Asante sana shekh doctor kwa kutupa dawa nzuri sisi Watoto wa kike, Mungu akubariki,akupe ujuzi zaidi, na akupe maisha marefu yenye neema na baraka tele.
Nashukuru sana,Sheikh Kwa funzo lako muhimu.Hivi,tayari mm niliwekwa "Coil," kwa kweli nimekonda nayo sana.Mpaka,najionea huruma Doctor nikitembea.Infact,kabla niwekwe hilo niliwekwa "Implant," nikateseka nalo miaka 5 Damu ikinitoka c mchana c usiku,Hadi nikaamua hilo.Naweza tolewa,kisha nifuate method Yako,Doc?
Wallah, hii dini ina kila kitu ila tulopata bahati ya kuwa ndani yake hatutumii ipasavyo, yote tisa the last Shekh sule Allah akutie nguvu na afya maana uwepo wako ni faida kwa umma🙏🏽
Asante shekhe wangu kwa elimu hii nzuri,ninaswali dogo tu,je ninaweza kuchimbia ardhini?kwa maana kopo la plastic haliwezi kuoza kwa haraka kwa usalama zaidi
hongera sana I wish ningekusikiza kitambo kwa sasa tumbo langu lina shida mingi sana but nmeshukuru kwaujumbe wako wenye wanakuja nyuma wasije kutumbukia kwenye shimo la magonjwa
Shekhe allah akulipe wallah umetuokoa wanawake weng ila kwazoote nimeielewa ya kopo hy naiweza lakin hizo nyingne kwa mwanaume wangu mm nitabeba mimba mapemaaaa
Dr Sule anatumia mafumbo sana ili kuficha ukali wa maneno haswa kwa vijana ila kwa watu wazima wasiofahamu maana ya kona ya Bwiru au airport huyo anakichwa kizito kweliiii
Hi njia ya kopo niyauhakika hata mm nilishaambia ila utofauti ni kwamba unalinenea maneno kabla ya kufunga kopo lako unakaa mda gan ndo ufungue ili ubebe mimba na kama hutak kubeba pia unalinenea hivyo hivyo kuwa makini na ulipoliweka sehemu salama zaidi lichimbie chini ya ardhi
Ungekua unaeleza Kwa Kila njia inafanyaje kazi ukihusisha na vichocheo vya mwili ningekuelewa shekh...Kwasabab hata njia za kisasa umezikataa Kwa kuzielezea znavyo fanya kaz
Sasa daktari.nikifungua kopo Ile pendi naruhusiwa kuitupa au inabaki humohumo au inakuwaje Sasa na jee baada ya kubeba mimba Tena Hilo kopo naendelea kulitunza au hata nikilitupa Haina shida?
Shukran Shekh wetu Allah akutimizie kila hitaji la moyo 🤲
Asante sana shekh doctor kwa kutupa dawa nzuri sisi Watoto wa kike,
Mungu akubariki,akupe ujuzi zaidi, na akupe maisha marefu yenye neema na baraka tele.
MashaaAllah shukran dungu Ameen thummah Ameen
Shukran doctor kwa advice zko lakn hilo kopo halitatoa wadudu Kama mabuu kwa sababu y hio pad uloiweka
Allah akuhifadhi sheikh wetu hakika leo nimepata faida allah akbar
Jazakallah kheir Sheikh nmefaidi, Allah akubariki uzidi kutuelimisha.
Asante nitawafunza wajukuu kwn nimeshavuka salama mm. Barikiwa sana
Thank you so much jazakaallah kheri Doctor
Shukran dokta sule
Allah uhakibaru
Yaan Ameongea vyema jaman.. Mungu AENDELEE kukutunza Dr..🙌🙌🙏🙏 na Shekhe🎉🎉
Da nilikua sijui kidogo nimwambie mkewangu achomesasa nimejifunza mungu awaongoze mashee wangu
Asante sheikh Allah akulipe kheri nabaraka
Salaam alaikum warahamatililahi wabarakatuhu jazakallau kheira 🤲
Barakallahu fiika wajazakallah kheri
Napambana kujifunza
Thanks so much 🙏 💓 ☺️ 💗
Wooow big up sheikh,,mola akuzidishiye
Mwenyez mungu akubarik sana
Mashaalah shukran Allah akup umr mref❤
Ay
Umenifurahisha shekh nimependa dawa zako
Nashukuru sana,Sheikh Kwa funzo lako muhimu.Hivi,tayari mm niliwekwa "Coil," kwa kweli nimekonda nayo sana.Mpaka,najionea huruma Doctor nikitembea.Infact,kabla niwekwe hilo niliwekwa "Implant," nikateseka nalo miaka 5 Damu ikinitoka c mchana c usiku,Hadi nikaamua hilo.Naweza tolewa,kisha nifuate method Yako,Doc?
