I Loved you since I was a little Girl, tiil now I'm Realy in Love with you because of ALLAH .. I've learnt alot through your CDs/ vedeos clips. May Allah make us meet in Jannaty Firdaus .. JAZZAKA LLAHU KHEIRAN Yaa Shk Uthman Maalim
Mashaallah shekhe othmani Allah akupe umri mtefu na Allah anikutanishe nawe kabla sijaondoka katika dunia hii ninaham kubwa mno nikutie machoni inshaallah
i dont mean to be so offtopic but does someone know of a method to get back into an instagram account? I stupidly lost my account password. I love any tricks you can give me!
🙆nakusikiliza sheikh nacheka huku naogopa kuhusu mauti hususani hapo yangeongezeka makaburi2 mchimbaji apate lk 3 😳Allah akulipe kila la kher sheikh Othuman. kufa kunatisha. Allah atuswamehe madhambi yetu kwa sote atujalie mwisho mwema. Swadakta sheikh wagumu kuelewa wepesi kusahau. Pole lakini plau usisahau🙌🙄
I Loved you since I was a little Girl, tiil now I'm Realy in Love with you because of ALLAH .. I've learnt alot through your CDs/ vedeos clips. May Allah make us meet in Jannaty Firdaus .. JAZZAKA LLAHU KHEIRAN Yaa Shk Uthman Maalim
Amin
Wallah nakupenda sanaa maalim othman kukuskiliza allah akujaalie maisha marefu ya kher uzid kutuelimisha shukran sana sanaa nataman kukuona
Alhamdulillah, Allah akupe umri mrefu uzidi kuilimisha jaami,Allah atujalie tuipe mgongo dunia allahumma amiin, atupe sote afya ulio bora
Amin yarabi
Aamiin yarabbi
Mashaallah shekhe othmani Allah akupe umri mtefu na Allah anikutanishe nawe kabla sijaondoka katika dunia hii ninaham kubwa mno nikutie machoni inshaallah
Amiin
Inshallah Allah akufanyie wepesi Amiin
Jamal Namkuna Amiiin
R Kenea I trt
R Kenea rtdt
Mola akupe kher ya dunia na akhera Amin yarabbal allamin.
Subhanallah ukumbusho hakika maneno matam chakula cha moyo. (Tusisahau kaburi wakat kaburi ni makazi ya kudumu)😭😭😭allahuakbar
Subhanallah Allah, shukrani sheikh Othman kwa mawaidha mazuri, Allah akulipe kheri duniani na akhera na afya njema uzidi kutuelimisha Ameen.
i dont mean to be so offtopic but does someone know of a method to get back into an instagram account?
I stupidly lost my account password. I love any tricks you can give me!
Allah atufanyie wepec,,, 🙏
Allah atujalie mwisho mwema in shaa Allah jazzakah llah kheir sheikh
Amiin Ya Rabb
Allah atujalie tuwe wenye kuitegeshea dunia mgongo Shukran sheikh Othuman Allah akulipe duniani na akhera kwakutuelimisha tunafaidi sana mashaallah
Ameen Ameen Ameen yarab
Amin yarabi
Amiin Thumma amiin
@@halimaramadhan2975 Allahumma amin
@@zayyatiyussuf9566 Ameen Ameen yaarbi
MashaAllah TabarakAllah,,, Alhamdulillah, shukran maalim nimejifunza mengi Allah akupe umri mrefu insha'Allah
Mashaallah sheikhe wetu tunakupenda sana kwa ajili ya Allah Mungu akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha
really Iam somali boy and i live u so mach shiikh yetu i say mungu akupe xusni khaati mah na umri mrefu and Allaha kuxifadhi
SubhanAllah Allah atuongoze tuzingatiye maudhui haya Allahu Akbar
Yaa Rabbi stara fidunnya wal Akhira Allah atu stiri SubhanAllah
Alaysa Allah biakhkamal hakimin🙏🏽... Mwenyezi Mungu atujaalie tuwe waja wake wema waliotakasika
Jadhaqallahu khaira shukran sana sheikh Allah akujaalie heri duniani na akhera
Shukran allah akulipe kheir
Shukran Maali Wangu Asalam Aleikum Warahma Tullah Wabarakatu?
