NI NINI MAANA YA TAMKO LA KIARABU 'ALLAH' JE LINATUMIKA KUASHIRIA MUNGU MMOJA TU? PART 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 46

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b 2 วันที่ผ่านมา

    Alla ni mungu wa kweli tu ,na neno au Jina hilii haiwezekani kitumika kwa dini yoyote isipokuwa dini ya kweli na ya haki ya uislamu,,kulitumia kwa dini nyengine ni kosa kubwa na kuleta kufuru

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mwalimu uko vizuri.

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya 5 วันที่ผ่านมา

    Allah ni Allah, mungu ni ilah kiarabu, ilah wingi wake ni aliha, Allah Haina wingi, Allah ndiye aliye umba vitu vyote

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 6 วันที่ผ่านมา +2

    Allaha wa kislam yupo maka

    • @hajimasoud7210
      @hajimasoud7210 4 วันที่ผ่านมา

      Je mungu wenu mbona inasema anaishi kwenye kibanda jerusalemu

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 4 วันที่ผ่านมา +1

      @@hajimasoud7210 YESU KRISTO kafufuka hapo tena kaburin, Allah wenu yupo makkar mhamad yupo Madina, shetani wenu jiwe jeusi lipo al aqsa

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 3 วันที่ผ่านมา

    I swear Allah Ni shetani laanatulilah na cha ajabu anajua kiarabu tu

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 9 วันที่ผ่านมา

    Shalom👋
    Nauliza Swali lile Mungu wa wakristo anaitwaje?? ili swali limekua nikijiuliza kitambo sana shukran sana kwa sheikh M.bachu kulileta hili tufahamu.

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 6 วันที่ผ่านมา

    Allaha na malaika zake wanamswaria nabihi ndomana sisi tunasema Allaha sio mungu

    • @abeidsamsung
      @abeidsamsung 5 วันที่ผ่านมา

      Wanamswalia mtume hapa ndo usipopaelewa!!

  • @iddimselemjuma
    @iddimselemjuma 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu kw kiarabu haitwi Allah anaitwa rabbu au ilahi hata ukienda kwenye google translation utaikuta hivo ayo mengine shekhe anapambia pambia tu ili aonekane amejibu hoja

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir 10 วันที่ผ่านมา +3

    Mm ni muislamu nimesoma kiarab kwa miaka mitano ckujua kama Allah ina wingi .... Yusuf diwan amche Allah..
    Kudhalilika kwa kuifuata haki ni bora kuliko kutukuka kwa kuendelea kubaki ktk baatil

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 6 วันที่ผ่านมา

      Tatizo sio kusoma miaka 5 tatizo ni ufahamu wenu mawahabi nimbovu hata kwenye shahada Mungu natumia neno Allah kwa maana hakuna Allah apasaye kuubudiwa kwa hakki isipokuwa Allah peke yake

    • @abdul_azeez_almaamir
      @abdul_azeez_almaamir 6 วันที่ผ่านมา

      @YaziduIddy-u7p ni kweli ufahamu wetu ni mbovu kwasbb cjafaham umekusudia nn wallahi .. hebu nifahamishe tena

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 5 วันที่ผ่านมา

    Allah sio MUNGU mileleee ni miungu inayoabudiwa makkar

    • @hajimasoud7210
      @hajimasoud7210 4 วันที่ผ่านมา

      Kwani nyie mungu mnae Leo yesu mungu Mara yehova

  • @jamalAlly-p2y
    @jamalAlly-p2y 5 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi wakristo wa leo ni tofauti nawale waliokusudiwa katika quran mnatofauti kubwa kwa mujibu wa quran yenyewe sasa nyinyi dini kwanza hamna wala kitabu wala nabii vp mnajadili ya Uislam?

