Hello brother Mungu akubariki sana kwa kuendelea kusaidia Vijana wa kitanzania ili kuweza kufikia malengo yao. Nina swali hapa naomba msaada "KUNA UTOFAUTI GANI KATI YA KUTUMIA KIPAJI CHAKO AU KUFANYA KITU UNACHO KIPENDA?" I though kitu ninacho kipenda kina weza kuwa driven na talent niliyo nayo?? Naomba msaada kaka
Thanks bro mbinu hizi NI nzuri Sana japo Cha musingi NI uthubutu ulio ndani ya mtu ni MUHIMU Sana kwenye kila biashara ya kuanzisha cheki video nyingine itakayo kusaidia pia th-cam.com/video/1-E6svv8lUU/w-d-xo.html
Ifuatayo ni simuzi ya jamaa moja jinsi alivyoteswa na wanajeshi baada ya kuingia kwenye 18 zao😃 Walichomfanya Mungu ndio anajua👇👇👇 www.mrbunduki.com/2020/02/sitosahau-koko-beach-dar.html?m=1#more
Asante sana kk barikiwe hakika unatupa mwanga
Somo Zuri sanaaa....uzoefu mi nimwana habari, so nna vingi vyakufanya kupitia fani yangu, ila network ndio utata sababu nimetoka kwa muda nyumbani...
Thnks bro am learning alot of things from you god bless you
Anaependa mpira anaweza kufungua duka la vifaa vya michezo kama Jersey, Raba, mipira , au anaweza kufungua sehemu yakuonyeshea mpira
Mpira Afisa habari, mchambuzi wa mpira, chakula mapishi muuza genge la vyakula
Mimi kwa mtandao Wangu ningeanzisha vifaa vya medical
Experience mwalimu mm nafikiria kufanya biashara ya ku supply vutu vya stationary
Ahsante kaka
Nina experience ya kuuza genge na network yake ni watu wa nyumbani kuhusu vyakula vya kila siku but nahitaji kuanzisha biashara ingine
Hello brother Mungu akubariki sana kwa kuendelea kusaidia Vijana wa kitanzania ili kuweza kufikia malengo yao.
Nina swali hapa naomba msaada "KUNA UTOFAUTI GANI KATI YA KUTUMIA KIPAJI CHAKO AU KUFANYA KITU UNACHO KIPENDA?"
I though kitu ninacho kipenda kina weza kuwa driven na talent niliyo nayo??
Naomba msaada kaka
🤝
Nina proffesion ya nursing
Sina uzoefu wa biashara
Network yangu ni wanaafunz wa secondary
Mwalimu anweza Kufunguwa twition
Kundi la 3
Thanks bro mbinu hizi NI nzuri Sana japo Cha musingi NI uthubutu ulio ndani ya mtu ni MUHIMU Sana kwenye kila biashara ya kuanzisha cheki video nyingine itakayo kusaidia pia th-cam.com/video/1-E6svv8lUU/w-d-xo.html
MTU ANAE PENDA MPIRA ANAWEZA KUUZA NGUO ZA MICHEZO. ANAWEZA KUTENGENEZA UWANJA WA MPIRA THEN TIM WANA KODI UWANJA. KUCHEZA MECHI UNAPATA PESA
Uzoefu nilionao ni katika kuuza biashara ya duka leja leja
Nilishawaikupika chips
Nina uzowefu wa kufanya huduma za kifedha nikiwa na maana ya kuweka pesa na kutoa pesa
Niko kundi la tatu
Ifuatayo ni simuzi ya jamaa moja jinsi alivyoteswa na wanajeshi baada ya kuingia kwenye 18 zao😃
Walichomfanya Mungu ndio anajua👇👇👇
www.mrbunduki.com/2020/02/sitosahau-koko-beach-dar.html?m=1#more