Assalam alaykum,,, sheikh Ahsante kwa kutupa elimu Allah akupe ujira wako lakini mimi ninae mtu namdai ila tuko mbali mbali yeye yupo Dar nafanyaje nimpigie simu then niwe nafikicha hivyo hivyo au nifanye vipi
Ayo n maua uku bara tena nililuwa nimeoteshaga nyumbn kwetu ila sasahivi haupo ulishapoteaaga miaka kama 6 hata mtaani hakuna kabisa tena ulikuwa unapatikana kanisanii
Mti huu Tanga tunauita kivunja hukumu mm nakumbuka nlipokua mdogo nikisikia Leo madrasa kunabakora basi nlikùa nachuma maua yake nayanuilia nasema kivunja hukumu nakupenda nisaidie nisichapwe madrasa lile ua naliweka kwenye juzuu kweli nlikùa cichapwi hata nlikùa nikifanya ukorofi nyumban naenda kuchuma nanulia nisichapwe home nlikua sichapwi lkn kpindi hicho nlkua mdogo miaka10 muda mrefu cjauona Leo shehe umenikumbusha mbali
Shukran sheikh,,Allah akubariki kwa kushiriki Nasi elimu uliyokuwa nayo.
Masha Allah our beloved Sheikh, May Allah bless you & your family Ameen yarab🙏🙏🙏
Jazakallah kheir. Allah akueke
Maa sha Allah shukran sheikh wetu
Mashallah Allah bless you Sheikh Yussuf
Shehee sis ambae TUP mwanz tuna wez pateje uoo mutii tafathal msad
Shukran sheikh Allah akuhifadhi na akulinde akuzidishie afya
Nilitaka kujua dawa ya bawasili ni mti gani inshallah
Ninashida nduguzangu nataka nisaidiye kwanehema ya mungu 🙏
Mungu akupe kila lakher.
MASHAALLAH
Assalam alaykum, ahsante Kwa ukweli huu uliotueleza tulikua tunautumia tulipokua tukitKa tuondoshwe chuoni mapema tulimfanyia mwalim na tunaondoshwa,
Sheikh tunaomba utuoneshe picha vizuri
Asante
Kikao kikao kikao wanaume wote tukutane saa kumi tunasalitiwa huku na shekhe anatoa siri zakambi
Waalekum msalam warah matuAllah wabaraqat
Shee .naomba utuonyeshe daea ya sukali
Mashaallah subhanallah
Shukran mungu akueke
Assalam alaykum,,, sheikh Ahsante kwa kutupa elimu Allah akupe ujira wako lakini mimi ninae mtu namdai ila tuko mbali mbali yeye yupo Dar nafanyaje nimpigie simu then niwe nafikicha hivyo hivyo au nifanye vipi
Shehe tunaomba utufahamishe dawa za kuvuta wateja kwa wingi inshaallah
Asamde asande zaidi 🙏🙏🙏🙏💅
Da uwo mti nakumbuka tulifundishwa
mng akubariki
Mashaallah mm naujua kwa jina la mvuma nyuki pia ni dawa ya mapunye ukisugulia ua lake Mara kwa Mara yanapotea na nywele zinaota
Haunekani vizuri
Asalamu aleykum warahamatul lwahi wabarakatuh Ma'Shaa'Allah Jazakahlaulkhairàan sheikh 🙏😊
Naptaje shehe
Shekhe uoneshe vizur huo mti
Mashaalah
Maa shaa Allah
Asante shehe
Huo mti nilikua nikiutumia wakati nilipokua shule, Ususani pale nnapokua na keshi na mwalimu
INSHAALLAH
asante sana mahalim .na je kama wadai pesa kwa chama ama kwa kuzungushwa pesa kwa acounty yako kutotolewa saving je tufanyeje
MaashaAllah
Maashaa llah
Tutaupata vip 👏
Masha Allah ❤
Insha alaah
Nataka dawa ya kumufinga Muke wangu ASI ende inje ya ndowa
Salama anlaykm warahmatulilah
Wabarakatuh
Mashllah
Masha ALLAH
Asalam arykm. Shee. Mm nashubulowa na sukari
mimi nikija Tz lazima nikufate huko huko Zenji unipe ujuzi zaidi make kwetu wachawi wapo kibao
Nikweli bora tuchangie kwa faida tunayopata
Shukran
MashaAllah
Asalamu aleikum shekh, naswari chumya ni mti Gani? Au wasukuma wanaita magungulu, nipe sample yake siujui
Haipatikani huku uganda
Sheikh niko na mashilingi ya kichawi mauwa ya mvunja kesi yatanisaidia?
