STAMINA FEAT PROFESSOR JAY & ONE SIX - BABA (OFFICIAL VIDEO) SMS SKIZA 7917152 to 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
- Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/stamina...
Written & Performed by Stamina
Follow Stamina on:
/ staminashorwebwenzi
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Narudia Tena mtanisameee na team zenu hizi ndo nyimbo zinatakiwa kutrend bongo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Iko namba moja sahivi
Kuna watu mpaka waimbe matusi! Ndo watrend
@@ikrampoppe141 yaaa man
@@Fgldesigns 🙏🙏🙏🙏
true
Nimerudia kuitazama zaid ya mara ya 5 ila huyu ONE SIX ni bonge la chorus maker 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ameuaa one six
One six ni noma sana
Jamaa anajua san
Kama umeona kiabango kimeandikwa masikini Diamond tujuane hapa
Tuliokuja kuurudia 2024 nipeni like zangu 🔥
Dear my president Magufuli( Hero),i remember you through this song😥😥😥😥😭.Rest in peace Baba, we are missing you😭😭
One six one si one six nimemuita mara tatu ebu gonga like apo kama umeuelew the best chorus maker
Hapo hata linex mjeda angefunika pia
Nampa g nako namba mja one six anakuja vizurii
@@KingKong-db9zv hapna Yule muha hapo apamfai six kauwa
Who's here after The President said this is one of his favourite song's in Tanzania 🇹🇿 much love from KENYA 🇰🇪.
Mimi hapa 😃✋
I am here!
Me too🤣🤣🤣🤣
Me too
Am here
Kama wewe ni mkenya na unaukubali huu wimbo,ngoga like msela
Mm jamn kiukweli nampend cn
Hii Ngoma imeweza Kenya nzima kila kona wimbo n huu 🇰🇪 safi professor Jay na Stamina endeleeni kuelimisha jamii 🔥🔥🔥🔥
Kama umeona UJUMBE umewafikia wakina NYANGE au wakina DANGOTE.. NIPE malike zaidi na zaidi.
Simon binagwa
Tujuane tuliokuja kuingalia baada ya kumskia mkuu akiongelea hii ngoma
Stamina is such a good lyricist.,the message is top norch. Big fan from Kenya 🇰🇪
Prof J my all time best musician. This one you've killed it. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimb wa Taif ...Mpk JPM kauelewa Gong lik Twend xaw🔥🔥🔥
Waliosikia korasi ya one six zetu apaaaaa jmn...🎵🎵
😂😂😂th-cam.com/video/kGY6Tp8Du3E/w-d-xo.html
Anajua sana
Salute kwa Stamina and professor Jay. Much love from Kenya. Hii ngoma naikubali. 🇰🇪. Watanzania twawapenda sanaa sisi wakenya.
Sisi ndugu kaka
Kwel nas twawapenda sana wakenya
@@justine8742 Shukraan.
Nasi twa wapenda pia
Bongo vipaji ni vingi mnooo
Mwenye amekuja hapa baada ya kauli ya Mzee Magufuli, gonga like tujuane hapa. Love from Uganda 🇺🇬
Waliokuja kuangalia hii song baada ya kuombwa na Rais gonga like hapa
✌🏼
Me
Tupo
Jamaaa ametisha hatareeee..
ata mimi nilikua siijui
"Hebu toa bangi zako aliyekuambie usisome ni nani?"
Likes za Prof. J zikam👍
254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂th-cam.com/video/kGY6Tp8Du3E/w-d-xo.html
🇰🇪 atoe dom hapa😃😃
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Nami nimecomment baada ya President Uncle Kuikubali. Hongera kwenu. Nyimbo bila kiki inawezekana Tanzania 👏👏👏👏👏👏👏
Am here for the first tym after JPM chose this song!love from 254🇰🇪gonga lyk tukisonga
Waliokuja hapa kwa kuwa JPM ameuchagua wimbo huu akiwa anazindua studio ya MAGIC FM!! Ila wimbo huu umebeba ujumbe mkubwa Sana!!!
