Jussa: Tutashirikiana na wana-CCM kumng'owa Dk. Mwinyi 2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 216

  • @talibahmed6573
    @talibahmed6573 21 วันที่ผ่านมา +16

    Porojo zenu zimetuchosha saivi tunataka maendeleo ya kweli na ndo tunayapata acha tuendelee kuneemeka. Mwinyi Mitano Tenaaa

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 21 วันที่ผ่านมา +2

      Hussein mama yake Mzanzibari sasa huyu Muhindi Jussa na Hussein Mwinyi nani Mzanzibari wa kweli

    • @MohdMkubwa-v8k
      @MohdMkubwa-v8k 20 วันที่ผ่านมา

      @@kitwanashem3272 nadir jee

    • @Jal210
      @Jal210 20 วันที่ผ่านมา +3

      Mwinyi 5 tena son

    • @MohdMkubwa-v8k
      @MohdMkubwa-v8k 20 วันที่ผ่านมา +2

      wee mtanganyika nenda kwenu

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 19 วันที่ผ่านมา

      @@talibahmed6573 mitano labda kwenu mkuranga

  • @AbuuJuma-fw3ik
    @AbuuJuma-fw3ik 16 วันที่ผ่านมา +1

    Zanzibar htutak rais mwengine zaid ya mwinyi mitano tn kwa dr mwinyi🎉❤❤❤❤❤❤

  • @abdulkareem-n7v
    @abdulkareem-n7v 20 วันที่ผ่านมา +2

    Ninachojua mm kwa mujibu wa salafy ni kutii viongozi tu kwa iyo kiongozi aliekuepo ni wa kumtii mpk ALLAH atakapotaka kumleta mwengine so kama muislam mwenzenu nawaasa tusikubali kupelekeshwa kuingia mabarabarani .hizi siasa zipo zamani hakuna kimoja tulichopata zaid ya upuuzi tu na kudanganyana

  • @sheikhsheikh1731
    @sheikhsheikh1731 11 วันที่ผ่านมา

    CCM is giant..it was born to win and rule! ACT is dreaming in day light

  • @AdamuMohd-vl2nk
    @AdamuMohd-vl2nk วันที่ผ่านมา

    Kime kufa CUF bado CCM inadunda na inshaallah 2025 moja kwa moja tunakizika ACT

  • @FuadKassim-d6w
    @FuadKassim-d6w 21 วันที่ผ่านมา +3

    Nakuelewa kiongozi

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ahsante Mbungo tuko pamoja mpaka KIELEWEKE Zanzibar IWE huru

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 21 วันที่ผ่านมา +7

    Kwani hao walokaa mwanzo walifanya nini acheni siasa za kipuuzi tuombeni salama tupate kumuabudu Mola wetu ili tupate salama twendako kwani ni kuzito

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา

      @@muhammednassor3569 Salama iko wapi hayajakufika tu, au huhusiki na hii nchi

    • @Idoman493
      @Idoman493 21 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe Ni Mzanxibari Halisi Lakini Sisi kama Kusoma Tunasoma Tunasali Pia Sasa Ubaya Upo Wapi Wa Kupigania Taifa Letu La Zanzibar Na Wasiwasi Na Wewe

    • @abdulkareem-n7v
      @abdulkareem-n7v 20 วันที่ผ่านมา

      Km unasoma hujui umuhimu wa kumtii kiongozi surat annisa kasome ​@@Idoman493

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 19 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@Idoman493😂😂😂 kakojoe ukalalee

  • @abufeiy
    @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา +3

    Sawa M/mungu atuweke hai tuone

  • @SIMBAYETUTV
    @SIMBAYETUTV 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hamuna lolote mm nikuwa cuf nikawa act ila hamuna lolote dk mwinyi wewe ni kuongozi bora wa zanzibar tupe maendeleo

  • @MohdJuma-w6l
    @MohdJuma-w6l 21 วันที่ผ่านมา +6

    Waondoke arudi kwao vikindu akauze mapensheni

    • @NassoroHaji-i8k
      @NassoroHaji-i8k 21 วันที่ผ่านมา +1

      Hahhahaha...ni mkuranga co vikindu

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 21 วันที่ผ่านมา

      wee kwenu ni wapi????

