Kweli mbowe kwa hayo maneno ninekubali umewadhirishia watanzania kuwa wewe ni mwanaharakati mkubwa kuwahi kutokea Tanzania Mungu yupo na pia akulinde nasi tuko pamoja nawe tunakuombea sana umeongea maneno yenye hisia kali yaliyozikonga nyoyo za watanzania..
Mungu akusimamie mheshimiwa pamoja na watanzania wenzangu mnaotaka mabadiliko nchi yetu inaelekea pabaya sana mauwaji yamezidi sana kila familia inalia saizi mpaka mikoa yote jamani naumia sana 💔😢🙏🏾
Hii nchi imeoza kwakwel, hivi hao maaskari waliotawanywa mji mzima kwaajili ya kutisha raia na kuzuia maandano, si wangetawanywa kwa kazi ya kutafuta watekaji wa mauaji, si ingekuwa bora, duh! Nchi hii imerudi kwenye ukoloni,Ee Mungu ikumbuke nchi tupe viongozi wenye hofu yako na wenye uchungu wa haki na amani,
Yesu ninayekuamini uliyekifa na kufufuka msalabani Kwa jina lako viongozi WA chadema na watanazania wapenda Haki hawatakufa bali wataishi na nakuomba Baba yangu uwaaibishe na kuwaadhibu wote wanaota na kukandamiza wenzao Kwa uchu WA madaraka ,nakuamini mungu wangu nayakabidhi hayo yote kwako.aminaaa!!
Baba wa Mbinguni katika Jina la Yesu Kristo. Tunaweka Taifa la Tanzania 🇹🇿 mikononi mwako. Tunaomba ulinzi kwa kila mmoja anaepigania haki. Hawatakufa bali wataishi. Amen.
Mungu awatangulie ktk hili maana kama aliweza kuzuwia moto usiwachome shedrack,meshaki na abednego pia aweza kuzuia risasi juu yenu msiogope Mungu yuko upande wenu nendeni tu kwa imani ya Bwana mtashinda
Mungu asimamie.Maandano ya kesho. Tupiganie haki zetu. Haki hakuna. Kunawatu wamejishibisha Matumbo yao kwa Pesa zetu. Wanaiba mpaka basi hawaulizwi. Kesho tukaandamane...!!
Naamin kwasala zetu mungu atakulinda mtanzania mwenzetu mzalendo usie pimika kwa wema na kuipigania nchi japo iko mikonon mwa wates mungu yu pamoja nawe
Niko tayar kuuwawa kwa kupigania haki ya watanzania wenzang waliouwawa na kutekwa na kuteswa na serikali ya samia 😕😕😕☝️☝️ husbiya'allah waneemalwakil ☝️☝️🙏🙏🙏
Wewe utakuwa maiti inayotembea. Acha kuwatia uoga watu waliojitoa. Hata walioleta ukombozi wa nchi hii walikuwa wachache, huku mijitu mingi kama wewe wakiwa vijibwa vya wakoloni. Ni Mpumbavu wa kiwango chako anayeweza kuunga mkono kauli za kipumbavu kama zako. Hali ya nchi wewe huoni kama ipo tete? Mimi ni mwana CCM, kada na kiongozi mkubwa katika serikali, ila siungi mkono upumbavu wa serikali hii, kwa kushindwa kumaliza tatizo la utekaji na uaji. Kukaa kimya kwa serikali hii ni uthibitisho kuwa serikali hii ndio inayoratibu utekaji, upotezaji na uuaji huu.
Jmn cc tunawapenda viongozi wetu wa chadema jmn nitaumia Zaid nikisikia mmeumizwa kesho jmn naomba Mungu atusimamie Kesho viongozi wetu SS ni wanyonge ....
Mungu atulinde nahawa maadui hatari wa haki tuungane tulikomboe taifa letu bora kufia barabarani tukidai haki kuliko ketekwa kuuwawa kwasiri na kupotea hata ndugu wasione maiti yako
Naimani samia ni mama na anautu ndani mwake kamwe usiruhusu mabaya ya mpate huyu baba, pia yampate mtanzania yeyote. Wanaokushauri chukua kikombe cha maji nawa kisha sema huna hatia na damu ya Mtanzania. Zaidi ya hapo itakuja ghadhabu kali ya Mungu. Isiyo zimika kwa chochote Rais tafakari sana huu ujumbe nautuma kwako nikiwa madhabahu ya Mungu.
