POLISI WAINGILIA KATI KUFUKUA KABURI LA MTU ANAEDAIWA KUFUFUKA ARUSHA -KIBALI CHA MAHAKAMA CHATAKIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024
  • POLISI WAINGILIA KATI KUFUKUA KABURI LA MTU ANAEDAIWA KUFUFUKA ARUSHA -KIBALI CHA MAHAKAMA CHATAKIWA
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 162

  • @alfristricks7515
    @alfristricks7515 7 วันที่ผ่านมา +19

    Global hongereni, Columba Lebaba unajua kuhoji. Jamaa wa Millard "Ng'omba" anatoa habari nusu nusu. Anahitaji kuboresha taaluma ya kuhoji.

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 7 วันที่ผ่านมา +20

    Huyu atakuwa aliwekwa msukule akawa anafanyishwa kazi sokoni sasa ghafla kaponyoka akiwa anapelekwa kazini😅

  • @GetrudyGt
    @GetrudyGt 5 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu amtetee huyu Baba inaonekana Kuna jambo nyuma ya pazia Mungu makusudi yako yasimame kwake wale maadui wa siri wafe wao kwa jina la YESU.

  • @utotomtakatifuvingungutiparish
    @utotomtakatifuvingungutiparish 7 วันที่ผ่านมา +5

    Ukifuatilia vizuri, utaona marehemu amerudi na anadai shamba lake....vipi kama wanataka kumdhulumu shamba lake wakatengeneza mazishi ya mchongo?

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 7 วันที่ผ่านมา +13

    Nivizur wafukue waangalie kilichopo kwenye kaburi!!, Mambo kama ya Mkoa wa Kigoma yameanza!! watu wanakufa na kufufuka, chezea wachawi wew🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @lilotz-we7xq
      @lilotz-we7xq 7 วันที่ผ่านมา +2

      Kwahiyo kigoma tu ndo Kuna wachawi?sehemu zingine jee hayakuepo hayo
      Acheni kuwachafua wanakigoma

  • @vero57
    @vero57 7 วันที่ผ่านมา +9

    Washirikina wame feli, mwamposa safi 🙏🏾🙏🏾

    • @MouhammedSeif
      @MouhammedSeif 6 วันที่ผ่านมา +1

      Acha fikra potofu

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 6 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂 eti mwamposa dah mmelambwa sana

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 7 วันที่ผ่านมา +13

    Hapa hakuna uchawi, kuna mistaken identity tu

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 7 วันที่ผ่านมา +10

    Samia ni mama mwerevu sana naelewa sasa kwanini kamtuma makonda kuwa mkuu wa mkowa arusha,juu ni mkowa wa kwanza mtz wenye vituko vingi.tena vyakusisimuwa.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 วันที่ผ่านมา

      Kamtuma kwa manufaa ya chama chao ,kuvunja upinzani. Kwa akili yako unajidanganya

    • @samsonsimon3138
      @samsonsimon3138 7 วันที่ผ่านมา +2

      Hili jambo linahusianaje samia na makonda kw kufufuka jamaa huyu au wao do wamemfufua

    • @mnyama-xc8py
      @mnyama-xc8py 4 วันที่ผ่านมา +1

      Jamani Sasa mama kaingiaje hapo ,mbn kizaz hiki kimekuwa Cha kijinga hivi daaah

  • @katotoriznath6233
    @katotoriznath6233 5 วันที่ผ่านมา +5

    Dah na magufuli angefufuka tu jaman😢😢

  • @Official83640
    @Official83640 7 วันที่ผ่านมา +9

    Arusha na Kigoma kwa matukio ya ajabu kunaongoza Dar tunaongoza kwa kutekwa tu😂😂😂

    • @msakadoobongeladada-uh3sk
      @msakadoobongeladada-uh3sk 7 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂

    • @knight6757
      @knight6757 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂🇹🇿

    • @latifamubba100
      @latifamubba100 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @knight6757
      @knight6757 7 วันที่ผ่านมา

