Kama watu wengi wangekua wanafuatilia mafundisho ya huyu baba kama/kuliko yale yanayo sisimua na kuchekesha nina imani wengi sana tungepiga hatua kubwa sana kimaisha na kiroho kwa ujumla. Ahsante baba, Mungu azidi kukutumia. Ubarikiwe.!
ASANTE BABA MCHUNGAJI BINAFSI NAJIVUNIWE WEWE UMENISAIDIA SANA HASA ULIPOTUHUDUMIA PALE KKOO. NINAO USHUHUDA WA MAMBO ULIYOFUNDISHA NIKAJIFUNGA MKANDA NA SASA NASEMA YESU NI EBENEZER. UBARIKIWE SANA BABA YAANI ULIPO SEMA NIWE NA VIATU AMA NISIWE NAVYO SAFARI INAPIGWA TU.
Hili somo ni zuri sana,limeniokoA sana,Sasa ninaelekea viwango vingine
Nakushukuru kwa kunifunza kitu hapo.time limit..
Ameen
Kama watu wengi wangekua wanafuatilia mafundisho ya huyu baba kama/kuliko yale yanayo sisimua na
kuchekesha nina imani wengi sana tungepiga hatua kubwa sana kimaisha na kiroho kwa ujumla. Ahsante baba, Mungu azidi kukutumia. Ubarikiwe.!
ASANTE BABA MCHUNGAJI BINAFSI NAJIVUNIWE WEWE UMENISAIDIA SANA HASA ULIPOTUHUDUMIA PALE KKOO. NINAO USHUHUDA WA MAMBO ULIYOFUNDISHA NIKAJIFUNGA MKANDA NA SASA NASEMA YESU NI EBENEZER. UBARIKIWE SANA BABA YAANI ULIPO SEMA NIWE NA VIATU AMA NISIWE NAVYO SAFARI INAPIGWA TU.
Ninakushukuru Mch. E. Kimaro kwa somo hili la kazi na muda. Nina mwezi mmoja sasa nimehamia nyumba yangu nzuri, Mungu akubariki sana.
Amen Asante Sana Mtumishi Barikiwa Kwa Ujumbe Wa Neon La Bwana
Amina mtumishi hayo yote Ni kweli
Namkubali sana pastor
Amen mtumishiii
Mtumishi tunapanga mipango ila hela ndio inakosekana na uzbe sina nifanyeje.
Sema. Baba. Tupone
Mungu nisaidie niweze kufkia malengo na kupanga malengo. Kwa kutumia tia asant mch kwa neno na mungu akubariki.
AMINA BARIKIWA MCHUNGAJI....
Nitatimiza malengo yangu kwa neema ya MUNGU Amina.
Amen
Amina bb
.