Hawa pia wanamtumika na LGBT ndugu yangu Iko waxi na huyu alishahojiw akazungukzunguk kuongea kuwa Yeye si shoga kweny media lakini hawa yakitokea machafuko wanapo pakukimbilia msitetee tu hat Kam serikali inaharibu ,tunapaswa kumuomb Mungu awasamehe na kulisaidia taifa maana vibaraka wa shetani watatumika kutetea Haki lakin wanampango wa kuliangamiza taifa maana hata wao wanauchu wa madaraka .Neno la Mungu linasema .2 Wakorintho 11:14 Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
Kama Mungu aishivyo Basi ktk hili Tunamuomba Mungu akapate kuonekana kamwe kwenye hili Taifa hatoishi Mtu mwenye kuzifanya Nafsi za wengine zihangaiko, Ninakushukuru ewe mwenyezi muweza wayote, Amen.
Hatari mnoo aisee! 😢 Wenzetu wakiwa na ulinzi wa kidola wanajipa U-mungu na Haki ya Kuua! "Ee Jehovah Turehemu Watu Wako Tusio na Ulinzi Kama Wao." 🙏 🙏 🙏
OOH MY GOD BLESS MY COUNTRY AM FEEL DEEP PAIN ....MAMA ETU SAMIA KUNA VITU VYAA MAANA KWENYEE HIII SPEECH PLEASE 🙏 CALM DOWN AND na uisikilizee tenaaa inawezakukusaidia kwa namna moja ama nyinginee ,GOD BLESS TANZANIA MY FAVORITE COUNTRY
Nimepitia comments mpaka nacheka 😂 hivi mnayajua mataifa yenye machafuko yapo mataifa yalishasahau kuhusu utulivu mtu anazaliwa na bunduki kwa kwenda mbele eee mungu haya maneno ni ya chui aliyevaa ngozi ya kondoo kama hutaki kurudi ulipotoka basi kuwa na adabu,kuwa na mipaka ktk uzungumzaji na yapime maneno yenu ktk majukwaa
Mh. Wazazi wako hakukoseya kukuita God bless Lema!! Nadhani nitakuwa sijakoseya Kabisa Jina lako halikutoka kwa wazazi wako ni Miujiza ilifanyika toka Kwa Mungu ukapewa jina hilo!!❤❤❤❤
Huna akili wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana hajasema anaogopa kufa bali anaogopa kufa kwa kutekwa na kuuawa na vyombo vya dola@@TumbweneLwesya
MH LEMA KAMA NI HOTUBA BORA ZA NCHI YETU :: HII NAIWEKA SEHEMU SAHIHI ...MAANA UMEJPNGA ..UMETULIA UMEJIPAMBANUA KWA KINA SANA !! UMEONGEA KWA UTULIVU NA HISIA KALI SANA ...nitoshe kusema tu HAYA YOTE MUNGU ANAYAONA YA MWANGANI NA HATA GIZANI eeh Mungu tufungulie njia ..NAA UWA AIBISHE NA KUWAADHIBU WAOVU 😭😭... TUNAAMINI MUNGU UTATENDA JAMBO ILI IWE FUNDISHO KWA WOTE WANAO LIUMIZA TAIFA KWA MIDGONGO YA VYEO VYAO!!😢😭😭
Mheshimiwa Godbless Lema, tumechoka kunyanyaswa, unamwambia samia ukweli mtupuu, but n kujipanga MUNGU yupo atatulunda Na kututia nguvu CHADEMA kma watanzania
Mungu ndiye muweza wa kila kitu hakuna cha mheshimiwa rais wala nani nimeumia sana kuona hali kama hii yani nimeona kuna chuki mbaya sana Tanzania na hiii ni kwa sababu ya roho mbaya kuna siku yatakuja maisha mabaya sana hapa watu watakimbia huku na kule kutafuta uhai peke yake si mali tena
Mungu Baba Mwenyezi tuepushie na mambo haya mabaya. Sote tumeumbwa na Mungu Mmoja na Anatupenda sote. Tupendane na kuonyana, Baba Kasemaa wapendeni Audi zetu na kuwaombea!!!
