Assalamu alikum yaa maalim wallahi thumma wallahi zanzibari sasaivi inaumiza sanaaa tena sana kwa maovu tena ni aibu kubwa wallahi inauma sana ikowapi hesima yetu ya zanzibari taarifa hizo mbaya mungu yaarabbi waongoze katika kheri waepushe katika shari amiin
@@ustsuleallahamsamehemakosa7913 kila shehe anapati yake aliosoma,yeye amesoma kwenye quran na history,na anatakiwa atowe mawaidha kutokana na elimu alioyoisoma.
Mwenyezi Mungu azidi kukurudhuku mambo yenye neema kwa sisi Waislam na ambayo kwayo yawe ni sehemu ya wivu kwa wasokuwa wavutike nayo ili nao waweze kuingia katika dini ya Allah ambayo kwamba ni neema inshaallah. Allah azidi kukutunza Shekh kwani bado tunakuhitaji ktk kazi hii ya daawah.
@@mohammedsaleh2202 Hujambo Muhammed ndio hujataka kumjibu Faiza swali lake nifaidi mm eeeeeeee? Nikutakie Jumaa Mubarak na koo zima ya Riyadh Tv online Znz
Wallahi binaadam sisi ni dhaifu lakini wakaidi sana tukiamua kufanya ukorofi basi hata mtu aambiwe kuna adhabu fulani na fulani wallahi mizali mtu ana maradhi ya nafsi bas na mwenyeezi mungu nae anawazidushia maradhi yao hayo waliojichagulia ni msiba mkubwa Yaarabbi tunusuru ummati muhammad s.a.w yaallah tuongoze sisi na vizazi vyetu na vizazi vyote vyakiislam amiina yarabbi
Allah Akbar salaam yaa Allah salaam yaa Muhammad salaam yaa nuh salaam yaa issa salaam yaa mussa salaam yaa Ibrahim salaam yaa ummat Muhammad salaam ya maulamaa salam yaa mahadhir salaam yaa muuminina
Shukran Sheikh Athman kwa khutba zako zenye kutuelimisha.Mungu Akujazi kheri na Akupe Afya na Uzima.
Masha Allah 😍
Nakupenda sana Othman Maalim kwa hadith za mitume kipaj alichokupa Allah ni haki yako wala hajakupendelea Allah akukinge na hasad za viumbe na majin
Sheikh Othman Maalim nakuomba utuelezee kisa cha zurkainaiyn na As-habl kahf na
Yarabi
Yarabi
Mashaallah sheikhe wetu simalizi hamu yakukuskiliza napata kujifunza mengi nisoyajuwa napata kuyajuwa Allah Akuzidishie umri wenye afya njema uzidi kutuelimisha sote waumini ulimwenguni
Asante sana shekhe inatufaa sana kwa mauwaiza tunafalijika sana tusio soma Allah akubaliki
Allah akupe umri Sheikh wangu
Mashallah Allah her inshallah
Allah akupe umri mrefu shekhe Othman maalimu uzidi kutupa hadithi za mitume wetu
Jazzakallahl khairan Allah akupe umri wenye kher na kipaji kizid na akujaalie hatma njema kwa sote Allahumma Amiin
Mashaallah
MashaAllah tabarakallah shukuran sheikh wetu Allah akujaliye kwakila atuwa
Maashallah
Mashaallah sheikh
barakallah fikum allah akupe umli muleeefu uzidi kutuelimisha sheikh wetu
lahasshhh aguliii mafiyy
Mwenyezi mungu akupe heri ya dunia na kesho akhera InshaAllah
Mashaallah, mwenyezi mungu akupe afya bora zaidi
May Allah bless you a lot sheikh na akujalie pepo ya fridhausi inshallah
MashaAllah kisa kizuri kenye elimu.
