyte anatakiwa awe jasri hata ktk bibilia wanawake tumefananishwa na jeshi ko ss ni majeshi wa kimwili na kiroho hongera sana dada yangu kwa mapambano mema

  • @biberpriyer330
    @biberpriyer330 2 ปีที่แล้ว +17

    Kwa mapenz haya bado unamkuta mwanaume anatoka nje ya ndoa dah 😭😭huyu mdada ni wa kuzeeka nae kwakweli ameonesha upendo wa Hali ya juu

    • @latifaomary
      @latifaomary ปีที่แล้ว

      Wanaume hawaridhikagi mbn ata wafanyiwe nn wanatoka nje tu

  • @musafrancis3584
    @musafrancis3584 2 ปีที่แล้ว +135

    Saf Sana dada Ila wandishi mmekosea xn kumuonyesha sura hyu dd n hatar kwenye maisha yke kwa ss

    • @hamidmweusiii35
      @hamidmweusiii35 2 ปีที่แล้ว +10

      Apo umesma kwl maan Hawa waandishi wambea sana Hawa unafkri hii clips wakiiyona majambaz na wanajua Kam mwenzao kauliwa tena alobabisha hyu dada na weshamuon heee siku znahesbika kw hy dada

    • @sulaimanomary6533
      @sulaimanomary6533 2 ปีที่แล้ว +4

      Hii clip sio ile ya zamani kweli

    • @halimasulaiman3229
      @halimasulaiman3229 2 ปีที่แล้ว +4

      Kweli kabisa wangeficha sura hatar kwake ila hongera kwa ujasir pia unamapedhi ya dhati kwa mumewako mungu awalinde katika ndoa yenu

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwani unafikiri ndugu na marafiki wa aliyeuawa hawamjui huyu Dada?

    • @neema_mollel
      @neema_mollel 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @nitulosanga2081
    @nitulosanga2081 2 ปีที่แล้ว +4

    Dada MUNGU. Akutie nguvu nimeipenda sanaaaaaa

  • @sophiamarco3839
    @sophiamarco3839 2 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana Mungu azidi kuwalinda wote na familia yenu.

  • @ludanishirima5102
    @ludanishirima5102 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akulinde Hongera sana Nimekupenda bure

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 2 ปีที่แล้ว +19

    Huyu mwanamke ndiyo wanaitwaga wife materials, ana package zote za kuwa mke wa kuolewa, ni mwili mmoja kweli kwa mumewe.

  • @rehemaissa5689
    @rehemaissa5689 ปีที่แล้ว +3

    Umempata mkwe mwenye mapenzi ya kweli Allah awajalie ktk maisha ya ndoa yenu

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 2 ปีที่แล้ว +2

    Dàaaaah huyu Dada mzuri na anamapenzi halisi yaso changanyika na unafiki wowote yn me naomba Rais ampe nafasi jeshini huyu nimwanajeshi komandoo kabisa yn 💪💪

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Dada kwakujikita kutetea maixha ya mumeo.ww mwanaume umexhindaj sana mkeo ukija kumsaliti Mungu atakuadhibu

  • @queenkileo3698
    @queenkileo3698 2 ปีที่แล้ว +18

    Palee pale......
    God is Goood!!!

    • @maikomichael8261
      @maikomichael8261 2 ปีที่แล้ว

      Mama,hongera,sana,ww,ni,nguvu,ya,taifa

  • @user-vd7wy1sj1f
    @user-vd7wy1sj1f 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mwanamke Bomba 😂❤❤❤

  • @mariamsamson2679
    @mariamsamson2679 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera malkia wa nguvu,ni kwa neema ya Mungu ninyikuwa hai mpate kuyasimlia matendo makuu ya Mungu.

  • @zainaseleman3043
    @zainaseleman3043 9 หลายเดือนก่อน +2

    Neema ya Mungu iko pamoja na wewe Dada Mungu akupe ujasiri zaid huu in mfano wa kuigwa

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu Akusimamie kwa kila Jambo Jema na Akupe Afya njema.

