Jamani hili jitu barazuli na ukweli maranyingi unakua unauma wanaifisidi zanzibar yy na boss wake leo wanaambulia matusi tumeshakichokeni tunasubiri octobar2025 tuendelee kukukataeni
Huyu jamani c mtu mzuri, anaficha macho yake ,kwa maana gani, huyu hafai, hii njaa haoni huyu, kwani ni raia wa wapi huyu, ovyoooo,dah,hamna siasa hapa.
Nahisi nyinyi viongozi mna mengi ya kufanya yaliyo muhimu zaidi kuliko kushuhulikia matusi jichunguzeni kuna unmet needs nyingi mkikaa majukwaani twambieni hayo mnayatatuaje kuliko kusimama jukwaani ukasema fulani kasema hivi.
Dah subuhanallah mnaphrahia mweny kuphanya madhambi akicheka ataingia motoni huku analia
Jamani hili jitu barazuli na ukweli maranyingi unakua unauma wanaifisidi zanzibar yy na boss wake leo wanaambulia matusi tumeshakichokeni tunasubiri octobar2025 tuendelee kukukataeni
Njaa kali
Mpumbavu mweupe simpendiii masifaa
Huyo mwenda wazimu hasa
Huyu jamaa mimi namkubali sana napenda Raisi samia ampe Uwaziri Jamuhuri ya Muungano Tanzania ili akabiliane na Lisu wa CHADEMA
😂😂😂😂😂😂😂 huyu jamaa chizi
Muheshimiwa jitayarishe na kujibu hoja ya mauwaji.
Sas ndo umeongea nini hapo kiongoz kasome kwanza jinsi viongoz wanavotakiwa wawe na sera sio huo upuuz uliongea hapoo
Boss ata unachokisema hukijui
Ili jamaa ni shamba kweli halijui lisemacho
Ww unatetea maslahi Yako
Huyu ni fisadi kama wengine
Hii media utaona watangazaj wake maustadh lkn mbona mnaeka matusi hivyo. Hem angalieni maneno ya kuyaweka kwa kiongozi yeyote kwa chama chchte
Wewe kiongozi gani unae tukana ovyo ovyo
ACHA matusi ww nikiongozi ww
Naheshimu vazi tu aliloliva. Mdomo ni wa nyerere
Huyu jamani c mtu mzuri, anaficha macho yake ,kwa maana gani, huyu hafai, hii njaa haoni huyu, kwani ni raia wa wapi huyu, ovyoooo,dah,hamna siasa hapa.
Nahisi nyinyi viongozi mna mengi ya kufanya yaliyo muhimu zaidi kuliko kushuhulikia matusi jichunguzeni kuna unmet needs nyingi mkikaa majukwaani twambieni hayo mnayatatuaje kuliko kusimama jukwaani ukasema fulani kasema hivi.
Jamani ikiwa wamesema Dr. Hussein kama anatia UDHUU basi ni kitu KIZURI…… sana hapo…. Hakuna kitu Kama UDHUU.
Huyu kazoweya utawala huleee wa watwana wenziwe kina balozi sefu basi linapata shida kweli
Kwenda hukoo hukoo pumbavu
Lakini mpaka leo barabara ya Chukwani haikumalizika karibu mwaka sasa….
Naona kawa msemaji wa act sasa anawajuwa waliokuwa asilimia 20 na asilimia 80 huyu asa mjinga
Tunamuuliza yule mh makame alogombea nae kisha akapotea mpakaleo vp mshenzi mkubwa ww gaidi
Asipewe kuongea mbele ya uma n kwa mbele ya rais wetu.
Sasa kama hatakiwi na act kwa nini musiiondowe kura ya mapema tuone nania hatakiwi
Nimejarib kupitia post za huyu jamaa na kuangalia comnt hamna hata moja alo msapot matusi tu mengi wala hajapata lolote sifa ilikuwa tu
Nadir wewe ni zaid ya juhaaaaaa sisi tunatka zanzibar yenye mamlaka yake sio sio upuuzi wenu
Wewe unataka hayo mamlaka na Kuna wanaoona hakuna haja hilo halikufanyi wewe kua mzanzibar zaidi kuliko wanaoamini tafauti na wewe
Hili pumbavuuuuuuu linataka misifa tu sasa wale si wapinzani unataka waseme nini mjinga wewe
Ondoeni kura ya mapema kama kweli nyie mnapendwa?! Wezi wakubwa matapeli mafisadi wauwaji wabaguzi. Aya moja tu ya Qur’an kuitaja umeshindwa
Yeye anayoyajua ni matuc tu jinga ili
Njaa kali