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 21 วันที่ผ่านมา

      @@SaidSeif-d4y mkunduni

    • @hamadFaki-y7x
      @hamadFaki-y7x 20 วันที่ผ่านมา

      Hahaha!! eti vikindu

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 21 วันที่ผ่านมา +5

    Mumeshindwa kuwatoa walokuwa wakigonga bila ya kupuliza muje muweze huyu anaepuliza? Huyu tunamtaka sana hapa kwetu

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 21 วันที่ผ่านมา +2

      Mpumbavu kabebe mawe chawa la kanisa ccm huna huruma na familiya yako wazazi wako na ata mwenyewe

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 19 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@Grataaaaakakojoe ukalalee 😂😂😂

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 19 วันที่ผ่านมา

      @@mwanangusana huna lolote kubwa jinga ccm wanga

    • @muharamijuma1569
      @muharamijuma1569 18 วันที่ผ่านมา

      MWAGA SERA SIO POROJO KILA SIKU HUNA JIPŸA NA WEWE JIANDAE KURÙDÌ KWENU HAPA SIO KENU!

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 18 วันที่ผ่านมา

      @@Grataaaaa wewe ndo kubwa jinga umekodishwa akili maana ya ACT unaijua ?? Alliance of Christian in Tanzania 🤣🤣🤣... Sasa cjui kanisa lipi unalozungumza wewe ... Mjinga mjinga kama wewe tunakupeleka hivyo hivyo kijinga kijinga ... C unajitoa akili

  • @JumaMakame-l6u
    @JumaMakame-l6u 21 วันที่ผ่านมา +3

    Umuongo Huseni Mwinyii Raisi wa Uhakika Mengi mazuri kafanya mpaka sasa

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา +1

      @@JumaMakame-l6u labda Jina la bandia ila kama ww ni Juma Makame njoo katika kundi lako, huko siko kabisa utaelewa tu

    • @JumaMakame-l6u
      @JumaMakame-l6u 21 วันที่ผ่านมา

      Sio bandiya ila tunayaona ayafanyayo

    • @JumaMakame-l6u
      @JumaMakame-l6u 21 วันที่ผ่านมา

      Ata ao viongoz wa vyama vyengine sio wakweli watafutia tumbo masilahi yao

    • @Moosamly
      @Moosamly 19 วันที่ผ่านมา

      Mambo gani??

  • @MbojaKombo-bw8ff
    @MbojaKombo-bw8ff 15 วันที่ผ่านมา

    Mwinyi oyeeeerrrr

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 21 วันที่ผ่านมา +4

    Arudi zake mkuranga hatumtaki zanzibar

  • @maulidnkumilwa5171
    @maulidnkumilwa5171 20 วันที่ผ่านมา +1

    Long live the Legend Dr Mwinyi

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 21 วันที่ผ่านมา +2

    Mwinyi anayoyafanya yote si kwa ajili yake bali ni kwa ajili ya wazanzibar wote hata kama akiondoka basi wazanzibar wenyewe ndio waliopoteza,ukisema kuwa ccm wenzake hawamtaki unanikumbusha mdahalo kati ya camala Haris na Donald trump kuwa kamala alidai eti kuwa watu wenye nafasi za juu waliokuwa wakifanya kazi na trump kuwa hawamtaki lakini siku ya uchaguzi Trump huyo huyo ndie alieshinda uchaguzi kwaiyo Jussa wewe be careful.

  • @hassanmwinyi4156
    @hassanmwinyi4156 2 วันที่ผ่านมา

    Mapinguzi yanii

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa Mwinyi bora ukae kimyaaa,, mimi naona mkiwekwa chungu kimoja wewe unastahili kurudi uhindini😅,

    • @kassim1262
      @kassim1262 21 วันที่ผ่านมา +1

      Namwinyi anastahili kurudi mkuranga au kwavile anasubiri atoe wznzbar roho 2025 ndipo arudi kwao mkuranga

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 21 วันที่ผ่านมา

      @kassim1262 Ukitaka utatolewa ila kama hutaki kutolewa kaa nyuma nyuma 🔔

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@ameirzapy1318ameir zapy we huna akili sie tunao ichi dar hadi kesho tuna tukanw kwa kutiwa kwenye mkenge kisa mchanga

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 21 วันที่ผ่านมา +2

    Unatusemea uongo wewe cc Tunampenda na Tunamtaka sana hata ACT wanamtaka hawasemi Tu

    • @kassim1262
      @kassim1262 21 วันที่ผ่านมา +2

      Ccm ndio wnaoipenda act wpo ccm waaina mbili kuna ccm wnaokaa ccm kwaniaba yamaslahi yao lkn kura kwa act hlfu kuna ccm akina nyinyi munaoletew tv naflana za ccm maskni 😂😂😂