Viongozi wanaweza kukamatwa hata usiku huu, kutokana na maneno ya raia #1 aliyosema yananifikirisha sana. Kwamba sheria zilizotumika wakati huo bado zipo.
Mtumishi wa Mungu mwalimu Julius Nyerere, muhasisi wa Taifa letu utuombee, Mama bikira Maria mama wa mataifa yote utuombee watanzania tuwe na Amani Upendo na ushirikiano, amen amen amen.
Tutapata wapi MTU MZALENDO KWELIKWELI kama FREEMAN MBOWE mwenye huruma na mapenzi ya dhati kwa sisi WATANZANIA? MTU mpenda haki siyo mbinafsi tena mcha Mungu na mwenye Mungu ndani yake FREEMAN MBOWE ni nuru ya Tanzania tena ni HAZINA yetu tunapaswa kumlinda kwa Hali na Mali kuhakikisha nasisi tunamuonyesha upendo siyo Jambo rahisi MTU millionaire kama yeye kusimamia haki za WANYONGE na maskini INGEKUWA MWINGINE angeishi kwa anasa na starehe Ila yeye tazama ni mnyenyekevu anaishi na JAMII vizuri Hana KIBURI wala majivuno PESA anazo tele hazitumii kukandamiza wengine au kuwaonea wengine MBOWE ni MTU MWEMA na ni MTU mzuri sana MAISHANI mwa WATANZANIA Mungu MBARIKI FREEMAN MBOWE,Tundu LISU, HECHE HALIMA MDEE WALIOBA, sugu, BONIFASI JACOB X mayor wa ubungo. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Mara ngapi wamekuwa wakisusia mazungumzo? Hawa ndio wanapenda mambo haya. Nendeni mkaandamane. Wapuuzi hawawezi kupewa nafasi ya kupotezea muda watu waliopo tayari kuwatumia wanannchi na kuwaletea maendeleo
Aluta continue . ila maneno ya huyu jamaa yamejaa huzuni kubwa na nakubari kuwa ni mwanaharakati kweli tumuunge mkono hivi mbowe ana njaa ya maisha? Pia asingekua mpigania haki wa kweli ciangejiunga ccm ? Akala bata? Jamani lengo si vurugu tunataka uonevu ukome nchi hii pamoja na ubaguzi sote ni watanzania kwann wengine wakiuwawa wanapewa thamani kubwa kuliko wengne utanzania wao unatofauti gani? Kwanini rais anatuhakikishia telejensia yetu ni kubwa lakini inashindwa kubaini watekaji? Polisi wasirumie kodi zetu kutuumiza tunaomba mh rais kama amiri jeshi awaamuru polisi walinde waandamanaji na si kuwaumiza mungu ibariki tanzania
Narudia tena kumshauli Rais wangu samia nakuomba sana Mama husikubali damu imwagike police watapiga watu nakuumiza au kutumia risasi za moto kuua walipa kodi wako tumia hekima muite mboye kaa naye muongee hakuna kinacho shindikana kuliko kutumia mabavu kesho uwezi kujua utaulizwa wewe si mapolice Mungu akuonyeshe njia ya kumaliza jambo hili na dunia nzima macho yako kwako.
MAMA MH, RAIS NAMUOMBA SAANAA ZUIA MAUAJI YANAYOTARAJIA KUFANYIKA KESHO TAR 23/9/2024 KUMBUKA MUNGU AMEKUPA KIBALI CHA KUWAONGOZA WATANZANIA. MILIONI SITINI. UTATOA HESABU YA WALIOPOTEA / KUFA KINYUME NA MAPENZI. YAMUNGU.. KWA SABABU MWENYE UWEZO WA KUITOA ROHO YA BINADA NI MWENYEZI MUNGU PEKEE OGOPA HUKUMU YA MUNGU. ALIYEKUPA MAMLAKA HII KUU. UTONGOZE BADALA YAKE. AMIN AMIN.
