Masha Allah Sheikh you’re Gifted by Almighty Allah by knowing so much roots,plants etc Honestly we learn a lot through this lecture regarding natural medicine and our society, community must pay attention and use them, we hope to see you again sheikh for another amazing lecture,
Kwa magonjwa sugu kama vile UKIMW , sicke cell , saratani I kwanza unatakiwa umche mungu alafu Kisha ukubaliane na Hadith ya mtume kwamba habbat soda inatibu magonjwa yote isipokuwa kifo BiidhiniAllah lakini unatakiwa utambue vile vile ili habbat soda ifanye kazi haswa haswa ni kheri utumie dawa na habbat soda au hata dawa nyengine asilia kama asali mbichi na nakadhalika kwa pamoja achana na dawa za mfumo sumu za hospital sisi watafiti tumegundua dawa mpya ya kisasa ya mfumo wa Gene Therapy ambayo ni maboresho ya dawa za kisasa ambazo zinachukuliwa vitu asilia tuh na hazina madhara yoyote hizi dawa ni tafiti za madaktari tumefanya kwa miaka 25 Ni dawa ambayo tafiti imefanywa kwenye Qur'an pia . Ni dawa ambayo inaendana na mfumo wa seli wa mwili wa binaadam kwa maelezo na mafunzo yetu tembelea page zetu Katika mitandao ya kijamii LinkedIn, Facebook , Twitter , Instagram Jina " Nehemiah II intermolecular Health Drugs LTD " hii dawa inatibu Ukimwi , cancer za stage ya mwanzo mwanzo, magonjwa ya uzazi , homa ya ini , presha , kisukari na magonjwa kadha wa kadha ila Cha muhimu lazima ujue sisi ni kina na Nani ? Alafu ukubali kumcha Mwenyezi mungu bila kukubali hatutibii ? Alafu Cha tatu weka yakini kwamba Allah atakuponesha hizi zengine Ni kutafuta sababu tuh Ahsante Sana au Kama una maswali piga simu number 0694027242
Asante Sana sheikh , na chukuru Sana mwenyezi mungu alie kuumba kwaku saidia watu wengi ndaniyani , mafuzoyako ina nipa akilisana nakuni saidia Sana , thank you so very much CHEIKH YUSSUF 🙏🙏🙏🙏
Waalakum salam warahmattullah wabarakatu shekhe shukran lakini ningependelea ukitka kuelezea miti bora utuonyeshe na picha ya mti tuuone wengine hatujui miti mingine
Mbona hutowi aya? Ukuhanibwana na usufi utasumbuasana umat wakislam kutumia majini nauganga kuliko kuifundishadini hamuwezi kutameliwatutu tumishagawabain
Kumbe Leo Jumatano kitakuepo hiki kipindi Kwa hiyo mtangazaji nakuomba Leo umuulize shekhe kivumbasi Mtule na Mrehani unatibu mambo YA uzazi Kwa Sisi wanawake?
Mashaa Allah shukran Jazaka Allah Khery
Mashallah nawapata nikiwa Zimbabwe, japo sija jaribu lakini ninawapongeza saana kwa kudra aliyo wapa mwenyezi Mungu.
Asantee shekhe yussuphu❤❤❤🎉🎉
Hadanfanyi nikwelu elimu yaa miti ni nzuri❤❤🎉🎉
Masha Allah Sheikh you’re Gifted by Almighty Allah by knowing so much roots,plants etc Honestly we learn a lot through this lecture regarding natural medicine and our society, community must pay attention and use them, we hope to see you again sheikh for another amazing lecture,
True
shekh inaama kivumbasi bila kuomba kwa dini ya kislam sitopona mm mkristo niomba kwa imank hu sitopona
Shekhe unatuchosha zungumza kwa kifupi
Kwa magonjwa sugu kama vile UKIMW , sicke cell , saratani I kwanza unatakiwa umche mungu alafu Kisha ukubaliane na Hadith ya mtume kwamba habbat soda inatibu magonjwa yote isipokuwa kifo BiidhiniAllah lakini unatakiwa utambue vile vile ili habbat soda ifanye kazi haswa haswa ni kheri utumie dawa na habbat soda au hata dawa nyengine asilia kama asali mbichi na nakadhalika kwa pamoja achana na dawa za mfumo sumu za hospital sisi watafiti tumegundua dawa mpya ya kisasa ya mfumo wa Gene Therapy ambayo ni maboresho ya dawa za kisasa ambazo zinachukuliwa vitu asilia tuh na hazina madhara yoyote hizi dawa ni tafiti za madaktari tumefanya kwa miaka 25 Ni dawa ambayo tafiti imefanywa kwenye Qur'an pia . Ni dawa ambayo inaendana na mfumo wa seli wa mwili wa binaadam kwa maelezo na mafunzo yetu tembelea page zetu Katika mitandao ya kijamii LinkedIn, Facebook , Twitter , Instagram
Jina " Nehemiah II intermolecular Health Drugs LTD " hii dawa inatibu Ukimwi , cancer za stage ya mwanzo mwanzo, magonjwa ya uzazi , homa ya ini , presha , kisukari na magonjwa kadha wa kadha ila Cha muhimu lazima ujue sisi ni kina na Nani ?
