you all probably dont care at all but does anybody know a trick to log back into an Instagram account..? I was dumb lost my account password. I would love any tips you can give me
Mashaallah Mashaallah Allah akulipe kwa nia yako yako sheikh wetu yaani kila nikisikiliza darsa zako Alhamdulillah imani yangu husimama bara bara Allah hafiz sheikh wetu Amiin , napata faida sanaaa Hajra nikiwa 🇮🇹
wasiwasi wangu kutokeya mtu mwengine kama wewe sijui ukiongea ukisoma quran ningekua napesa ningekuambia chagua zawadi gani unaipenda lakini mungu atakupa zaidi
Aamiin Aamiin Aamiin!!!Shukran sana sheikh wetu,ALLAH akulipe kheri nyingi,hapa duniani na akhera,ALLAH akujaalie pepo ya darja ya juu fidausi sheikh wetu,Nina muomba ALLAH kwa udhaifu nilionao na mapungufu niliyonayo mimi kiumbe dhaifu wa ALLAH,ALLAH akuzidishie nguvu na afya njema sheikh wetu.Pia na umri mrefu wenye manufaa,ili tupate kunufaika na kipaji cha ilmu (elimu)aliyokujaalia ALLAH SUBHAANA WA TA'ALA. Aamiin!!! Alhamdulillah,shukran sana sheikh wetu.Assalam alaykum warahmatullah.
Asante sana shekh kwa mafunzo mazuri
Hongera kwa mawaidha mazur shaikh othumani maalm
Mashaallah shukrani asante sana sheikhe wetu Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha nakupenda sana kwa ajili ya Allah
Mashaallah Allah akulipe kila la kheri Ust. na wale wanaozingatia amin amin....!!!!
Shukran Sheikh Othman Maalim
Mollah mlezi tunakuomba utulee kwenye njiaa nzuri na utuongozee njia salama yenye mafanikio ya Dunia na Akhera pia Amiin
Hassan Mchwaka Changama Aamiyn Yaa Rabbil Aalamiyn😎
Ameen ya raabul alameen
jazzakallah khreir sheik wetu
Naam,. Sheikh,.kwa kweli yaani mwenyezi Mungu hatuebushe na kibri.amina. Ahsante.
Mola atupe kila la kheri
Mashallaah Sheick wetu Mwenye Ezi Mungu akupe umri tuzidi kujifunza zaidi kupitia wewe Sheick
Ameen Ameen Ameen Yarabi, MaashAllah vizuri InshAllah heri shukran
💘Mashallah shukuran💟👌
Mashallah mashallah mungu akuhifadhi shekhe Othman maalim
Mashallah Shukran sheikh Othuman kwa kutuelimisha stor za kuumbwa kwa Adamu Allah akulinde sheikh Othuman fidunia wali akhera
MashaAllah. Shukran Sheikh. Kwa hakika tunajifunza zaidi n zaidi. Allah baarikk 🙌🏽
you all probably dont care at all but does anybody know a trick to log back into an Instagram account..?
I was dumb lost my account password. I would love any tips you can give me
Nice salute shekhe
Shukran jazeela sheikh Athman maalim.darsa zuli sana.Allah barki fiq.
Ma Sha Allah sheik Allah akuhifadhi 🙏🙏🙏
Allah humma ameen
Mashaallah Mashaallah Allah akulipe kwa nia yako yako sheikh wetu yaani kila nikisikiliza darsa zako Alhamdulillah imani yangu husimama bara bara Allah hafiz sheikh wetu Amiin , napata faida sanaaa Hajra nikiwa 🇮🇹
Ameen
MAASHAALLAH,HAKIKA NI VISA VYENYE MAZINGATIO ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH.
Mashaallah
Masha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤
مشاء اللة مشاء اللة مشاء اللة 💖💖
Yarabil alamin
TABARAQALLAH
Mashaa Allah! Nikisikiza mawaidha yako Sheikhe Othman maalim nafarijika sana, imaan inazidi kupanda kwangu
Mashaaallah
Mashaallah she karibu Kenya tutakukaribisha kadri ya uwezo yetu?
