THDRC WAJA NA HAYA JUU YA MAANDAMANO KWA WATANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Asante mwanaharakati kwa ufafanuzi mzuri kuhusu maana ya maandamano,nimekuelewa naamini Wananchi wengine pia wamekuelwa,na polisi pia wamekuelewa. Hivyo polisi wasizuie maandamano ya Chadema!
    Maandamano ya Amani ni haki Wananchi wote kikatiba,hivyo yafanyike kwa Amani na polisi mlinde usalama siyo kuzuia maandamano!

  • @stanleykiwonda5700
    @stanleykiwonda5700 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Police wangetumia nguvu kuwatafuta watekaji kuliko kuzuia waandamanaji wanao dai haki

  • @AnelisaMvemve
    @AnelisaMvemve 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunawashukulu sana kwa kutuelimisha na kujifunza haki zetu

  • @yonahizza-o8z
    @yonahizza-o8z 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Bila shaka wameskia nini maana ya maandamano....
    Polisi hawana mamlaka yakuzuia maandamano.. jukumu lao kulindatu🤝🤝 bac naiwe hvyo sio kutumia nguvu kuzuia:kila mtanzani ana haki ya kudai maslahi au haki kwaajili ya taifa hili,,Mungu ibariki tanzania mungu ipe hekma selkali hii..ijue niipi haja ya watanzania 💤💤

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Samia must go

    • @hamisingolilo4149
      @hamisingolilo4149 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nenda kesho kama hautakufa j

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wskifa utafurahia nini? Hujielewi wewe.

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Police ndio wanaotaka kuvunua sheria

  • @MagrethShao-v4s
    @MagrethShao-v4s 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani hao wakinasoka. Na wenvi wamefsnya ninibona hawajulikani walipo au wameshakufa hao vijaana

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Polisi tafuta wauzaji wa madawa ya kulevya achana na maandamano ya amani watu hawana hata fimbo nyinyi mnaleta hata mabomu.

  • @JoelRichard-hj3bi
    @JoelRichard-hj3bi 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    NADHANI POLICE CHAWA WAMESIKIA KABISA MAANA YA MAANDAMANO ,SASA BASI TUNATAKA WAUWAJI WOTE WAKAMATWE NA WANYONGWE KAMA SHERIA INAVYOSEMWA ANAYE UWA KWA UPANGA NAE ATAUWAWA KWA UPANGA.

  • @yunamirambo2121
    @yunamirambo2121 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Police wetu awajui shiria za katiba ya nchi tuliyo achiwa na babu zetu

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kwahiyo tar 23/9 Polisi wanapashwa wayalinde siyo kuyazuia nimekuelewa

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani mm mwenyewe nilishangaa polis badala yakuwalinda waandamanaji ambao wanadai hak zao polis wanaonyesha umahir wakuwapiga waandamanaji badala yakiwalinda tena mbele ya rais mbele ya watu wenye vyeo ni jins gani polis ni viraza au wanafanya kwa kuwafurahisha watawala lakn ukweli wanaujua

  • @Veni584
    @Veni584 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaharakati mkae mbele ya waandamanaji labda wataogopa

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MAANDAMANO NIHAKI YA KIKATIBA, KAZI YAPOLISI NI KULINDA WAANDAMANAJI NASIO KUWAUWA

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tumechoka na maandamano hao waliotekwa na Polisi watolewe ilu nchi iwe na Amani

    • @AlfredMatemu
      @AlfredMatemu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Umeandamana lini hadi ukachoka

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Wewe umewahi kuandamana lini Yani mtu umekaa mahali unakula ugali na Sukuma week alafu unasema umechoka na maandamano
      Mm nadhani tunaaswa kuchoka na mtukio ya kikatili yanayoendelea nchini kama chadema wanahusika wachukuliwe hatua kma ni serikali nao wawajibike

    • @mshindimshindi9120
      @mshindimshindi9120 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Margaret ACHA UJINGA lini umewahi kuandamana ukachoka

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI ชั่วโมงที่ผ่านมา

    NIKWANINI HUYO MUUAJI ASP MAFYELE ASIKABIDHI MIILI YAWATU ALIOWATEKA? MAANA NASIKIA HUYU MAFYELE NDIE SABABU

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MAMA SAMIA KAMA UNATAKA KUZIDI KUCHUKIWA JARIBU KUUWA WATU KISHA UTAONA NCHI ITAKAVYOKUWA NGUMU KUTAWALA.....NAKUSHAURI KAMA UNA HOFU KIDOGO YA MUNGU ACHANA NA WASHAURI WAJINGA

  • @JeremiaIsaka
    @JeremiaIsaka 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni kweli

  • @joelmwaitege2121
    @joelmwaitege2121 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HUYO MAFYELE ANAETEKA NA KUUWA WATU KWANINI ASIUWAWE? MAANA INASEMEKANE NDIYE CHANZO

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b 9 นาทีที่ผ่านมา

    IKIWA HAYA MAANDAMANO YATAFANYIKA NA MAPOLISI WATAFYATUWA RISASI KUWAUWA WATANZANIA WANAONDAMANA KWA AMANI HUO UTAKUWA NI MWISHO WA UTAWALA WA MA CCM KWASABABU WANANCHI HAWATAKUBALI TENA UTAWALA WA CCM AMBAO KWASASA WANATUMIA MABAVU KUTAWALA

  • @jojujjokyussa4699
    @jojujjokyussa4699 52 นาทีที่ผ่านมา

    Haswa!!!!!

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael 33 นาทีที่ผ่านมา

    Asantee