Hata chama tawala nchini zambia iliwatesa sana wapinzani mpaka kumfunga viongozi ambaye baadaye amekuja kuwa kiongozi mkuu wa nchi , wapinzani msikate tamaa maendeleo ya nchi duniani yameletwa na wapigania haki .one day yes
Mimi sina ulevi na vyama. Naipenda Tanzania, napenda viongozi wazalendo. Hata ndani ya ccm wamo viongozi wengi tu wazuri. Ila kutokana na majambazi walioiteka ccm, hawawezi kutupa hao viongozi wazuri. Wanaweka wao wanaowataka. Ni kama zari tu kutupa Magufuri, baada ya kuona anawabana kakamwondoa wao wenyewe. Acheni kushadadia vyama, wananchi tusimame kama taifa, hii nchi haina amani, mnadanganywa. Unganeni pamoja kuitafuta amani na demokrasia ya haki.
BRAVO KOMREDI LEMA....MANENO MAZITO...KUSIKITISHA....LAKINI YA BUSARA NA HEKIMA KWA WATANZANIA WOTE....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.....KWA MH. RAIS SAMIA....MUOGOPE MWENYEZI MUNGU MTUKUFU....SOMA HISTORIA YA VIONGOZI MASHUHURI NA WENYE NGUVU WALIVYOANGAMIZWA NA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU....MH. RAIS JIREKEBISHE NA UOMBE MSAMAHA KWA MOLA WAKO NA WATANZANIA WOTE.
Unajidanganya nano amuondoe labda Mungu apange ila sio binadamu lemon ameongea vizuri sana na kuongea kama kumkumbusha rais ili atengeneze njia kiwepesi ya kuingia tena 2025 na siku zote hotuba za lema huwa anampa njia raisi nini afanye ili aendelea kuwa rais
Watanzania karibu wote Tunaridhishwa Na Utendaji Mzuri wa Huyu Mama hususan kwenye ujenzi MIUNDOMBINU Vyombo husika vipo kazini kwa Uchunguzi. Tusubiri.
😂😂😂😂Tanzania wapi tunaenda jamani(Ee mwenzi MUNGU kawatetee wale wote wenye nia na moyo wa kizalendo kwa taifa Ee MUNGU unaye hukumu katika nafasi zote.Iberiki African,Ibariki Tanzania;Amina.
Inasikitisha na kuumiza sana. Kifupi huyu mama hana uwezo wa kuiongoza nchi amejidhihirisha kwenye hotuba mbovu ambayo imewakwaza watanzania wote ilyowafaa ni polisi peke yao tena hata polisi ni wale tu mambwila wasio na utu.
@@hamzakhamis1575uovu ufunika mema yote Hamza. Hasa kama unakosa huruma ya watu kupotea na kupoteza maisha. Hakuna kingine kizuri kitaonekana. Kiukweli hio hotuba ilikuwa baya kuliko zote.
Rema mungu akuongoze kaka umeongea vizur sana mm sio chadema hata kidogo ila umeongea vizur sana na ni ujumbe mzuri sana kwa mh rais.Apo kwa katibu wake sasa umempatia ujumbe yeye aufanyie kazi mungu amuongoze rais wetu afanye maamuzi mazur na sio ya kudanganywa..
Kwa kweli nchi inayomwaga damu ni laana kwa Mungu Mh Raisi chukua ujumbe huu ufanyie kazi wananchi hatupendezwi na hii hali tuvae viatu vya wanaoumizwa.
Wanadamu tunajisahau sana😢 Dunia hii tunaipita tuishini kwa upendo Tanzania ni yetu sote😢 😢😢😢 Roma aliimba Hii ndio Tanzania nchi yenye udongo wenye dhambi .........
