TAYARI!!!! SUMBAWANGA KIMENUKA MDA HUU | RPC RUKWA AONGOZA POLISI DORIA | KATIKATI YA MJI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 128

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Ingekuwa vibaka na wahalifu wanasakwa namna hii kila siku nchi yetu ingekuwa shwariii.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      WHY NOW😢😢😢

    • @Mimi.Official
      @Mimi.Official ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Aki police wa Tanzania mnachekesha..😂😂basi ukiwaona wamevaa nguo za police utafikiri wanaishi vizuri ,nenda kwao ukajionee maajabu😢

    • @davidsamson8292
      @davidsamson8292 48 นาทีที่ผ่านมา +1

      Wanashindwa kuwapata wateja ila ku deploy nguvu kazi kama hivi wanaweza

  • @patrickmuna2582
    @patrickmuna2582 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hivi kwanini huwa mnatufanya hatunazo, kwanini hadi msubiri Maandamano ya chadema ndio muanzishe Vitisho? Mara usafi mara doria, Dahhh mungu ibariki Tanzania

  • @MfaumeMndele
    @MfaumeMndele 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Wanatisha watu kwa ajili ya kuzui maandamano ya kesho hawa police wanafikili wananchi bado hawajitambui

  • @SholeBigsaund
    @SholeBigsaund 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Niupuzi tuu sikuzote wanakuaga wapi

  • @AlexJohn-e3r
    @AlexJohn-e3r 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Wapuuzituu hao

    • @oscarcharles9624
      @oscarcharles9624 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      yani mnaogopa chadema 😂😂😂

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Inaoneka Hawa polisi wa Tanzania wanaomba amani kupote maana hakuna wahalifu watatafutwa hivyo nikuwatisha wananchi tu hawana jipya Ila YAJAYO yanafurahisha

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Askar wanafanya doria 😂😂😂😂 Subir nikalale…. Kwani vibaka si ukiwaona tu unawajua

  • @rehemazubeiry-xw1ch
    @rehemazubeiry-xw1ch 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Iyo doria walah ingependeza mkasaka waganga feki wanao sababisha sababisha mauwaji

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Siku zote walikuwa wapi?
    Nguvu ya soda tu😮

    • @AliAhmed-m1o2u
      @AliAhmed-m1o2u 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ingia mtaani ufanye fujo km unawadharau nyoko wee

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AliAhmed-m1o2u C.C.M hoyee

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wamependeza lakini mbona watu wanapotea huku wakiwa makini hivyo hilo ndilo swali kubwa lakujiuliza

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Matumizi mabaya ya Kodi za wananchi wakimaliza tunataka watujuulishe wametumia billion ngapi

  • @callykeron
    @callykeron 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nawachukia Sana laiti ningekuwa Israel ninge wauwa wote

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Safi ASITOKEE MTU WA KULITISHA TAIFA LETU

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    HIYO NGUVU INGETUMIKA KUWATAFUTA WALIO MUUWA. MZEE ALLY KIBAO INGEKUWA SAF SANA,OOLISI KUWENI MAKINI WATU RAIA WANANGIVU KULIKO CHOCHOTE,

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaani ujinga uliokithiri

  • @YusuphuAyubu-n7u
    @YusuphuAyubu-n7u 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mmmh vibaka this round wanawindwa na bunduki!!! Kazi wanayo

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Safi saaana Jeshi letu la POLICE , Kamanda Yuko vizuri Saaana

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Safi nini sasa mpaka yatangazwe maandamano ndio doria?😊

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Vitisho vya kisaikolojia, Mfalme Sulemani aliomba hekima na kufanikiwa kuitawala dunia na maadui waligeuka marafiki wa taifa la Israel..ivi hekima ya wazee wetu wa heshima hawasikilizwi tena? Jamani tunajua UJUMBE huo unaelekea wapi...hayaaa

  • @MrP-n2c
    @MrP-n2c 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Vibaka wanafanyiwa doria na bunduki pamoja na askari zaidi ya 100

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Saizi hatuogopi, kama mauaji yataendelea hapo apana, ogopa siku tukiingia hata ambao sio wanasiasa

  • @nestor384
    @nestor384 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawa jamaa kuna umuhimu wa kutafta watu wenye elimu nzuri hasa ya sheria si kuunga unga!.. Jeshi hili linapaswa kuwekewa sheria ambayo itaweza kucheck accountability ya chombo hiki Huku ndani kuna mpaka wahuni wanaotesa raia Kwasasa ukikutana na polisi unaanza kuhisi usalama wako uko mdogo sana!

