TAZAMA MDEE NA WENZAKE WALIVYOINGIA MMOJA MMOJA KUHOJIWA NA BARAZA KUU CHADEMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ค. 2022
- TAZAMA MDEE NA WENZAKE WALIVYOINGIA MMOJA MMOJA KUHOJIWA NA BARAZA KUU CHADEMA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Baraza kuu hongeren sana mmetenda haki tumefurah
Mnafiki mmoja mwenye nguo nyeusi amenyanyua simu na kupiga. Wasaliti hawaishagi. Hiyo kesi kwa wakili Peter Kibatala imefika mahala SAHIHI. Wajipange sawa sawa hao mawakili watetezi. Vinginevyo Asubuhi tu AIBU.
Wewe unaesema chadema hawana jeuli ya kuwafukuza wabebe kwako ukawasongeage ugali
Waondolewe kabisa hao washenzi wakubwa mnafikiria ccm watawataka nyooo
Hayo unayasema wewe na nafsi yako
Ujasiri mliowajaza muda wote ndio ulitufanya tuwaamin hao kina dada... Na ujasir huo huo ndio wameutumia kuwanyoosha nyinyi wenyewe...
Wahuni wa kiwango kilichopitiliza
Chadema hatubembelezi ujeuli wao na tama zao Zimewaponza mbona hata ccm wanafukuza ukileta utopolo sembuse mdee na wenzake wasaliti tamaa mbaya
Kuna maboya wanasema Chadema hawana jeuri ya kuwafukuza hao yaan utadhani yeye yupo ndani ya kamati kuu vile
Nimefurahia hukumu, hata jeshini ukigundulika msaliti hakuna namna nyingine, utaliwa kichwa tu!
Wakinayuda hao
chadema hawana jeuri ya kuwafukuza hao watu
Vyakula havisusiwi utakufa njaa huo ni mchezo wamefanywa bado wapo mabosi mtakula wa wapi
Hao ni majembe wa chadema msiwaachie chadema itakufa mbowe acha hivyo
Mmependeza saaana!
Hawa ndio wanaharakati wa kweli walahi
Na wasaliti!
@@rasnchimbi watanzania ni watu wa ajabu,, utamuona mtu anamuunga mtu mkomo kwa kufanya usaliti,, ujinga hapa tanzania sijuwi utaisha lini, hawa kama nchi zinazojielewa hata mahakamani wasingeenda kwanza wanachukuwa mishahara sio haki yao
O.
mikwala mingi
watu wa ajabu sana
malaya hao fukuza kabisa
covid 19