  • @MohamedShaksi
    @MohamedShaksi 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kiongozi mzuri hawezi kutoa siri. Anarudi kwao wewe kwenu wapi

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np 21 วันที่ผ่านมา +1

      yy kwao znz mwinyi kwao mkuranga

  • @yusuphhamad8494
    @yusuphhamad8494 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mueshimia jussa sisi tuko nje ya zanzibar lakn tunaungana na ww na act mungu atufikishe tutaiangusha ccm 2025

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 21 วันที่ผ่านมา +7

    hatakiwi. mwinyi na wazanzibar wote.

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 21 วันที่ผ่านมา +2

      Sio wote kijana,, Mimi binafsi siwezi kuwapa vijana gari yangu asie na leseni😅

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา +2

      @ameir huna akili wazanzibar wamechoka na maisha yakubahatisha

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา

      @@ameirzapy1318 jitambue jipqmbanue usikubali kuongozwa kwa kufikirishwa, nchi inaenda hii, au si mwenzetu?

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 21 วันที่ผ่านมา +1

      Acha blaaaablaaa😅😅 Zuma zoote washa kijani..

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 21 วันที่ผ่านมา

      @@lusakaone7782 uvivu tu tulio nao, unategemea viongozi wepi maisha yaje kirahisi?

  • @fikirinimalange8164
    @fikirinimalange8164 21 วันที่ผ่านมา +2

    MIKUTANNI TTAKUJA LAKINI HAMTUDANGANYI MWINYI
    TUNAMPENDA HAKUA MATTA.

  • @bongo39
    @bongo39 21 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe muhindi koko wewe na hao mashoga wenzio wa ccm hamna uwezo wa kumngoa mwinyi anafanya mambo mazuri kibao tunayaona mshazoea kula nao mali za wazanzibari na kujilimbikizia ardhi mapesa huko nyuma na marais na viongozi wa zanzibar waliopita sasa hivi mnaona hamna fursa hizo kwa mema wanayofanyiwa wananchi imekula kwenu

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 21 วันที่ผ่านมา +1

      Umefaidika nn ww

    • @shaabanmakame2690
      @shaabanmakame2690 21 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo lako wewe ni bongo😅😅😅😅

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 20 วันที่ผ่านมา

      We kishogo una husiana na nini nazanzbr

  • @Bajei
    @Bajei 20 วันที่ผ่านมา +4

    Mzanzibari yoyote asiyetaka haki na kuigomboa nchi huyo ni sawa na firoun laana za mungu zimshukie

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 20 วันที่ผ่านมา

    WAGANGA NJAA HAO,MMEISHIWA HOJA MNAANZA KUIPIGIA KAMPENI CCM!! WAPIGA DEBE NYIE MWISHO WA SIKU MH.MWINYI MITANO TENA!!!

  • @abufeiy
    @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hata hiyo Dubai haikujenwa kwa siku moja kwahivyo mnavyodanganywa Zanzibar itakuwa kama Singapur mnaamini hizo ni ndoto za Alinacha

  • @sheikhsheikh1731
    @sheikhsheikh1731 11 วันที่ผ่านมา

    Dr HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI is there to stay for more 5 years. His reelection is of no compromise.

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 11 วันที่ผ่านมา

    Kwao wapi???? Ubaguzi achane hii ni tanzania tutaongozwa na mtu yeyote hata yule ambaye ni mwomba uraia ikiwa anaonekana anaonekana anafaa kutuongoza

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mngjuwa mnaweza vita mngemtoa ila kw democrac huez kumtoa madarakani .mwiny yupo vzur sana ki utendaji .mcjekua kama libiya waulizeni mwnyi yupo vzur .jusa tumechoka na sera zenu

  • @KimokoLivepoll
    @KimokoLivepoll 15 วันที่ผ่านมา

    Kwani yeye wawapi maana naona kama wa Bombay sasa mgeni nani?

  • @fatmasherallysherally537
    @fatmasherallysherally537 19 วันที่ผ่านมา

    Mmekosa kazi nyie act wazalendo

    • @Khamisalih4g
      @Khamisalih4g 19 วันที่ผ่านมา

      Io Kaz ww unayo? Ndio naona una lipwa

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา +2

    Mamlaka kamili

  • @TatuKhatib-f1u
    @TatuKhatib-f1u 20 วันที่ผ่านมา

    Weye kwenu wapi

  • @iponamna
    @iponamna 21 วันที่ผ่านมา +2

    Na wewe urudishwe kwenu!

