REV. DR. ELIONA KIMARO: USHUHUDA WA DADA ALIYEPATA UKICHAA BAADA YA MUME WAKE KUOA MWANAMKE MWINGINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @lynnelee7286
    @lynnelee7286 2 ปีที่แล้ว +6

    Hii nayo ilishanikutaa... tunaishi Nchi za nje Ili kuinuka ila watu walio nyuma yetu hutuponza aiseee😌😌🇰🇪🙌

  • @Lillian-qt6gi
    @Lillian-qt6gi หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba🙏🙏, hii inatokeaga kwa watu wengi. Walimwengu wengi hawana shukrani.

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +13

    Leo umenigusa mimi Baba😭😭😭 Binadamu weng wanatufanyia ubaya sana baada ya sisi kuwaonesha wema kwao

  • @aminakasim1198
    @aminakasim1198 2 ปีที่แล้ว +9

    Eeeeeh mungu yamenikutaa hayaa mimi tenaa familia haswaa namshukuru mungu sijapataa kichaa

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 2 ปีที่แล้ว

      Masikini , pole Amina wangu tupo wengi.

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 2 ปีที่แล้ว

      @@happylynguya3464 it's painful my lovely sister for really

    • @gracesilayo7670
      @gracesilayo7670 2 ปีที่แล้ว

      Polen jaman

  • @monicamwandemele2648
    @monicamwandemele2648 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu asifiwe baba angu kimaro tuchape baba hadi tuelewe
    Mungu wa Kwanza siku zote

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 2 ปีที่แล้ว +4

    Katika viumbe nawaogopa apa Duniani ni wanaume woiii 🙌

  • @hosianaisrael8939
    @hosianaisrael8939 2 ปีที่แล้ว

    Duhh imenigusaa baba barikiwa mnoo babab

  • @edgerkessydeogratius5167
    @edgerkessydeogratius5167 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atuongoze sisi maan dunian hap bila Kristo ni kz bure

  • @neemawillison891
    @neemawillison891 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakuelewa Sana mchungaji mungu akubaliki

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 2 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭nimeumia sana jamani binadamu sisi

  • @glorynassary8799
    @glorynassary8799 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki baba, Mungu atutie nguvu jamani.

  • @dainessnungwe2621
    @dainessnungwe2621 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani jamani!; Nimeumia sana na hii story

  • @surkozytm3331
    @surkozytm3331 9 หลายเดือนก่อน

    well said kuna kitu kikubwa sn cha kujifunza hp

  • @gililwise
    @gililwise 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie jamani maisha ya ndoa yanahitaji uvumilivu.

  • @veronicapaul9067
    @veronicapaul9067 2 ปีที่แล้ว +2

    Yalishawagawah kunikuta haya japo story ipo tofaut kidogo nlmtendea wema mzaz mwenzang matokeo yake ctakuja kusahau hii😭😭

  • @anandegodfrey9025
    @anandegodfrey9025 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atupe macho y rohoni

  • @priscaangwenyi2206
    @priscaangwenyi2206 2 ปีที่แล้ว +4

    I also took medication for 3.5 years. Mental illness is not a joke

  • @kenonpeter3692
    @kenonpeter3692 2 ปีที่แล้ว

    Nimeona mambo ya nmnahi ktk familia bazi kila aliefanya uchafu wanamna hii kwa mume wake ahu mke kumfanyia mumehivi tubu naugaragaze magoti mbele za Mungu hachakiburi garika hinakuja sharilako Amen Dr Eliona

    • @agnessima5032
      @agnessima5032 ปีที่แล้ว

      Hicho kiswahili hakieleweki.

  • @doreenkahunde3186
    @doreenkahunde3186 2 ปีที่แล้ว +5

    I blame the family members they would have told her the truth ,why did they wait until she comes back

  • @vailetmapolu6363
    @vailetmapolu6363 2 ปีที่แล้ว

    Napenda sana mahubili yako

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว +5

    Hii ni ukweliiiii kuna dada mmoja hivyo hivyo uingereza alifanyiwa hivyo hivyoooo kumbe hewaaaa

    • @veronicamokiwa4315
      @veronicamokiwa4315 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu yangu kafanyiwa hivyo nae alikuwa UK aliacha mume wake huku

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 2 ปีที่แล้ว

    WAAMBIE HAO WANAWAKE WANAONIABUDU NA KUNIFUATA MIMI YESU, WAACHE KUVAA NYELE BANDIA,KUCHA BANDIA, KOPE BANDIA NA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPINGANA NA ASILI YA KUUMBWA KWAO, NA WANAPOKUA KANISANI KATIKA IBADA WAFUNIKE VICHWA VYAO.
    1 Wakorintho 11:13

  • @faustinahugo9621
    @faustinahugo9621 2 ปีที่แล้ว

    Nimesikia kulia😭😭😭😭

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm kunamtu kala milioni moja yangu siwezi msamehe. Na Bado naendelea kupambana hajanikata mikono naamini ipo siku Mungu atamuonyesha hapahapa Duniani

    • @rezegerezege691
      @rezegerezege691 2 ปีที่แล้ว

      Samehe Dada yangu wapo watu wameliwa million 10 nakusihi samehe maana unajizulu ww wenyewe.