Alafu ukubali kumcha Mwenyezi mungu bila kukubali hatutibii ?
Alafu Cha tatu weka yakini kwamba Allah atakuponesha hizi zengine Ni kutafuta sababu tuh
Ahsante Sana au Kama una maswali piga simu number
0694027242
3:21
Aslm alkm ww... Masha Allah. Allah awajaalie kheir na barka Kwa ajili ya usaidizi wenu. Jazakallah kheir 🙏
Muwe mnatuambia lini huyu sheikh anakuwa na kipindi chake, ni sheikh mwenye elimu iliyojichimbia mizizi, anavyochambua mashallah.
Kipindi hiki kipo kila siku za jumatano muda kama huu wa leo.. Ratiba kamili inakuja soon..
@@Zinjibartvzanzibar w
Vizuri sana kwa elimu yenu
Nalikubali hili kupitia experience sheik Allah akupe afya njema na miti hii iwe yenye kututibu kw kila maradhi insha'Allah
sheikh ally tuyko pamoja NDANI ya jiji la mwanza maashallah alaah akjaalie
Jazaka llah kheir shekh mkunde pori umenisaidia sana tumbo la uzazi
Asalam Alaykum warah'matu llah wa barakatuh sheikh yusufu bin aly
Nakupata vyiema nikiwiwa Nairobi Kenya asante Sana kwa mafunzo mazuli shehe
Alhandullah MA sheikh
Allah akulipe shekhe
Asante Sana sheikh , na chukuru Sana mwenyezi mungu alie kuumba kwaku saidia watu wengi ndaniyani , mafuzoyako ina nipa akilisana nakuni saidia Sana , thank you so very much CHEIKH YUSSUF 🙏🙏🙏🙏
Assalam alykum,,shekh yusuf naamini dawa zako nashukuru Allah akufungulie zaidi❤
Masha Allah barakallah fikum Sheikh Yusuf
Shukran shehe wetu Allha akulinde
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Shukran jazakaallah kheir sheikh YUSUF . ALLAH AKULIPE kila la lheir
Mashallah ya shekh Allah akupushe na maadui
Assalam aleykum warahma tullah wabarakatu sheikh.
Sheikh mie nashida tiba ya ukungu machoni au mtot mtoto wa jicho tafadhali
Shekh yussuf samahani nilikuwa na maoni ya kwamba mngetuoneshaga maana wengine sio wajuzi sana wa miti
Shukran sana munguakubariki nanitafuatilia vipindivako inshaalla
Maula akubariki sheikh Kwa elimu Yako kuu ya dawa asili imetusaidia sana
Samahan Sheikh naomba msaada mtoto wangu anawa napumu
Mashaallah Allah akubarik uzidi kutusaidia 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼Ameen
Ma shaa Allah. Barakallahu fykum
Asantee sana shehe
baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako nakusikiliza
Congratulations
Mm napata maumivu kiunoni dawa gani nitumie?
Namba za cm
Mashallah allah akuwekeee uzidi kusadia wenyee matatizo
Waalakum salam warahmattullah wabarakatu shekhe shukran lakini ningependelea ukitka kuelezea miti bora utuonyeshe na picha ya mti tuuone wengine hatujui miti mingine
Shukran tumefaida
Thanks for your good work
Katika biashara unaweza kuutumiaje
Shukran sana mwalimu
Maswala yauzazi..inatibu
Yes
Assalam alaykum
Sahani sheck naomba namba yaoko
Unapatikana wapi
Mashaalha
Mtule ni mti gani,anejua anijuze tafadhal asaalam aleikum
Masha Allah shekhe unachambua uzurii saana
NA nimefaham na Huku kwetu kivumbasi mrehani na Mtule IPO Mingi Sana na tunaitumia kuwaogeshea watoto
] nisawa
watotot unamwogeshaje shee wangu
Naomba namba ya shehe
Yusuf naomba unitafutie soko ya hii mti kivumbazi hapa kwetu ni mwingi kabisa pia mdulele ni nyingi kabisa 🙏
Matumiz
Assalam alaykum vp kwa mtu mwenye kuharibi mimba inatibu
Kweli mfano wa picha ni vizuri kabisa
Mashaallah
Kwelii ujakoseya ipo MashaAllah
Jazakah allah kheiran
Tunaomba matumizi ya kifumbazi na matumizi
Asalammwalkum warahmatulah wabarakatuh tunaomba mutuonyeshe nao ili tuwuone
Asalam Aleykum nataraji wazima naomba number ya
Asante sana kwa mafunzo mimi nina shida ya kushindwa kupumua wakati wa baridi tu kukiwaka jua niko sawa naweza fanyaaje
tuko pamoja san
Hiyo kiti anamanisha nini?