      @@latifamubba100 😂

    • @Zubaiba
      @Zubaiba 7 วันที่ผ่านมา

      😂,😂🎉🎉

  • @jaymwinyi6957
    @jaymwinyi6957 6 วันที่ผ่านมา +2

    Hyu mzee mbna amekataa, isijekua yuwahusika tu😂

  • @manlematz821
    @manlematz821 3 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu ni mzee sio kijana

    • @visionstudios6804
      @visionstudios6804 3 วันที่ผ่านมา

      Hii ndo comment nilikua natafuta

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 7 วันที่ผ่านมา +4

    Leteni manispaa tunachangia

  • @georgenkanawa7156
    @georgenkanawa7156 6 วันที่ผ่านมา +2

    Tutapeleka wapi ndo swali gani Hilo? KWAIO HILO KABULI LA MTU AMBAE YUKO HAI LIENDELEE KUBAKI HAPO ILII ??WAFUKUE WATHIBITISHE..

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 6 วันที่ผ่านมา

      Huyu mzee aeza kua yuwajua kinachoendelea

  • @godsonmasseri7622
    @godsonmasseri7622 6 วันที่ผ่านมา +1

    Welcome back brother tuendeleze mapambano 😂 utupe na stori za heaven 😂

  • @jesuittemba663
    @jesuittemba663 7 วันที่ผ่านมา +2

    Aisee

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 7 วันที่ผ่านมา +2

    Hiki kijamaa kinaongeaaaa mpaka kinakera

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 วันที่ผ่านมา

    Tz tupo nyuma sana hii habari ilipaswa kuwa kwenye vyombo vya habari vikubwa kama tbc, itv na maswali ya msingi yakuhoji ni uzembe wa mortuary ya mkoa kufanya makosa yakutoa mwili wa mtu mwingine bila kujirizisha vizuri, Kuna watu wapo sehemu wanatafuta ndugu Yao amepotea kumbe mtu alipata ajali na ameshaenda kuzikwa kimakosa.

  • @hendrymwita8436
    @hendrymwita8436 7 วันที่ผ่านมา +2

    😅rambirambi wialishagawana na msosi walishakula. Marehemu amerudia malipo yaliyomuaga😂😂 karibun Arusha home town city

    • @Sonia_abass
      @Sonia_abass 7 วันที่ผ่านมา +1

      Na urithi tumegawana

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 6 วันที่ผ่านมา

      Wakae wenyewe huko😂😂

  • @navioma4882
    @navioma4882 7 วันที่ผ่านมา +1

    Dho hatarii😢😢😢

  • @user-ex4hi7fj5c
    @user-ex4hi7fj5c 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu watu tunaoendaga kununua viwanja tuwe makini... Fikiria ndiyo waendako kununua KIWANJA na muuzaji ni Robert

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni 7 วันที่ผ่านมา +1

    Serikali inawapiga matozo kila siku alafu mnakaa kimya alafu mnakuaga mnanguvu Kwene mambo ya ujinga tu

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wazee ndoo wanakwamisha hili taifa kusonga mbere ndoomana hatuendaniii namda kisa hawa wazeee wazembe

  • @morningstarartproduction8436
    @morningstarartproduction8436 7 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi Izo taratibu zote, zilifanyika kwenye kufufuka Kwa yesu kweli??

  • @user-ft2vq5on6l
    @user-ft2vq5on6l 5 วันที่ผ่านมา

    Daa makonda awe pole wasije wakamtoa akili tu maaana Arusha bw salutee

  • @alitante4279
    @alitante4279 7 วันที่ผ่านมา +2

    Mwenyew ashasem hajafa nyie nani mpingee😂😂

  • @EdwardKisota
    @EdwardKisota 6 วันที่ผ่านมา +1

    Basi mchongo huo. Kama mnakataa kufukuwa kaburi

  • @MsodokiTheson
    @MsodokiTheson 7 วันที่ผ่านมา +2

    Usalama wa Taifa ni Idara yenye maarifa mengi sana

    • @lwakainaza
      @lwakainaza 5 วันที่ผ่านมา

      Ndio lakini haiwajibiki ipasavyo.