Makhaz yana kukubali wewe mashaallah.
Allah akutangulie shk maalimu ahsante kwa kutuonyesha njia
ALLAH akulipe ujila wako inshaallah nakupenda kwa ajili ya ALLAH
Kisomo chako unaposoma yani unanikosha napenda hatari💘
Faiza yani raha kumsikiliza Wallah raha mashaallah 👂mm narudia tena kumsikiliza
zayyati yusufu Mashallah mmi akisoma sitaki akate nataka aendelee tu👂
@@faizasaid8262 Faiza mmpaka raha
zayyati yusufu walahi
@@faizasaid8262 wallah mungu amzidishie akisoma qur'an moyo hunitetemeka mashaallah sheikh othman
Allah akulipe Amin
Subhaanah Allaah yaa Rabby tupe mwisho mwema ya Allah
Ameen
Shukran shekh wet kwa makumbush
Shekh Upo Vzr
Jazaaqa llahu khayr shekhe
Mbona yule shekh anawakashfisha sana shekh nurdin kishki wakwetu pia anaghani .
J aZakar Allahu kher
Allah akupe umri mrefu
Ameen yaarabbal alameen
Mashallan mashallan
MashaAllahu jazakh Allahu kheiri inshaAllah shukran
MASHA ALLAH.
Mashaallah tabaraka llahu
Shukraan sheikh kwa ujumbe
Maashaallah
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu wadau wa Riyadh na koo zima ya Riyadh Tv online Znz
Walaiku salam kaifa asbahana zayati yusufu
@@mohammedsaleh2202 Hujambo Muhammed umeamkaje uhaligani?
@@zayyatiyussuf9566 nipo vizuri
@@mohammedsaleh2202 Alahamdullah kheri nimefrahi kusikia upo vizuri Allah akuzidishie afya njema
@@zayyatiyussuf9566 alllahuma amin sote kwa ujumla
Mashallah
Subhana llah
Masha'allah
Amiin
Nice vidoe
Mashaallah shekhe unasauti nzuri yakusomea Qur'an lkn kwnn huna clip moja ukiwa unasoma
Walaykum salam warahma
Asante
Subuhanallah
A alykum shekhe mashaallah hujafunguwa school? Unguja ww
Haya mawaidha ninayo kwenye simu yangu video nusu tuu
🙆nakusikiliza sheikh nacheka huku naogopa kuhusu mauti hususani hapo yangeongezeka makaburi2 mchimbaji apate lk 3 😳Allah akulipe kila la kher sheikh Othuman. kufa kunatisha. Allah atuswamehe madhambi yetu kwa sote atujalie mwisho mwema. Swadakta sheikh wagumu kuelewa wepesi kusahau. Pole lakini plau usisahau🙌🙄
Innalilah wainailah rajiun sivijana vijini☻🙌🙆
zayyati yusufu amiin
zayyati yusufu halua
zayyati yusufu Poa zayyat nicheke tu wwe
@@faizasaid8262 Tamri
HV nyie mnaopenda kudislike ni waislam kweli? Au makafiri? Maana haiwezekani kila mawaidha mnadislike mnamaanisha nn?
Kweli
😁😁😁vipi halua
Shekh Othman maalim huyu Shekh Bakhero na Shekh Nurdin Kishk Somo lao nimoja au vipi.
Muhammed na Faiza kuja huku
Chikichikichiki😂🙌👉💸sabuni ya roho Allah atuafu Faiza niazime mate yako
zayyati yusufu haha Asnte sana nipo
zayyati yusufu chukua😁😁😁😁pesa bwana shikamooo
Mohammed
Naam nimeingia rasm
Mohammed saleh poa👂
@@faizasaid8262 kusha amka vizuri kama mimi faiza
Mohammed saleh Nashkur kwakweli alhmdulillah
@@faizasaid8262 sawa ikiamka vizur wewe mimi moyo wangu unafarijika sana
Mashallan mashallan
MashaAllah