  • @Moudy-w1j
    @Moudy-w1j 19 วันที่ผ่านมา +1

    Utafanya nn family yako yote ipo ulaya hamna chochote zaidi ya kujinufaisha tu kwa maslahi yenu binafsi

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 21 วันที่ผ่านมา +5

    mueleze huyi mshenzi mangufuli hayupo. hatumtaki kabisa mamluki hana hadhi ya kuwa raisi. is officially.zanzibar.

  • @SmilingTropicalSailboat-op2jk
    @SmilingTropicalSailboat-op2jk 21 วันที่ผ่านมา +2

    nyny bhana muna dhambi sana yaan munawalaghai wat eti t madaraka ata museme nn docter mwinyi kumi tena sio mitano

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 21 วันที่ผ่านมา

    Ccm ni maskini sana watu wote wanakufa njaa pemba

    • @SmilingTropicalSailboat-op2jk
      @SmilingTropicalSailboat-op2jk 21 วันที่ผ่านมา

      pemba sio zanzibar

    • @AllyKija
      @AllyKija 21 วันที่ผ่านมา

      Kwaio mlitaka ccm ndio ishike jembe iende iwalimie wananchi wa Pemba jitutume fanyeni kazi Kwa bidi

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar 17 วันที่ผ่านมา

    Ulemda unakaribia sasa 😂😂😂😂 ila ukokurambwako😂😂😂

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hilizee limeng'ang'ania sana ukabila utafikiri sio muislamu,kumbe hata lenye we ni lihamiaji tu

    • @NassoroHaji-i8k
      @NassoroHaji-i8k 21 วันที่ผ่านมา

      Duuuh...pole sana kwa kauli yako ndugu yangu ila ckulaumu. Maana ww una asili ya unguja ila ungelikua mpemba usingepinga

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 21 วันที่ผ่านมา +2

      😢😢😢 hana kazi ya kufanya,,, siasa ni haraam.. yakitokea mauaji hawana msaada wowote .. labda kukimbilia BBC welewele na wengineo kutafuta huruma.. vyama ni zogo tu...

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@NassoroHaji-i8kubaguzi ni dalili ya roho mbaya ....

    • @QudraIbnUmar
      @QudraIbnUmar 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@SaidSeif-d4y komenti nzur ❤

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar 17 วันที่ผ่านมา

    Nakutakieni kilalaheri act wazalendo

  • @HajiJuma-k3l
    @HajiJuma-k3l 21 วันที่ผ่านมา +1

    Tusifukuzane ndugu zangu. Sote ni wapita njia tu hapa duniani. Kwetu kwa milele ni akhera ambak o tunakwenda c muda mrefu. Hivo msiuwane kwakufukuzana hapa. Hiyo ni dhambi kubwa hiyo kesho ghin'dallah.

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wauwaji washenzi nyie kama mnauwa kuku vile ....
    Shenzi!

  • @TheZanzibarstonetown
    @TheZanzibarstonetown 20 วันที่ผ่านมา

    Mwinyi yupo Stable Hana wasiwasi

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu atatusaidiya hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho inshaa allah allah atatupa haki zetu

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา +9

    Kila mzanzibar anayeitakia mema zanzibar aungane na ACT

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 21 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂

    • @NassorOmarDadi
      @NassorOmarDadi 21 วันที่ผ่านมา

      @@lusakaone7782 huna haja y kusema kisanduku kinatosha km ww mdg uchaguzi wa 2000 jimbo la CCM Kwahani Marehemu Maalim aliongoza va wakashinda Uwakilishi na ubunge results wakafuta uchaguzi kwa baadhi ya majimbo na kilichotokea mauaji y maandamano 2001 so unaeza baki n kadi yko ya ccm but kura kwa OMO kutetea, kuioa n kuilinda Zanzibar

    • @hawrajehan2398
      @hawrajehan2398 21 วันที่ผ่านมา +2

      Upuuz mtupu

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา

      @@hawrajehan2398 hayakuhusu, wewe sie jichunguze

  • @maulidnkumilwa5171
    @maulidnkumilwa5171 20 วันที่ผ่านมา

    Maalim Seif aliondoka na Upinzani wa kweli waliobakia wabangaizaji tu !