Naomba nisaidie kitu huku kwetu mbona amna mti huuuu
Hm
Na ukipata iyo misahafu uletewe wapi shekh
Mcheka na mwana
Kaka shkmoo naitaji hyo mtii Nita ipatajeh kka
Tanzania
Nauhitaji huu mti nitaupataje
👍👍👌👌🙏🙏
Nisaidie number plz niko na shinda haki
Namba yko ya sim tunaomba
Je kama udaoye tuko mbali ufanyaje Ili akulipe
🙏🙏
Shekhe,mchekanambingu ndio mpasuajabari?
A.alaikum.iyo misaafu lazima iwe yote kwa pmj au yoyote ulojaaliwa?
Waalykum salaam utojaaliwa
Samahan wengn uelewa wetu mdogo wapi ipelekwe
Ofisini kwetu piga izo namba apo
Shukran jaziila.allahumma baarik
Ayo n maua uku bara tena nililuwa nimeoteshaga nyumbn kwetu ila sasahivi haupo ulishapoteaaga miaka kama 6 hata mtaani hakuna kabisa tena ulikuwa unapatikana kanisanii
Dashif samahani ivi kuna dawa ya kusaidia kupata michezo ya kubahatisha?
Hatuna
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kubahatisha
Usicheze ndo dawa yake
Kaka hunavitabu
Shee usogeze uo mti hatuoni
Huu si unaitwa mvuma nyuki
Pemba unaitwa mvuma nyuki
Si unaona nyuki anavyo upenda apo
Nieleweshi kweli muvu ja kezi kwa nieleweshi please
Nakumbuka nalikua nikikosea mamu naenda kutunda majani yake namwanga mlangoni
Nivipi nipata humuti
Kaka tux
Cj-8
Mti huu Tanga tunauita kivunja hukumu mm nakumbuka nlipokua mdogo nikisikia Leo madrasa kunabakora basi nlikùa nachuma maua yake nayanuilia nasema kivunja hukumu nakupenda nisaidie nisichapwe madrasa lile ua naliweka kwenye juzuu kweli nlikùa cichapwi hata nlikùa nikifanya ukorofi nyumban naenda kuchuma nanulia nisichapwe home nlikua sichapwi lkn kpindi hicho nlkua mdogo miaka10 muda mrefu cjauona Leo shehe umenikumbusha mbali
Haha umenichekesha unafanya makosa kisha unaenda kwenye mti wako unachuma na kuomba
@@fatmamansour2369 🤣🤣🤣ehh nlikùa nauamin sana nlipokua mdogo sasa shehe amenikumbusha na amenipa elimu zaid sasa nmezid kuupenda
😀😀we noma
Haha ata yeye anayetufundisha uyo Kuna mti flani nap unavunja kesi akasema Kama ivyo mdrasa walikuwa wakichelewa wanaomba hawachapwi
Mchekewa uwo tulifundishwa ata Kama mtu alikununia atakuchekea
Upo sw sheikh wewe ni mkweli
Naupataje huo mti maana nahitaji
Mimi nataka dawa ya kumtoa mutu gerezani
Je mtu akiwa mbali inakuwaje
?? Mtope tope upi mtope poli au ule unaepandwa majumbani
Ukitaka fufukuza mtu mweny kukusumbuwa haripi kodi viri ni musumbufu utafanya vipi
Zoom tuone ulivyo
Pls tupatie number yako ya what's up
Mashallah
Mashaallah
mashaallah
Tanzania
Tanzania
Tanzania
J'ai un problèmes,je demande par la grâce et l'amour que Dieu t'a donné, aide moi à trouver la bonne solution pour bien nous encourager à assister.🙏
kama mtu simpati kwa simu sheikh yussufu na namdai