  • @christinamatai2408
    @christinamatai2408 7 วันที่ผ่านมา +1

    Duuuuuh!!

  • @user-sb7lz9xp4v
    @user-sb7lz9xp4v 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee wa boma anajua kilichozikwa uko kwenye kabur ndio maana anakataa lisifukuliwee

  • @LeahMkwabi
    @LeahMkwabi 7 วันที่ผ่านมา

    Walizika mtu ambaye siyo mlfanywa mazingaombwe😅😅😅😅 mshikaji alimkimbia makonda 😂😂😂 kaona upepo mzur wa makonda kaona ajitokeze😢😢😂😂😊

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu yupo moindeni jamani kaka wa watu, Mungu amemuokoa

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 7 วันที่ผ่านมา +2

    Au walinzika mtu siyo wao

  • @Zenamkuta
    @Zenamkuta 6 วันที่ผ่านมา

    Watu kweli wanajua kuloga😢😢

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli Hajafa.

  • @ezralameck4150
    @ezralameck4150 5 วันที่ผ่านมา

    Pastor lugha alotumia hapo duuh kwel chuga jau😢

  • @MukulasiKapela
    @MukulasiKapela 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa amekuwa yesu

  • @DM.2200
    @DM.2200 7 วันที่ผ่านมา +1

    Vizazi og na wadudu wameamua

  • @v.klightofficial6455
    @v.klightofficial6455 7 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ni kiki yule mzee anataka kutoa album yake ya kwanza😂

  • @jacobmwalituke8981
    @jacobmwalituke8981 7 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂 kitu kilichukuliwa msukule kikaponyoka😂😂

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 7 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 7 วันที่ผ่านมา +1

      Kimetoroka😂😂😂

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 7 วันที่ผ่านมา

    Wazungumzaji kweny hii habari wanaakili sana?

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 4 วันที่ผ่านมา

    Fukueni maana yawezekana walizika mtu tofaut bhana me siamini haya anafufukaje kwani ni yesu

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 5 วันที่ผ่านมา

    mwenyekiti yupo sahii

  • @SeleKipanda
    @SeleKipanda 5 วันที่ผ่านมา

    Acheni kufanya biashara kupitia imani hii ni harari sana ndugu zangu

  • @KhadijaNkya
    @KhadijaNkya 6 วันที่ผ่านมา

    Jaman atuwambie imekuwaje mpaka amefufuka au alitolewa msukule nin?

  • @BrigediaKilindo-r5p
    @BrigediaKilindo-r5p 3 วันที่ผ่านมา

    Sio kweli

  • @martinlema4192
    @martinlema4192 6 วันที่ผ่านมา

    Ndo maana Mungu anatenga wafu na walohai!

  • @AlexMosha
    @AlexMosha 6 วันที่ผ่านมา

    Waliotoa taarifa ya ajali na kifo siyo wa kweli na watu wengi hawangalii maiti

  • @moseskillagane160
    @moseskillagane160 7 วันที่ผ่านมา +2

    SIJAFAAA😅😅

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 7 วันที่ผ่านมา

    Hapo ushirikina tu!

  • @LizenMaker
    @LizenMaker 5 วันที่ผ่านมา

    Wakifukua atakufa moja kwa moja waache tu kama wanampenda huyo ndugu yao

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 7 วันที่ผ่านมา +1

    Maiti wa mchongo Ndugu walichukua rambirambi tu 😂😂

    • @Max9_captain
      @Max9_captain 6 วันที่ผ่านมา

      warudishiwe rambirambi zao😂😂

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 6 วันที่ผ่านมา

      @@Max9_captain kiendacho kwa mganga hakirudi 😂😂😂

  • @SteveTom-nd3us
    @SteveTom-nd3us 3 วันที่ผ่านมา

    Hapo n wapi

  • @Rodahpaschal
    @Rodahpaschal 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani yeye mwenyewe alieonekana anasemaje