All akujalie uzid kutupa helim.
mashaalah hivi ndivyo vitu ambsvyo waislamu na wasio waislamu kuambizana na kujuzana
Hi
Allah akuzidishie kila la kheir kwa Ilmu ii unayo tupatia inshallah
Ma Sha Allah, Twamuomba Allah, akujaze kulla kheri
Alhamdu Lillah JAZAAKA LLAAHU KHAYRA Sheikh Othman Leo umenipa FAIDA KUBWA Alhamdu Lillah
Mashaalah
Mashallah Allah akupe khatima njema wewe na sisi inshaallah
Shukran shekhewetu
Shukran shekh Othman mungu akupe umri na neema uzidi kutuelimisha na kutupa dawA
Mashallaahu Sheick wetu Mwenye Ezi Mungu akuzidishie baraka kwa kujitolea kutufundisha dini tunashukurani saana
ALLH akujalie umri na uzidi kutoa elmu yenye manufaa
Alhamdulilah Allah akupe umri mrefu kwa ajili ya uumaa inshaallah na anikutanishe nawe kabla sijaondoka duniani inshaallah
Masha... Allah
Maa shaa Allah jazaqallahu khayrah
Ma shallah Allah akupe mwisho mwema ln shallah
Assalamu alikum yaa maalim wallahi thumma wallahi zanzibari sasaivi inaumiza sanaaa tena sana kwa maovu tena ni aibu kubwa wallahi inauma sana ikowapi hesima yetu ya zanzibari taarifa hizo mbaya mungu yaarabbi waongoze katika kheri waepushe katika shari amiin
Amiin yaa Rabb
Bi asia
Nyie noma
Ameen yarabi
mashaallah..munguu..hakuzidishie..umri.shkr.
Nakupenda sana Shekh, unaongea kwa ufasaha mno ALLAH akuhifadhi
Mashallah Allah akulipe kheri
Subhanaka! ! Allah atuepushie Ghadhab
Mashaallah Allah akupe wasaa zaid wakutufikishia elim
Jazzakah llah kheir sheikh othman
Aaaaa Allah anikutanishe na ww peponi ..amiin
Maajabu ya mwenyezi Mungu ni Nzuri. Ahsante sana., Sheikh.
MaashAllah
Allah akulipe kwa yote sheikh
Mashaallah. Allah akuzidishie umri wenye kheri , afya na barka in sha Allah. Amiin yaa rabb
Mashal allah mwenyezi mungu akujaliye mwisho mwema
Aamiin
Mungu atussamehe wazanzibar asahivi no mtihani wanaiga ya ugenii
Dah na huo utalii wao watu wanafanya maov sana fukwen hii itatuletea mabalaa kama vile tsunamy na tetemek kama tunavyoyackia kwa wenzetu
Allah tustir
Mashaallah shukran sheikh
Mashallah sheikh Othumn Allah akujalie umri wenye afya njema uzidi kutuelimisha
Amiin
@@hansyabdy2732 Allahumma amin
Amiin
@@saidkhalif1110 Allahumma amin
Aamiin
Masha llah mawaidha mazur allah tujalie mwisho mwema
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akupe umri mrefu wa afya Amin
Allahumma Ameen Yarabbi
uyu nae visaaaaa tuuu!!!! tupe tawhid japo kidgo
@@ustsuleallahamsamehemakosa7913 kila shehe anapati yake aliosoma,yeye amesoma kwenye quran na history,na anatakiwa atowe mawaidha kutokana na elimu alioyoisoma.
Mungu akujaze kheri in sha Allah,Kwa hakika tunaelimika na kufarijika Kwa mawaidha kutoka kwako
Mashaallah
Amiin In Shaa ALLAH
Shukran Sana
allah ajaaliye kheri kwako sheikh othman
Shukran. Jazakkallah kher
Maa shaaa Allah 😘
najivunia kuwa #muislam
Allah Akbar
Ma in sha a Allah asante sana
shukran
Swadakta ya shekhe
Mwenyezi Mungu azidi kukurudhuku mambo yenye neema kwa sisi Waislam na ambayo kwayo yawe ni sehemu ya wivu kwa wasokuwa wavutike nayo ili nao waweze kuingia katika dini ya Allah ambayo kwamba ni neema inshaallah. Allah azidi kukutunza Shekh kwani bado tunakuhitaji ktk kazi hii ya daawah.
