USIANGALIE MIZIGO KWA MATAMANIO SHEIKH KIPOZEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 2 ปีที่แล้ว +2

    Prof. Kipoozeo!!

  • @MwombekiMartin
    @MwombekiMartin ปีที่แล้ว +1

    Yani uyu jamaa daaa hatari kweli

  • @MakataWaMakatani
    @MakataWaMakatani 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maaalim mizigo 😂😂😂😂😂😂

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 12 วันที่ผ่านมา

      Chuki zitakuua

  • @chamchuuconsult4682
    @chamchuuconsult4682 2 ปีที่แล้ว +1

    Mizigo sio mchezo dah

  • @allymtungunyu2425
    @allymtungunyu2425 2 ปีที่แล้ว

    Hapo mizigo tuu mzee wa kugonga mizigo huyo wenyewe wa pale ilala kwa wanawake wapenda chips tumuelewa sana maana hana haya km hana familia vile zidisha kutuelezea utam wa mizigo mzee kipozeo

    • @idrissamustafabukenya6110
      @idrissamustafabukenya6110 2 ปีที่แล้ว

      Huyu sheikh unamuchukiya lakini unapoteza wakati wako bure.yeye anailimisha watu wewe tuliya

  • @alisaleh2507
    @alisaleh2507 2 ปีที่แล้ว

    LAKIN NYINYI MNAMFAHAM VIZURI HUYU SHEKHE

  • @Ally-xf8jx8cx4f
    @Ally-xf8jx8cx4f หลายเดือนก่อน

    😅

  • @erastusnjue9534
    @erastusnjue9534 2 ปีที่แล้ว +2

    Mawaidha mwafaka kwa wanaume

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 2 ปีที่แล้ว +1

    Uislamu ukichanganywa na uhuni matokeo ndiyo haya. Eti shehe huyu Naye kazi kuongolea mizigo ya wanawake.

    • @user-sk8bn4zf6p
      @user-sk8bn4zf6p 2 ปีที่แล้ว

      Alafu sjui ameitoa wapi hiyo ya ummatu muhammad wote mawalii!!!

    • @idrissamustafabukenya6110
      @idrissamustafabukenya6110 2 ปีที่แล้ว

      @@user-sk8bn4zf6p hujamuelewa ndo mana unasumbuka

    • @idrissamustafabukenya6110
      @idrissamustafabukenya6110 2 ปีที่แล้ว +1

      Haya simambo ya football.

    • @user-sk8bn4zf6p
      @user-sk8bn4zf6p 2 ปีที่แล้ว +1

      @@idrissamustafabukenya6110 nimemuelewa sana

    • @shamsisaady4029
      @shamsisaady4029 2 ปีที่แล้ว +3

      Subhanallah, yani mawaidha unaita uhuni .hivi unajua huyu sheikh ana elimu kiasi gani? Kwa kuwa huna elimu ya dini ndo maana unaona anaongea uhuni....huyo hapo haongei kwa matamanio yake bali ni kauli za mtume swahihi kabisa...sema yeye anatumia sanaa ya uwasilishaji ili hadhira imuelewe vizuri bila kuchoka...Kila muhadhiri ana sanaa na mitindo yake katika kufikisha ujumbe.

  • @jamalmagak19
    @jamalmagak19 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