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    H a vibaka ngoja Kesho tutakutana tu kesho navua nguo zote mamae😢, kesho lijitu litakufa,

  • @PiusLutumo
    @PiusLutumo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Good job Kamanda wetu.

  • @FadhiliDolla
    @FadhiliDolla 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Gachi acha unafki uo usalama baada yakuskia maandamano ya Samia must Go mtajua amjui maanamano yapo pale pale😂😂

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ck zote mulikuwa wp mpaka msikie mandamano ndo muweke ulinzi wakati niwajibu wenu kuweka ulinzi Kila ck!!!

  • @BabMuniwe-pg7el
    @BabMuniwe-pg7el 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii kitu sio poa ko mnaatisha watu ili kujichukilia uhasama na polisi

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hivi vitisho ni swala la muda tyuu

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe kamanda aibu yako kamanda wa mkoa wa Rukwa kwa sababu huwezi kumtambua kibaka kwa macho,hata kuna baadhi ya polisi ni vibaka😂

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kisa chadema kusema wataandamana kila kona mmemwaga asikali shikamoo mbowe

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Leo????????????? Unawatafuta chadema sio wahalifu hivo huwapati muongo

  • @justicebridge
    @justicebridge 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hizo show na hayo mafita wangetumia kusaka majambazi sio kutisha wananchi

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Aibuuuuuuu wanatembea huku nafsi zinawasuta watu wanatekwa wanauwawa nanyi mpoo Dunia inawaona mnatumia masilaha kupambana na wasio na silaha zozote duu

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani kuna vita ya wenyewe kwa wenyewe? Acheni kutisha watu hatuko miaka ya 60

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hovyo kabisa mngefanyq hivyo siku zote utekaji, mauwaji yangeleta taharuki? Tunajua mnalenga nn

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    MIKWARA MIKWARA.MIKWARA😢😮😅

  • @jerome3143
    @jerome3143 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    wanateseka hawa jamaa maagizo yanawTesa sana na miemuko ya kujionyesha kwa watawala

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    UOGA Uo Hakimbi Mtu Kesho Tumechoshwa Kutishwa

  • @BARAKAJOSEPH-j4u
    @BARAKAJOSEPH-j4u 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kafanye doria kongo

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Shika wahalifu sasa ndo tutakuelewa

  • @fatmaabdalla1641
    @fatmaabdalla1641 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sanaaaa hao chadema makhluku tabu tuwaone watoke

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora kuwa mjinga kuliko mpumbavu

  • @PaulMsema
    @PaulMsema 33 นาทีที่ผ่านมา

    Mungekuwa hata watekaji mnawasaka hv,mungekuwa safi sana

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Dah! Izi nguvu wanazotumia police wangetumia kudhibit mafisadi na waletaj wa mikataba hewa kelele za Maj na barabara mbovu zisingekwepo

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mlaaniwe maandamano ni haki kikatiba

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😭😭😭 mchi hii mungu yupo

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jeshi la polis mnachekesha

  • @mukupakizabi3357
    @mukupakizabi3357 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hiyo ni dalili yakutia hofu chadema wasifanye maanda mano yao yakudai haki nasiyo doria za kusaka waalifu sasa jiulize sikuzote hakukuwa na walifu? Kwahiyo wanavaa ma Sare kwakuwa wako tayari kivita 😂kupambana na raia 😂😂

  • @yonahizza-o8z
    @yonahizza-o8z 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nihuzuni, niabu duh! Ili iwaje sasa

  • @ShadrackMasija
    @ShadrackMasija 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    IMARISHENI usalama soja

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakistaafu kazi yao huwa maisha ya mtaani hawayawezi kabisa wanakufa kwa stoki tuu maana wamezoea vya bure

    • @NeemaSamueli
      @NeemaSamueli 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sawa waho wapo kazn wanapewa amri xo kila m2 anazingatia ugali wake

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wale watekaji sasa wanaweza wakapatikana 😅

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dar kuna shida watu wana tekwa tuna taka ulinzii kama uwooo ili tu wapate watekajiii

  • @ayubu-channel
    @ayubu-channel 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanangalia usalama au wanavuluga usalama 😁😂

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 นาทีที่ผ่านมา

    Heh...! Kumbe nchi yetu ina polisi wengi hivi..!!? Walikuwa wapi jamani..🙄🙄🙄

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hiyo Sasa ndio taharuki mbona kuliko maandamaano??