Unyonyaji unapo zidi amani huwa haipo kabisa hata upelekea hali mbaya ya ugumu wa maisha kwa watu ogopa vitu viwili ni hatari sana hata mungu alihamua kuingilia kati kwa firauni 1: Exploitation 2: Egoism Kati ya haya mawili kutokuwepo na uhadilifu unapatikana ndani ya haya mambo mawili lazima tu watu wachoke Unyonyaji na ubinafsi ni vitu vibaya sana upelekea watu kuwa na maisha magumu sana😢😢😢😢😢
Baba usiseme kitu kitakukuta apana mungu yupo unavyo ongea kwa uzuni kutoka moyoni sisi sote tunaumia na tukopamoja na vilevile mungu awe pamoja nasi asituache utaludi na bado tunawapenda
Ni kweli lazima tuandamane Kwa amani Kwa kudai haki zetu....maisha ya watanzania ni duni sana.,viongozi wengi serikali hunemesha familia zao na kuwafanya wengine watumwa ambao wakifa huona ni SAWA TU..,I love Tanzania ,I love CHADEMA
Dah!! Nchi yangu jamani😢😢😢 Ee Mola ndiwe ujuaye yote haya, walinde watu wako wanaotetea wanyonge Baba, na wape hekima na busara viongozi wa nchi hii waliotokana na mkono wako Baba, epusha Tanzania na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Amina
Mungu unaemuomba ametuelekeza kutii mamlaka na sio ukaidi. Pia Tumefundishwa kua unapotaka kufanya jambo lolote jiulize kuhusu hatma yake kama ni kheri basi lifanye, na kama halina mwisho mzuri basi usilifanye.
Ee Yesu wa Ekaristi, juzi ulipita kwa kwa maandamano ya Amani ktk Jiji letu,tunakuomba na Leo uwalinde ndg zetu wa Chadema ktk maandamano yao ya Amani ya kutafuta haki ktk Nchi yetu.
AMENI AMENI AMENI MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA HAKUNA ATAKAYE ISHI MILELE. MUNGU TUTIE MOYO WAJA WAKO HAYUKO TAYARI KUWA WATUMWA NA WAGANGA WA MATEKA KTK NCHI YETU
"Kama tutaonana tena Mungu asukuliwe" Duh.... Mama Samia ukiacha hawa watu wakaandamana na Wakalindwa utapungukiwa nini Mama katka Dunia yako na Akhera???🏃🏃😇😇
Vijana jitokezeni kwa wingi mkikaa nyumbani maisha magumu mkiandamana mtabadilisha kabisa sura ya nchi yetu tuache ushabiki serikali imeoza hawastahili kutuongoza
Kiongozi hufui kufunja watu moyo..,, Ila zisisitiza maandamano, basi... Kwani... Kufa ni lazima KUISHI ni bahati... Mtu kufa kwa mikono wa police,, sio Mbaya... Maana.. Hakuna,,, anaye ishi. Milele.. Hivyo.. Inafaa nguvu ya Uma ionekane..... Wajue.. Sheria Kila kitengo isimamie nafasi Yake.
Rais samia jamani hivi hawa watu mkiwaacha wakaandamana na polisi wakawe walinzi wa maandamano hayo mama utapungukiwa nini? Maneno ya huyu mtu yanatia uchungu kweli yanatoa machozi. Watanzania ifike mahali tuuelewe ukweli si polisi wala raia bali kila mtanzania asimame penye ukweli. Mungu nakuomba wewe ndiyo uwe mlinzi wa watu hawa kwani ni watu wako.
Taifa letu limeingiliwa na Viongozi Uchwara wenye Uchu wa Madaraka, Wasio na Uzalendo wa Taifa na Wananchi. Wanajali Familia zao na Matumbo yao tu. Tumechoka na Viongozi Uchwara na Mabeberu wa Ndani wa Taifa letu. TUNAPAZA SAUTI ZETU JUU YA UNYONYAJI HUU.
Kifo cha wengi ni harusi acha tufe kwapamoja mungu yuko tanzania haijawai kuwa hivi tutakufa kwenye nnchi yetyuu
Msiogope polisi
Daah! Moyo wangu unavuja damu, hayo maneno ya mwisho ya Mheshimiwa mbowe yamenifikirisha sana😢😢😢
Kweli mbowe kwa hayo maneno ninekubali umewadhirishia watanzania kuwa wewe ni mwanaharakati mkubwa kuwahi kutokea Tanzania Mungu yupo na pia akulinde nasi tuko pamoja nawe tunakuombea sana umeongea maneno yenye hisia kali yaliyozikonga nyoyo za watanzania..