Hii sentence ngumu sana ,kwamba hukuwa rais ulikuwa makamu wa rais Leo ni rais, anything can happen. Ukifikiria hii sentences ....utajua maisha haya a formula. Let's think twice
Ujue alivyoongea yametoka moyoni na raisi hana mwisho mwema akimaliza miaka miwili ashukuru mungu kama wanavyo uwawa raiya yatakuja kugeuka kama gwaride wambele akarudi nyuma na wanyuma akawambele roho imeniuma sana kwa maongezi yake mazito ishallah mungu atawaliinda❤
Sisi watanzania hatuna maumivu usitusemee tena wewe lema nyamaza ulijifanya umeoteshwa kifo cha magufuri na leo magufuri hatuko nae vipi lema unaweza kutuambia ile ndoto uliitoa wapi lini ulijutia ndoto wapi kifo cha magufuri hatujasahau leo kinywa chako kinatia huruma
Lema uko sahihi kabisa ila ile hotuba ya rais ilikuwa hotuba mbovu na ya hovyo kabisa iliyokosa busara na hekima.Wanaoivuruga nchi hii ni chama tawala na viongozi walioko madarakani wasio na utu,uadilifu wala uzalendo.Hawapendi kujenga mifumo imara na inayotenda haki badala yake wanatengeneza mifumo mibovu na dhaifu ya dhuluma,wizi,ufisadi,ubadhirifu,ujsmbazi,ulaji rushwa,ukandamizaji,utekaji,uuaji.Mnaiba kura na kupora uchaguzi halafu nyinyi mnajiona watakatifu. Ww rais huwezi ukasema una maadili na una hofu ya Mungu na kwamba unaongoza nchi kwa kufuata katiba na sheria ya nchi nawakati urais wako uliupata baada ya kuiba kura na kupora uchaguzi wa 2019 na 2020.
Mathew May God bless you and your family!!!❤ 💖 Comment yako !!! You are the greatest thinker!!! Tanzania is so blessed to have you!!!! Maneno yako Mazuri na matamu na yakweli Kabisa!!! ❤❤ Mungu akulinde!!!
Hii laana haitakuacha salama madam president inauma sna ipo siku moto utawaka hapa tz maana naona kama panafukuta Chini ya ardhi mdogo mdogo tafadhali chukua hatatua haya animaisha ya watu .....
Dah jaman mungu aongee nasi masikioni mwetu kwakila mmoja nasili isiwez kusikika nawatu wa baya kua nin tufanya kwatunayo yaona nakuyaskia atupe namna tushinde turud kwenye amani inayo elekea kupotea
Mungu awalinde wote viongozi wa upinzani,kiukweli mnapitia wakati mgumu.mimi ni kiongozi ccm lakini hili sitaki kuja kudaiwa damu za watanzania wenzetu zilizodhulumiwa kwaajiri ya misimamo yao tena hipo kikatiba..tubuni hii dhambi nyinyi ndugu zangu mnaounga mkono mauaji na mateso ili tujenge Tanzania moja
For sure is the very touchable speech hope madam will consider about the speech
Andika hisia zako kwa kiswahili tafadhali. Kiingereza hakieleweki!
God is always with us let CCM know that one day yes
Excellent, polite, and friendly approach ❤❤❤❤
🎉🎉🎉😂😂😂 daaaahaaa pole sana mbunge
Ulinzi wa mungu uwe juu yako mh Lema
Amen Amen Amen ❤️
Amen 🙏
) , ::v
@@abelmbilinyi1262
0:19 0:19 0:22 @@GodwinIssack
Maneno ya Lema yana hekima ya hali ya juu sana Watanzania tumwombe Mungu maana roho ya umwagaji damu ili kulinda nafasi za madaraka imetawala
Wanaotukana kwenye mazungumzo haya ya Godbless Lema,ni mawakala wa lusifa Mungu awasamehe bure hamjui msemalo.
Hawa pia wanamtumika na LGBT ndugu yangu Iko waxi na huyu alishahojiw akazungukzunguk kuongea kuwa Yeye si shoga kweny media lakini hawa yakitokea machafuko wanapo pakukimbilia msitetee tu hat Kam serikali inaharibu ,tunapaswa kumuomb Mungu awasamehe na kulisaidia taifa maana vibaraka wa shetani watatumika kutetea Haki lakin wanampango wa kuliangamiza taifa maana hata wao wanauchu wa madaraka .Neno la Mungu linasema .2 Wakorintho 11:14 Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
Ni kweli mhe lema mungu atakulinda 2
Kama Mungu aishivyo Basi ktk hili Tunamuomba Mungu akapate kuonekana kamwe kwenye hili Taifa hatoishi Mtu mwenye kuzifanya Nafsi za wengine zihangaiko, Ninakushukuru ewe mwenyezi muweza wayote, Amen.
