Jinsi ya Kujenga Biashara ya Kitaalamu Mtandaoni | Ingiza Milioni 3 Kwa Hatua 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มี.ค. 2023
  • Nenda hapa bit.ly/pata-ushauri-bure-yt kupatiwa ushauri wa bure kutoka kwetu.
    Ni follow Instagram hapa / dr.said.said na / onlineprofitstz
    Jinsi ya kujenga biashara ya kitaalamu mtandaoni, Jinsi ya kupata wateja katika biashara, jinsi ya kuvutia wateja, jinsi ya kupata wateja online, jinsi ya kuvutia wateja instagram, jinsi ya kuvutia wateja facebook, jinsi ya kupata followers wengi instagram, jinsi ya kupata followers wengi facebook, jinsi ya kufanya biashara online, jinsi ya kufanya biashara bila ya mtaji, jinsi ya kukuza biashara, jinsi ya kutangaza biashara online, jinsi ya kutangaza biashara facebook, jinsi ya kutangaza biashara instagram, jinsi ya kutangaza biashara mtandaoni,
    Wasiliana nasi hapa 0679 536 927 kama una swali lolote.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 54

  • @mwanaidialiame318
    @mwanaidialiame318 27 วันที่ผ่านมา +1

    Aliye subscribe kabisa gonga like hapa ❤❤

  • @tawakal8328
    @tawakal8328 ปีที่แล้ว +3

    Dr said hunaga shoo mbovu. .....zote ni vyumaaa..

    • @dr.saidsaid
      @dr.saidsaid  ปีที่แล้ว

      Na InshaAllah zitakazokuja siku za mbeleni zitakuwa chuma zaidi

  • @user-vf9hi2jg1h
    @user-vf9hi2jg1h ปีที่แล้ว +1

    This guy is thinking in a different way

  • @user-dk3sm4xz5t
    @user-dk3sm4xz5t ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana doctor

  • @apolinamushi23
    @apolinamushi23 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana bwana Said Said

  • @jimmypatuka3798
    @jimmypatuka3798 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka upo vizuri sana

  • @user-lo5bw3zs3u
    @user-lo5bw3zs3u 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hii, good!

  • @neleusrweyemam147
    @neleusrweyemam147 11 หลายเดือนก่อน

    I like it

  • @kambibikamugisha3394
    @kambibikamugisha3394 ปีที่แล้ว

    You are the Best!! God bless you.

  • @apolinamushi23
    @apolinamushi23 ปีที่แล้ว

    Asante Sana mafundisho NI mazuri Sana

  • @EliakimEzekiel-kf2kg
    @EliakimEzekiel-kf2kg 9 หลายเดือนก่อน

    Dr said ninakuelewa sana

  • @MohammedOsmannuur
    @MohammedOsmannuur 2 หลายเดือนก่อน

    Upo Dar ....saidi

    • @dr.saidsaid
      @dr.saidsaid  2 หลายเดือนก่อน

      Team yetu ni ya mtandaoni. Tupo sehemu tofauti. Unahitaji msaada gani?

  • @gennesspascal1418
    @gennesspascal1418 11 หลายเดือนก่อน

    you have perfect mind dr.said..soon i'llbe your student

  • @user-vu9jt6nd4j
    @user-vu9jt6nd4j ปีที่แล้ว

    Nimependa sana elimu yako

  • @tendampya
    @tendampya ปีที่แล้ว +1

    great content as always!! asante sana

  • @elizabethndimbwa5470
    @elizabethndimbwa5470 3 หลายเดือนก่อน

    Nisaidiwe kujenga/kuanza biashara ya kitaalamu ya kufa mtu. Niko serious.

  • @yussufhamad5986
    @yussufhamad5986 11 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda darsa na nataman kuungana nanyi

  • @JoyfulKweli
    @JoyfulKweli หลายเดือนก่อน

    I think nimefika in the right place niliyokuwa naitafuta

    • @dr.saidsaid
      @dr.saidsaid  หลายเดือนก่อน +1

      Karibu sana

  • @beatrice755
    @beatrice755 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba jina lahiyo kampuni

  • @user-zm6ts6bx2z
    @user-zm6ts6bx2z ปีที่แล้ว

    Nimekipenda sana somo lako kiongoz mm ni mwanafunz kweny group la mafanikio kwetu ni lazima

    • @hafidhsaid1407
      @hafidhsaid1407 10 หลายเดือนก่อน

      Hello kwa Jina naitwa hafidh ningependa zaidi kuipata iofomu nijaze iwapo nitaweza

  • @elizabethndimbwa5470
    @elizabethndimbwa5470 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba unisaidie kujenga biashara ya kitaalamu mtandaoni