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 21 วันที่ผ่านมา

    Hovyo kabisa

  • @nicholouskennedy9813
    @nicholouskennedy9813 18 วันที่ผ่านมา

    Kwatume ipi mtashinda? Hivi mnafikiri ccm watawaachia hivyo visiwa kwa kura ? Mikakati yenu inahusisha na kwenye tume tu au vingine

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 20 วันที่ผ่านมา

    Je hio tume huru mumeafikianaje mpaka Sasa wakati fursa ya muda unayoyomea?

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wafanyakazi wa serikali kazi yao kukopa tu, na wengine kuiba sehemu za fedha

    • @SmilingTropicalSailboat-op2jk
      @SmilingTropicalSailboat-op2jk 21 วันที่ผ่านมา

      ww inaonekana ajira imekupita kushoto ndio maana unasema hivyo ila na huyo muhindi wenu pia hana uwenyej zanzibar maana kwanz baleghe

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา

      @SmilingTropicalSailboat-op2jk Huna akili jitafakari,maana ww imekupita kulia, utaelewa tu

  • @saleemsaid652
    @saleemsaid652 21 วันที่ผ่านมา +5

    Hhhhhhh,Ngoja sasa tuwaoneshe nguvu ya vijana wa Zanzibar,BWAMDOGO MITANO TENA tunampa.

    • @kassim1262
      @kassim1262 21 วันที่ผ่านมา +2

      Vijana wakiznzbabr watanganyika munaoishi znzbr 😂😂😂😂munaojiita wznzbar munaoletwa kuja kuipigia kura ccm 😂😂

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 21 วันที่ผ่านมา +1

      Tena hakuna hata uchaguzi kupoteza pesa na mda tuuu. Aapishwe tu kazi tunaiona hio pesa ilete maendeleo zaidi🎉🎉🎉🎉

    • @CelinTonny
      @CelinTonny 21 วันที่ผ่านมา

      @@kassim1262wewe Kiswahili gani icho wewe mcongo au Tatzo shule 😂🤣🤣🤣🤣

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 20 วันที่ผ่านมา

    Kwanza napenda ichukuliwe hatuwa ya kuhakikisha wanyimwa vitambulisho wote wanapata vitambulisho Ili kuja kushiriki kupiga kura

  • @FaridaAly-r5n
    @FaridaAly-r5n 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hatumtakiiiiii mwinyi aende zake mkuranga

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 20 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mzanzibara analia njaa hapo ispokuwa wenyeji leo eti mmsai ana uhuru wa kumchapa mwenyeji wapi na wapi hio mambo wenyewe ndio akina hayo yanayolalamikiwe usinambie flyover za uongo hapa

  • @SaleheMkomwa
    @SaleheMkomwa 19 วันที่ผ่านมา

    MWINYI HOYEEEEEE MI TANO TENA

  • @BiubwaHaji
    @BiubwaHaji 18 วันที่ผ่านมา

    Ww jussa chizi kweli yani ww upo upo tuacheaendeleo tulokuwa nayo tukisikilize ww mpuuzi mwinyi mitano tena hata ukitaka kuendelea endelea baba

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 19 วันที่ผ่านมา

    MWINYI TATIZO HAFANYI CHOCHOTE KATIKA KUITETEA ZANZIBAR KWENYE MASLAHI YA NCHI INGEKUWA ANAPIGANIA HAKI YA WAZANZIBAR ANGEPENDWA NA ANGEKUWA KAMA MFALME LEO JAMBO LA KUONDOSHA KODI KWA ZANZIBAR NA TANGANYIKA KASHINDWA

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nzi watanganyika,wanamkiakifua nzi mwezao

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wazanzibar wanataka mamlaka

    • @TatuKhatib-f1u
      @TatuKhatib-f1u 20 วันที่ผ่านมา

      Ukesha udhibiti mkundu wako utakuwa na mamlaka kamili ya ko wewe mwenyewe

  • @abufeiy
    @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani nyinyi wenyewe Madubu hamuoni sisi hatutaki porojo tunataka Maendeleo

    • @NassorOmarDadi
      @NassorOmarDadi 21 วันที่ผ่านมา +3

      Kama nawe ni wakuja lazima useme hivo maana mzanzibari halisi hitaji lake la kwanza n uhuru wa Nchi yake na kuamau juu ya mambo yake na sio wageni waingie Zanzibar ovyo bila ya utaratibu malaya l, vibaka, wizi hizo tabia za kijambazi hazikuwepo Zanzibar zimeletwa kusudi na hatuzitaki km mkweli mbona hasimamii haki kwa taia zake anachofanya kwa maslaha yake na familia yake tu, ataondoka tu labda auwe watu wote na hilo hawezi aliemleta Magufuli jamb....wazi kubwa halìpo linakula moto huko aliko kw kufuru zile kusema yy ndio kiongozi wa Malaika