Sanaa
Hata mie nimekuja baada ya jpm kuutaja
Tumekuja kwel
Sana nipo naangalia tena
Mh rais anaisikiliza ndani ya channel ten pongezi kwa jpm rais wetu mpendwa
We ni nooumaaaa 👌👌👌👌👌
Uzuri wa ngoma za profesor J unasikikiza na watu wa lika zote (Familia) na zina meseji kwa jamii ... Hongera sana Profesor kwa kutupa ujumbe mzuri Keep up it
Mi Mkenya, naheshimu Tanzania na mashahiri yao and good story telling. Stamina, Prof jay (currently an MP) na One six, nawafulia kofia.
Naomba Basata wampe tuzo ya heshima profesa J
Huyu ndio legendary bora wa hip hop Tanzania
naona kama raia hawamuoni ONE SIX ivi kwenye hii ngoma... ila JAMAAA kiukweli AMEUA.
NGOMA KALI. KICHUPA KINAENDA na maudhui. aiseee ni FIREEEEEEE
You cannot produce a hit song when you don't feel the song itself. Many artist fail to understand singing and fun they sing for fun instead of singing from their emotions. The reason professor Jay has been in industry for many years he knows this secret. I see Stamina knows this too whenever he goes to studio he produce a hit song. One Six not only he sings the chorus but you can tell he sings from the bottom of his heart. I love y'all this song ain't just a song but a lecture to all of us
All of Stamina's songs leave you emotional, they have a clear protagonist and antagonist- this is art, this is what music should do: evoke strong emotions!
@@robertmuendo9540
Well said brother
Quality music
Nice song indeed though I don't understand the language.
Daa nipo pilika sana hadi anko magu ndio amenistua kuwa kuna wimbo huu, hongera my president magufuli
Utajua thamani ya Baba vizuri mpaka pale ukiwa baba. Ndiyo siku utakayoacha kumchukia na kumlaumu Baba yako. Thanks Legend One six and Stamina
Well said
like kama umerudi apa baada ya Magufuli kurequest hii nyimbo
Hii nyimbo kali ina ujumbe mzito Ila toka imetoka ilikkua inasua sua mpka magufuli kaichagua kma ngoma yake bora ndo watu wakaamka kuanza kuitazama 🙄🙄 bongo mziki mzuri hausapotiwi hta kdg ila ile ya hovyo ya akina naniiii ndo inatrend balaaa na haina ujumbe wwte..
One six is the next Ferooz, his vocals are on point in every chorus
Bt to me he sounds like linex
Nakubali 👊🏼
Ngoma kali hii, inaonyesha Prof J bado shujaaa na anaendelea kuongoza East Africa nzima.
Rais wangu Dk John pombe magufuri umenisababishia kusikiliza huu wimbo leo tarehe 25.02.2021
Tuko wote nami nimesikiliza Leo baada ya laisi kauomba
wallah hata mie mimerudia kuisikiliza tena baada ya rais kuipromo
Bless
Km mm hii tarehe uipende mwenye wimbo👌😂
Hata Mimi Jamani
Wangapi tupo apa kuskiliza ngoma ya stamina baada ya kuskikia jpm ameipenda gonga like apa😄😄
Daaah amaaaah kweli Magufuli hakosei kitu yaani hadi wimbo alio chagua unaendana na maana ya kuwa kiongozi bora......Nchi yetu ni chaguo la mwenyezi Mungu kazi kwetu
Hii ngoma wangapi wamemwelewa huyu jamaa ana mwambia naogea nawee aogea naweeee
Nimerudia ii ngoma zaidi ya mara kumi..si nipewe likes mbili tu☺️
Dah hameimba sn
We jamaa zizd sasa zngine nigaie mm
A@a@a@@%@@ki se on more 8 ko ni lol my
Nilimiss ngoma za kikubwa kama hizi! Safi sana, Stamina.