  • @user-mh4yj2so6r
    @user-mh4yj2so6r 4 หลายเดือนก่อน

    Habari nimeiona corpus zako nyingi naona zina maelozo mazuri but cjaja Mimi zitanisaidaije

  • @munibullahmarunda7051
    @munibullahmarunda7051 ปีที่แล้ว +2

    Superb

  • @ShabaniDavidi
    @ShabaniDavidi 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsanteeeeee sana kiongiz kwa kwa kujua leo nilikwa upande gan naomba namba yako naiyaji kujiunga ktk darasa lako

    • @dr.saidsaid
      @dr.saidsaid  3 หลายเดือนก่อน

      0679 536927

  • @emanuelkijana1997
    @emanuelkijana1997 ปีที่แล้ว

    Kaka now Niko chuo nifanyaje niwe expert mtandaoni

  • @EmanuelDotto-vd6vu
    @EmanuelDotto-vd6vu หลายเดือนก่อน

    Naomba unisaidie kujenga biashara ya kitalaam mtandao

    • @dr.saidsaid
      @dr.saidsaid  19 วันที่ผ่านมา

      wasiliana nasi hapa 0679 536 927

  • @user-dk3sm4xz5t
    @user-dk3sm4xz5t ปีที่แล้ว

    Mm nafanya sana biashara ndogo ndogo ila nafeli sana

  • @NicholasBoay-pi7lv
    @NicholasBoay-pi7lv 11 หลายเดือนก่อน

    Dr nawezaje nikajiunga na hiyo coz

  • @apolinamushi23
    @apolinamushi23 ปีที่แล้ว

    Nawezaje kujiunga na masomo?

  • @MariahMkanga
    @MariahMkanga 7 หลายเดือนก่อน

    Biashara Yangu Hilikufa Kwa Sababu Nilikuwa Napata Tabu Kutembea Madukani...
    Ngojea Nifungue Website Yangu

  • @elizabethndimbwa5470
    @elizabethndimbwa5470 3 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie sina utaalamu kabisa

  • @shamic_abby8343
    @shamic_abby8343 10 หลายเดือนก่อน

    Dr. Can we talk private please

  • @Lizzychazzy
    @Lizzychazzy 2 หลายเดือนก่อน

    Hello nahitaji unisaidie kupata wateja kwenye biashara yangu

    • @dr.saidsaid
      @dr.saidsaid  หลายเดือนก่อน

      Wasiliana nasi hapa 0679 536 927

  • @sophiaernest7419
    @sophiaernest7419 8 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Sophia natamani kufanya hivo nifanyaje kaka

  • @Sureboy_wiseman-bw3sp
    @Sureboy_wiseman-bw3sp 8 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi naomba nmba yko

  • @dr.saidsaid
    @dr.saidsaid  ปีที่แล้ว +1

    Nenda hapa bit.ly/pata-ushauri-bure-yt kupatiwa ushauri wa bure kutoka kwetu kuongozwa namna ya kuanzisha biashara ya kitaalamu mtandaoni.

    • @asherinyekele4285
      @asherinyekele4285 ปีที่แล้ว +1

      nakuapreciate doctor

    • @user-dk3sm4xz5t
      @user-dk3sm4xz5t ปีที่แล้ว

      Dr mm najitahidi sana kufanya biashara ila nambulia hasara tu

    • @beatrice755
      @beatrice755 7 หลายเดือนก่อน

      Naomba jina la kampuni na namba yako tafadhari

    • @ShabaniDavidi
      @ShabaniDavidi 3 หลายเดือนก่อน

      Hakika mungu akubariki sana mm nafanya network marketing pia naomba no yako kiongo naita kuwa ktk darasa lako

    • @dr.saidsaid
      @dr.saidsaid  3 หลายเดือนก่อน

      @@ShabaniDavidi 0679 536 927

  • @user-mt1xz9in5s
    @user-mt1xz9in5s 6 หลายเดือนก่อน

    Hellow jina languh ni mariam nii mwanafunz wa kidato cha tano but akil yanguh inawaz kufany biashara zaid naa kam unavyojua kwa kias kikubwa biashr inahitj experienc ya kutosha hvy natak niach shule niend chuo niksm dimplom huk nifany biashr niliyo iiplan unanishaurijeee

    • @medon09
      @medon09 10 วันที่ผ่านมา

    • @user-yy8qv5zo8d
      @user-yy8qv5zo8d 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@medon09Nahitaj darasa

    • @medon09
      @medon09 2 วันที่ผ่านมา

      Naomba nichek plz

  • @emanuelkijana1997
    @emanuelkijana1997 ปีที่แล้ว

    Kaka now Niko chuo nifanyaje niwe expert mtandaoni