    • @abufeiy
      @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา

      Broo nafikiri tukiwekwa mimi na wewe sijuwi nani mzanzibari halisi lakini mimi na akili zangu siwezi kushabikia upuuzi broo bila kupambana hakuna atakae kuletea pesa ngani muhimu huduma za msingi na za kijamii zinapatikana basi

    • @salyali7807
      @salyali7807 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@abufeiy wewe utakua mzanzibari kunzaliwa tu

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 21 วันที่ผ่านมา +1

      Mamlaka ndo kipao mbele

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@abufeiyww sio Mzanzibar

  • @mohamedjuma1331
    @mohamedjuma1331 20 วันที่ผ่านมา

    Atakiwe kwa lipi kubwa kujenga soko alafu akalichukua mwenyewe

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 21 วันที่ผ่านมา

    Maisha yamekuwa duni hasa CCM ni maskini sana

    • @TatuKhatib-f1u
      @TatuKhatib-f1u 20 วันที่ผ่านมา

      Hamtaki kazi eti

    • @TatuKhatib-f1u
      @TatuKhatib-f1u 20 วันที่ผ่านมา

      Uduni wake nini

    • @TatuKhatib-f1u
      @TatuKhatib-f1u 20 วันที่ผ่านมา

      Anatabia zilezile za kihindi za ubaguzi haya twambie weye kwenu wapi ? Zanzibar iko Afrika haya wahindi wametokea wapi nyie ndio walewale mliotutesea mababu zetu na kuwanyanyasa sasa wewe unaona uchungu waafrika kujitawala sahau baba makovu tunayo mpaka leo ya wazee wetu kufa maskini na kuishi kwenye vibanda vya mgongo nenda uko mitano tena

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 20 วันที่ผ่านมา

    Mnafikiri ushenzi wenu nchi mnaituliza ila mnaipeleka siko halafu mnaronga sanaaa

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 21 วันที่ผ่านมา

    Porojo ni kweli je hii njaa vipi tutaiondowaje mbona hamna lakusema wacha na porojo na haya mauwaji yanayofanyiwa ndugu zenu Wapemba

  • @AllyKija
    @AllyKija 21 วันที่ผ่านมา

    Ikiwa nyinyi km mtafanya hivo msishangae na sisi huku bara tutafanya vivo hivo

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g 21 วันที่ผ่านมา

      Hamna jeur hiyo w

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 21 วันที่ผ่านมา

      Mama huko anaendelea.

  • @abufeiy
    @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา

    Kwanini usimfahamishe kwanza huyo mwenzio alonita mbwa msenge unanifahamisha mimi nilomjibu au nyinyi ndio mpo sahihi kusema mnachotaka?

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 20 วันที่ผ่านมา

    Je uvamizi na kuzuia watu wasipige kura na kuwazuia mawakala kufanya kazi zao mumejiaminishaje viongozi wa upinzani?

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 21 วันที่ผ่านมา

    Jemedar omo tushikamaneni kila kona kuirejesha zanzibar yenye mamlaka kamili hapo ndio wazanzibar tutapata kupumua

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 19 วันที่ผ่านมา

    Ama kweli siasa ni mchezo mchafu ,ivi kweli jusaa umngoe mh raisi Dr Hussein ali Hassan mwinyi???pumbavu zako ,kashindwa mwenye mbawa jee nyie maputugali😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂acha kuwa pimbaza wrbzako mpuuzi ndixi boko😂😂😂

  • @Bajei
    @Bajei 20 วันที่ผ่านมา

    Talib Ahmed
    Mwinyi kwa kura hashindi robda dhulma ya roho za watu

  • @AMOURAMIRAMOUR
    @AMOURAMIRAMOUR 15 วันที่ผ่านมา

    Wapinzani wengi vilaza hawajui kufikiria

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 21 วันที่ผ่านมา

    Mwinyi kutokan siku ya uchaguz t kumaliza kam at pat t cku 1 kubak madarakn wawahi Wazanzibar tunakula shindano ila tutakunya mtaimbo.hali si mchezo Wazanzibar this our time