Ameen 🤲
asalam aleikum sheikh alhamdulillahi mwenyezimungu akuzidishie ww na sisi na waislamu inshaallah Allah atatuongoza
Aslam Alaikum Allah akuzidishie uzid kutumiminia kher na kutuelimisha
Nataman na mm nijue historya za mitume wote kila la kher
Allah azid kukuenz ktk twaa ya Allah
Shukran wajazaka llahu heri
Shukran jazakalahu kher
Nakupenda kwa Ajili ya ALLAH
MASHA ALLAH. ALLAH akupe fura duniyani na kesho yaumull kiyama. Amin Amin.
Mashallah
Ma shaa Allah elim yenye faida Allah akulipe
Allah atufanyie wepesi all musrim ishaallah
MashaAllah!
Arusaar
Masha Allah
SubhanaAllah
Allah akuweka tupate stafyd sana
Jazzakallahkhayran MMungu akupe umri wa afya akupe ujuzi zaidi..
🙏🙏🙏
Safi Sana
Mashallah shukuran
Faiza vip hali yako
Mohammed saleh sijmbo nashkur wwe tu
Bless you Inshaalla.. Yarrab
Yaraabi tujaalie mwisho mwema wajawako
Allah. Akulipe. Malipo. Mema
Allah akujaze kila kher sheikh Othman Maalim +966
KuWays
Zid alayka l jannah
Habar ndio hiyo
💚💚💚🙏🏻
Inakuwa haya mambo tukiyasikiliza yashatuuingia ndani ya nyoyo Hadi tunaona Raha lkn munatukatisha Raha zetu
Allah awasmeh wote mlo dislike
Jazaaka llah khairah sheikh
Shekhe Othman mm Huwa napenda nikuone ukisema waambie hao wasikugandishe km hivi walivotoa hii Kila kitu kina Raha yake
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu wadau wa Riyadh na koo zima ya Riyadh Tv online Znz
ALHAMDULILLAH
Masha Allah Ukhty,from jubail
Waaleykum ssalaam warahmatullah wabarakatumh
Alhamdulillah
Walaikum salam
@@mohammedsaleh2202 Hujambo Muhammed ndio hujataka kumjibu Faiza swali lake nifaidi mm eeeeeeee? Nikutakie Jumaa Mubarak na koo zima ya Riyadh Tv online Znz
Kwann mututilie mambo mengine hatutaki matangazo
Wallahi binaadam sisi ni dhaifu lakini wakaidi sana tukiamua kufanya ukorofi basi hata mtu aambiwe kuna adhabu fulani na fulani wallahi mizali mtu ana maradhi ya nafsi bas na mwenyeezi mungu nae anawazidushia maradhi yao hayo waliojichagulia ni msiba mkubwa
Yaarabbi tunusuru ummati muhammad s.a.w yaallah tuongoze sisi na vizazi vyetu na vizazi vyote vyakiislam amiina yarabbi
Amin kwa sote
Mashallah
Allah Akbar salaam yaa Allah salaam yaa Muhammad salaam yaa nuh salaam yaa issa salaam yaa mussa salaam yaa Ibrahim salaam yaa ummat Muhammad salaam ya maulamaa salam yaa mahadhir salaam yaa muuminina
زادك الله علما وفصاحا يا شيخنا الجليل
Masha'allah on vous été très bien que allah vous protéger également ici ce la RDC
Tuachieni mawaidha tu mwanzo mwisho hatutaki ads
maashaa'Allah nothing to say, may Almighty Allah grant you Al djanat
faiza na zayati sh Othman anasema mumuazime maskio yenu tena yawe maskio yakusikia sio yakupitishia upande wapili
Ishaalha
@@hamidahamida1473 hamida jitahid kuskiliza
@@mohammedsaleh2202 Hujambo upo lakini?
@@zayyatiyussuf9566 nipo
@@mohammedsaleh2202 👍
Kweeli kabisa Yahud sawasawa na Iblisi.
Samanini nyie mnaotoa kwenye mitandao mawaidha musituletee na mambo mengine
Sa
haopani gisii hajunas oepezra
Mashaallah
Alhamdulilah Allah akupe umri mrefu kwa ajili ya uumaa inshaallah na anikutanishe nawe kabla sijaondoka duniani inshaallah
Mashallah Allah akulipe kheri
Masha Allah