Uko sawa kiongozi asiye kua na off ya mungu ni shetani
Hakika umeongea point kubwaaa sana Mungu akukinge na mabaya yote, ni kweli kama kidonda kipo kwa mwenzako huwezi ona maumivu 😢
Hatari mnoo aisee! 😢 Wenzetu wakiwa na ulinzi wa kidola wanajipa U-mungu na Haki ya Kuua! "Ee Jehovah Turehemu Watu Wako Tusio na Ulinzi Kama Wao." 🙏 🙏 🙏
Pore 🙏🙏🙏🙏
Kudos kwako Lema
OOH MY GOD BLESS MY COUNTRY AM FEEL DEEP PAIN ....MAMA ETU SAMIA KUNA VITU VYAA MAANA KWENYEE HIII SPEECH PLEASE 🙏 CALM DOWN AND na uisikilizee tenaaa inawezakukusaidia kwa namna moja ama nyinginee ,GOD BLESS TANZANIA MY FAVORITE COUNTRY
Kwa hivyo Ngoja tuone Kati ya nguvu ya Mungu na Uovu.Mungu hajawahi kushindwa.
Amen Amen Amen ❤️ a
Ya kweli hayo @@liberatusjackson5045
God bless Lema,nimeiogopa sana hiyo speech yako,naamini Mungu mwenyewe hawezi kunyamaza!!
1¹111111111¹11111111¹¹111¹11¹111¹¹11¹¹¹11111¹¹1¹1¹11¹1¹¹¹111¹1¹
¹¹1¹¹1¹¹¹1¹¹¹¹¹1¹¹¹¹¹¹¹1¹¹¹1¹¹¹¹111111¹¹¹¹1¹¹¹¹11¹11¹.. C. C11qqq11qq11q1qqw 11
Dah! inaumiza sana.pole sana Lema pamoj na wanachadem wote Mungu atawalinda 🙏
MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI amwondoe samia madarakani
Mh
Ondoka ww kwanza
Lema Asante umetumia busara ya hali ya juu Mungu akulinde pia akutunze,
Nimepitia comments mpaka nacheka 😂 hivi mnayajua mataifa yenye machafuko yapo mataifa yalishasahau kuhusu utulivu mtu anazaliwa na bunduki kwa kwenda mbele eee mungu haya maneno ni ya chui aliyevaa ngozi ya kondoo kama hutaki kurudi ulipotoka basi kuwa na adabu,kuwa na mipaka ktk uzungumzaji na yapime maneno yenu ktk majukwaa
Mh. Wazazi wako hakukoseya kukuita God bless Lema!! Nadhani nitakuwa sijakoseya Kabisa Jina lako halikutoka kwa wazazi wako ni Miujiza ilifanyika toka Kwa Mungu ukapewa jina hilo!!❤❤❤❤
Huna akili kabisa... Akili zako hazina akili
Umeandika vemaaaa ts really God bless
Ko kumbe duniani tunapita unaogopa nn Sasa wakati wakinanyerere wamekufa wakina mkapa magufuli sinnimipango yenu
Huna akili wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana hajasema anaogopa kufa bali anaogopa kufa kwa kutekwa na kuuawa na vyombo vya dola@@TumbweneLwesya
@@mwalimulossilamsuya1944Bumunda Kwenye Ubora wenu😂😂
Lema mungu akupe maisha malefu
Very sad
Mwenye masikio na asikie 😭😭
Amina
Amina
Hongera lema umeonyesha ujasiri
MH LEMA KAMA NI HOTUBA BORA ZA NCHI YETU :: HII NAIWEKA SEHEMU SAHIHI ...MAANA UMEJPNGA ..UMETULIA UMEJIPAMBANUA KWA KINA SANA !! UMEONGEA KWA UTULIVU NA HISIA KALI SANA ...nitoshe kusema tu HAYA YOTE MUNGU ANAYAONA YA MWANGANI NA HATA GIZANI eeh Mungu tufungulie njia ..NAA UWA AIBISHE NA KUWAADHIBU WAOVU 😭😭... TUNAAMINI MUNGU UTATENDA JAMBO ILI IWE FUNDISHO KWA WOTE WANAO LIUMIZA TAIFA KWA MIDGONGO YA VYEO VYAO!!😢😭😭
True
Mheshimiwa Godbless Lema, tumechoka kunyanyaswa, unamwambia samia ukweli mtupuu, but n kujipanga MUNGU yupo atatulunda Na kututia nguvu CHADEMA kma watanzania
Amina,nakuelewa Lema,unaongea kwaunyenyekevu,Mungu tunaemtumainia Watanzania,hajafa na yupo hai,naimani,Atajibu kwa wakati tena Wala si mbali.
