Mh. Bashe kwa kuwa upo kwenye kusema ukweli kutetea haki zipatikane kwa wanaostahiki kutetea wanyonge Allah akusimamie akuhifadhi akujaalie elimu busara hekma na ujasiri
Huyu Mh Bashe is hard worker jamani abarikiwe sana hes intelligent wise and genuinely PAN AFRICANiST...Africa we badly need these heros i believe he can be even be a President !!!
Hongera sana sana sana Mhe Bashe wewe Simba kabisa you know how to Handle Tapelis so keep it up Help the Poor Hardworking Farmers. Hongera sana kwako na RC songwe. God bless you Always..
❤Mashaa allaah Mashaa Allah wallah nakupenda sn kwaajili ya aallah uko sawa n unaumakin sn ktk wizara yko allah akuongoze n akunusuru n hasad inshaallaah
Watu wanaosimama kusema umweli vita yao huwa ni kubwa sana nakuombea sana Mungu akulinde na kila visasi juu yako kwa haya uliyosema wakisikia lazima watapanga vita na ww ndio maana nasema Mungu akulinde sana mh waziri bashe nchi hii Inamuhitaji sana Mungu watu hawana huruma kbs wamekuwa walafi kupindukia utadhani wataishi milele hapa
Mpina umuwezi bashee maan bashe anakipaji marais wote wamemchagua kuwa wazir ww mpina ujachaguliws vipindi vyote jiulize bashe anajibu kw points technically at siss tusiosoma anaeleweka muda kiasi akuna tenda msimu yupo technically sana sana namtabiria wazir mkuu ajaw bashe anajua kujibu ni kipaji sana basheee
MashaAllah, Allah akusimanie kwakweli wakulima tunaumia mm nimeanza kilimo mh bashe kaza hivyo hivyo wacha wapige miruzi hawalijui wafanyalo nikweli wanataka kukuchafua Allah atakuengua kwa hassada zao hawata kupaka matope hao waongo pambana Bashe msaidie mama samia huna baya wache na laana zao pambana Allah atakunusuru kwa kila mabaya yao wataadhirika hao.
Sasa brother Husen Bashe kwanini tusikuombee kwa Mungu maisha yako iwe njema! Trust me Mungu kasha sikia hiisauti yangu kitoka ndani ya moyo wangu naye Babayangu wa mbinguni atakubariki sawa sawa na impendezavyo. Amen
Waziri Bashe Yesu wangu akulinde dhidi ya wasiopnda kuambiwa ukweli.Hakika wewe ni shujaa usiogope Mungu atakuwa upande wako atakulinda utokapo na uongiapo na ulalapo.
Ndg zangu watu kama Bashe wapo ingawa ni wachache,tatizo ni kwaba juhudi zao haziugwi mkono na mfumo utakuta wote walio usika ktk wizi huu wataendelea kupeta tu! Mwisho wasiku Bashe atapigwa chini atawekwe mwana siasa fulani kama Nape tutarudi kulekule.
Kwa nchi hii, hayo ni ya kawaida jamani. Hiyo ifanywe kwa wizara zote mtaona mengi Sana. Watanzania wa hali ya chini tunateseka sana kwa mambo mengi mno.
Kwani ni DHAMBI kwa kila mwenye MADARAKA kuwa MUADILIFU? Hizi ni zama za viongozi kujitathmini wenyewe kabla ya kutathiminiwa na RAIAA. Minister Bashe go go goooo, "IF GOD BE WITH YOU, NONE CAN BE AGAINST YOU my brother.
Mh. Bashe kwa kuwa upo kwenye kusema ukweli kutetea haki zipatikane kwa wanaostahiki kutetea wanyonge Allah akusimamie akuhifadhi akujaalie elimu busara hekma na ujasiri
Aamiiiin.
Waziri Bashe na waziri Silaa nawakubali sana. Allah awahifadhi na walinde na kila shari.
Mwenyezi Mungu akulinde Mh BASHE . Iendelee kuwapigania Wakulima wa TZ.
