Mch Daniel Mgogo - Madhara ya Dhambi Evening Glory 11th July 2018
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2018
- Mch Daniel Mgogo ''Madhara ya Dhambi'' Evening Glory 11th July 2018
Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
Mchungaji tunabarikiwa na mafundisho Yako lkn mbona Tanga hufiki ,?Mungu akusaidie na akupe kibali🙏
Asanti Kwa neno , God bless you. Amen
Mungu niumbie moyo wa toba, Mungu akubariki mtumishi.
May the Almighty God give you strength to keep on preaching.
Mpaka michozi inatoka kwanini mm mpka leo nauhai. Asante Mungu kwakunipenda
Bwana wetu Yesu asifiwe sana, Nabarikiwa sana mtumishi na mafundisho yako Hapa Ujerumani.
Abarikiwesana endeleya munguazidi kukupaka mafuta
Mchungaji ubarikiwe sana
Arikiwa sana
Napenda sana mahubiri yako
Hii ndo type ya wachungaji tunaowataka maana wengine wanataka sadaka tu
navutiwa sanaa na mahubiri yako Mungu akuinue pastor
Mwenyezi Mungu ni mwema kila wakati. Mtumishi! Mungu akutunze!
Nina skiliza maubiri yako kilaleo kwakweli ninafarijika Sana
Ahadi Ngimbudzi
May the Almighty God give you strength to keep on preaching.