Amina mwanangu Lema,wewe ni shujaa.home sweet home pambana sana.Mambo yatabadilika tu.
Kweli mh.lema.umeongea.vizuri na kwa.utimilivu na kwa busara juu ya mambo mnayofanyiwa chadema.na kutekwa.
Daah...Lema mdogo wangu umesema yote...Mungu akulinde na atulinde wote
Kama pangekuwa na uwezekano wa watu kufufuka mungu angemfufua baba wa taifa ili ajionee taifa alilolipambania waalifu wanavyolivuruga.
Mungu ndiye muweza wa kila kitu hakuna cha mheshimiwa rais wala nani nimeumia sana kuona hali kama hii yani nimeona kuna chuki mbaya sana Tanzania na hiii ni kwa sababu ya roho mbaya kuna siku yatakuja maisha mabaya sana hapa watu watakimbia huku na kule kutafuta uhai peke yake si mali tena
😢😢😢😢😢kamanda Lema Mungu akubariki Sanaa
Kaka pole sana Mungu yupo akumbuke katika ufalme wake
Mungu Baba Mwenyezi tuepushie na mambo haya mabaya. Sote tumeumbwa na Mungu Mmoja na Anatupenda sote. Tupendane na kuonyana, Baba Kasemaa wapendeni Audi zetu na kuwaombea!!!
Mungu sikia maombolezo hayo
Hata chama tawala nchini zambia iliwatesa sana wapinzani mpaka kumfunga viongozi ambaye baadaye amekuja kuwa kiongozi mkuu wa nchi , wapinzani msikate tamaa maendeleo ya nchi duniani yameletwa na wapigania haki .one day yes
Yes, Mungu hawatupi waja wake
Mungu yu hai na anakusikia Mh.lema..Hatawapiga kwa upangaaaa
Inaongelewa taratibu lakini ina nguvu kuliko kuliko kombora la nuclear
Mnoooo mnooo
FAMASIHARA NINI MAMA ASHAKASIRIKA LAZIMA AWE MPOLE
umenifanya nicheke wakati ninamachoz
Lema na Heche ni vijana wenye akili nzuri sana wangepata muongozo wa Mungu wanafaa kutuongoza sana
Shida heche siku hizi kapoa sana sijui kapewa hela
@@jeanmusamba8448 nakubaliana na wewe kabisa ndugu yangu!!!! Uko sahihi kabisa!! Vijana wa kuongoze wapo Nchi hii!!!
@@GodfreyBaritelemi hajapewa hela kaka Huyo Heche ni mtu makini sana he is meditating,
@@GodfreyBaritelemihajapoa,na yule haongwi isipokuwa haongei ovyo ovyo.
Mimi sina ulevi
na vyama. Naipenda Tanzania, napenda viongozi wazalendo. Hata ndani ya ccm wamo viongozi wengi tu wazuri. Ila kutokana na majambazi walioiteka ccm, hawawezi kutupa hao viongozi wazuri. Wanaweka wao wanaowataka. Ni kama zari tu kutupa Magufuri, baada ya kuona anawabana kakamwondoa wao wenyewe. Acheni kushadadia vyama, wananchi tusimame kama taifa, hii nchi haina amani, mnadanganywa. Unganeni pamoja kuitafuta amani na demokrasia ya haki.
Mwenye masikio na askie maneno mazito anenayo nabii lema akiwaonya watenda mabaya .😢😢
Sahihi kabisa maneno yako kiongozi lema Usichoke kusema Allah Atawalinda Inshaallah
Acha shobo, utatombwa kichwa Kama pumbu LA mbowe.