MashaAllah shehe wangu
Jazakar allahu kher
Mashaallah
Masha Allah Shekh asante kwa dawa
Jazaka Allha kheri shehke wangu nakukubali sana
Alhamdulillah sheikh wangu endelea kutupatia mawaidha kujenga iman zetu
Shukran wajazaka llahu heri
مساء الله جزاك الله خيرا الله زدني ءلم الله ءتي خيرا
ALLAH akupe umri mrefu shekh othuman
Manshaallah
Mashaallah 💜💜💜
Allhamdulillah.
Masha allahaa
Masha Allaah
Allah akbal
wasiwasi wangu kutokeya mtu mwengine kama wewe sijui ukiongea ukisoma quran ningekua napesa ningekuambia chagua zawadi gani unaipenda lakini mungu atakupa zaidi
Ma shaallah
TABARAQALLAH
Mashallah
Mashaalah mollah atuongoze tupate kumuabudu mollah wetu
Daa yananiingia haswaha
MashaAllah
Masha Allah Allah barik ya Akhiiy
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu wadau wa Riyadh na koo zima ya Riyadh Tv online Znz
zayyati yusufu walykum salam warahmatu wahi wabarakat
Walaykum salam
Wale wanao na kibri wamesahhu mwumbwa wao, yaani mwenyezi Mungu. Mungu awasamehe.
Amin
Mashaa ALLAH tabarakallah
Mashallah sheikh azza wajala amekupa kipaji ambacho wewe ni mmoja wa masheikh mukitoa mawaidha wa hisi kama unaona yote yanayo semwa
Allah akufanyie wepesi sheikh
Cheikhe othuman kipenzi cha dini na mafundisho coran takatifu mwalim wetu allah akupe marefu na afya upande wangu unapo soma coroan takatifu sauti yako inanipa furaha moyo unajaa jazba nalia nakua mwenye furaha moyoni sijielewi naomba unifahamishe nifungue kipindi chako unaisoma couran niwe nakusikia asubuhi najioni sauti yako tu mimi nopo eurpe ndio naishi
Mashallah
Masha llah mwenyezi mungu akujalie afia njema uzidi kutufndisha zaidi
Hawa wanao deslike ni waislam kweli
Shukrani shee
Mashaaaaa allah
Maasha allah
Mashaallah
Riyadh muendelezo inshallah
🙏🙏🙏
Asalaam alaykum salaam tunaomba mwendelezo
Asalam alaykuma naomba namaba y huyu Sheik jaman nna shida nae sana ila kwa WhatsApp maana mimi siko Tanzania kwa sasa mwenye nayo please numuomba..
Mola atujalie tuwe watu wa kuzingatia mafundisho yake mema na makatazo yake
Ni vizuri kwa ku tu ku mbusha na ku tu darasa
Dawa tamu kabisa
Shukran shukran kwa hili Alhamdulillah
Aamiin Aamiin Aamiin!!!Shukran sana sheikh wetu,ALLAH akulipe kheri nyingi,hapa duniani na akhera,ALLAH akujaalie pepo ya darja ya juu fidausi sheikh wetu,Nina muomba ALLAH kwa udhaifu nilionao na mapungufu niliyonayo mimi kiumbe dhaifu wa ALLAH,ALLAH akuzidishie nguvu na afya njema sheikh wetu.Pia na umri mrefu wenye manufaa,ili tupate kunufaika na kipaji cha ilmu (elimu)aliyokujaalia ALLAH SUBHAANA WA TA'ALA. Aamiin!!! Alhamdulillah,shukran sana sheikh wetu.Assalam alaykum warahmatullah.
@@hamisishabani4072 Masha all ah mungu akujaze kheri
Ameeen ameen
@@hamisishabani4072 Allahuma Amiin
Kisa kitamu sana
Roho mutagatifu.
8
faiza na zayat kumekucha riadhi
Mohammed saleh asnte nipo
Mohammed saleh umewahi leo
@@faizasaid8262 nimewahi mapema ili nisije nikakutana na folen
Mohammed saleh 😁👊
Hujambo Muhammed umeamkaje? uhaligani?
Naam shekh vp?kuusu uyo msijida jahari Firimason tunaona watu wengi wanaingia firimasson
.
kwann munaweka picha tupu
Mashallah
Maashaallah
Mashallah