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 5 วันที่ผ่านมา

    Mtu hakufa aliyezikwa ni mwingine walifikiri ni yeye.....mpeni shamba lake jamani aendeleze mapambano

  • @BrendaHaruna-r6j
    @BrendaHaruna-r6j 7 วันที่ผ่านมา

    Duh amechukuliw n wakuu nd karudi n Ujio mya😂

  • @lellovenance5702
    @lellovenance5702 4 วันที่ผ่านมา

    Hao wachawi ndio wanakataa hata huyo mzee nna wasiwssi nae huyo mbona anabisha hivoo

  • @CatherineMbatta
    @CatherineMbatta 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee yeye amejuaje kuna mifupa huko shimoni,

  • @anthonyluhumbika4693
    @anthonyluhumbika4693 5 วันที่ผ่านมา

    Jamaa anakataa kabisa sijafa!,nimekufa? acheni utani

  • @ZamoyoMugabe
    @ZamoyoMugabe 7 วันที่ผ่านมา

    Hapo ni mipango ya watu wachache waliopanga ilo tukio kamata watu waseme jamaa anaonekana ana misimamo mikali

  • @edinamadebele973
    @edinamadebele973 6 วันที่ผ่านมา

    Swali ni moja tu, huyo Robert kama alikua hajafa ck ya mazishi yake alikua wapi? Maana msiba ulifanyikia kwao, na je hata tetesi za msiba wake hakuusikia?

  • @zakiaramadhan8284
    @zakiaramadhan8284 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kusumbua tu police na kupoteza mafuta ya serikali

    • @user-cq4lp5rv1l
      @user-cq4lp5rv1l 7 วันที่ผ่านมา

      Weee unavuta bangi pesa za Kodi zao zinakuuma au vp

  • @vailethjames1934
    @vailethjames1934 6 วันที่ผ่านมา

    Ndugu mwandishinkama auna maswali usiulize sana utaonekana sio professional mwandish uliza maswali yenye mantiki common unauliza maswali kiuchonganishi chonganish tu

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 6 วันที่ผ่านมา

    UNAONGEA SANAA

  • @anigrandy9888
    @anigrandy9888 7 วันที่ผ่านมา

    Au mama yake alizaa mapacha,wakifanana sana na wanaishi sehemu tofauti siyo rahisi kugundua maana ukimwona huyu unafikiri umemuona yule😂sa mziki ndo huo,pacha kafa mwenzake anazua yake huku duniani,nawaza tuuu🚶

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 6 วันที่ผ่านมา

      Nguo ni zile zile

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu baba km angekuwa msukule wala asinge kuwa hivyo anavyoonekana yuko na akili zake timamu kabisa hawa ndg walizika mtu sio wao bhn

  • @nicethgabriel3319
    @nicethgabriel3319 7 วันที่ผ่านมา

    Huwo mwez mzima alikua wapi?

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni kama walifanya yy msukule

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 5 วันที่ผ่านมา

    HUYO ANAYEPINGA KUFUKUA HUWENDA NI MCHAWI ANALINDA SIRI

  • @allyahahmed1091
    @allyahahmed1091 4 วันที่ผ่านมา

    Bunge serikali na jeshi 😹😹😹alosema jeshi kamichekesha kwenye msiba

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 7 วันที่ผ่านมา

    Yawezekana walikua mapacha na walipotezana..