Unaitwaje kwa kingereza huuu mti please
Sheikh naweza kupata wapi hapa Kenya nrb pls 🙏
Tunaomba atuelezee matumizi
U barikiwe sana.sheikh.yusufu
Assalamu aleikum shekhe mm nataka aniambie dawa ya arthritis watumia dawa gani
Uko vzr tuko pamoja
Nasmbuliwa na diski yaani mifupa kwenye UTI wa mgongo
shehee mungu azidi kukupa umli mlefu
Naomb number ya shekhe
Naomba kuona picha ya mti wa mrehani tafadhari
Vzr
Shukran
Huwoneswe miti
Barakallahu fik
Mm nnadada yangu kizuka yy anasema anaujauzito lkni akenda sipitali wanamwambia Hama me akitumia daw hii itamsaidia naomba msaada wako shekh nijibu pia kwan hashikik kwa lolote lile nipefatwa. Asalamu alaikum.
Anamiba lkni sipitali anambiwa hana
Mashaallwah
Nipo burundi
Nahitaji namba
Mashallah niko Kenya nafatilia sana tiba yako Allah akuzidishie kwa mafundisho yako
Mashaaallah
Xhekhe mtule upoje
Alhamdulillah
Naomba nambo ya shekhe
Taifodi ni homa ya matumbo na homa kali ya kubanwa pumzi na kichomi hiyo ni homa ya nemonia.
Namsahihisha Sheikh
Kipndi Kiko vizri nakupnda San mungu akupni kuvu mzdi kutuelimisha
Shukuran shekh ila naomba kujuwa huu mti wa kivumbasi jee kwa sisi tunawo tafuta watoto tukiutumia tutapata mimba
@@salumkhamis305 tumia mkude Pori mungu akujarie 🙏
Mbona hutowi aya? Ukuhanibwana na usufi utasumbuasana umat wakislam kutumia majini nauganga kuliko kuifundishadini hamuwezi kutameliwatutu tumishagawabain
Barakaallahu fiiyk yaa Akhy
Sisi kwetu songea kibao mpk uwanjan sema nilikuwa sijui
shehee
Unapatikana wap ostazi?
Ya, kichwa kinatibu najuwa hilo Kuna bint alikuwa anaumwa kichwa nikawa namwambia aoge hadi akaipenda alisema kilimsaidia pia mama alikuwa anatumia
Ya kinatibu kupimwa shida halafu yapo majan ya pumu Mazur unachanganya na ndimu inaponya
Tyfod nasikia hata vitunguu swaumu kinatibu
Halafu wanatumia, siku 21 hata Kuna shehe alisema siku 21
Ndio Kuna presha ya uchawi nilikuwa, nayo hiyo halafu Kuna mchungaj alituombea ikaawa imeacha
Ndio vitunguu swaumu wanatumia. Je kama ya, kushuka
Majani ya mrehani yakoje Mimi siyajui
Assalaam Alaykum, Sheikh naomba kufahamishwa kidogo, Nafikiri Typhoid ni homa ya mapavu au tumbo?
Homa yatumbo tuu sio pafu
Vizuri
Mashallah
Mashallah
asalaam alaykum shekh naomba kufahamishwa mti wa mtuli ukoje siufaham naomba tuonyeshe picha yake
Kimejaa kama icho kivumbasi Ivo Ivo Ila mtule majani yake ni makubwa kidogo kuliko kivumbasi
Kivumbasi kipi kile kinacho toa vitunda au kale kenye harufu kali? Nijibu
Shekhe yusufuu
Mrehani siujui
Jina lingine ni basilicum
Shukraan sana
Mimi ninashida sana yatumbo
Sasa kivumbazi tutafahamu je mahana kunamahali kivumbazi amna inchi zengine
@@kitomarianne6901 DAR ES SALAAM IPO. NILIWAHI KUIONA KITUNDA RELINI
@@jumantakebuka mu englais inaitwa jina gani basi
Tuonyeshe hiyo miti shehe
Sawayachango kwa mtoto
Deveria mostrar a planta porque o nome e dificil
Kumbe Leo Jumatano kitakuepo hiki kipindi Kwa hiyo mtangazaji nakuomba Leo umuulize shekhe kivumbasi Mtule na Mrehani unatibu mambo YA uzazi Kwa Sisi wanawake?
Asante sana