Bashe you are the outstanding Minister and you deserve more
Asante sana Mhe. Rais Samia, kuona hiki kichwa na kumpa full minister.Bashe is very Intelligent.I like him
Huyu Mh Bashe is hard worker jamani abarikiwe sana hes intelligent wise and genuinely PAN AFRICANiST...Africa we badly need these heros i believe he can be even be a President !!!
I appreciate him very well....he is presidential material too
Kwakweli wewe Bashe,slaa Allah awalinde kwa hassada zao wanao taka kuwachafua mnaweza na mtaweza zaid hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke inshaAllah
mungu akusimamie kwa kazi nzuri waziri bashe uwazi ndio maendeleo ya taifa
Bashe Ubarikiwe sana wewe Kijana Mungu akutunze.
Hongera Mr Bashe wafungwe jela maisha hao hawafai
Hongera sana sana sana Mhe Bashe wewe Simba kabisa you know how to Handle Tapelis so keep it up Help the Poor Hardworking Farmers. Hongera sana kwako na RC songwe. God bless you Always..
Nakuelewa ktk kupambana na haki mungu akuongoze ktk kusimama na Tanzania
Brilliant minister 👏
Una sifa zote za Uwaziri brother
Zaidi ya uwaziri 🤲
BASHE MUNGU BABA AKUPE UHAIIIII MREFUUUUI
NAKUPENDAGA SAAANA 💕
Safi kbx bashe!!tunahtaji viongoz kama wew!!
Very excellent, Mwenyezi Mungu akulinde
Mungu ni mwema kazi nzuri waziri bashe siku zote msema kweli hapendwi
❤Mashaa allaah Mashaa Allah wallah nakupenda sn kwaajili ya aallah uko sawa n unaumakin sn ktk wizara yko allah akuongoze n akunusuru n hasad inshaallaah
Watu wanaosimama kusema umweli vita yao huwa ni kubwa sana nakuombea sana Mungu akulinde na kila visasi juu yako kwa haya uliyosema wakisikia lazima watapanga vita na ww ndio maana nasema Mungu akulinde sana mh waziri bashe nchi hii Inamuhitaji sana Mungu watu hawana huruma kbs wamekuwa walafi kupindukia utadhani wataishi milele hapa
Mpina umuwezi bashee maan bashe anakipaji marais wote wamemchagua kuwa wazir ww mpina ujachaguliws vipindi vyote jiulize bashe anajibu kw points technically at siss tusiosoma anaeleweka muda kiasi akuna tenda msimu yupo technically sana sana namtabiria wazir mkuu ajaw bashe anajua kujibu ni kipaji sana basheee
Good Aku bless you my brother,s so uko na counvidence chukua ua yako 🌲🌲
Wanatupiga sana mkuu ata kwenye mbaazi..
MashaAllah, Allah akusimanie kwakweli wakulima tunaumia mm nimeanza kilimo mh bashe kaza hivyo hivyo wacha wapige miruzi hawalijui wafanyalo nikweli wanataka kukuchafua Allah atakuengua kwa hassada zao hawata kupaka matope hao waongo pambana Bashe msaidie mama samia huna baya wache na laana zao pambana Allah atakunusuru kwa kila mabaya yao wataadhirika hao.
Mh, Bashe mimi siku zote nasema Ushirika ndiyo chanzo cha umasikini katika Nchi hii
Kazi nzuri sana una kitu waziri bashe
Ufisadi tu,mko kuleana, nchi ni shamba la Bibi kweli,mama anakula nao mafisadi wenzake, RIP JPM
Safi sana mh waziri unjua na mungu akubariki endelea
Ila nimefikiria sana nikagundua kumbe tanzania watu wenye uwezo wa kuwa maraisi wapo wengi sana shida ni kuangaliana usoni tu
Wapo wengi,ila hawatakiwi, kwa kuwa wanazuia kula za watu.