  • @iddimselemjuma
    @iddimselemjuma 5 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji unatakiwa uingie ktk lugha ujifunze ndipo utaelewa kati ya hao mashekhe wawili nani anaongea ukweli yupo mmoja yupo kw ajili yakupotosha tu, sio kweli kua Allah anawingi

  • @JabuUssi-v1c
    @JabuUssi-v1c 5 วันที่ผ่านมา

    Kinacho takiwa ni vitabu si porojo au huna

  • @husseinbudaga2953
    @husseinbudaga2953 9 วันที่ผ่านมา

    Haueleweki...

  • @sefoo8084
    @sefoo8084 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu mchungaji hana muda mrefu ataslim. Ukifuatulia hoja za kiislamu kielimu na sio kishabiki lazima utasilimu

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft 6 วันที่ผ่านมา

    Ndugu Yetu jina la (ALLAH) ni jina spesho kwaajili ya mola wa Haq tu ambae ndie mola wa Ibrahim mussa issa au yeso na ndie mola wa mitume wote ikia mtume wa mwisho ni mtume Muhammad swala na Salam ziwe juu yake.
    Na waarabu hata kabla ya mtume Muhammad walikua na miungu yao na walikua na majina yao wakiita miungu hiyo
    1-lata
    2-uzza
    3-hubal
    Na haijawahi kutokea ETI washirikina au makafir wakiaarabu kuita miunguyao kwa jina la (ALLAH) hapan
    Hivyo huyu UST Yusuf diwani hapa alijidahau tu na usichukuwe kauli yake hayupo sahihi Bali tukiacha ushindani . Muhammad bacho tunamchukia lakin kwa hili yupo sawa

    • @MWALIMUCHAKATV
      @MWALIMUCHAKATV  6 วันที่ผ่านมา +1

      Tukiachana na Imani zetu, katika Lugha ya Kiarabu je Allah ni tamko lenye uwingi ? Mathalani umetaja Allat AlUzzah na AlManat. Je katika lughawiya unaelewa nini binafsi?

    • @SaidAbdallah-sm1ft
      @SaidAbdallah-sm1ft 6 วันที่ผ่านมา

      Mwalim ni wewe tu haufahamu hiyo lugha ya KIARABU lakin jina la ALLAH halina uwingi hata ktk hiyo lugha ya KIARABU
      Kisha wewe unamfuwata diwani na diwani hapo alikosea akajifanya ajitetea kwa lugha kumbe pia anazid kukosea
      Kuna jina la ALLAH na SIFA za Allah Sasa diwani baada ya jina la ALLAH alianza kuongelea SIFA za Allah
      Jina الله halikubali uwingi ni Moja tu na nispesho kwaajili ya Allah mola mmoja tu

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 9 วันที่ผ่านมา

    Ancha kutudanganya Allah siyo Mungu wa kweli

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 7 วันที่ผ่านมา

      Tatizo malezi, ndo maana maneno yasiyofaa.

    • @shafiiluunje5043
      @shafiiluunje5043 7 วันที่ผ่านมา

      Maana yake mwenyesifa ya kuabudiwa.

    • @shafiiluunje5043
      @shafiiluunje5043 7 วันที่ผ่านมา

      @@robertphilip385 Inaonekana huna unachojua zaidi ya chuki kama unashindwa kutofautisha kati ya uislam na uarabu jitaidi usome ili ujue tofauti ya uislam na uarabu.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 7 วันที่ผ่านมา

      @@shafiiluunje5043 wengi wenu. Magaidi tu

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 6 วันที่ผ่านมา

      Allah ni mungu wa haki asie zaliwa wala kuzaa........wakiabudu mungu mingine aiitwi allah

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe mkiristo umehoji vizuri sana ikiwa allah kwa kiswahili ndio mungu basi mashekhe waje wataje jina la mungu ikiwa tukisema allah ndio tumesema mungu hapo pazuri......... lakini dalili za qur'an zinasema allah ni jina qur'an inasema muombeni allah kwa jina lake la alla au muombeni kwa jina lake la rahman kwani anayo majina mazuri
    KWAHIO KWA DALILI ALLAH NI JINA