Kama si aliyekuwa Rais wa awamu ya tano huu wimbo mkali nisingeujua.🙌🙌🙌🙌🙌
Salute kwenu makamanda watatu; Pro J, Stamina na One Six 👊👊👊
RIP comrade Magu. 😔😔😔
I honestly didn't know this song till I heard JPM talk about it today...love from 254🇰🇪
Hizi ndo ngoma za kuelimisha tunazotaka,rest in peace magwea,way bak miaka hiyo,,,
Stamina huimba Hali halisi ya maisha nipeeni like wadau⚡⚡
Mmmh
baba we love doctor jpm the hero of Africa, eastafrica at large and all the world baba tunakukumbuka kwa mazuri sio mabaya ulale salama
This song speaks alot of sense much love from Uganda🇺🇬🇺🇬
Uko very breath
Wababa tunaonewa Sana nivile tu Tumeumbwa kuyameza Magumu. Gonga like kwa Wababa wote.
Prof jay umeamua na wewe uvunje ukimya kama mama Diamond mnatuchanganya jamniiiiii, kama umeliona lisemwaloooo tulike hapo
Daaa hapo nime umia saana lakini hapo alipo sema pombe ziridhi hadi maini na kweli Prof akaigua maini? Daa stamina hapo tumuheshimu mungu❤
JPM loved this song, rest well best president, father, mentor, hero. In our hearts forever ❤️❤️❤️🇰🇪
I love Tanzania's contents they are musicians NOT singers ...get the difference!.... From Kenya spreading love only!!!
Sans2
Ebana ngoma Ni nzuri sana
They do arts, they do really reflect what society find out
Totally true
@@24seventv99 ...yah and they do what they are best at!
Nyimbo za aina hii ndizo zinazopaswa kuimbwa na wasanii wetu, sio matusi daily na nyimbo za kijinga jinga. Heshima kwako Stamina kwa ubunifu uliowekeza humu ndani, ingawa ulitaka kumzingua mshua wako, lakini ukubwa dawa Profesa Jay akakupiga knock out ya kibabe. One Six, umepiga Kona za hatari kwenye kolasi, much respect all of you guys.
God help this greatest east african talent ever look at this,NDIO MZEE,SIO MZEE,STAREHE,CHEMSHA BONGO,etc these are one of the best hits ever and i know pipo will appreciate his talent when he is gone god forbid. You must recover proff
Cognate pr. Jay it's true in our life. vijana tunavuta bange sana harafu baadae tuna walaum wazazi hususani baba.
Saluti sana #☆☆Stamina.
This Song is really Deep and It's also a lesson to Young parents like me that we must work hard and give Our Children the BEST we can Bure tutakuja laumiwa... 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
True say brother
True
And don't forget to teach them the right way to go coz you have experienced. Giving our kids only the BEST it's not Enough Bro.
True
true
Mimi hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naomba sehemu ya pili alafu jay mpe verse mbili 🔥🔥🔥
The chorus is great such a nice song!!! I miss you Magufuli
Kusema kweli huu ni mzuri sana, marehemu Baba yetu magufuli hakusema Uongo. Huu utakuwa kumbukumbu kila ukichezwa nitamkumbuka Mh. Hayati JPM r.i.p ma president!
Bonge la ngoma pia inafundishoooo makubwaaa kama umeelewa weka likeeee yakooo hapaaa
Kiukweli wabongo tumemisi nyimbo kama hizi burudani plus elimu, bonge la hit song Mbunge uliyeibiwa kura big up..... Hii lazma ikae ikae on trending mwezi.
Mtoto katafuta jumba bovu la kuangushia lawama, mzee ka kataa kua jumba bovu.. One six killing it on the chorus.👏
Stamina I think u should just open a music school bcoz u are on another level u understand the definition of art .Much love bro from 🇰🇪🇰🇪
One six ft Roma one six ft stamina, one six ft roma_anaitwa Roma song dah! Huyu mwamba namkubal co poa chorus anaumiza vibaya mno🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jamaa waga ni jini huyu haiwezekan kila akiwekwa anaua vile
Huyu onesix 😍
Anauwa mzee ile Mkombozi Dah nilikuwa najaribu kumjua huyu kijana yuko vizuri ile mbaya...