Daah matusi tena😢😢😢
Amen 🙏🏾 god atulinde San 😢 imenipain San hii speech 🎤 dah so sad San ipo siku na mda mtawala atakuwa mpinzani 💔💔💪🏽
@@mosesfutila4524 haitatokea kanye ujipake waigizaji wakubwa nyie
BRAVO KOMREDI LEMA....MANENO MAZITO...KUSIKITISHA....LAKINI YA BUSARA NA HEKIMA KWA WATANZANIA WOTE....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.....KWA MH. RAIS SAMIA....MUOGOPE MWENYEZI MUNGU MTUKUFU....SOMA HISTORIA YA VIONGOZI MASHUHURI NA WENYE NGUVU WALIVYOANGAMIZWA NA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU....MH. RAIS JIREKEBISHE NA UOMBE MSAMAHA KWA MOLA WAKO NA WATANZANIA WOTE.
Mungu huwa anasikia naanaona
Pole sana tuko pamoja lema
Hakika kuna mungu ndani ya huyu mwanasiasa!!
Roho mtakatifu ndie alie kufunulia ayo
Mwenyez mungu kaka akueke uzidi kutu semea sisi ambao sauti zetu hazifiki huko
Samia ni katili sana
samia ataondolewa kwa kura uchaguzi ujao.
Hatari mnoo 😭
Unajidanganya nano amuondoe labda Mungu apange ila sio binadamu lemon ameongea vizuri sana na kuongea kama kumkumbusha rais ili atengeneze njia kiwepesi ya kuingia tena 2025 na siku zote hotuba za lema huwa anampa njia raisi nini afanye ili aendelea kuwa rais
@ghalibhalfaniwaislamu mnafurahia samia akinyanyasa watanganyika nakuwauwa4772
Amekufa medi juzi kwa kutekwa, yy ni mkirifito? Acha udini, tumia akili@@MACHOYATAI-jk6fu
Watanzania karibu wote Tunaridhishwa Na Utendaji Mzuri wa Huyu Mama hususan kwenye ujenzi MIUNDOMBINU
Vyombo husika vipo kazini kwa Uchunguzi. Tusubiri.
Very powerful speechless Lema...
Allah atakuhifadhi kwa huruma zake ammina
😂😂😂😂Tanzania wapi tunaenda jamani(Ee mwenzi MUNGU kawatetee wale wote wenye nia na moyo wa kizalendo kwa taifa Ee MUNGU unaye hukumu katika nafasi zote.Iberiki African,Ibariki Tanzania;Amina.
Mungu akulinde, uwa kinywa chako nakiogopa. Ukitamka uwa Mungu anatenda.
Pole Kaka Mungu akutunze kwa ajili ya taifa
Inasikitisha na kuumiza sana. Kifupi huyu mama hana uwezo wa kuiongoza nchi amejidhihirisha kwenye hotuba mbovu ambayo imewakwaza watanzania wote ilyowafaa ni polisi peke yao tena hata polisi ni wale tu mambwila wasio na utu.
Ni kati ya hotuba mbovu ambayo rais amewahi kuitoa tangu aapishwe
@@abelluhende1422 hivi tuseme huyu mama hakuna jambo la maana alilolifanya tangia apishwe kuwa raisi wa Tz?.
@@hamzakhamis1575uovu ufunika mema yote Hamza. Hasa kama unakosa huruma ya watu kupotea na kupoteza maisha. Hakuna kingine kizuri kitaonekana. Kiukweli hio hotuba ilikuwa baya kuliko zote.
Punguza ukal wa maneno,,
Awwwwwwww I hope mama samia atayasikia haya
Rema mungu akuongoze kaka umeongea vizur sana mm sio chadema hata kidogo ila umeongea vizur sana na ni ujumbe mzuri sana kwa mh rais.Apo kwa katibu wake sasa umempatia ujumbe yeye aufanyie kazi mungu amuongoze rais wetu afanye maamuzi mazur na sio ya kudanganywa..
Inauma sana daah Tanzani inaenda wapi eee mwenyezi MUNGU Iteteee tanzania
Kwa kweli nchi inayomwaga damu ni laana kwa Mungu Mh Raisi chukua ujumbe huu ufanyie kazi wananchi hatupendezwi na hii hali tuvae viatu vya wanaoumizwa.