    • @olivajoseph1697
      @olivajoseph1697 2 ปีที่แล้ว

      @@rezegerezege691 siwezi Kila siku ntamsomea mabaya tu

    • @rezegerezege691
      @rezegerezege691 2 ปีที่แล้ว

      Dada msamehe nakuomba acha Mungu Akulipie kiasi usiseme mabaya Juu yake Bali mtakie Mema.
      Maana mabaya unayotamka sasa yatarudi kwako.
      Mpe Mungu nafasi kwenye Moyo wako Dada yangu kipenz Mungu Akulinde.
      Namaanisha kusema hivyo mm mwenyewe nimepoteza pesa nyingi sana million 7 na Familia yangu inanitegemea mimi na Mwanangu ni mgonjwa na Mama yangu ananitegemea mimi na ndugu zangu hawana Ajira Bali ni kazi tu za mtaani lkn nimemwaachia Mungu kila kitu yeye anitetee kwa upambavu nilioufanya wa kumuamini tu ambayo haniamini ila nashukuru Mungu yeye Atatulinda mimi na Ndugu zangu na Mama yangu pia ni mzee sana na Mtt wangu.
      Namwaamini Mungu atanirudishia vyote nilivyopoteza.

    • @rezegerezege691
      @rezegerezege691 2 ปีที่แล้ว

      Da oliva samehe kila kitu Riziki itakuijia japo itachelewa.

  • @laurencemassawe9100
    @laurencemassawe9100 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanaume ukiaminiwa aminika kuna dhambi zinaumiza sana watoto ndoo hazina yetu ya badae jamani tuwapende

  • @marryngaa3195
    @marryngaa3195 ปีที่แล้ว

    Mie alinifanyia dada yangu watumbo moja alikula17 milioni ya kwangu

  • @JoyceHaule-o7b
    @JoyceHaule-o7b หลายเดือนก่อน

    Duuuu jamani inasikitisha

  • @happylynguya3464
    @happylynguya3464 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndio binadamu😭😭😭😭, mwaminifu ni Mungu peke yake..

  • @biamungunestory1935
    @biamungunestory1935 ปีที่แล้ว

    This was so unfortunate for her and her children

  • @mussajumannendanzi9451
    @mussajumannendanzi9451 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwisho wa huyo dada ilikuwaje kumalizua stori inapendeza mtumishi

  • @princeshafeen-official
    @princeshafeen-official 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jenifamoshi1219
    @jenifamoshi1219 2 ปีที่แล้ว +2

    Maubiri yako yanatusaidia sana baba

  • @jacquelinemushi2014
    @jacquelinemushi2014 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭

  • @queenyakinangop4096
    @queenyakinangop4096 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭🙆

  • @yunislemnge5558
    @yunislemnge5558 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂 watu hatuonani barabarani

  • @joynessmhalila811
    @joynessmhalila811 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema isingeekuwa neema ya Mungu nahis na mm ningekuwa kama huyo dada, maana historia yake haipishani sana na mm,
    Mungu aendelee kukupa neema yake ,
    Baba Mchungaji Mungu aendelee kukupa maisha marefu kwa kuwa unatusaidiamno na shuhuda zinatujenga mno, barikiwa sana.

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 2 ปีที่แล้ว

      Poole dear

    • @jennykeya3756
      @jennykeya3756 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akutie nguvu kwa mahubiri mema wanaume mungu hawaone

    • @JoyceHaule-o7b
      @JoyceHaule-o7b หลายเดือนก่อน

      Pole sana

  • @macklinakabyazi3036
    @macklinakabyazi3036 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mchungaji nampenda vile anatoa mifano ya mafundisho

  • @priscajoseph261
    @priscajoseph261 2 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 2 ปีที่แล้ว

    Njo hivo mchungaji. Wandugu tena hawaeleweki wamesha tuumiza sana tuna tafuta kwa jasho lakini wawo hawa oni mwishowe .unakuwa nima umivu tu

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 ปีที่แล้ว

    Hawajawah kusoma wala hawajui kusoma na pesa nimetuma wala siangaik kujichanganya nipate kichaa namtupia Mungu na majibu atayapata tu, ndioo

  • @mussajumannendanzi9451
    @mussajumannendanzi9451 2 ปีที่แล้ว

    😭

  • @emanuelgodlisten9477
    @emanuelgodlisten9477 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana

  • @willykikwete8626
    @willykikwete8626 2 ปีที่แล้ว +2

    Mafundisho yako yamejaa funzo kuu, ubarikiwe mtumishi. Hiyo stori imeniumiza sana lakini BINADAMU ndivyo tulivyo upo wakati tunastahili msamaha. Lakini licha ya stori yako yenye kuumiza still nimeona kuna jamaa anasinzia sidhani kama amesikia chochote huyo bwana.