@@joeaub2185 Tena hatar xn huyu mwamba
@@shambaprojects488 jini huyu mtu
Msanii wangu bora wa muda wote Professor Jay
Mh. Magufuli, Rais bora sana kwa sasa duniani. Anajua siasa na wala sio siasa za maji taka, ni siasa za nia njema. Ndo leo nimejua kuna huu wimbo
Hata mimi ndo nimefahamu baada ya Rais kuomba nilikua siujui kabisaa Hongera stamina kazi nzuri tumechoka na viswaswadu vyao
This song deserves many views guys east africans where a you this is a a hit
Professor kalea mtoto sio damu yake alafu anakuja kubwatuka bwatuka nakubali professor
Noma sana ila inauma pia
For real kind of music you make ukipoa kuna vingi tunakosa Brother.. crative art,, inspiring Motivating🎉🎉🎉❤
Stamina me nakukubali toka kitambo mpaka leo nazidi kuku wewe ndy umenifanya nipende hip hop pindi umetoa ngoma ya kabwela nilikua mdogo sana ndy nika kufaham stamina hama kweli weni stamina una hata baba yangu anapenda sana nyimbo zako
Tanzania have been blessed with a well talented youth. Prof Jay proved that he is a real Bongo flavour legend. Stamina is on 🔥🔥. One six u kill it. Wondering enough this good, ethical and moral song will never get enough viewers coz the lyrics are moral and the people are not naked. Watanzania aliyeturoga ni nani?
Sio tz tu hata mbele
Am from Kenya nakubali
Nakubali tz kuna talanta
All sides of the coin explained here. Kweli nobody should blame anybody. Good one @stamina 🇰🇪
Yani Kenya mshafika💕
Hapo Kweli
Daha aisee hiv stamina hihi ngoma mliimba kwaajili yangu au tupowengi maan umenigusa Sana mzee
🇰🇪🇰🇪🇰🇪☺️☺️😁😁
😁😁😁🇧🇱🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hii ngoma ni kali sana imeweza.
Huu wimbo umeimbwa maalum kwaajili ya diamond kwa alimvyomfanyia Mzee Abdul.
Hingera sana stamina kwa ngoma hii kuwa pendwa kwa mh Dr John Joseph Magufuli hizi ndizo ngoma zenye nyumbe ambazo wazeee huzipenda na hata wakuu wa nchii kwani unapoelimisha jamiiii hufanya kazi kubwa kwa taifa na kusaidia watu
Huu ndo muziki wa kusikiliza..... siyo yale matusi ya nguoni ya wale jamaa
Wananiuzi sana wale mabaradhuli, wao wanafikiri maisha ni all about sehemu za siri tu. Ni wale na majambazi. Mh. Rais kwapa za uso kiaina
Kwel wanaimba ujinga mtupu 👐👐
Wangapi tumerudi hapa baada ya mheshimiwa rais kuipromot hii ngoma like tujuane
Nimerudia mara mingi .. almost every week huwa nawatch hii nyimbo
Vipi stamina, ukija ground nipe like, much love from kenya
Who else is here after John Pombe Magufuli said that this is one of his favorite song
Tuko kimoja katika hili watanzania 😭😭😥
Mwenyezi mungu ailaze roho yake walipo wema peponi 🙏🙏🙏❤️
This song is on another level,I loved how Stamina has approched the song...Then legend Professor J...😍.....waah....wapi likes jamani... From Kenya🇰🇪🇰🇪
Huu wimbo mpelekee diamond jamani #stamina uliona MBali sana bro respect
Mara ya kwanza nmeiskia juzi kwa muha nilpoenda kupaka rangi za kucha.... 😍 #o good song... Kilichonileta huku ni mr. Jpm
Kunao tumezaliwa uswazi na kukulia huko, tuna maswali tungependa kuwahoji wazazi wetu tu basi, inabii tupambane vivyo hivyo, yaani hatuna cha kurithi zaidi ya jina la ukoo, lakini unahadithiwa namna baba alikua pedeshee enzi zake.