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongera dada mungu awabariki na mumeo uzidi kupata ujasiri

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dada kwa ujasiri uliopigania mali yenu hlf kesho na kesho mume umuone mkeo hafai mungu awape upendo zaidi ktk maisha yenu

  • @aminakadala7676
    @aminakadala7676 2 ปีที่แล้ว +15

    Kosa kubwa sana kumuonesha sura huyu dada tena mnooo

  • @rahemaheri1615
    @rahemaheri1615 2 ปีที่แล้ว +41

    Palepale imekuwa nyingi but hongera Sana mwanamkee jasir na unapendoo Sana Kwa mumeo

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 2 ปีที่แล้ว +11

    True love keep it up

  • @ojasoojaso9479
    @ojasoojaso9479 2 ปีที่แล้ว +11

    Adriana line ikifika ukomo fulani kuna nguvu hata mtoto mdogo anaamua kufa au kupona.
    Hali hii ikitokea binadamu anakuwa kama mnyama aliyejehiwa , tena uoga wala hofu hupotea, na ujasiri usionekana katika maisha ya kawaida hujitokeza.
    Point of no return.

  • @kassimally5358
    @kassimally5358 2 ปีที่แล้ว +6

    Mzuri harafu shujaa thx mamito

  • @user-zb5kc4rv7w
    @user-zb5kc4rv7w 5 หลายเดือนก่อน

    Dah! Mwanamke jasili sana mungu awatie nguvu mdum ktk ndoa yenu na mshinde zaidi na zaid. Kigoma oyeeeeee❤❤❤❤

  • @gwamagobejosephat4376
    @gwamagobejosephat4376 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tunaunga mkono kumshukuru Mungu pekee aliyewatetea.Ushauri Mtunzane kltk maisha yenu huku mkikoseana msamaheane kwa kukumbuka tukio hilo(Kitunze Kikutunze)

  • @lathifaa860
    @lathifaa860 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaalah unaakili sana mwanamke zaidi ya mke

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera mama, nyie ndio wanawake wa kuoa sio wale wafuga kucha na wavaa mawigi, maslay queen wa mjini haya mambo hamuwezi

  • @masagabulemela3228
    @masagabulemela3228 2 ปีที่แล้ว

    Bora hata unadhani Angemuua si angebaki Mjane..Pole mama ila Hongera Kwa Ujasiri kuna msemo unasema"Kosea vyote ila sio kuoa au kuolewa"💪🏻

  • @stephenkahindi8678
    @stephenkahindi8678 ปีที่แล้ว +6

    Maneno machache yenye nguvu aliyoyasimulia huyu dada ni kwamba, "kama mume wangu amekufa, mimi na thamani gani "😳 ak dada una moyo mkuu kisha usio kifani.

  • @sagudamagerela3414
    @sagudamagerela3414 2 ปีที่แล้ว +3

    Dada bastola haikuwa na risasi.Mungu akuepushe na majambazi

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana nimependa ujasiri wako

  • @AmeenaTanzania
    @AmeenaTanzania 6 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana dada unamoyo wa kipekee sana 🎉🎉🎉mungu awalinde muendelee kuwa pamoja

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 2 ปีที่แล้ว +3

    Congrats my sister, you made it...

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว +39

    Ila waandishi nyie mnafanya kosa kumtowa Sura yake Sababu hao majambasi ni wanaadam na mkumbuke mwenzao amefariki huyo aliefariki japo jambazi mkumbuke ana ndugu ana wazazi ana hao watu wake walioshirikiana nae hiyo kazi wanaweza kumvizia huyo Binti na kulipa kisasi angalieni msije mkawaponza hao watu

  • @theresiagreyson9606
    @theresiagreyson9606 2 ปีที่แล้ว +2

    Nikaandaa jiwe langu vizuri😂😂 big up Sana dada

  • @lordofmercy9997
    @lordofmercy9997 2 ปีที่แล้ว +14

    There is power in the name of the lord

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 2 ปีที่แล้ว +8

    True love, hongera Sana mwanamke wa nguvu🙏🙏🙏🙏

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว +6

    Nimekupenda dada unaalili sana

  • @ummuadam2423
    @ummuadam2423 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amlinde huyu Dada manake hao waliokimbia bdo watakua na hasira mwenzao hayupo Tena

  • @abdallajuma6262
    @abdallajuma6262 2 ปีที่แล้ว +3

    Good job safi mm mungu awalinde na jengine kuwa tayari Kwa kibaya chochote dhidi ya mwenzako mbambania Hadi tone la mwisho

