@vugaonlinetv: HIVI NDIVO MAALIM SEIF ALIVO ACHA ALAMA KWA JAMII JUSSA AMUELEZEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 14

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p หลายเดือนก่อน +11

    YAA ALLAH MUONDOLEE MAALIM SEIF NA BABA YANGU NA WAISLAMU WOTE KWA JUMLA ADHABU ZA QABRI

  • @AllyFaki-w6b
    @AllyFaki-w6b หลายเดือนก่อน +3

    Hongera muheshimiwa balozi karume kwa suali zuri sana na maelezo mazuri ya utawala huu mbaya

  • @truthonline7832
    @truthonline7832 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera mwenyekiti kwa kuwapa nafasi vijana

  • @HajiJuma-k3l
    @HajiJuma-k3l หลายเดือนก่อน

    AMEENA INSHAALLAH.

  • @AllyFaki-w6b
    @AllyFaki-w6b หลายเดือนก่อน +7

    mungu amrehemu mzeee wetu maalimu seif

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 หลายเดือนก่อน +6

    Hivi kama upinzani ndio chanzo Cha vurugu ufikapo uchaguzi mbona wao ndio wanaoteketezwa Kila mara hivi tuseme upinzani hawawezi kufanya hayo wanayoyafanya japo kidogo au ni kuwapa jina baya Ili kuwahujumu wakati wao ndio wanaoiheshimu Sheria na amani?

  • @iddi29
    @iddi29 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 หลายเดือนก่อน +2

    Apo umenena Balozi😅

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo nimechomekea tu Ili lisinipotee kooni lkn lbd si pahali pake

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h หลายเดือนก่อน

    Balozi tunakuhitaji uje kibanda mait .29

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kuhusu maoni ya kutungiwa kitabu harakati za kisiasa za wakati wa maalim Seif Sharif Hamad ktk kuikombowa Zanzibar kutoka Kwa mikono ya ccm nami naunga mkono kuwa Hilo lifanyike na likifanyika Hilo Kwa Sasa Niko yemen nataka nitumie hicho kitabu huku huku

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