Bravo
kila siku CAG anasema wizi hakuna kinachofanyika.
Bashe big up saidia wakulima wamenyanyasika mno
Brother mungu akulipe pia ww ni waziri kweli.
❤❤❤❤duuu amakweli sisi tu ndio tunakula ugali dagaa hii nchi inapigwa tungefanana na Dubai
Surely you are a patriot...congrats👏👏👏
Asante wazili Mungu akulinde unatutetea wwanyonge tunaibiwa sana
Musimusahau ally happy wapo watatu tu bashe silaa nahuyu jamaa wapo vzuri sana munguawalinde
Hongera Bashe ila siasa safi sana alie tufunga ndiye alie tufungua sisi ni asante
Kweli hii wizara inakufaa,nakukubali sana mr.Bashe.
Ukiwa bungeni ni hv sasa big up sana bashe sio kama wengine kazi yao kunyoosha tu tai na kupiga makofi hawachangii maendeleo apana
Saf sana mkuu wa kilimo umetishaa mkuu
You always smart. Big up
Mh. Bashe Allah akusimamie katika shughuli za kuleta maendeleo na kuinua kipato kutokana na kilimo nchini Tanzania.
safi sana muheshimiwa bashe upo vzr
Waziri bashe mtuu wamaana kabisaa asante sana na mungu akubariki na ambariki raisi kwa kukuteua kututetea wakulimaa mtu wamaana kabisa
Hicho ni kipaji kw bashe mungu akulinde yaan anafafanua mpk rahaaaa
Mungu ni mwema❤kaka bashee Mungu akutunze sana ulinzi mkubwa ni Mungu tu
Ongera sana mh.
Mwenyezi mungu akupe uzima na afya uendelee kuwatetea wakulima
masha Allah
thanks so much
Uko Sawa Tanzania Tunakupenda sana
Namfuatilia bashe miaka mingi yupo 10000% ana kipaji sana atumiii nguvu km mpina jamn unaarufu ni kipaji uasitumie nguvu mpina
Upo vizuri mhe.
Great minister mheshimiwa Rais you have good section of the Kilimo minister
safi sana mh mbashe nakuelew sana bro
Good job 👏 my cousin we love you 🥰 🇺🇸🇺🇸
Mungu akuepushe. Na mahasidi. Wasiotaka maendeleo ya watanzania
Hawa ndio aina ya mawaziri tunaowataka kwenye nchi hii. Hongera Mhe. Bashe but take care kwani wapo wataochukia
Huwa nakuelewa vzr Sana Broo
Huyu BASHE is very important minister in our country
Huyu nikweli msaidizi mzuri wa mh Rais hongera sana mh Rais
Sasa brother Husen Bashe kwanini tusikuombee kwa Mungu maisha yako iwe njema! Trust me Mungu kasha sikia hiisauti yangu kitoka ndani ya moyo wangu naye Babayangu wa mbinguni atakubariki sawa sawa na impendezavyo. Amen
God bless u Bashe
Hii nchi tutafika kweli??
TUWAONE HAWA WATU LUPANGO
Safi kabisa kijana piga kazi
Saf sana bashe huwa nakukubali endelea kutetea wanyonge ilitakiwa wafikishwe mahakamani ila ndoivo tena
Mh. Bashe tunaimani na wewe. Watanzania wazalendo mpo , teteeni wanyonge. 10:52
Mungu wangu, Bashe ni JPM mtupu, mungu amlinde baada ya samia tunahitaji kiongozi wa namna hii
Stabilization fund very good approach. to agricultural development program for our farmers.
Tuna kukubali kaka.unaichapa kazi.Usisahau zao la miti hakuna bei wala aoko rasmi boss wangu.Nakuombea uzima kaka Bashe.
