MwanaFA - Bado Nipo Nipo (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 119

  • @udizungwahimalaya5213
    @udizungwahimalaya5213 ปีที่แล้ว +10

    Kama umemuona mpoki dondosha like chin apo

  • @edwinragama5467
    @edwinragama5467 ปีที่แล้ว +19

    Ngoma safi sana Mwana FA, listening to this vibe @2023

  • @wazirimwanazuoni5567
    @wazirimwanazuoni5567 21 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa anajua kutunga aisee. Mwaka 2008 aliachia ngoma kali sana: Bado Nipo Nipo, Habari ndio hiyo, Nangoja Ageuke.

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 ปีที่แล้ว +9

    Shabiki yako mkubwa Sana kutoka Kenya Mzee Baba binamu

  • @butchaureofficialmkimbizi987
    @butchaureofficialmkimbizi987 8 หลายเดือนก่อน +6

    Ni mwaka sasa 2024 Lakini Ngoma kila siku nasikiliza! I miss Blandina in Game Of Love❤

    • @rafikifurniture5651
      @rafikifurniture5651 5 หลายเดือนก่อน +1

      Sio peke yako hapa Bado nasikiliza

  • @salumugidion
    @salumugidion 5 หลายเดือนก่อน +5

    Jamaa ni Naibu Waziri sasa 😊

  • @alberthassan5896
    @alberthassan5896 ปีที่แล้ว +3

    Mwana FA bado is The Top hip-hop Artist Of All Time Swahili Rap Oh bro Uko On Top Binamuu mwenyewe

  • @edwinojiambo3899
    @edwinojiambo3899 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wimbo huu wafaa kufunzwa kwa mashule

  • @ismailbakali7375
    @ismailbakali7375 ปีที่แล้ว +4

    Unajua sana na hyo style yako ya uwimbaji

  • @edwinojiambo3899
    @edwinojiambo3899 ปีที่แล้ว +4

    Hivi waezaufanyia huu wimbo mastering tena? One love kutoka Kenya

  • @joselyneirankunda5212
    @joselyneirankunda5212 ปีที่แล้ว +5

    Love from Burundi 🇧🇮 all the way in Fizzo Fans Family and BantuBwoy Entertainment

  • @ShiraziMbaraka-ih4nk
    @ShiraziMbaraka-ih4nk หลายเดือนก่อน +2

    Ngoma inaishi sana hii 🔥🔥

    • @CHRISTINAMAGASI
      @CHRISTINAMAGASI หลายเดือนก่อน

      Mimi naona afanye remix ...Ile viewers TH-cam 100M

  • @brayanbaraza5164
    @brayanbaraza5164 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ukigongewa unatafuta mnyonge umgongee bana maisha yaende😂😂😂

  • @LinusLembeni
    @LinusLembeni ปีที่แล้ว +2

    Aahhhaaahaaahaa kumbe kweli ni mpoki nikajua ni macho yangu ndo mabovuuu 😂😂😂

  • @MathewBernard-j3p
    @MathewBernard-j3p 8 หลายเดือนก่อน +4

    2024 mpo?

  • @Sonkoloo
    @Sonkoloo ปีที่แล้ว +2

    Mwana Fa afathali kaka braza,naomba utoe ngoma lingine

  • @paulmuturi1349
    @paulmuturi1349 ปีที่แล้ว +2

    ollah hilo debe aliitia🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bm_traders1377
    @bm_traders1377 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bhana wewe 2024 lakin mistari ya hii ngoma ina ishi vitu vipo

  • @weyayu6914
    @weyayu6914 ปีที่แล้ว +3

    Naomba likes Zangu 17/Sept 2023❤❤ falsafa

  • @Scobo646
    @Scobo646 ปีที่แล้ว +3

    2023 na Bado nipo nipo sana💥

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 ปีที่แล้ว +11

    Mwana FA side is always fireworks 🎆 love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @benjaminmangu4833
    @benjaminmangu4833 ปีที่แล้ว +3

    Mh Naibu waziri, hivi bado upo upo sana mpaka sasa? 😄😄😄

  • @erikmayeku7003
    @erikmayeku7003 ปีที่แล้ว +1

    This was my song back then in 2009 na mpaka leo bado nipo nipo sana

  • @Pascalemilist
    @Pascalemilist ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzur sana mwana farsafa tupo pamoja2023

  • @kaizambagwa5128
    @kaizambagwa5128 ปีที่แล้ว +1

    Mwana Fa pande za mwanza nakuelewa sana mh

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 ปีที่แล้ว +4

    Binamu hili ngoma ilikua uvute video mpya Mzee baba

  • @antoninah2961
    @antoninah2961 ปีที่แล้ว +2

    Mwana F A na AY those days 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪👍

  • @aminasaid9382
    @aminasaid9382 ปีที่แล้ว +2

    I say umeweza❤❤️‍🔥👍

  • @petermahimbo3458
    @petermahimbo3458 ปีที่แล้ว +2

    Nisione wakati naibiwa, bado nipo sanaa

  • @dehfirstlady12
    @dehfirstlady12 ปีที่แล้ว +1

    kumbe mwana fa n huyu ...nyiee Umri unaenda

  • @shabilyjaha4438
    @shabilyjaha4438 ปีที่แล้ว +2

    Yan. Mpaka,. Mseme🇹🇿. 2032❤

  • @cyrusdevirus
    @cyrusdevirus ปีที่แล้ว +3

    1st April 2023 these one a classic still vibing to me these one

  • @franklineemacar4734
    @franklineemacar4734 หลายเดือนก่อน

    2024 ManaFA unaoa lini? Bado nipo nipo kwanza,

  • @RajabYussuf-m2m
    @RajabYussuf-m2m 2 หลายเดือนก่อน

    Ndo nakuelewa october 21.. 2024.. Nisamee mheshmiwa😢

  • @jeanpaulkalume1329
    @jeanpaulkalume1329 ปีที่แล้ว +1

    ADA ⛽ 🇨🇩🤞🏼

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bado nipo nipo kwanza ❤😊

  • @Hamirazy26
    @Hamirazy26 3 หลายเดือนก่อน

    Hii nyimbo miaka inaenda ndo kwanza inazidi kuwa mpya🎉

  • @poletimothy7539
    @poletimothy7539 8 หลายเดือนก่อน

    From 2008 upto 2024 the lyrics and music hits on a different level

  • @elsamorito7405
    @elsamorito7405 ปีที่แล้ว +5

    Old time classic

  • @phoncechriss
    @phoncechriss ปีที่แล้ว +1

    MP bado yuko lit 2023

  • @rodgersmbaga9236
    @rodgersmbaga9236 ปีที่แล้ว +2

    Hii suti umevaa bila shaka haukuwa yako

  • @patrickandika3676
    @patrickandika3676 หลายเดือนก่อน

    Mwana f.a was the best second after chidi Benz..

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 8 หลายเดือนก่อน

    Wote Mngejikusanya Woteee Mliopo Kwenye Mziki huu Mkatoa Tena Wimbo wa Kufundisha Mkaua Mziki wa Matuc

  • @Ben_Kunga
    @Ben_Kunga 3 หลายเดือนก่อน

    Bado nipo nipo 2024

  • @ImaniMwalimu
    @ImaniMwalimu 8 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda 😂😂😂😂alilala na bibihalusi sikumoja kabla ya halusi nawala sio bwana halusi nabado mnanishauli halusi❤❤❤❤❤

  • @davidkokomushagalusa6566
    @davidkokomushagalusa6566 ปีที่แล้ว +2

    Kali kali 🔥🔥🔥

  • @wazirimwanazuoni5567
    @wazirimwanazuoni5567 2 หลายเดือนก่อน

    Kali kuliko

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 ปีที่แล้ว +1

    Noma unusu Kaka Fa

  • @JaxsonLukuwi-hi8pr
    @JaxsonLukuwi-hi8pr 6 หลายเดือนก่อน

    Bado nipo nipo kwanza 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kreshmula
    @kreshmula ปีที่แล้ว +1

    Bado nipo nipo kwanza

  • @MrNicho2011
    @MrNicho2011 ปีที่แล้ว

    Bado tupo tupo hadi leo.

  • @yvng_gboy
    @yvng_gboy 6 หลายเดือนก่อน +1

    Living Legend🔥🔥

  • @inspirationmessages8420
    @inspirationmessages8420 ปีที่แล้ว +2

    No 1

  • @terrieblieyz4818
    @terrieblieyz4818 7 หลายเดือนก่อน

    Zamani nilikua nainjoi mziki sasa hivi nimekua naelewa mashairi.

  • @evansgeryon420
    @evansgeryon420 ปีที่แล้ว +2

    Listening on march/2023

  • @osumokeverenge7573
    @osumokeverenge7573 ปีที่แล้ว +2

    My all time favorite

  • @hilaliseif9256
    @hilaliseif9256 ปีที่แล้ว

    Dah kk unajua mpk unajua tena

  • @safarirodriguez4141
    @safarirodriguez4141 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu Mwana Fa

  • @homeboy2449
    @homeboy2449 ปีที่แล้ว +2

    Bonge la ngoma 🔥

  • @Dennybwoy4072
    @Dennybwoy4072 ปีที่แล้ว +1

    Hilo bango utahisi bado lipya

  • @BienfaitKazamwali
    @BienfaitKazamwali 10 หลายเดือนก่อน

    the best song ever!