  • @khalidsalum6423
    @khalidsalum6423 10 วันที่ผ่านมา

    mwisho wako umefika
    chaka wa mussa
    by (ostadh igu jesus)

    • @memorataedson7895
      @memorataedson7895 6 วันที่ผ่านมา

      watu mna mikwara sa utamfanya nn

  • @shadhilfaki1457
    @shadhilfaki1457 6 วันที่ผ่านมา

    Ww kwanza uliambiwa uachane na mjadala huu kwaaababu nyinyi wwnyewe hamja mpata Mungu wakwwli mpaka sasa na ndio maana wwngi wwnu hamjaelewana kuhusu hilo unakimbilia kujua kuhusu Mungu wahuku kwa nini??

    • @MWALIMUCHAKATV
      @MWALIMUCHAKATV  6 วันที่ผ่านมา

      Hao walioniambia niachane na mjadala kama sio uoga mbona hawajatoa majibu ya jina la ALLAH wao ni lipi? Tazama jawabu zetu

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 6 วันที่ผ่านมา

      ​​@@MWALIMUCHAKATV Ukiristo NI UKAFIRI (Na Wakiristo ni MAKAFIRI) na wewe Chaka ni KAFIRI PIA .WAKIRISTO MSIPOSILIMU MTAINGIA MOTONI MOJA KWA MOJA.
      Kwa7 Dini ya Haki mbele ya Allah ni Uislamu

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 6 วันที่ผ่านมา

      ​​@@zanlec7357Na hivyo ndivyo ulivyokaririshwa tokea upo madrasa.

    • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
      @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 6 วันที่ผ่านมา

      Wewe ndo ujui lolote huslam ndo ukafiri muhamadi si mtume wa mungu kaja na hukafiri wake apa duniani kawaambukiza ujinga

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 6 วันที่ผ่านมา

      Waislam wengi wanaamini yale wanayoambiwa tu na walimu wao ila wao hawataki na wavivu wa kusoma quran na hadith,na hata wakisoma quran wanakaririshwa tu huwa hawana mda wa kutafakari ndio maana wote maswali na maelezo yao ndio yaleyale hayabadiliki hata uwafahamishe vipi kesho atauliza tena vilevile 😂 kukariri sio kuzuri, na ndio maana huwa nasema siku wakiacha kukariri wakaamua kuuelewa uislamu kwa kusoma hakuna atakayebaki huko.

  • @aproniamasatu5810
    @aproniamasatu5810 9 วันที่ผ่านมา

    chaka Mwalim kweli kweli

  • @shadhilfaki1457
    @shadhilfaki1457 6 วันที่ผ่านมา

    Ww na wakriato wengine kubaliananeni kwanza mnae Mungu wa kweli na wakki?? Na mbona umetumiwa vidio ya mnabishana bishana tuu au hukiona hivyo+?

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 5 วันที่ผ่านมา

    Unajua hakuna mtu mwanadam yoyote anaeabudia asie kua allah kisha huyo anae muabudu akamwita allah...au yeye anaeabudiwa kwa kupenda kuabudiwa akasema niabuduni mimi ni allah haijawahi kutokea
    Kila mwenye mungu wake basi atampa jina alipendalo lakini c allah
    Na anaependa kuabudiwa atajita jina lake la kiungu lakini c allah
    Na hata video alio tuonesha diwani wakati Meli inazama waliita yesu yesu na wakimanisha YESU C ALLAH
    KWAHIO TUKISIKIA LINATAJWA JINA ALLAH KWA LUGHA YOYOTE ANAFAHAMIKA NANI ALLAH
    NA HAIWI TUMSIKE MKIRISTO AU MTU WADINI YOYOTE ANATAJA JINA ALLAH KISHA TUMULIZE ULIKUA UNAMKUSUDIA ALLAH YUPI??