MTI HUU KIBOKO YA MARADHI YA SUKARI, PRESHA, NGUVU ZA KIUME KWA KUTUMIA MBEGU ZA MTI WA MRONGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar #mronge

ความคิดเห็น • 31

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH awahifahi law yote kwa vyovyote familia tote ya riyadh tv mmekua mifupa elimu bila mipaka alhamdulillah

  • @aishaabdalla7624
    @aishaabdalla7624 ปีที่แล้ว +1

    Fajazaaka llahu khayrah
    Shukran laka

  • @user-Ndashuka001
    @user-Ndashuka001 2 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @khamismohammed2582
    @khamismohammed2582 ปีที่แล้ว +3

    Ila kila, mtabibu anaeleza, kivyake sasa hua hawa watu wanatuweka njia panda wengine wanakuambia hauna sumu leo unambiwa, ndan yake kuna sumu pia. Im dead

  • @suleim505
    @suleim505 ปีที่แล้ว

    Shukran sana shekh

  • @anifauwizeyimana8468
    @anifauwizeyimana8468 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 3 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @neemajordan317
    @neemajordan317 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @ibrahimukashindi5590
    @ibrahimukashindi5590 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki

  • @salaita2829
    @salaita2829 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa huo kifa uongo ni nini jameni?

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว

    Sasa kifauongo ni nini mbona hujatuelezea dr.

  • @bahariahd6299
    @bahariahd6299 ปีที่แล้ว

    Haufai FAIDA ni ndogo sana ya mti wa mronge

  • @chezeamimi222
    @chezeamimi222 ปีที่แล้ว

    Nilichukuaga majani ya mloge na miziz yake kijiko kimoja kimoja nikaweka Kwenye chai naapo napresha yakupanda mbona nililazwa mie naogopa mpka Leo miimi

  • @euniceorao2732
    @euniceorao2732 ปีที่แล้ว

    Kama uko na pressure, yakupanda,na cholesterol inaweza saidia

  • @userAysha
    @userAysha 3 ปีที่แล้ว

    Sukari ina aina type 1 na type 2 vipi mwenye type 1 itamufaa

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว

    Unamtakia heri Mungu kama vile usipomtakia anakufa

  • @user-uj6gu3ku6r
    @user-uj6gu3ku6r ปีที่แล้ว

    Tuma namba nikuulize ninashida nawewe

  • @user-pe5pf2iv4g
    @user-pe5pf2iv4g ปีที่แล้ว

    Naweza pata vipi hayo matawi

  • @tinaissah4180
    @tinaissah4180 ปีที่แล้ว

    Je hayamajani ya kifauongo yanapatikana wapi

    • @tinaissah4180
      @tinaissah4180 ปีที่แล้ว

      Samaha jee hayamajani yakifauongo yanapatikana

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว

    Unaanza kuongea lugha ya kiarabu utadhani sote warabu.

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว

    Asalamu ghalaikum warahmatuLLAHI wabarakatuh

  • @mjajukiyahya2790
    @mjajukiyahya2790 3 ปีที่แล้ว

    Majani mengi na sio mingi

    • @khuiii9032
      @khuiii9032 3 ปีที่แล้ว

      Shukran mwalimu Allah akuhifathi

  • @hekimaandindilile4000
    @hekimaandindilile4000 2 ปีที่แล้ว +1

    Kifau ongo ndio Nini

    • @aishaseif7852
      @aishaseif7852 2 ปีที่แล้ว

      Kuna majan madogo ukiyagusa tu yanalala baadae yainuka kule kwetu tunaita usiniguse

    • @mrholela7906
      @mrholela7906 ปีที่แล้ว

      Hybiscus flower

    • @ashakhamis9093
      @ashakhamis9093 ปีที่แล้ว

      Yale yanayochoma huku kwetu tunaita kifaurongo

    • @MwanasityMwakurauka-bz3cz
      @MwanasityMwakurauka-bz3cz 8 หลายเดือนก่อน

      Kifaurongo ni mti gani

  • @bahariahd6299
    @bahariahd6299 ปีที่แล้ว

    HUU MTI HAUFAI AMESEMA KWELI HUU MTI UNA MADHARA MAKUBWA KIKUBWA UKITAKA KUJUA SOMA USIWE MSIKILIZAJI TU
    MADAKTARI WA MEXICO WANASEMA HAUFAI KWA MATIBABU