Masha Allha dalasa zuli shukran Allha akuzidishie Elim daima
Jivu nìkinywa lina tumikä sku nģap
Asante. barikiwa. Sana 🎉
Allah akulipe shekh Leo duniani mpka kesho akhera
Mashallah.. Asante sana kwa somo sheikh
Asanteh babaa nimependaaa mafundisho yako
Asanteee Kwa Somo doctor
Mashallah nashkuru shehe Mana nalea nilikuwa nawaza kwenda kuweka uzazi wampango siendi Tena Allah atakulipa
Asante sana Dr.sule
Shukrani sana
Wallah, hii dini ina kila kitu ila tulopata bahati ya kuwa ndani yake hatutumii ipasavyo, yote tisa the last Shekh sule Allah akutie nguvu na afya maana uwepo wako ni faida kwa umma🙏🏽
Hii njia ya kuweka ped kwenye kopo inafanya kazi kweli kama kuna anae tumia anijibu jmniiii
Ni kwel shog mm natumia
@@asmamshihiliKwahiyo Mimi nikukutana tuh na Mwenza Wang ??Naomba kujua Au na fatilia kalenda piah?
Ito.ya mwiko sijaielewa
Shukran jazzakallah khairan
shukran sana
Asanteni sana shekhek Kwa darassa ili🙏🙏🙏
Asante kwa mafundisho yako shehe
Hiyo ya kufunga nimeipendaaaa shekhe ❤❤❤
Barikiwa sana Shekhe.....
mashallah mungu akujalie
Mwenyezi Mungu akuongezee
Asante sana kwa mafundisho
Thanks
Subhanaullah watu wafundishwa ushirikina Huku wanafurahia innalilahi wainna ilaihi rajiuni
Akili yako wanaijuwa wazaz wako wenyewe😅
Asante.saana.sheihk.alla.akupe.maisha.malefu.saana.sina.cakukushukuru.kwamafunzo.yako.kwa.sababu.niko.mbali.cenye.ntafanya.nukukuombeya.duwaa.mi.ni.murundi.nashukur.sana.kwamafunzo.yako.kwasababu.izodawa.zirisha.nufanyia.bitu.vibay.katik.mwiri.wangu.asant.saana😢
Iyo yakopo nimeipenda 🙏
Ya kopo nilitumia na nikapata mimba jamani haki
Niliweka jamani ya kopo ila mimba nilibeba
@@user-ix3qg1on8jlabda mume wako aliichungulia
These ways are good
Asante shekhe wangu kwa elimu hii nzuri,ninaswali dogo tu,je ninaweza kuchimbia ardhini?kwa maana kopo la plastic haliwezi kuoza kwa haraka kwa usalama zaidi
hongera sana I wish ningekusikiza kitambo kwa sasa tumbo langu lina shida mingi sana but nmeshukuru kwaujumbe wako wenye wanakuja nyuma wasije kutumbukia kwenye shimo la magonjwa
Asant sana shehee nimejifunza
Mungu akulipe baba yangu
Ubarikiwe sanaa
asante sana doctor ❤
Asane dakitari❤❤❤ unafundisha vizuri
Shekhe allah akulipe wallah umetuokoa wanawake weng ila kwazoote nimeielewa ya kopo hy naiweza lakin hizo nyingne kwa mwanaume wangu mm nitabeba mimba mapemaaaa
Shukran sana''lkn maon yangu ni kwamba,, naomba utunge kitabu kwa ajil yetu khs kupanga uzaz tuwe twasoma na kujikumbusha(uwe watuuzia)
Safiiiiii shekhe nimeipenda hiyo ya kufungaaaa🎉🎉🎉
Umejarbu hiyo ya kufunga ikakubali
Wow yan umewezaa sana ❤❤❤❤
Shukran Sana Dr sule baarakallah na je Hilo kopo likifenuliwa n mtu yyte utavuja milele n je hakuna dawa yake???