  • @MohamediSuleimani
    @MohamediSuleimani 16 วันที่ผ่านมา

    Docta mwinyi mitano tena tokeni hapo na porojo zenu kwanza wewe jusa ni mwizi hata maalimu seif alikuwa anakujuwa kuwa ni mwizi

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 19 วันที่ผ่านมา

    ZABUNI UKIMPA MZANZIBAR...ATA HARIBU ATAFANYA KWA MAZOEA ....WASIPEWE KWANZA WAJIFUNZE ...UZALENDO

  • @issabuyu7344
    @issabuyu7344 15 วันที่ผ่านมา

    Acha uonge ww mzee....kwan maendeleo huyaoni au vp

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 21 วันที่ผ่านมา

    Mpuuzi huyu,hamjaiondosha CCM wakat maalim Seif yu hai mtaiondosha wakati amekufa?hap Zanzibar hakuna chama chengine chochote kitachotawala zaid ya ccm

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 21 วันที่ผ่านมา

      Labda kwa kuuwa kupiga.

  • @uchumi_enumerator1
    @uchumi_enumerator1 21 วันที่ผ่านมา

    Mbona hamuoneshi wanachama wenu kwenye huu mkutano mzee au kuna ttz kwa bwana mdogo

    • @kassim1262
      @kassim1262 21 วันที่ผ่านมา +1

      Hapo hkuna watanganyika hapo kuna wznzbar tu wla hkuna walevi hapo wala wahuni wala wtoto waskuli wala vikosi wnaovalishwa sare za ccm 😂😂😂

  • @AllyKija
    @AllyKija 21 วันที่ผ่านมา

    Huo ni ubaguzi sana mnaotaka kuleta hio chuki mnayotaka kuileta dhidi ya wazanzibar na na wabara je yeye mnataka kumlejesha eti huko mnako sema katoka Kwani yeye Hana haki na zanzibar

  • @husseinabdallah7672
    @husseinabdallah7672 21 วันที่ผ่านมา

    Yaan mwenye akili aambiwi tizama. Ww pakuka hupajui unakaa kwenye majumba ya michenzani. Halafu upewe nchi mhhh Wacha uchoko huo. Dr mwinyi milele. Usituletee porojo lko.

  • @Jal210
    @Jal210 20 วันที่ผ่านมา

    Hamuwezi nyie wahuni tu Pizza

  • @BakaryOmally
    @BakaryOmally 16 วันที่ผ่านมา

    Jusa wewe asili yako ni wapii jusa sio jina la zanzibar km ni hivyo sema hampati kitu nyinyi ni wa zero tuu

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 21 วันที่ผ่านมา

    Tupeni sera jamani matusi na rusharoho hatutaki. Hamna la kusema mpaka mrejee ya wengine. Weye ndio humtaki na weye peke yako mnafik. Tupe sera hatutak8 yaliopits na kunukuu ya wengine

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 21 วันที่ผ่านมา

    Mtang'oa meno au mapumbu yake kama ulivyong'olewa weye huna pumbu hata moja.

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 20 วันที่ผ่านมา

    Ukisikia kifo cha mashaka ujuwe ni wa upinzani

  • @hamednassor9499
    @hamednassor9499 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nyinyi semeni lakini ukweli usiopingika raisi mwinyi ni jembe na hakuna wa kuchukua nafasi yake mitano tena. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni chapa kazi rais wetu huwezi kupendwa na watu wote

    • @suleimanmohd.7197
      @suleimanmohd.7197 21 วันที่ผ่านมา

      Wwzanzibari ni wwchawi hata uwafanyie nn hawaridhiki wanataka wale watoto wao ndio waridhike. Munataka mamlaka ili mubaguwane? Muliichukua nchi kwa waarabu kwa ushenzi wenu mukaipeleka kwa nyerere na mutaishi maisha duni mpaka dunia itaisha😂😂😂😂😂

    • @RamadhanMkolombia-d8n
      @RamadhanMkolombia-d8n 20 วันที่ผ่านมา

      CCM oyeeeeeee

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 20 วันที่ผ่านมา

    Na tutamngoa kweli arudi kwao kibaraka

  • @abufeiy
    @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา

    Hebu nifahamishe kwani wewe Mzanzibari ki vp?