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Vibaka wapi na watekaji wapo kamata weka ndani

  • @tatizojoseph8702
    @tatizojoseph8702 9 นาทีที่ผ่านมา

    Wadafanya doria Leo kweli ? Wakati maharamia yameteka watu wameuwa watu!! Tanzania yangu!!! Baadae yawatu kupotea ndio unaona vitandawili kama hivi!!! Nasubiri kwa hamu sana walio mteka kibao na kupoteza maisha yake.. washikwe!!

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kz yakufanya naona hazipo ktk kitengo chao naona

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kawaida ndio inchi shida ipo wap

  • @petergeorgekafumu
    @petergeorgekafumu นาทีที่ผ่านมา

    Ni upuuzi tu, siku zote huwa mko wapi. Mmesikia maandamano ya amani, mnayawekea flavor za fujo. Aibu sana. Mjifunze kwa majeshi mengine

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 33 นาทีที่ผ่านมา

    Itafika muda hata mtakimbizwa wenyewe na wananchi. After all, wananchi wanajua mnakoishi huko mtaani. Wakiamua siku moja watawazuia hata msitoke milangoni mwa nyumba zenu

  • @SamwelMasai-e9d
    @SamwelMasai-e9d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Munakuwaaga wp

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watatoka hiyo sio dawa

  • @ibrahimlaizer5012
    @ibrahimlaizer5012 37 นาทีที่ผ่านมา

    Kwanini ulinzi huu usiwe siku zote? Naona hii ni kutisha wananchi ambao kwa hakika watanzania tumechoka na utekaji wa police

  • @DenisonTheonest-yj3mk
    @DenisonTheonest-yj3mk 24 นาทีที่ผ่านมา

    Ivi hamuoni haya kuwa na jeshi la kishamba la namna hii mnazidiwa na asikari wa campuni ya J4s Tanzania ombeni msaada kwa J4S wawapatie hawa vibaka training ya mafunzo ya using of force,human right, haya majamaa zilo

  • @rodrickkimaro-fb5tn
    @rodrickkimaro-fb5tn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ongereni

  • @MuradAbdul-u2c
    @MuradAbdul-u2c 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mhh, minapita2

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius 31 นาทีที่ผ่านมา

    Mbwa koko tu hao cjui wanamtisha Nan kutwa kucha watu wanatekwa na wenyewe wapo Leo hii wanaingia road kuwakingia kifua watekaji

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nguvu ya soda

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tulindeni tusitekwe kaka zangu

  • @norobo205
    @norobo205 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ulinz huu ungetumika tangu mwanzo kusingekuwa namatukio ya watoto kupotea

  • @CalistiNicetas
    @CalistiNicetas 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyo mama anakazi.

  • @alexanderchacha8585
    @alexanderchacha8585 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni kutisha watu tuleteeni magaidi wanaoteka watu nawatu wasio julikana wajulikane tumechoka mbwembwe zisizo tuhakikishia usalama wetu watu wanapotea mkokimya 😢

  • @FadhiliDolla
    @FadhiliDolla 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watulinde

  • @erwineponda9015
    @erwineponda9015 42 นาทีที่ผ่านมา

    Kwani mngewaruhusu waandamane halafu mkawapa ulinzi nini kingepungua? Mbona mnaleta sintofahamubisiyo na sababu?