Mungu akusimamie mheshimiwa pamoja na watanzania wenzangu mnaotaka mabadiliko nchi yetu inaelekea pabaya sana mauwaji yamezidi sana kila familia inalia saizi mpaka mikoa yote jamani naumia sana 💔😢🙏🏾
Mungu Mungu Munguuuuu ninakuita kesho tunaiweka mikononi mwako Ameeen🤲🤲🤲😭😭😭
We mwenyezi mungu wa rehema mfalme mkuu kila uhai wa mwanadamu upon mikononi mwako tunawakabizi mikononi mwako ndugu zetu we ndo unakuwa mungu amen
😭😭😭😭 Mungu akutangulie mwenyekit Mbowe
Hii nchi imeoza kwakwel, hivi hao maaskari waliotawanywa mji mzima kwaajili ya kutisha raia na kuzuia maandano, si wangetawanywa kwa kazi ya kutafuta watekaji wa mauaji, si ingekuwa bora, duh! Nchi hii imerudi kwenye ukoloni,Ee Mungu ikumbuke nchi tupe viongozi wenye hofu yako na wenye uchungu wa haki na amani,
Kwani unadhan hizo mbwa zinawaza walio potea Sasa,
Gd
Tunakupenda mwenyekiti
Yesu ninayekuamini uliyekifa na kufufuka msalabani Kwa jina lako viongozi WA chadema na watanazania wapenda Haki hawatakufa bali wataishi na nakuomba Baba yangu uwaaibishe na kuwaadhibu wote wanaota na kukandamiza wenzao Kwa uchu WA madaraka ,nakuamini mungu wangu nayakabidhi hayo yote kwako.aminaaa!!
🎉Amina sana🎉
@@JosephIsanzu-g1r Ameeeni
Baba wa Mbinguni katika Jina la Yesu Kristo. Tunaweka Taifa la Tanzania 🇹🇿 mikononi mwako. Tunaomba ulinzi kwa kila mmoja anaepigania haki. Hawatakufa bali wataishi. Amen.
Nilale asubuh mapame sana kweny mandamano.mungu atuongoze ktk hili💪🏻
One love country ❤️
@@AzeeHassan
Upo mitaa gani asubuhi hii?
@@jumamchina9038 magomen hapa
VIP kulikoniii ulijaribu kufika wapi katika maandamano yakoo
Daaaaah sina la kusema, Tunamuomba Mungu akaishinde nguvu ya mtu muovu katika nchi.
Mungu atusimamie hii vita tutashinda tuu Mungu yupo upande wetu people's power
Kumbe ni Vita?
Pawaaa
Kamand Mbowe upo vizuri.
Mbowe tunakutegemea baba
Yani Mimi nimelia kwa uchungu !
Mungu awatangulie ktk hili maana kama aliweza kuzuwia moto usiwachome shedrack,meshaki na abednego pia aweza kuzuia risasi juu yenu msiogope Mungu yuko upande wenu nendeni tu kwa imani ya Bwana mtashinda
Mungu ana maguvu kuliko samia suluhu hasani. Na jeshi lake.
Hutakufa Bali utaishi Mungu anamakusudi na wewe Kiongozi tunakuombea maisha marefu
Amina
Siku zote Mungu yuko pamoja na wanyonge na wapigania haki
Katika hili mwenyekiti mbowe tupo pamoja Sana ubarikiwe sana kwamsimamo huu kweli hiii nchi siyo wa ccm peke yao
Mungu asimamie.Maandano ya kesho. Tupiganie haki zetu. Haki hakuna. Kunawatu wamejishibisha Matumbo yao kwa Pesa zetu. Wanaiba mpaka basi hawaulizwi. Kesho tukaandamane...!!
Freeman Mbowe uko sahii
Ufunuo wa Yohana 12
11 : Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.