Ah mie napita tu sina uwezo wa kutafuta wakili anisimamie kesi. Ikiwa makofi kidogo waniite tu nije niyaongeze kw tukio lilofanyika🚴🚴🚴
Hata kwenye mahindi tozo ninyingi mheshimiwa wapunguze
Waziri Bashe Yesu wangu akulinde dhidi ya wasiopnda kuambiwa ukweli.Hakika wewe ni shujaa usiogope Mungu atakuwa upande wako atakulinda utokapo na uongiapo na ulalapo.
You deserve to be president of this country
Sasa tumesikia kazi nzuri saana Waziri ongera sasa wezi mnawajua je mnachukua hatua gani kwa hao walio chukua Mabillion ili hayo yanarudishwaje
Mh bashe ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💯
Fanya kazi mh. Ndiyo maana watoto wa maskini hawapati haki
Mungu akubaliki Kwa kusema ukweli ao Wacha Fu Wana sthaik kufukuzwa kazi mara1
Mungu akubariki baba.
Sasa hiyo ni wizara ya kilimo, je wizara zingine kuna usalama?
Mmh!
Ndugu yangu tunapigwa nchi hii
Wale vijana waliopelekwa kwenye Mashamba kulima, maendelelo vipi?
Mama ukimaliza mdawako mungu akijalia muangalie huyu bashe mpigie hatadebe awe raisi wetu,
makonda naye y uko vizuri sanaa
Acha hizo
@@adeltuszakumuha9618asilimia kubwa ya wanaocomment humu wanajaji mtu kwa kazi moja tu nzuri waliyoiona.
JAMANI UCHAGUZI WA 20/25 TUUANGALIE UPYA. YUSIMCHAGUE MTU KWA KUMUONEA HAYO. TUWE WAKWELI JAMAANI..HASA SISI TUNAOTESEKA KIMAISHA TUANGALIE SANAA .
Hapa tunaongelea bashe na sio makonda Wala madereva
Hongera my Putin. Mungu akupe nguvu zaidi ufanikiwe. Mayenga Mahembula upo?
Nakukubali sana
Mama nnaomba PM akistaf naomba BASHE awe pm.
Mtanishukuru baadae
Nakupenda sana kiongozi Acha Tumuombe Mola ajaalie uje kuwa Rai's Kwa Nchi yetu hii
Karibu Sana mtwara
Mungu akulinde jamani
Ndg zangu watu kama Bashe wapo ingawa ni wachache,tatizo ni kwaba juhudi zao haziugwi mkono na mfumo utakuta wote walio usika ktk wizi huu wataendelea kupeta tu! Mwisho wasiku Bashe atapigwa chini atawekwe mwana siasa fulani kama Nape tutarudi kulekule.
Bashe binafsi nakukukbali Sana, tusaidie na huku Momba Songwe, bei ya Mpunga ni ya chini sana
Stay blessed Mkuu
Hao siyo wa kuwachekea ndiyo wanatuhujumu wakulima mnada ufanyike kwenye ofis ya wazili wa kilimo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mawaziri ni wawili tu, Mh bashe na Mh Jerry slaaa
This person is something else
Hili ni jembe haswa,Mungu akulinde Baba.Tunataka viongozi km wewe.
basha mungu akujalie uwe na moyo huohuo mana wakulim wanateseka sana
Kwa nchi hii, hayo ni ya kawaida jamani. Hiyo ifanywe kwa wizara zote mtaona mengi Sana. Watanzania wa hali ya chini tunateseka sana kwa mambo mengi mno.
Mbona kwenye mitandao Mh Bashe anasemwa vibya dhidi ya Mkuu wetu?
Huyu Mh kweli si mchapa kazi tu bali ni muadilifu kwa nchi yake .
Watanzania tumlinde❤
Kwani ni DHAMBI kwa kila mwenye MADARAKA kuwa MUADILIFU? Hizi ni zama za viongozi kujitathmini wenyewe kabla ya kutathiminiwa na RAIAA. Minister Bashe go go goooo, "IF GOD BE WITH YOU, NONE CAN BE AGAINST YOU my brother.
Wewe ni mtoto wa mkulima kitengo umekiweza mh.waziri ✓