MCH DANIEL MGOGO - WEWE ULIYE WASAHAU WAZAZI WAKO (OFFICIAL VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 91

  • @kapelotz9967
    @kapelotz9967 2 ปีที่แล้ว +2

    Imefika iyo mchungaj na mungu aniwezexha niwakumbuke wazaz kila iitwapo leo

  • @thaddeussewe4086
    @thaddeussewe4086 ปีที่แล้ว +2

    This sermon never gets old.

  • @sahaabalsahaab1373
    @sahaabalsahaab1373 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu wangu endelea kunijalia neema yakumupenda mama yangu zaidiiii

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 5 ปีที่แล้ว +6

    Ee Mungu wangu nisaidie niwakumbuke wazazi wangu

  • @patiireborn7939
    @patiireborn7939 3 ปีที่แล้ว

    Watching from malindi Kenya.achilia mizinga Mzee wa kujilipua.waambie wamezidi.

  • @lusajomtafya3928
    @lusajomtafya3928 4 ปีที่แล้ว +2

    Mola daima nikumbushe daima nisije wasahau wazazi wangu kwalolote 💞

  • @elizabethmpangapalala4147
    @elizabethmpangapalala4147 2 ปีที่แล้ว

    Hongera.mhungaji.mgogo.napenda.mafundisho.yako

  • @EliudiMassawe-bk7rx
    @EliudiMassawe-bk7rx ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu mtumishi

  • @imaniassumanikabengano6231
    @imaniassumanikabengano6231 3 ปีที่แล้ว

    Amen amen Mungu azidi kukupaka mafuta mabichi baba mchungaji akika tunasaza kwa ujumbe huu.

  • @francisamunze2801
    @francisamunze2801 6 ปีที่แล้ว +13

    Mungu wangu uturehemu.Mchungaji niko kenya nabarikiwa uniombee

  • @kezajeannettemisago8694
    @kezajeannettemisago8694 6 ปีที่แล้ว +19

    Eehhh mungu wangu unijaliye nisiwasahau wazazi wangu kwa sababu wao ni baraka kwangu ! Asante sana mchungaji 🙏🏾

  • @petermatonya8078
    @petermatonya8078 3 ปีที่แล้ว

    Hakikaa mungu nikumbushee nisiwasahau wazazii

  • @sahaabalsahaab1373
    @sahaabalsahaab1373 5 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiw mchungaji iko kweli. Mungu aendelea kukutumikisha ila watu tupone

  • @danykitewantora6081
    @danykitewantora6081 5 ปีที่แล้ว +3

    Hakika mb zangu zitaishia kwako,,, Mungu akubariki

  • @joycemtambo2196
    @joycemtambo2196 5 ปีที่แล้ว +2

    Nitazidi kuwapenda wazazi wangu, Mungu nisaidie sana

  • @sebastianbwile6659
    @sebastianbwile6659 6 ปีที่แล้ว +4

    Pastor hakika wewe ni wa pekee sana Mungu aendelee kukubariki unatufundisha mengi sana

  • @kasililamecksatano7302
    @kasililamecksatano7302 3 ปีที่แล้ว

    Mch! Una upako kweli unasema kweli!

  • @evelynkunga5402
    @evelynkunga5402 5 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji Mungu akubariki sana sana sana mahubiri yako yamekuwa ya manufaa kwangu sana.watching from Namur Belgium

  • @robertjoseph8830
    @robertjoseph8830 5 ปีที่แล้ว +3

    AMEEEEN mtumishi wazazi ndiokilakitu duniani God bless me Aleluyaaa

    • @jovintheorace5420
      @jovintheorace5420 3 ปีที่แล้ว

      Mungu najalie kamwe nisije wasahau wazaz wangu mana nawapenda sanaaaa

  • @luthfuraha-sb9od
    @luthfuraha-sb9od ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏 mungu mwemaa

  • @adammaina1936
    @adammaina1936 5 ปีที่แล้ว +8

    Watching you from Nairobi Kenya. You are a great blessing to the body of Christ. I hope to shake your hand one day. God bless you.

  • @elizabethchales2663
    @elizabethchales2663 4 ปีที่แล้ว

    Mungu a2saidie 2kumbuka wazazi we2

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 4 ปีที่แล้ว

    BARIKIWA MCHUNGAJI MGOGO TUNAPONA KUPITIA MAHUBIRI YAKO....🙏🙏🙏🙏

  • @salomesheyo3908
    @salomesheyo3908 3 ปีที่แล้ว

    Mungu nipe neema hiyoo

  • @rehemamwasile559
    @rehemamwasile559 5 ปีที่แล้ว +1

    sema mtumishi tupone barikiwa sana .

  • @vickyleonard4839
    @vickyleonard4839 5 ปีที่แล้ว

    Aminaaa...mtumishi semaa baba tupone

  • @priscamsigwa8723
    @priscamsigwa8723 5 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi kweli inamuweka wazi mtu ubalikiwe sana

  • @faustinamwamwezi2100
    @faustinamwamwezi2100 2 ปีที่แล้ว

    Kilamtu ajipambanie. Kama uwezo mdogo.

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 ปีที่แล้ว +4

    Shikamoo Mchungaji!!

  • @byabalibalibya6843
    @byabalibalibya6843 5 ปีที่แล้ว +5

    True message, thank U! Man of GD, shake them up!!!