Naamin kwasala zetu mungu atakulinda mtanzania mwenzetu mzalendo usie pimika kwa wema na kuipigania nchi japo iko mikonon mwa wates mungu yu pamoja nawe
Mungu tunakuomba kesho asiumie Mtu yeyete ktk maandamano
Mungu Linda viongozi wetu wote ee Mungu tunakuomba ktk jina la Yesu nimeomba amen 😢
Niko tayar kuuwawa kwa kupigania haki ya watanzania wenzang waliouwawa na kutekwa na kuteswa na serikali ya samia 😕😕😕☝️☝️ husbiya'allah waneemalwakil ☝️☝️🙏🙏🙏
Ahaa kesho ukitoka kuandamana uage kabisa familia yako 😂😂😂
Mjinga sana unapigania chama cha KANISA
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wewe utakuwa maiti inayotembea. Acha kuwatia uoga watu waliojitoa. Hata walioleta ukombozi wa nchi hii walikuwa wachache, huku mijitu mingi kama wewe wakiwa vijibwa vya wakoloni. Ni Mpumbavu wa kiwango chako anayeweza kuunga mkono kauli za kipumbavu kama zako. Hali ya nchi wewe huoni kama ipo tete? Mimi ni mwana CCM, kada na kiongozi mkubwa katika serikali, ila siungi mkono upumbavu wa serikali hii, kwa kushindwa kumaliza tatizo la utekaji na uaji. Kukaa kimya kwa serikali hii ni uthibitisho kuwa serikali hii ndio inayoratibu utekaji, upotezaji na uuaji huu.
@@hamisimkoma7380mbona unaonekana maiti kabsa wewe???
Mungu akawe upande wa HAKI Mungu ndiye alieumba vyote hashindwi na lolote.
Jmn cc tunawapenda viongozi wetu wa chadema jmn nitaumia Zaid nikisikia mmeumizwa kesho jmn naomba Mungu atusimamie Kesho viongozi wetu SS ni wanyonge ....
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻tuko pamoja 🙏🏻
Mungu atulinde nahawa maadui hatari wa haki tuungane tulikomboe taifa letu bora kufia barabarani tukidai haki kuliko ketekwa kuuwawa kwasiri na kupotea hata ndugu wasione maiti yako
❤Naomba btuendelee na maombi, Mungu Atatenda Tu.
Ukutane na nani mnazi mmoja nenda wewe na familia yako wenzio wananufaika wewe una pata nn
Nawaombea kwa Mungu Awasimamie na kuwalinda kwa kila baya.
Kesho Acha watuuwe wote
Shalom shalom shalom!!
Mwenyez mungu akulinde na harakat zako njema inshaallah
Naimani samia ni mama na anautu ndani mwake kamwe usiruhusu mabaya ya mpate huyu baba, pia yampate mtanzania yeyote.
Wanaokushauri chukua kikombe cha maji nawa kisha sema huna hatia na damu ya Mtanzania.
Zaidi ya hapo itakuja ghadhabu kali ya Mungu. Isiyo zimika kwa chochote
Rais tafakari sana huu ujumbe nautuma kwako nikiwa madhabahu ya Mungu.
Tatizo ni uchu wa madaraka tuu
Maombi ni muhimu sana kwa huyu mama. Mungu ni mwenye huruma
So painful speech 😢
Yaani mbowe anaona kbs mapema tu kesho amekamatwa ndio maana ametoa maneno makali ya kusikitisha.mungu ibariki Tanzania na watu wake
Viongozi wanaweza kukamatwa hata usiku huu, kutokana na maneno ya raia #1 aliyosema yananifikirisha sana.
Kwamba sheria zilizotumika wakati huo bado zipo.
Mtumishi wa Mungu mwalimu Julius Nyerere, muhasisi wa Taifa letu utuombee, Mama bikira Maria mama wa mataifa yote utuombee watanzania tuwe na Amani Upendo na ushirikiano, amen amen amen.
