REV ELIONA KIMARO - JITAFUTE MPAKA UJIPATE (OFFICIAL VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2019
- Mahubiri, Preaching, Eliona Kimaro, KKKT, KKKT Kariokoo, KKKT Kijitonyama, Messages, kkkt, eliona kimaro, daniel mgogo, mch eliona kimaro, rev eliona kimaro, mch daniel mgogo, sermons, teaching, preaching, kkkt kariokoo, kkkt kijitonyama, tanzania, bongo, ujumbe, neno, personal growth, lutheran church
- บันเทิง
Amina 🙏.
Ee mungu ni zaidia nijitafute hadi nijipate
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Nimebarikiwa na neno mtumishi Mungu akutunze 🙏
Mungu wa mbinguni akubariki sanaaaa mch na akuinue Kwa viwango vya juu zaidi
Mimi ni WA malakalaka na madoadoa napokea kwa jina la yesu.
Asante Sana Bishop kwa mafundsho umenijenga Sana mungu Akubriki
Amen
Mungu niongoze kufanya mambo makubwa
Hakika mungu akubari mchungaji
Asante sana kwa somo hii. Nimenigusa sana mungu nisaidie nijipate najitafuta sitachoka kijitafuta hadi nijipate, from Qatar.
Mimi ni wa marakaraka na madoadoa
Punguzeni matangazo yanatutoa nje ya ibada
Najitafuta paka nijipate mungu nitagulia
Amen
Eee mungu bariki watoto wangu kama yakobo
Amina mtumishi
Hallelujah
Mungu atupe watoto kama yakobo
Natamani uwe askofu mkuu
Amen Amen
Ameen
😁🙏😘👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mshangilieni bwana kwa makofi na vigelegele vya shangwe. Hallelujah. Mungu azidi kukubariki for saving lives of so many people. You are a blessing to the world. Glory to God. From🇺🇸
Amen
Amina mtumishi
Amen
Amen
Amen