  • @JofreyMsigwa-ok7hv
    @JofreyMsigwa-ok7hv 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Vilaza mbwa hawa

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mim binfsi sijaona cha maana wanachokifanya ngonja sis tusubilie maandamano yetu

  • @mhenitv
    @mhenitv 9 นาทีที่ผ่านมา

    Ngoja paendelea kuvuja Tutajua namna ya kuziba

  • @DenisonTheonest-yj3mk
    @DenisonTheonest-yj3mk 14 นาทีที่ผ่านมา

    Hakuna jeshi hapo makada ya chama tawala watu wenyewe yamepigika hapo yalipo mifukoni mwao ukame,hamjui mlitendalo umasiki mpaka kiama

  • @SuolFat
    @SuolFat 42 นาทีที่ผ่านมา

    Je watanganyika watawatwanga ndugu zao risasi

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yaan mkamate watekaje

  • @MohamedKitenge-o9j
    @MohamedKitenge-o9j 37 นาทีที่ผ่านมา

    Naomba kila mwezi chadema waandae maandamano

  • @DominikiChristian
    @DominikiChristian 39 นาทีที่ผ่านมา

    Police awajui kazi zao sema wana nchi wan wazalau sana

  • @FadhiliDolla
    @FadhiliDolla 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watuletee wanaotuteka

  • @RamadhanAlly-cf7du
    @RamadhanAlly-cf7du ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna kitu wangekuwa wamejpanga kukabliana na uwalifu watu wasnge tekwa

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml ชั่วโมงที่ผ่านมา

    YAANI CHADEMA INAWASHIGHULISHA KWELIKWELI

  • @IssaRajabu-my5ig
    @IssaRajabu-my5ig ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tungekua tunalindwa hv Kila siku tungeuwawa, uku ni kunyamanzishwa kimya kimya kwamba kuwatia hofu wanaotaka maandamano ya amani ili ukwel usisemwe tunaijua hyo😂😂 mlikua wap muda wote

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni ujinga tu yani hayo yoote ni kuwatisha CDM waiogope ccm

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 57 นาทีที่ผ่านมา

    Mbona police wanakuwa km mbwa wa tajiri wanaishi kwenye mabanda km mbwa acheni tuwatetee

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 26 นาทีที่ผ่านมา

    👍

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wameona maandamano ndo mumeaanza ndoria na mwanzo mlikuwa wapi vibaraka nyie mnatumika vimbya xn police

  • @DenisonTheonest-yj3mk
    @DenisonTheonest-yj3mk 20 นาทีที่ผ่านมา

    Asikari wa ccm mbona mnateswa kisa njaa badilikeni

  • @AliAhmed-m1o2u
    @AliAhmed-m1o2u 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Safi sanaaaaaa hii nchi inatakiwa iwe km hivi hongereni makamanda ❤❤❤❤❤

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jaji Sinde Warioba, Hatukujenga amani kwa kuzunguka na bunduki nchi hii, amani yetu tuliijenga katika kuamini katika UTU.

    • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
      @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 51 นาทีที่ผ่านมา

      TUNATUMIA GHARAMA NYINGI KWA KUOGOPA MDOMO

  • @DenisonTheonest-yj3mk
    @DenisonTheonest-yj3mk 33 นาทีที่ผ่านมา

    Hakuna jeshi hapo ni vibaka tu kama vibaka wengine

  • @thadeimatenga4397
    @thadeimatenga4397 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe Kuna vibaka😅😅 mmekosa kazi na mnatumika vibaya.

  • @Mimi.Official
    @Mimi.Official ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maandamano yenyewe niya amani,yani utafikiri ni vita ya jehanamu😂

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 48 นาทีที่ผ่านมา

    Walikuwa wapi siku zote

  • @francismomo7067
    @francismomo7067 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa kwann hamkua mnafanya ivi Kila wakati Ili kuzuia utekaji?

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 24 นาทีที่ผ่านมา

    Tunadai uhuru dhidi ya madictator

  • @malilosaid6495
    @malilosaid6495 43 นาทีที่ผ่านมา

    Hayo ndiyo mapindunzi qwnye mapindunbzi ndiyo hawo bwana

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 35 นาทีที่ผ่านมา

    Hana hata aibu anaongea pumba kama hizo. Ovyoooo

  • @evelina9621
    @evelina9621 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnge.saka.waharifu.kama.?uwezo.wakusaka.wanachama.wachedema.nawaku..busha.tumie.tamta.zenu.kwa.uweledi.mjelani.alitu.ia.asikali.wake.kupiga
    Watu.mbele
    Za.watoto.wake.zao.kuteketeza
    Mali.zao.kama.ngombe..wakubwa.madume..wagogo.wanaita.mkongoro.mbele.yao.naviranja.vyao.jeremani.alikuwa
    Mkatili
    Sana.mungu.aliingilia.vyama.vyote.vipatane.kwenye.misuguma,no.wapataniashi.wapatikane