Inaumaa sanaaa Tena Sanaa bas tu natamani ata kujitowa muangaa
Aisee MBOWE UNA IMANI NA UNA MUNGU NDANI YAKO UNAPIGANIA HAKI ZETU WATANZANIA MUNGU AKUOKOE
Tutapata wapi MTU MZALENDO KWELIKWELI kama FREEMAN MBOWE mwenye huruma na mapenzi ya dhati kwa sisi WATANZANIA? MTU mpenda haki siyo mbinafsi tena mcha Mungu na mwenye Mungu ndani yake
FREEMAN MBOWE ni nuru ya Tanzania tena ni HAZINA yetu tunapaswa kumlinda kwa Hali na Mali kuhakikisha nasisi tunamuonyesha upendo siyo Jambo rahisi MTU millionaire kama yeye kusimamia haki za WANYONGE na maskini INGEKUWA MWINGINE angeishi kwa anasa na starehe Ila yeye tazama ni mnyenyekevu anaishi na JAMII vizuri Hana KIBURI wala majivuno PESA anazo tele hazitumii kukandamiza wengine au kuwaonea wengine MBOWE ni MTU MWEMA na ni MTU mzuri sana MAISHANI mwa WATANZANIA
Mungu MBARIKI FREEMAN MBOWE,Tundu LISU, HECHE HALIMA MDEE WALIOBA, sugu, BONIFASI JACOB
X mayor wa ubungo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Rais wa jamhuri ya Tanzania Kaa na Hawa watu mzunguze ili mambo yaende ili kujenga taifa lenye Neema kwa sisi sote Asante sana
Acha aweke pamba masikioni nchi itaharibika bila sababu kwakua maandano sio kosa kikatiba
Mshauri mwenyekiti
Yeye badala ya kuwaita wakae wote mezani anatoa hotuba kali.
Mara ngapi wamekuwa wakisusia mazungumzo? Hawa ndio wanapenda mambo haya. Nendeni mkaandamane. Wapuuzi hawawezi kupewa nafasi ya kupotezea muda watu waliopo tayari kuwatumia wanannchi na kuwaletea maendeleo
Aluta continue . ila maneno ya huyu jamaa yamejaa huzuni kubwa na nakubari kuwa ni mwanaharakati kweli tumuunge mkono hivi mbowe ana njaa ya maisha? Pia asingekua mpigania haki wa kweli ciangejiunga ccm ? Akala bata? Jamani lengo si vurugu tunataka uonevu ukome nchi hii pamoja na ubaguzi sote ni watanzania kwann wengine wakiuwawa wanapewa thamani kubwa kuliko wengne utanzania wao unatofauti gani? Kwanini rais anatuhakikishia telejensia yetu ni kubwa lakini inashindwa kubaini watekaji? Polisi wasirumie kodi zetu kutuumiza tunaomba mh rais kama amiri jeshi awaamuru polisi walinde waandamanaji na si kuwaumiza mungu ibariki tanzania
Ameni
Ameni
Mwambie mwenyekiti afute kauli ya Samia must go! Mbona huko nyuma mliruhusiwa na kulindwa!Jitafakarini mlikokosea na mkaaze upya!
@godwinshoo5032 samia is killer.
Ahsante sana Kamanda tuko pamoja nimekusikiliza kwa makini sana Hotuba iliyojaa Busara na Hisia kali sana Bado natokwa machozi
Mungu utupe ujasili ili tuandamane kwa hamani
Umeongea kwa Uchungu😢 Mungu simama na taifa lako
😭😭😭😭tupo nanyi kwa maombi
Narudia tena kumshauli Rais wangu samia nakuomba sana Mama husikubali damu imwagike police watapiga watu nakuumiza au kutumia risasi za moto kuua walipa kodi wako tumia hekima muite mboye kaa naye muongee hakuna kinacho shindikana kuliko kutumia mabavu kesho uwezi kujua utaulizwa wewe si mapolice Mungu akuonyeshe njia ya kumaliza jambo hili na dunia nzima macho yako kwako.
MAMA MH, RAIS NAMUOMBA SAANAA ZUIA MAUAJI YANAYOTARAJIA KUFANYIKA KESHO TAR 23/9/2024 KUMBUKA MUNGU AMEKUPA KIBALI CHA KUWAONGOZA WATANZANIA. MILIONI SITINI. UTATOA HESABU YA WALIOPOTEA / KUFA KINYUME NA MAPENZI. YAMUNGU.. KWA SABABU MWENYE UWEZO WA KUITOA ROHO YA BINADA NI MWENYEZI MUNGU PEKEE OGOPA HUKUMU YA MUNGU. ALIYEKUPA MAMLAKA HII KUU. UTONGOZE BADALA YAKE. AMIN AMIN.