    • @cameronaries4165
      @cameronaries4165 3 ปีที่แล้ว

      You all probably dont care at all but does any of you know a method to log back into an instagram account??
      I somehow forgot my account password. I would love any tips you can give me

  • @kelvinikimario7053
    @kelvinikimario7053 6 ปีที่แล้ว +12

    Mcgungaji nakuombea uhishi miaka mingi ili uzidi kutuambia ukweli

  • @hoseayaredi7279
    @hoseayaredi7279 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏. God bless you

  • @thomasfoya7480
    @thomasfoya7480 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana baba

  • @upendokimesu38
    @upendokimesu38 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa mungu tusaidie

  • @aigoo3163
    @aigoo3163 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante mtumishi wa MUNGU kwa mahubiri mazuri

  • @erickkihaka7127
    @erickkihaka7127 5 ปีที่แล้ว +3

    Wazazi ni pepo ya dunia

  • @keiyokimarujoel.2701
    @keiyokimarujoel.2701 5 ปีที่แล้ว

    Ukweli mchungu...Mungu tusamehe.

  • @rosemarythomas809
    @rosemarythomas809 11 หลายเดือนก่อน

    Waeke vyombo sauti hiyo sipika jmn

  • @janethlengeju18
    @janethlengeju18 4 ปีที่แล้ว +2

    asante sana

  • @sylvestermihale2887
    @sylvestermihale2887 3 ปีที่แล้ว +2

    Pointii kabisa 🔥🔥🔥🔥

  • @mayaltv9441
    @mayaltv9441 6 ปีที่แล้ว +8

    message nzuri sana

  • @kulwalugal8661
    @kulwalugal8661 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @regykana2696
    @regykana2696 5 ปีที่แล้ว +2

    Wah!!! Great

  • @rehemamwasile559
    @rehemamwasile559 5 ปีที่แล้ว

    Ameni mtumishi.

  • @mwemeziflorence7977
    @mwemeziflorence7977 5 ปีที่แล้ว +2

    Hasante baba yetu kwamahubili yako mazul

  • @theafricanphilosopherqueen3032
    @theafricanphilosopherqueen3032 4 ปีที่แล้ว

    Ukweli mtupu

  • @alielofavour5618
    @alielofavour5618 3 ปีที่แล้ว

    Am blessed

  • @blackhunter455
    @blackhunter455 3 หลายเดือนก่อน

    Madudu ya nyumba,😮chenga nyumbani 😂😂😂

  • @mustaphjmwambere4605
    @mustaphjmwambere4605 5 ปีที่แล้ว

    Ww mchungaj wapekee Sana'a nafuatilia Sana'a mahubir yko huwa haukoseag.ukwel hudumu zaid Hakka ww unagusa jamii halisi

  • @aminajuma6924
    @aminajuma6924 5 ปีที่แล้ว

    Mchg wewe kiboko yaani atawengine wanadiliki kuwambia wazazi eti awakuwatuma waolewe na baba masikini sema baba tupone

  • @elisarianassari7071
    @elisarianassari7071 5 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki mtumishi

  • @ismaelmanhica790
    @ismaelmanhica790 6 ปีที่แล้ว +6

    Nikweli mchungaji, ila kama huwezo haupo nikawaida. na wasivunje ndoa kuiba hela za Mume ili atume kwao.

  • @belithamsigala8358
    @belithamsigala8358 6 ปีที่แล้ว +5

    Ujumbe mzur

    • @francisamunze2801
      @francisamunze2801 6 ปีที่แล้ว +1

      Belitha Msigala hei....uko pia unabarikiwa

  • @lucyjohn7904
    @lucyjohn7904 5 ปีที่แล้ว

    Sema pastor

  • @mbangagerardmwamboneke4924
    @mbangagerardmwamboneke4924 6 ปีที่แล้ว +3

    hogera sana

  • @maggykavata9439
    @maggykavata9439 5 ปีที่แล้ว +1

    umegonga dipo...

  • @everlinewanjala7701
    @everlinewanjala7701 4 ปีที่แล้ว

    Ni ukweli mtumishi

  • @graceochieng447
    @graceochieng447 2 ปีที่แล้ว

    🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @ivethadibeth6021
    @ivethadibeth6021 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @angiekweya8013
    @angiekweya8013 4 ปีที่แล้ว

    AMEN 👍👍👍👍👍

  • @kephafrancis7177
    @kephafrancis7177 5 ปีที่แล้ว

    Daaaah

  • @dennissuday9675
    @dennissuday9675 5 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 6 ปีที่แล้ว +9

    haukosei kabisa point taken

  • @victoriachengula5630
    @victoriachengula5630 6 ปีที่แล้ว +1

    kweli tupu

  • @mwitajamhuri6474
    @mwitajamhuri6474 5 ปีที่แล้ว

    Asante mchungaj

  • @twilumbakabelege3426
    @twilumbakabelege3426 6 ปีที่แล้ว +5

    ni ukweli mtupu

  • @laizersimon7480
    @laizersimon7480 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @kayomborobert1924
    @kayomborobert1924 6 ปีที่แล้ว

    daaaaaah

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 5 ปีที่แล้ว +5

    Ukweli wa mambo uko kwa hii channel ya huyu Mchungaji. Sijasikia mwingine kama huyu

  • @SAINTVICTOIREushindi-xp6fx
    @SAINTVICTOIREushindi-xp6fx ปีที่แล้ว

    I need telephone number for Pastor

  • @BT-rp6by
    @BT-rp6by 2 ปีที่แล้ว

    Obama

  • @patiireborn7939
    @patiireborn7939 3 ปีที่แล้ว

    Watching from malindi Kenya.achilia mizinga Mzee wa kujilipua.waambie wamezidi.

  • @reasonmselly1217
    @reasonmselly1217 3 ปีที่แล้ว

    Amina