    • @johnmapunda3474
      @johnmapunda3474 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂watu wanastress za maisha hawajalala home

    • @millieholmst6628
      @millieholmst6628 2 ปีที่แล้ว

      Amelaaniwa anayemtegemea mwanadamu

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 2 ปีที่แล้ว +3

    Too sad. Ila binafsi nitaumia ila kamwe siwezi kuwa kichaa. Mungu wangu yu hai. Yaani watoto wangu ndo watakuwa point of motivation. Dada angeumia angelia na angechukua wanae wakarudi zao USA.

    • @anandegodfrey9025
      @anandegodfrey9025 2 ปีที่แล้ว

      Roho ya uvumilivu wengi hawawezi.piaa inategemea labda Ni pressure imepelekea haya yt😭

    • @johnmapunda3474
      @johnmapunda3474 2 ปีที่แล้ว +1

      Mtu kufikia hatua ya kuwa kichaa sio hiari yake ni inatokea automatic( involuntary) hata wewe inaweza kukuta hiyo hali sio kitu unaamua kikubwa nikumuomba Mungu akuepushie na kukusaidia unapoingia kwenye majaribu magumu kama haya 😢

    • @florencebudoya3814
      @florencebudoya3814 2 ปีที่แล้ว

      @@johnmapunda3474 Hapana kamwe haiwezi tokea. Ninajijua na nimepitia mazito ila nilivuka na sijawa kichaa. Unakuwa kichaa kwa sababu ya maumivu unayaruhusu yakae muda mrefu. You have to fight hasa ukiweka watoto wako mbele kuwa wanakuhitaji kuliko kitu chochote kile.

  • @doreenkahunde3186
    @doreenkahunde3186 2 ปีที่แล้ว +1

    Oh dear may God punish this man,

  • @liliantirimo7993
    @liliantirimo7993 2 ปีที่แล้ว

    Na yeye awe kichaa.

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 2 ปีที่แล้ว +1

    Mafundisho mazuri na yamenijenga sana,,,,,, japo ulisema hutoitaja nchi ............😂

  • @liliantirimo7993
    @liliantirimo7993 2 ปีที่แล้ว

    Na hicho kibanda hasara kitakuja kuwehuka ogopa machozi ya wale watoto

  • @kenonpeter3692
    @kenonpeter3692 2 ปีที่แล้ว

    Hafahi huyo mwanaume

  • @anitasamson7850
    @anitasamson7850 2 ปีที่แล้ว

    Jasho la mtu haliliwi mwenye kiburi hafikagi mbali.

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 ปีที่แล้ว

    story

  • @aaaaaah290
    @aaaaaah290 2 ปีที่แล้ว

    DUUUUUUH

  • @dafrosamsonge2007
    @dafrosamsonge2007 2 ปีที่แล้ว

    Laana hii

  • @allenmhando8443
    @allenmhando8443 2 ปีที่แล้ว +3

    Hizi story zingine, ni mifano, ukiangalia si kweli, si alipata Green visa kwanini ahangaike hivyo. Mzee wa mastori.

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 2 ปีที่แล้ว

      Green card siyo tiba ya kichaa!

    • @nsiandekweka8373
      @nsiandekweka8373 2 ปีที่แล้ว +2

      Pole sana kwa akili zako finyu unadhani ukija nchi za watu unaanzia on top?! Kama una akili lazima ufanye side hustle. Unadhani ni lele mama? Green visa doesn’t guarantee you perfect life abroad.

    • @dorothyjoseph28
      @dorothyjoseph28 2 ปีที่แล้ว

      Kwani angeenda aje akiwa mwenda wazimu? Yes,ni mzee wa story lakini elewa anacho kisema kwanza kabla ujamuhukumu.

    • @amyesanga2004
      @amyesanga2004 2 ปีที่แล้ว

      Kuna siku yatakukuta ndo utaelewa Nini amefundisha

    • @allenmhando8443
      @allenmhando8443 2 ปีที่แล้ว

      @@amyesanga2004 nachosema hujaelewa, nipo na mungu na sina mambo ya udanganyifu na sifanyi kitu bila kumshirikisha mungu. Siwezi kukutwa na jambo lolote baya. Acha kumtegemea mwanadamu. Ushindwe kwa jana mungu.

  • @rosetemu2194
    @rosetemu2194 2 ปีที่แล้ว

    😭😭