😢😢😢 Mungu pamoja nasi Watanzania wazalendo🙏🏿
Mungu akutangulie Mwenyekiti wetu FREEMAN
Mungu abariki taifa letu la Tanzania
Ukawapiganie wote watakao ungana katika kutetea haki za wananchi wa Tanzania wote kwa ujumla
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿tuko tayariiiii huu ujinga uwe na mwisho tujitokeze kesho tuone watuuue wote mmbwa hawa
Hawatakufa wote. Kina mbowe na lissu wataachwa na pia watoto zao wapo ulaya pia hawatakuepo ila ww bendera fata upepo utauwawa... shauri yako
Dah! Ayo Maneno Mungu Ikumbuke Tanzania😭
Da! umeongea kwa uchungu sana baba
Mungu yupo nawe mh
Tupo pamoja kaka yangu.
Daaah Mzee Mbowe MUNGU atatulinda🎉🎉🎉 MUNGU turehemu
Last statement speaks louder than any words uttered
Unyonyaji unapo zidi amani huwa haipo kabisa hata upelekea hali mbaya ya ugumu wa maisha kwa watu ogopa vitu viwili ni hatari sana hata mungu alihamua kuingilia kati kwa firauni
1: Exploitation
2: Egoism
Kati ya haya mawili kutokuwepo na uhadilifu unapatikana ndani ya haya mambo mawili lazima tu watu wachoke Unyonyaji na ubinafsi ni vitu vibaya sana upelekea watu kuwa na maisha magumu sana😢😢😢😢😢
Pamoja sana mheshimiwa mbowe tuko nyuma yako
Baba usiseme kitu kitakukuta apana mungu yupo unavyo ongea kwa uzuni kutoka moyoni sisi sote tunaumia na tukopamoja na vilevile mungu awe pamoja nasi asituache utaludi na bado tunawapenda
Ni watu wa aina yako tu waweza kumuonea Mbowe huruma
Yaani machozi yamenitoka, Mungu awalinde watu wote watakao andamana kesho@@godwinshoo5032
MOTO HAUZIMWI KWA KUUONGEZEA PETROLI BALI HAKI NDIYO INAYOWEZA KUINUA TAIFA.
Ni kweli lazima tuandamane Kwa amani Kwa kudai haki zetu....maisha ya watanzania ni duni sana.,viongozi wengi serikali hunemesha familia zao na kuwafanya wengine watumwa ambao wakifa huona ni SAWA TU..,I love Tanzania ,I love CHADEMA
Haki ipi hunayo?
Duh! Samia,samia,samia. Tanzania kwanza
umeongea kwa uchungu sana mungu hawah shidwa na lolote
Yesu Kristo si mama nasi
Mungu nakuomba usimame upande wa wenye haki😢😢
Huu ni wakati unaodhihirisha uwepo wa ombwe kubwa la hekima na busara. Mwenyezi Mungu awafariji waliao na kuomboleza wajaao kiu ya haki.
Dah!! Nchi yangu jamani😢😢😢 Ee Mola ndiwe ujuaye yote haya, walinde watu wako wanaotetea wanyonge Baba, na wape hekima na busara viongozi wa nchi hii waliotokana na mkono wako Baba, epusha Tanzania na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Amina
Mungu unaemuomba ametuelekeza kutii mamlaka na sio ukaidi.
Pia Tumefundishwa kua unapotaka kufanya jambo lolote jiulize kuhusu hatma yake kama ni kheri basi lifanye, na kama halina mwisho mzuri basi usilifanye.
Hakika mungu ipo upande wetu amina inshallah
Soma neno la Mungu sawasawa! hakuna Mungu amekuwa upande wa wachochezi wa vurugu!
Amina baba. Damu ya Yesu iwafunike wote na hiyo mitutu itakayoelekezwa kwenu Naagiza Malaika wakaigeuzie kwao
Utakuwa route ipi mkuu ili tukae huko kwa wingi😊
Hatakuwepo!Ni wasiojotambua tu watakuwepo
Acha unafiki hapo we hujaelewa wapi? Kojoa ulale watu wankufa unaleza mzaha hapa..
Tutakuw route ya makalio yako vaa boxer
Ee Yesu wa Ekaristi, juzi ulipita kwa kwa maandamano ya Amani ktk Jiji letu,tunakuomba na Leo uwalinde ndg zetu wa Chadema ktk maandamano yao ya Amani ya kutafuta haki ktk Nchi yetu.