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 5 วันที่ผ่านมา

    Huyo mzee anayekataa atakúwa mwanga

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 6 วันที่ผ่านมา

    Marehemu apunguze kiherere kuuza,kiwanja ajenge,atakufa kikweli,atajiju,

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen 5 วันที่ผ่านมา

    Wafukue usiku😂😂Si lazima ukue mchana

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 7 วันที่ผ่านมา

    Waufukue huyo walie mzika akitafutwa kwao na wazazi wake je

  • @KhadijaNkya
    @KhadijaNkya 6 วันที่ผ่านมา

    Mmmh iyo ni ajabu

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 7 วันที่ผ่านมา

    Fukueni hao ndo wanajificha kwenye vivuri vya wachawi

  • @user-ww4so9ks9c
    @user-ww4so9ks9c 7 วันที่ผ่านมา

    Macho ya mchungaji ni madogo hakuona vizuri mwili

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d 6 วันที่ผ่านมา

      Na ndugu zake waliopigiwa cm kwa sababu alipogongwa na pikipik hajafa palepale alipelekwa hospital ambako ndiko alipofia na ndugu walimuona alama zake domo umekatika na meno hana

  • @thehollybookstudio2826
    @thehollybookstudio2826 7 วันที่ผ่านมา

    Msibani kwao hakuonekana ndiomaana

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 4 วันที่ผ่านมา

    Wafukue muumbuke nyoko 😂😂😂😂 shamba linatakiwa

  • @ezralameck4150
    @ezralameck4150 5 วันที่ผ่านมา

    Mbona kama aloffuka haziaomi vzr🙄

  • @user-db1uy6hv9q
    @user-db1uy6hv9q 6 วันที่ผ่านมา

    Huyo hakufa ila walimnguuza msukule2

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 5 วันที่ผ่านมา

    polic si ndo wanafukuaga waone kilichopondani ni nn

  • @saidausi9917
    @saidausi9917 4 วันที่ผ่านมา

    Serikali ifukue mbona kule Kahama walikuwa lifukuliwe

  • @GraceanaLenaika
    @GraceanaLenaika 4 วันที่ผ่านมา

    Kama sio msukule bc alikuwa pachaaa nauyo pacha alikuwa ajulikan

  • @eliambowe2576
    @eliambowe2576 5 วันที่ผ่านมา

    wazee sijafa nipo mapambano ya endele

  • @levinamtui2007
    @levinamtui2007 4 วันที่ผ่านมา

    Alichukuliwa msukule jaman

  • @user-sb7lz9xp4v
    @user-sb7lz9xp4v 4 วันที่ผ่านมา

    Unaongea sana acha police wafanye kazi yake

  • @RemisonMwesiga
    @RemisonMwesiga 4 วันที่ผ่านมา

    Kwan mnadhani kuna anayependa kufa

  • @user-od3ro4vw2c
    @user-od3ro4vw2c 5 วันที่ผ่านมา

    Asa lazima muhakikishe msibaki n maswali

  • @dingadinga6674
    @dingadinga6674 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee anaepinga hatumuelewi

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 4 วันที่ผ่านมา

    nisiku zammwisho imeandikwa someni mandiko

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 6 วันที่ผ่านมา +2

    uyo aliwekwa msukule😮

  • @FredyMolley-zq3em
    @FredyMolley-zq3em 6 วันที่ผ่านมา

    Nyiny apan fukueni kaburi mujue nikweki mulizika nan serikali siiko jaman

  • @user-eq5jr9yy1y
    @user-eq5jr9yy1y 6 วันที่ผ่านมา

    Wafukue jamaniii

  • @alitante4279
    @alitante4279 7 วันที่ผ่านมา

    Watu wamegomaa😂😂

  • @RAJABUShaibu-mx2iy
    @RAJABUShaibu-mx2iy 6 วันที่ผ่านมา

    Icho kijamaa kimwenyekit kichawi

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj 5 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba mwendelezo..bhna itakuwa walizika mtu mwingn

  • @afreytonemajidi6909
    @afreytonemajidi6909 7 วันที่ผ่านมา

    Atwambie mtu akifa anaenda wap mubaneni aseme

  • @emanuelyohana3049
    @emanuelyohana3049 4 วันที่ผ่านมา

    mmefungwa Jamani fukueni acheni utani