Nenda kamwambie magufuli haya yote amkusema wakati mumewenu magufuli yupo
Tunamwambia mke wetu samia weetuliza mkundu zanzibar usubilie watanganyika tufanye kazi ule bure@@saidisaidi4502
@@saidisaidi4502kumbe na wewe ni shoga sasa mambo mume umeyatoa wapi
@@saidisaidi4502kumbe na wewe ni shoga sasa mambo mume umeyatoa wapi
Wanadamu tunajisahau sana😢 Dunia hii tunaipita tuishini kwa upendo Tanzania ni yetu sote😢 😢😢😢
Roma aliimba
Hii ndio Tanzania nchi yenye udongo wenye dhambi .........
Kiukweli lema leo nimeliamachozi nakujiona sii chochote kwenye nnchi yangu daaaa Tanzania tunaenda wap
Nakuelewa sana mungu ndo anaehukumu kwa haki yeye halali Wala hasinzii
Mbaya zaid mzanzibari ana mwambia mbara ameota mkia kwa kurud kwenye ardhi yake ya asili.
acha ubaguzi watu wanaungana kupinga ubaguzi wewe unataka kuwagawa
Jinga wew
Acha tulibague nini hivi anafanya
Nahisi dalili za kiama
Very sad 😢
God kaka angu pole mungu atawashughurikia watesi wenu
Pambana mwamba tupo nyuma yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kamanda inaleta uchungu sana 😂😂😂😂
Iko siku Mungu yuko juu
Dah ccm tuitoe madarakani kwa amani
PEOPLES POWER ✌️✌️✌️
Unachosema nikweli amewapa nguvu polisi yanayoendelea nchini Mungu yupo anawalinda inshaallah
Lemaa mtu nwenye hekima sanaa kijana shupavuuuu km mapambano yaendeleee
Unamsikia anapokuwepo kwenye majukwaa huyo unaemwita Ana hekima?Now Mama amekasirika lazima awe mpole
Good speech, with respect 👍
Watawala wanasahau kuwa Mungu yupo.
Mh lema mungu akupe maisha malefu zaidi ya watesi wako
Simama na Mungu Jehova. Tutauona mkono wa Mungu Jehova atavyotufanyia leo. AMEN AMEN.
Hii sentence ngumu sana ,kwamba hukuwa rais ulikuwa makamu wa rais Leo ni rais, anything can happen.
Ukifikiria hii sentences ....utajua maisha haya a formula.
Let's think twice
Du! Umeongea Kwa machungu😭
Kweli maneno ya Lena yanaumiza sana sana.
Saanaaaaa sanaaa ameongea kwa uchungu mkubwa 😭😭😭😭😭
Ujue alivyoongea yametoka moyoni na raisi hana mwisho mwema akimaliza miaka miwili ashukuru mungu kama wanavyo uwawa raiya yatakuja kugeuka kama gwaride wambele akarudi nyuma na wanyuma akawambele roho imeniuma sana kwa maongezi yake mazito ishallah mungu atawaliinda❤
Yaani huyu Samia atosaulika Kwa hayo maovu
Hatuwezi kujicompare kwa vifo, tunatakiwa kujicompare kwa maendeleo. 😢
Bonge l hoja
Hakika!
Wengine wanalinganisha na watu waliotekwa kwingineko. Two wrongs do not make it a right
Brother Lema bado tunakumbuka maneno yenye busara uliyomwambia anko, na leo tunaona tena unamwambia mama!!! Looo!!!! ni masikitiko makubwa.
Ee Yesu shuka .maana damu za watoto wako zinakulilia.naomba asibaki hata mmoja aliyeshiriki kumwaga damu .
Ni maneno mazito ila kwa bahati mbaya anayeambiwa hajali
Great..!
Mhe Godbless Lema Kasemea sehemu tu sehemu ya MAUMIVU Makubwa TULIYONAYO Wananchi Wengi wa Tanzania yetu..!