AMENI AMENI AMENI MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA HAKUNA ATAKAYE ISHI MILELE. MUNGU TUTIE MOYO WAJA WAKO HAYUKO TAYARI KUWA WATUMWA NA WAGANGA WA MATEKA KTK NCHI YETU
Tukutane kesho mnazi mmoja
😂😂😂😂 ulivyo muoga sizani kama utasogea
Serikali imekaa kimya ngoja watu wawakumbushe wajibu wao
Inauma sana
"Kama tutaonana tena Mungu asukuliwe"
Duh....
Mama Samia ukiacha hawa watu wakaandamana na Wakalindwa utapungukiwa nini Mama katka Dunia yako na Akhera???🏃🏃😇😇
Mungu abariki Maandamano ya Amani kazi iendelee
Vijana jitokezeni kwa wingi mkikaa nyumbani maisha magumu mkiandamana mtabadilisha kabisa sura ya nchi yetu tuache ushabiki serikali imeoza hawastahili kutuongoza
Katangulie wewe kuandamana
Umeongea vizuri sana, mmekomaa kisiasa
Umeongea kwa uchungu mpka nataman hata kulia ila kufa utakufa mungu yuko pamoja na wew
Kiongozi hufui kufunja watu moyo..,, Ila zisisitiza maandamano, basi... Kwani... Kufa ni lazima KUISHI ni bahati... Mtu kufa kwa mikono wa police,, sio Mbaya... Maana.. Hakuna,,, anaye ishi. Milele.. Hivyo.. Inafaa nguvu ya Uma ionekane..... Wajue.. Sheria Kila kitengo isimamie nafasi Yake.
ushauri kwa serikali yangu hali yadunia ilipofikia ruhusuni maandamano yafanyike. kuwazuia siyo jibu.
Moyo wangu umejaa asila sana aiseee
Tatizo liko wapi polis kulinda maandamano hayo? Naona kuzuia ni gharama zaidi!!!!
Mungu awasimamie makamanda
Mungu yupi atasimamia wachochezi?acheni kujidanganya!
Acha ushoga @@godwinshoo5032
Hakuna uchochezi hapo wanapigania haki za wanyonge
Na MUNGU atawasimamia makamanda❤
Rais samia jamani hivi hawa watu mkiwaacha wakaandamana na polisi wakawe walinzi wa maandamano hayo mama utapungukiwa nini? Maneno ya huyu mtu yanatia uchungu kweli yanatoa machozi. Watanzania ifike mahali tuuelewe ukweli si polisi wala raia bali kila mtanzania asimame penye ukweli. Mungu nakuomba wewe ndiyo uwe mlinzi wa watu hawa kwani ni watu wako.
Tumekusikia Mwamba,tupo pamoja💪 Hakika Haki itashinda
Nikiona ndugu yangu anapambana kuwa Askari polisi bora kumvunja miguu awe mlemavu tumuhudimie nawachukia askari wa nchi hii
Hujui unachokichukia
Taifa letu limeingiliwa na Viongozi Uchwara wenye Uchu wa Madaraka, Wasio na Uzalendo wa Taifa na Wananchi. Wanajali Familia zao na Matumbo yao tu. Tumechoka na Viongozi Uchwara na Mabeberu wa Ndani wa Taifa letu. TUNAPAZA SAUTI ZETU JUU YA UNYONYAJI HUU.
Haki itapatikana tuu Mungu yupo na wanaonewa!
Mungu azidi kukupa nguvu
Bora wangeruhusu maandano kuliko kuyazuia. Watakuja kujuta baadae waache wajione ni washindi. Tutaingia barabarani watuue😊
Atajuta anayelialia kutaka huruma ya wananchi
Taifaulilozungumza nalo lipi, upuuzi wenu msitushirikishe, endeleeni na mambo yenu
Mhe kesho niko barabarani kama kawa
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
Mh Mbowe kwa Ujasili huu,nchi hii itapa Ukombozi na kuondoa uchawa si muda mrefu.Tupeni ujasiri tutaandamana.
MUNGU awe nasi , na Dunia ione🙏
Ameeeeeeen