  • @SuolFat
    @SuolFat 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa Kila anae coment kumuunga mkono mwinyi huyo Soo mzanzibar

  • @MohamediSuleimani
    @MohamediSuleimani 16 วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu hapo porojo tu hamna kitu katafuteni kazi mfanye kwanza wewe juza ni mbaguzi sana wewe ponjoro huna lako hapo mpuuzi tu

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 21 วันที่ผ่านมา

    Chizi

  • @SaidOmary-fd3bj
    @SaidOmary-fd3bj 21 วันที่ผ่านมา

    TATIZO LIPO PALEPALE TUNAPENDA KUSEMA BILA KUFIKIRIA.

  • @SmilingTropicalSailboat-op2jk
    @SmilingTropicalSailboat-op2jk 21 วันที่ผ่านมา

    mm nachoka na hutba zao hawa wababa hawawaonesh wat voo mm kwetu rodi wanapita basi mbili t hawazidi na mziki ktk keri yao bas

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 21 วันที่ผ่านมา +2

    WATU WA BARA WARIDI KWAO

    • @MohamedShaksi
      @MohamedShaksi 21 วันที่ผ่านมา +1

      Kauli dhaifu ya kijahili

    • @MuhidiniNassor-w3j
      @MuhidiniNassor-w3j 21 วันที่ผ่านมา +1

      Na Sisi wapemba JEE!!!

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 21 วันที่ผ่านมา +1

      Kauli ya kipuuzi sana .. umetumwa si bure ..

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@MohamedShaksiSi kauli dhaifu na wala si ya kijahili. Kama tunavyosema mkoloni muengereza na muarabu walitoka kwao, na tukaona hawafai, waondoke, na mtanganyika naye hafai aondoke tu, kama ni mtu mzuri mbona siku za uchaguzi huwa anatupiga wenyeji na kutuuwa ili mtoto wao tu awe mtawala.
      Aache kutupiga na kutuuwa kama wakoloni waliopita, arudi kwao.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@Sheba4651😂😂😂😂 kakojoe ukalalee ... Zanzibar ni njema atakae na aje kama sisi tunavyoenda kwa wengine , ubaguzi na roho mbaya hii inchi si ya mama ako Wala baba ako 😂😂😂 .... Allah katuumba tuishi popote kwa kumuabudi yeye pekee . Peleke utumbo kwa wabaguzi wenzako wivu tu n chukiii ndo zinakusumbua

  • @MAUDERE-r1m
    @MAUDERE-r1m 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hao unaoshirikiana nao si ccm kwani ccm wa kweli hawewezi kufanya hayo we jussa unatapatapa tu

  • @KhajiMwinyi
    @KhajiMwinyi 18 วันที่ผ่านมา

    Wadanganye wajinga wenzio wewe kwenu wapi? Mwaka umefika subiri October ifike kamamtapata hata kiti kimoja

  • @abufeiy
    @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา

    Broo mimi sijakutukana kwasababu najuwa fika kama ulipokuwa mdogo wenzio walikuwa wanakuinamisha sasa kama unaona hutujuwi unataka tukutolee aibu zako basi sawa

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 21 วันที่ผ่านมา

      mtu akishindwa hoja huja na matusi kama ivo wewe.
      jenga hoja kaka matusi waachie mabarazuli.

    • @abufeiy
      @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา

      Broo mfahamishe basi huyo aloanza kunitusi ama huoni unasoma comet zangu tu?

    • @abufeiy
      @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา

      Ukijifanya mwamba wa kuongea basi kila mtu anajuwa kuongea sisi tunajenga hoja sasa hayo matusi ya nini sasa mtu akijubu msiumie kwambie na yeye ajenge hoja na sio Matusi sawa Broo?

  • @abufeiy
    @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา +2

    Wacheni unafki na kuganganya Watu wambieni watu ukweli

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 21 วันที่ผ่านมา

      Si tulijua ww ndo utakuja kutwambia ukwl

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 21 วันที่ผ่านมา

      Sawa ww mtanganyika

    • @abufeiy
      @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา

      Unaniangalia kwa woga mimi mtanganyi mimi anangalia maendeleo sio porojo za watu

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 21 วันที่ผ่านมา

      @abufeiy kwamaendeleo gn ulokua nayo njaa mpaka shingoni, wenyew watanganyika mnapenda siifa wenyew

    • @abufeiy
      @abufeiy 21 วันที่ผ่านมา

      Hivi hao watakao kuja watakuleteeni pesa majumbani ? Halafu kama maendeleo huoni mambo yote hanayo hanofanyika basi sikiliza tu hizo porojo