  • @erickikumu5600
    @erickikumu5600 3 หลายเดือนก่อน

    I love this song walia since 2009

  • @SPIRITUALGROWTH-wm4xd
    @SPIRITUALGROWTH-wm4xd 4 หลายเดือนก่อน

    Nakukubari sana mheshimiwa

  • @nyarango85
    @nyarango85 11 วันที่ผ่านมา

    Mimi sikooooo

  • @otreymaiko7703
    @otreymaiko7703 ปีที่แล้ว +1

    Choirmaster

  • @NatashaChebukati
    @NatashaChebukati หลายเดือนก่อน

    Kwa sasa this song ina make sense sana nikama uliimbia kizazi iyi ya Gen Z

  • @denisagesa6499
    @denisagesa6499 ปีที่แล้ว +1

    Mistari kutamba tu

  • @PeterNyanda-v4l
    @PeterNyanda-v4l ปีที่แล้ว +1

    Respect sana

  • @rukiakhalfan6447
    @rukiakhalfan6447 7 หลายเดือนก่อน +30

    Anyone in 2024

    • @danmunjaru8984
      @danmunjaru8984 6 หลายเดือนก่อน

      Nipo nipo sana

    • @upendogerlad594
      @upendogerlad594 6 หลายเดือนก่อน

      👍👍

    • @lonnychen2466
      @lonnychen2466 6 หลายเดือนก่อน

      Utaoa lini?? 😂

    • @eduzcrisefth4049
      @eduzcrisefth4049 5 หลายเดือนก่อน

      we here, Mami....reject finance bill😂

    • @benonkwesiga1952
      @benonkwesiga1952 4 หลายเดือนก่อน

      Listening from UG

  • @Rabbiereign
    @Rabbiereign ปีที่แล้ว +1

    Leaving legend

  • @ABDERHMANNASSORO-ib5mz
    @ABDERHMANNASSORO-ib5mz ปีที่แล้ว

    Nov 27 Kama imetoka jana

  • @MathewBernard-j3p
    @MathewBernard-j3p 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo chidi bado hajawa chizi

  • @godfreyodari9954
    @godfreyodari9954 ปีที่แล้ว

    rudi utuimbie siku hizi hakuna kitu tunaskiza

    • @JUSTUSWANGILA
      @JUSTUSWANGILA ปีที่แล้ว

      Exactly,,nyimbo za siku izi no!!!

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 7 หลายเดือนก่อน +1

    Muheshimiwa ushoa sasa au bado upo upo 😅😅😅😅

  • @patriccharles7342
    @patriccharles7342 ปีที่แล้ว +2

    I was about to get married next year so i came for this song first na nmehairisha😂😂

  • @starvista823
    @starvista823 ปีที่แล้ว +1

    Mpoki katisha

  • @ericodavile7070
    @ericodavile7070 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂nasaka mnyonge bado nipo nipo 😅😅

  • @Pascalemilist
    @Pascalemilist ปีที่แล้ว

    Ety nizibe maskio wengine nifumbe macho nisione wakat naibiwa

  • @NuruAshery
    @NuruAshery 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @constanciomarcos5484
    @constanciomarcos5484 ปีที่แล้ว +1

    mwana

  • @haruningiliule7606
    @haruningiliule7606 ปีที่แล้ว +1

    2023 na nairudia

  • @mohammedmhina3973
    @mohammedmhina3973 ปีที่แล้ว +3

    Hv hii ilikuw 2008 au 2009?

  • @bowattanga
    @bowattanga ปีที่แล้ว

    FIREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!

  • @abdul-rahimkadhi766
    @abdul-rahimkadhi766 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    2025 stl ni ht song

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 ปีที่แล้ว +1

    nakubal

  • @westcijosh
    @westcijosh 19 วันที่ผ่านมา

    Nlikua sielwagi kiivyo sana ila saiv nmekua mtu mzma naelewa .hii nymbo itaishi milele

  • @Manilabonaangelo
    @Manilabonaangelo 7 หลายเดือนก่อน

    Ukiona unamegewa na wewe tafta munyonge wako haijalishi kwamba unalipa lakini unarudisha hadhi ya kiumeni 😋

  • @SlsProductionTz
    @SlsProductionTz ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥

  • @AbduBadru-ch1uw
    @AbduBadru-ch1uw 3 หลายเดือนก่อน

    2024 gonga like naongea na wewe

  • @msangioffice5007
    @msangioffice5007 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ata unishkie bunduki

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 ปีที่แล้ว

    2023 FA

  • @SuleimanSalum-kk7xx
    @SuleimanSalum-kk7xx 4 หลายเดือนก่อน +1

    Me Mr Saloom

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 ปีที่แล้ว

    Miwani mikubwa, Suruali babu kubwa lakini kwa sasa miwani midogo kama doctor wa mifugo😅😅😅

  • @jacobkennykaganda1311
    @jacobkennykaganda1311 ปีที่แล้ว +1

    what happened hii ngomatena imekua uploaded last 3weeks ?????????

  • @bakariabdulirasuli9804
    @bakariabdulirasuli9804 2 หลายเดือนก่อน

    18'11'2024🎉

  • @gloriaatieno4032
    @gloriaatieno4032 ปีที่แล้ว +1

    This song is fire 🔥

  • @audy_2013
    @audy_2013 หลายเดือนก่อน

    Wakimeza demu wako ......😂😂😂😂😂😂

  • @rashidtimbula7221
    @rashidtimbula7221 ปีที่แล้ว +1

    😮

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 3 หลายเดือนก่อน

    Anyway 2024 August

  • @osanoobiri
    @osanoobiri ปีที่แล้ว

    September 2023