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera dada kwa ujari Mungu Ni mwema

    • @sophiamakani6133
      @sophiamakani6133 2 ปีที่แล้ว

      Wooow mungu akupe maisha marefu na familia yko

  • @quentinsylvia3877
    @quentinsylvia3877 2 ปีที่แล้ว +18

    juhudi zako ulizionyesha ulijitolea Kwa moyo mmoja na kupambana Kwa ajili ya maisha ya mumeo dada mungu aendelee kupambania umeonyesha moyo na mapenzi ya kweli

  • @francissibuti4893
    @francissibuti4893 2 ปีที่แล้ว

    I just appreciate, pale pale, of course pale pale nimemuelewa sana

  • @zaisomji3897
    @zaisomji3897 2 ปีที่แล้ว +2

    We kaka kama utamsaliti uyu dada mungu atakupa ukumu nzito maana wanaume kama mapaka amliziki

  • @sagudamagerela3414
    @sagudamagerela3414 2 ปีที่แล้ว +6

    Majirani wa kigoma mnachelewa Sana kufika kwenye matukio

  • @robbynyamriba251
    @robbynyamriba251 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwambie Mungu asante maana bila ivyo ingekuwa story tofauti

  • @justinejohn7724
    @justinejohn7724 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dada. Na Mungu aendelee kuwatunza na kuwalinda.

  • @user-lz7sb3we7z
    @user-lz7sb3we7z 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada endelea kumtumainia Mungu na kumshukuru Kwa Kila jambo Ameni

  • @ashamasoud969
    @ashamasoud969 2 ปีที่แล้ว +5

    Hivyo mnavyoonyesha sehemu yake si mtaletea Hatari kwa waliobakia hao majambazi

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 2 ปีที่แล้ว +64

    Faida ya kuweka mawe nje ya nyumba yako,
    Jamani tuwekeni mawe ,yatakuja kutusaidia

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 ปีที่แล้ว

    Ayondo nahaba ndi ndi ndi 😂😂😂😂😂 hongerasana dada 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @getrudewillson308
    @getrudewillson308 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sanasana dada kwa upambania haki yako, wewe ndo mwanamke oomani

  • @vitalisonyango6708
    @vitalisonyango6708 2 ปีที่แล้ว +3

    God bless you dear ❤️

  • @Betawomen
    @Betawomen ปีที่แล้ว +3

    a very strong woman❤❤

  • @user-jf9fk2kt5k
    @user-jf9fk2kt5k 5 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru kwa ukomavu huo umemuokoa sana mwanaume mwenzetuu safii sana shemejiiii yetu❤

  • @mohamnedsalum2150
    @mohamnedsalum2150 2 ปีที่แล้ว +2

    Brother hongera umepata mke jasiri

  • @brightermwailolo3409
    @brightermwailolo3409 2 ปีที่แล้ว +8

    Avalishwe gwanda tunahitaji wamama Kama Hawa. Apelekwe kozi aingie police...kifupi ni jasili

  • @crazyallien8335
    @crazyallien8335 2 ปีที่แล้ว +20

    Mungu ni mwema 🙏🙏🙏

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sn dd kwakupambana Allah akuzidishie subra yadhat moyon mwako

  • @slimtaley1759
    @slimtaley1759 2 ปีที่แล้ว +6

    Hongera Sana Sister M/Mungu akubariki katika Maisha yako unastahili sifa na Kuwa Mfano Bora kati ya wenye Mifano Bora Tanzania Hongera Sana .

    • @jumashausi8844
      @jumashausi8844 2 ปีที่แล้ว

      Wanawake wa hivi kwenye hii dunia kabaki huyo mdada 2 ukimpata mwingine niite mbwa Niko pale

  • @fulgencendyamukama742
    @fulgencendyamukama742 2 ปีที่แล้ว +3

    Amina, ubarikiwe kwa kutoa msaada mkubwa kwa mmeo.