Likichukuliwa na mwanga uta vuja mile lakini mtu wA kawaida uta shikamimba tu hauvuji kitu
Dr Sule anatumia mafumbo sana ili kuficha ukali wa maneno haswa kwa vijana ila kwa watu wazima wasiofahamu maana ya kona ya Bwiru au airport huyo anakichwa kizito kweliiii
Marvelous Dr. Sule!!!
❤❤❤
God bless you ❤❤❤
Hapo nimekuelewa shehe wangu ❤❤❤
Marshall ah hamudulilai
Asantee saaanaaa
Asante sana jamani mm hapa njia zote za hosipitali zilisha goma
Ubarikiwe sana
Wow asate ❤❤❤❤❤
Wew ulichunguliy mbon mimi nimekiwek na miak mitatu sasa tok nimekiwek inatengemea wew umeelewaj kipenz mam
Asante Sana sheikh
Iyo nimesha iyonakufunga kopo kuna mmamã mpakaleo Anzai tena kwasasabu ukuina te
Shukra kwa Elim hiyo JAZAKAAĹLAH
👏👏👏👏 ❤❤🎉🎉 good work.
Let's wait
Asante huunimsa mkubwa wadawa hasa kwa dunia yetu yasaivi na vizazi vetu inatuseidia kujipanga na ulezi
Ahsante sana sheikh Kwa kutufumbua macho
Barka allah
Asate sana kaka ❤❤❤
Haki sikuwa najuwa haya lkn thanks God nimepata funzo hapa.
Hiyo niukweli shehe ❤❤👍👍
🙏
Je kopo ukilifunga likapotea itakuwaje
Hi njia ya kopo niyauhakika hata mm nilishaambia ila utofauti ni kwamba unalinenea maneno kabla ya kufunga kopo lako unakaa mda gan ndo ufungue ili ubebe mimba na kama hutak kubeba pia unalinenea hivyo hivyo kuwa makini na ulipoliweka sehemu salama zaidi lichimbie chini ya ardhi
i nilifanya ivyo na nibeba
Wapi Nilikosea?
Nimeipenda hiyo ya kopo
Kam nikienda kuangalia bila kukifungua hiko kikop naweza kupata mimba
Masha Allah 😊😊😊Na watu wampenda iyo ya kopo😂😂😂😂😂😂😂😂
Haina garama 😅
Kweli inafanya kazi??
Hii. Njia. Ya. Kopo. Nimeitumia. Nikweli. Khakika😅
Sure?
Mambo
Congratulations Dr. ❤❤❤❤ nimeshangaaa.
A 🙏🙌🙏
Yani noma sana wacha nigoje mwezi uadame nmalizane naomm😂😂
NA IYO KOPO KAMA NI KWELI BASI WATU WANGEACHA NJIA ZOTE WAKATUMIA IYO.
Sante sana
Ungekua unaeleza Kwa Kila njia inafanyaje kazi ukihusisha na vichocheo vya mwili ningekuelewa shekh...Kwasabab hata njia za kisasa umezikataa Kwa kuzielezea znavyo fanya kaz
Huko kunaitwa kujifanya ujuaji km uko Dunia hii na una uwezo WA kuhoji kiasi HICHO huwezi kukosa KUJUA kilichoelezwa hata KABLA sule kueleza
Naomba kuuliza hata kama umezaa je ukifunika kopo inasaidia
Ya kopo iyo safiiiiiiii
Iv unaweza weka hata nguo ya ndan ikitokea hujaweka pedi
Anasena kuivaa ibyobijiti katika blid iyo blid sikuerewa nikipindiganiicoo unaco valiaa kwenyekiuno ?
Nikifunga ilo kopo naendelea kuona mwezi?
waiting
Yan leo nimepat fundish mung akubaliki
Hapo kwenye kufunga kwenye kopo wakina mama mpk wamepiga makofi😅😅😅
Hapo kwenye kuhifadh kwenye kopo upate mume muelewa mwngn anaweza akakta akasema niuchawi
@@fatumasirakwi3700I
Kabisa
Kwasababu nirahisi labda
Ngoja nikajaribu na mimi
Wenye wanatumia kopo na ina work,pitieni hapa nijue kaa ni ukweli.
Hey usijari dear?
Sasa daktari.nikifungua kopo Ile pendi naruhusiwa kuitupa au inabaki humohumo au inakuwaje Sasa na jee baada ya kubeba mimba Tena Hilo kopo naendelea kulitunza au hata nikilitupa Haina shida?
Mungu wangu unatakiwa uliifiche sehemu y usalama mtu yoyote asilifunue ad utakapotaka kuzaa ndo ufungue