Sisi watanzania hatuna maumivu usitusemee tena wewe lema nyamaza ulijifanya umeoteshwa kifo cha magufuri na leo magufuri hatuko nae vipi lema unaweza kutuambia ile ndoto uliitoa wapi lini ulijutia ndoto wapi kifo cha magufuri hatujasahau leo kinywa chako kinatia huruma
Sema wewe auna MAUMIVU usitujumlishe watanzania wote
Lema uko sahihi kabisa ila ile hotuba ya rais ilikuwa hotuba mbovu na ya hovyo kabisa iliyokosa busara na hekima.Wanaoivuruga nchi hii ni chama tawala na viongozi walioko madarakani wasio na utu,uadilifu wala uzalendo.Hawapendi kujenga mifumo imara na inayotenda haki badala yake wanatengeneza mifumo mibovu na dhaifu ya dhuluma,wizi,ufisadi,ubadhirifu,ujsmbazi,ulaji rushwa,ukandamizaji,utekaji,uuaji.Mnaiba kura na kupora uchaguzi halafu nyinyi mnajiona watakatifu. Ww rais huwezi ukasema una maadili na una hofu ya Mungu na kwamba unaongoza nchi kwa kufuata katiba na sheria ya nchi nawakati urais wako uliupata baada ya kuiba kura na kupora uchaguzi wa 2019 na 2020.
Mathew May God bless you and your family!!!❤ 💖 Comment yako !!! You are the greatest thinker!!! Tanzania is so blessed to have you!!!! Maneno yako Mazuri na matamu na yakweli Kabisa!!! ❤❤ Mungu akulinde!!!
@@tatizojoseph8702 ahsante
Kabisa kaka
Mwenyezi Mungu ni Mwema Sana. Very soon Atakuja na Majibu ya Haya Yote.
this is a prophetic words but god is the power
Mungu awalinde ndugu zetu.
MUNGU NI mwaminifu.atatoa majibu ya haki siku hazigandi
Mungu ndiye Hakim wa haki na haki haipotei tutalipwa hapa hapa tujitahidi kufanyiana mema
Lemaa .pokea maua yako🎉
Hii laana haitakuacha salama madam president inauma sna ipo siku moto utawaka hapa tz maana naona kama panafukuta Chini ya ardhi mdogo mdogo tafadhali chukua hatatua haya animaisha ya watu .....
Damu za watu zitakuwa juu ya yeye mwenye
Mamlaka ya kuondoa uhai wa kiumbe wa Mwenyenzi. Mungu
Natamani kuwa Israel mtoa roho.....so painful speech!!!
Nilikuwa namchukia Lema.ila leo mpaka machozi yamenitoka sikujua kuwa lema ana nidhamu hivi.Mungu awe nawe
Hiki kimama kina vaa ushungi lakini ndani ana roho ya mbwa mwitu
Punguza maneno
Kuwa huru kuongea
Mbona hujaongea wanaotaka uovu vipi wawe huru?
Changia Kwa Uhuru bila kuvuka Mipaka. Heshima haiuzwi.
Unapo muita kimama ujue hata mama yako umemtukana, tumia akili acha kukoment vitu vya kijinga
ni kweli mwambie Lema Hawa wamefanya nchi ni Mali yao
Nimeumizwa kiasi cha kutamani kulia! Pole sana mh Lema na wenzako wanaopitia madhila hayo kaa sababu ya siasa!
Tunaombwa na waliotekwa warudi salama
Mungu!,Mungu wewe wayaona haya!,na ijulikane Upo Mungu wangu ionekane Upo Mungu wetu,itoshe tu kusema hivyo!😔
Mungu toa haki uonefu umezidi tanzania
Wewe mama najua lazima usome comment zetu nakwambia hivi nakuchukia ni vile tu Sina uwezo wa kukufikia hapo ulipo 🔫🔫🔫
Dah jaman mungu aongee nasi masikioni mwetu kwakila mmoja nasili isiwez kusikika nawatu wa baya kua nin tufanya kwatunayo yaona nakuyaskia atupe namna tushinde turud kwenye amani inayo elekea kupotea
YESU TUSAIDIE
Lema tunamiombea ww na wenzako wate hukumu itatoka 2025 tunaamini kwamungu inawezekana kiukweli tumechoka na ccm😂😂😂😂
Maneno mazito sna haya tuwee na ofuu ya Allah cheo ni dhamanaa tukumbukee kesho yetu pia
Nabii!!!!! Mungu yupo na wewe.... Na MUNGU km hayupo basi na iwe hivi. Na kama Upo MUNGU basi tenda jema.