  • @catherinemutasi8340
    @catherinemutasi8340 ปีที่แล้ว +1

    Mshukuru mungu sana AMEN BARIKIWA

  • @hadijamkelenga2274
    @hadijamkelenga2274 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani palepale mimi nimekuelewa💪

  • @assankwale4434
    @assankwale4434 2 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe mama mwema

  • @user-lp7uq9ql2p
    @user-lp7uq9ql2p 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Dada
    1.uzuri👍
    2.moyo👍
    3.imani👍
    4. Upendo👍
    5.nywele👍
    6.moyo👍
    Mungu ampe nini tena huyo mwanaume

  • @jacobomhagama6563
    @jacobomhagama6563 ปีที่แล้ว +1

    ,mungu
    Aendelee.kumpa.ujasili

  • @user-hm6hy6rr1h
    @user-hm6hy6rr1h 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah dada mung akubarik kua na ujasir huo huo

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 2 ปีที่แล้ว +4

    Big up malkia wa Nguvu 👍

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 2 ปีที่แล้ว +17

    Wanaopata wake kama huyu mdada, kwa kweli wamebarikiwa.
    Nimefurahia maneno yake ya kijasiri "Nilijua wameshamuua mme wangu, na kama wameshamuua, mimi nina thamani gani tena! wacha tufe wote!" Kisha akaingia kwenye uwanja wa mapambano

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 ปีที่แล้ว +3

      Wewe kuweza kama unamapenzi na mwenza wako nae atakua na mapenzi na wewe so tupendane mm hata mwenza wangu akikamatwa na trafki mavi ya nanibana nakuanza kulia kiufupi tupendanee

    • @superwomanmwenyeheri.1367
      @superwomanmwenyeheri.1367 2 ปีที่แล้ว

      Yaani we acha tuu.

    • @lindakim2292
      @lindakim2292 2 ปีที่แล้ว

      Akaingia uwanja WA mapambano😃😃😃😃😃

    • @brightermwailolo3409
      @brightermwailolo3409 2 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli huyu anastaili pongezi wengi tunaishiwa nguvu na kunitetea wenyewe.
      Hataki hata kwenda kwenye biashara mpaka mume wake apone

    • @silasjoseph9033
      @silasjoseph9033 2 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😭

  • @takrimanyangalima6764
    @takrimanyangalima6764 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu husimama ktk kila jambo, hongera dadaang kwa ujasir kweli ninyi ni mwili mmoja, baba mheshim mkeo

  • @user-ne2gv8qo2s
    @user-ne2gv8qo2s 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama Kwa ujasiri huo,endelea kumtegemea Mungu.

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 ปีที่แล้ว +11

    Allah kareem Azidi kuwalinda Inshaallah

  • @saidnasibu5803
    @saidnasibu5803 2 ปีที่แล้ว +17

    Ficheni sura yake ndugu mana jambazi alie uliwa yuko na ndugu Na familia yake na wenzake wa kazi ya ujambazi pia wapo ssa mujue munamponza bure Uyo mama

    • @user-br3sc8bm4t
      @user-br3sc8bm4t 2 ปีที่แล้ว +2

      Washafeli wanajisahau sijui au wageni wa kazi hawafikirii kifuatacho

    • @zamdaomanizamdaomani3172
      @zamdaomanizamdaomani3172 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @mohamnedsalum2150
      @mohamnedsalum2150 2 ปีที่แล้ว +2

      Kweli anaweza kuhatarisha maisha yake

    • @fatumasaleh8048
      @fatumasaleh8048 2 ปีที่แล้ว +2

      Kweli hata Mimi nimekiwaza hicho

    • @azizamohamed7692
      @azizamohamed7692 2 ปีที่แล้ว +2

      Wandishi wa bongo hao kaxi kimbwa umbea tu ndo wanayo ijuwa

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole mdd
    Hongera. Mdd
    Mahaba kama yote😁😁

  • @lewinersylivester1984
    @lewinersylivester1984 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe dada Mungu akubariki sana

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว +14

    Unaakili sana dada

  • @sumayasumaya6455
    @sumayasumaya6455 2 ปีที่แล้ว +6

    wanawake uchawi ni kumpa love' tu ya uhakika., ndio utayapata haya, sio fiksi kibaooo, kuchepuka, uwongo, n.k. mbofu mbofu.

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 2 ปีที่แล้ว

    Pale pale tukaaa...pale pale akaa..pale pale.....
    Ila nmekupenda pale pale super woman 😘😘😘