Nimejifunza, kazi yangu inapaswa imwabudu Mungu yaani iwe sehem ya watu kumwona Mungu na kuachilia sifa zao kwa Mungu....eeeh Mungu nisaidie niwafundishe hawa watoto kwa upendo km ulivyojitoa kwangu
I miss That Place 😢 I attend Service nilipokuwa Chuo Mbeya University Waooh!! Mungu awabariki watumishi na watenda kazi wa Madhabahu hii...Daah! Asante Mungu kwa neema ya kumpenda na kwa watumishi wako wote...heri kumjua Yesu Bwana ❤❤ That a Grace.
A true worshipper God bless you and keep you am in the medical profession and God really reveals Himself through medics who fear God.Your worship is so encouraging
Ubarikiwe mtumishi nyimbo zako zina niponya nakunipa hatua fulani kiroho kabla hata sijawahi kukuona nikiwa na sikiliza nyimbo tu naponwya Mungu akupe hatua
Libarikiwe tumbo lililo kuzaa mtummishi wa mungu. nabarikiwa nkisikiliza mahubiri yako.
Nimejifunza, kazi yangu inapaswa imwabudu Mungu yaani iwe sehem ya watu kumwona Mungu na kuachilia sifa zao kwa Mungu....eeeh Mungu nisaidie niwafundishe hawa watoto kwa upendo km ulivyojitoa kwangu
I miss That Place 😢 I attend Service nilipokuwa Chuo Mbeya University Waooh!! Mungu awabariki watumishi na watenda kazi wa Madhabahu hii...Daah! Asante Mungu kwa neema ya kumpenda na kwa watumishi wako wote...heri kumjua Yesu Bwana ❤❤ That a Grace.
Nakupenda saaaaaana, what a lesson . Ulikuwa unamsifu Mungu si yeye kukupa chochote no. Ukijisikia kumpenda. Nimebarikiwa sana.Utukufu kwa Mungu
WANAOJIFUNZA SOMO HILI LIVE WANAFAIDI SANA MAANA NI SOMO UMUHIMU SANA JAPO KUWA UPATIKANAJI WAKE NI HADIMU❤❤❤❤❤❤❤❤
Sifa na utukufu kwa Bwana Yesu roho wa Bwana amenifundisha kitu. Ubarikiwe sana Bwana aendelee kukutumia kwa viwango vya juu mno
Nimebarikiwa mno, ubarikiwe sana man of God Dr. Ipyana kwa ujumbe mzuri
MUNGU akubariki sana mtumishi leo nimejifunza kitu hallelujah
A true worshipper God bless you and keep you am in the medical profession and God really reveals Himself through medics who fear God.Your worship is so encouraging
Nilikuwa nahitaji ujumbe huu asubuhi hii, asante sana Mtumishi wa Mungu kwa neno lenye nguvu na faraja.
Sito mkatia tamaa Mtakatifu wa Israeli kwenye maisha yangu na watoto wangu Najua unani imarisha Mungu wangu 😭😭 🙏🙏.
Asante Mwana Wa MUNGU YESU KRISTO , KWA SOMO HILO DEAR LORD HELP ME TO HAVE IT, TO WORSHIP YOU EVERY DAY, EVERY HOUR, EVEN MY JOY MAY ALSO WORSHIP YOU
Asanti Mungu naomba na mimi unipee kibali changu
Mungu akubariki,somo adimu Sana Kwa kizazi hiki
Mungu akubariki Sana Mtumishi wa Mungu
From Nairobi kenya
Asante Bwana Yesu
Amina from USA
Ubarikiwe mtumishi nyimbo zako zina niponya nakunipa hatua fulani kiroho kabla hata sijawahi kukuona nikiwa na sikiliza nyimbo tu naponwya Mungu akupe hatua
❤ hii ibada ni ya maana nguvu 😂na 🎉nyingi sana za mungu
Mungu akutumie sawa na mapenzi yake
Yesu nisaidie
Sifa na utukufu kwa Bwana mafundisho yako ni mazuri sana
Amen
Yesu chukua madhaifu yangu yote in Jesus name
God bless u man of God
Waabuduo wawe nauwezo wa kumpeleka Yesu wao mtaani...may God help me 😮😢
AMEEEEN. THANK YOU FOR REVELATION. GLORY TO GOD
Be blessed a man of God
I got spirit healing now
Mungu akubariki sana we baba yaani sijui niseme nini ila asifiwe sana Yesu kwaajili yako
Mungu aendelee kutunza huduma aliyoweka ndani yako
Hallelujah 🙌
Sifa na utukufu tunakurudishia Bwana
Barikiwa sana dr ip
Shukran sana kwa hii mafundisho, nimehisi kunyenyekea zaidi na zaidi. Ubarikiwe mno.
Amina
Nabarikiwa Sana mtumishi sichoki kukusikiliza kabisa una upako sana
I am truly blessed. This teaching is deep.
Amena hakika kunakitu cha kujifunza
Amen 🙏🙏🙏
Amenii utukufu Kwa Mungu
MAY 2024 #TUKO_PAMOJA !
ASANTE SANA !
Mtumishi wa MUNGU, ubarikiwe na uzidi kuinuliwe maana unafungua wengi
🙌🏽
Sifa na Utukufu ni zako Jehova
God help me to preach you through my attitude,action whether it's home or working area,,,
😊najifunganisha na neema hiyo
Nimebarikiwa sana 😢
Wakwazaa ebu nipeni like hata moja 😭
Regardless the situation is ,,the circumstances around me is::Those doesnot remove your divinity God .....
Nakufwatilia sana . Kila hatua unayofanya nipo...sitachoka
Nimefunuliwa kitu kupitia mahubiri haya
Watching from kenya
Sante mtumishi wa Mungu.
Ubalikiwe saana kuna sehemu umenivusha kupitia mafundisho yako ❤❤❤❤❤❤
This time sound system not tht clear Abit noisy
Pastor maboko👏👏
Teaching is about worship and the congregation can't stand to worship 😂or they're standing in the spirit 😂😂😂
Hawa watu mbona nimabosi sana KwA huo uwepo wa Mungu wamekaza kwenye viti no kusimama wala hawashughuliki Bwana tusaidie
Upo sahihi nami nimewaona 😂😂😂😂 Dr ana abudisha hata hawajitikisi. Naona mmoja wawili flani ivi ndo angalau wanatikisika.
Khaaa!
No, something mafundisho yanaweza kuugusa moyo wako ukabaki umeduwaa.
Aki hata nashangaa, nikama wamechoka😂😂😂😂
Amen
Nabarikiwa Sana mtumishi sichoki kukusikiliza kabisa una upako sana
Sifa na utukufu kwa Bwana mafundisho yako ni mazuri sana
Amen