Mwanangu stamina unajua kaka....prof baba ya hiphop bigup mkuu
"Mwanangu nimekusikia Kua uyaone" hapo ndio kamaliza mtoto huwa analaumu tuu nakuelemea upande mmoja tuu huo mstari ndio umemaliza kila kitu
Ten baba zetu wanaptia meng n bas tyuu
kipingu
Weng tunaraum wazazi asahteni San kwakutupa burudan za ubunifu Jay na stamina na one xis
material nambie
Sana tu sisi wazazi wa kiume tunapia mambo mengi sana ya uvumilivu
UBUNIFU KAMA HUU UMEWEKA AFRICA KWA RAMANI YA DUNIA, MUCH RESPECT TO ALL OF YOU GUYZ
As a Kenyan i love bongo music because they take their time to compose songs and they sing from their heart and emotional that means they feel the song.That creates a ripple effect to the audience and their fans!Keep producing great songs prof Jay & Satima
Are we just going to ignore those vocals of the chorus guy, please give him a like for me.That chorus is lit.
Absolutely...... Goosebumps
One six massive
The guy have high class vocal
@@wittywayimba9617 ya get
Wanao SEMA Ihingoma ufikie mama diamond platnam na family yk like hp tujuwane
Hii ngome mahususi kwa familia ya mama dangote na mzee abdul
UMEUWAAA NITAFUT
Reality mama Diamond umesikia hii
😀😀😀😀
Noma saaaaaaan
This song is a Banger in Kenya...jay to to the world wakushow Nini bana
Big up Stamina, prof. Jay much respect...kama mkenya am loyal to good music, this is one great hip hop
hii nyimbo siku ya kwanza niliisikiliza kwa kutaka kujuwa inamuhusu nani, nikugunduwa mrengwa ni mke wa nyange na mtoto wao. sasa nimeirudia tena baada ya kuona rais kaielewa kupita maerezo mpaka kaamuwa kuipa promo hii konki masta, hongera kwenu stamina na profes jey mko juu 🙌🙌🙌🙌🙌 mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥 imepenya hiyo
Ngoma Kali tatizo wametuaffect na nyimbo za matusi na mapenzi hizi ndio nyimbo za kusikiliza hata na watoto
Good song president make apresion this song favorite so much🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Bonge la ngoma limepenya! Like za kutosha jaman leo mwenye nchi kaithibitisha ngoma kali mnooo.
i still remember the late president John Pombe Magufuli when listening to this hit..may he continue resting in peace
when two story tellers meet, what comes out is bombshell ,big up also to Laden
Chaguo la JPM hili👏👏 tia likes hapa.
Hajakosea kbs
Baada ya kusikia kisa Cha mama diamond na baba aliyekuwa wa diamond kujulikana sio baba halali wa diamond ukaamua kuja kuangalia huu wimbo weka like yako tujuane
mama dangotmh
Yaaaap
*Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini*
th-cam.com/video/LMMcOLVk4rs/w-d-xo.html
Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel
Kwahiyo mama Diamond alikuwa Malaya si ndio?
Ngoma umetoka kabla ya Mambo ya mond
Kumanina walai hii ngoma mwishooo ni kali dunia nzima tupa mbali mataila wanao imba matusi na kushindania ufalme usio kua na hekima. Nimemaliza
President wangu JPM kanisogeza kwa hii song. Much love kwa stamina na Jay. Wa chorus ame murder!
Kama unamkubali professor jay kwa vesee yake gonga like hapa
Njooi na huku kwa Simba la singeli
Tunaoamini hii michano Professor Ja ameumiza tu like hapa🙏
hivi hizi like za nn lkn mnaboa mjue
@@mramsayo1025 hahaaaaaaaaa
Bonge la ujumbe# tutoe sadaka tuzae watoto wenye ujazo wa baraka# Amina!!!
Wana Tanzania mna dhahabu Kwa rostam👍👍...mad love from kenya