Ndugu yetu unauliza neno la allah ni kiumbe ukikusudia yesu ni neno la allah Jawabu:yesu kafanyika kwa neno la allah kama alivyo fanyika adam...kwahio neno la allah sikiumbe kinachofanyika kwa neno la allah ni kiumbe kama yesu ni kiumbe kwasababu yeye kafanyika kwa neno.....
Elimu Hauna halafu unataka kuzungumza kuhusu mambo ya kielimu hauoni kama utaishia kubwatuka bwatuka? Mmepewa kibarua pale cha kuonesha nani Mungu wenu kwenu maana Hadi Leo mna mkanganyiko baina yenu
Usijipe shida mwalim chaka. Ahlulkitaab ni wafuasi wa nabii mussa na na nabii issa. Wote waliokuja baada ya kupewa qurani nabii Muhammad wakaikataa hao sio Ahlulkitaab
Bachu anasema imani au dini ni mambo ya kiroho, Uislam una mambo ya kiroho? Kwa aya ipi? Aache uongo. Quran 3:19, nani kasema maneno hayo kama siyo Muhammad akitetea dini yake aliyoianzisha?😂😂
@Khalidniya380 najua kua ambacho hakufundisha Mtume wala maswahaba zake wala ktk karne 3 bora kwss hakiwez kua dini ndio md ilipoanza mwalim wk kakosa kujifaham km una dalili kwenye iyo md y taksim tawhid kutoka ss wasilisha km huna kaa pembeni dini c mihemko
Mwalimu wangu chaka Mungu akubariki sana
Aliha ni wingi wa ilaha sio Allah.
Hekima ya allah kuwambia mufuate injili ikiwa mutaifuta kweli basi hamuezi kumpinga mtume muhamad
Mwl Chaka vipi unawaza kusilimu? Humuwez shk Muhammad Bachu
Ndugu yetu qur'an sio aya 1 hio kur'an ndio iliosema quran ndio imekuja kuvihukumia vitabu viliopita kua yapo yalio haribiwa na yapo yalio salimika
Ndugu yetu unauliza neno la allah ni kiumbe ukikusudia yesu ni neno la allah
Jawabu:yesu kafanyika kwa neno la allah kama alivyo fanyika adam...kwahio neno la allah sikiumbe kinachofanyika kwa neno la allah ni kiumbe kama yesu ni kiumbe kwasababu yeye kafanyika kwa neno.....
We Chaka huna elimu ya kubishana na Bachu nenda ukasome😅
amen
Hata hiyo wanayosema Allah ni oneness siyo kweli, ukweli halisi au tafsiri halisi katika Quran ni one of.
Soma Quran sura ya 112 Aya 1-4
Ukitaka elimu chukua Kwa wanao jua sio Kwa huyo mtumia nguvu kuliko hoja diwani
Nimegundua hamna kitu
Yaani hii dini ya binadamu,majini na mashetani wana tabu sana
Dini gani ya binadamu,Majini na mashetani??? itaje please
hizo nokasumba munamezeshwa maneno
Hoja za sheikh Bachu kwa Wakristo zinanipa mashaka makubwa na ufahamu wake.
Sheikh bachu tukubali tukatae ana ufahamu m bovu sana kwa kweli
kaeni chini mkubaliane kwanza Mungu wenu ni nan?
@@Yu-jr9uf hizo ni akili mnemba!!
Elimu Hauna halafu unataka kuzungumza kuhusu mambo ya kielimu hauoni kama utaishia kubwatuka bwatuka?
Mmepewa kibarua pale cha kuonesha nani Mungu wenu kwenu maana Hadi Leo mna mkanganyiko baina yenu
Usijipe shida mwalim chaka. Ahlulkitaab ni wafuasi wa nabii mussa na na nabii issa. Wote waliokuja baada ya kupewa qurani nabii Muhammad wakaikataa hao sio Ahlulkitaab
kawaida ya bachu anajua kujizonga tu jinsi ya kujizongoa hajui
Kabisa ❤
Sasa kama neno hilo lipo mbona halijatumika kwenye hiyo Sura inayotaja washrikana pale baharini
Hii ndio hoja?
Bachu anasema imani au dini ni mambo ya kiroho, Uislam una mambo ya kiroho? Kwa aya ipi? Aache uongo.
Quran 3:19, nani kasema maneno hayo kama siyo Muhammad akitetea dini yake aliyoianzisha?😂😂
Bachu n mropokaji 2 ktk uislam hana elimu y anavovifanya kwaiyo c hoja ata kdg ndn y uislam
Wew unajua nini?
@Khalidniya380 najua kua ambacho hakufundisha Mtume wala maswahaba zake wala ktk karne 3 bora kwss hakiwez kua dini ndio md ilipoanza mwalim wk kakosa kujifaham km una dalili kwenye iyo md y taksim tawhid kutoka ss wasilisha km huna kaa pembeni dini c mihemko
Huna mpya wewe ukiristo ni wapaulo tu sio wa yesu usifiche mambo kwa kutaka vipesa vya waumini tu