Billnas na G Nakko 'walivyotimba' na guta kwa Mkapa - Siku ya Mwananchi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2020
- Bilnas na G Nakko kwao ilikuwa ni mwendo guta la aina yake. Hivi ndivyo walivyoingia #MkapaStadium . Je unatoa marks ngapi kwa ubunifu huu.
Uhondo uko LIVE #AzamSportsHD
#WikiYaMwananchi #SikuYaMwananchi #WikiendiKubwa #TunaanzaMsimuMpya #TunaJamboLetu #YangaSC #TimuYaWananchi #SikuYaWananchi #AigleNoir #MkapaStadium
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz - กีฬา
Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeee raha sana. Mtaa wa pili wanaumia sana
Yanga raha sanaaaàaaa sihami ng'oo
Nakukubri sana bro
Wasanii kwa sasa hawataki mchezo kabisa kila mmoja anabuni njia yake ni ipi atumie ili awakonge nyoyo mashabiki zao Kwakweli burudani inahitaji ubunifu vzuri sana wako poa sana.
Watu na nchi zao😃😃😃😃
Hilo kali sanaa
ubunifu
CCM oyee
Nataman ingekua kesho hii siku dah tuliinjoi sanaaaa
Suti na raba, yaan hawa wote wamekuja kumfunika dimond, du kweli mond baba lao hata wakiungana,.
Yanga oyeee simba 2mewazima now heshima itarud
Wanahangaika tu
Ebwana eeeee
Oyooooo
Piga kelele kwa yanga yakeeee oyeeeeee
Eee bana uwanja nyomiiiiii hiyo ndo yanga mpyaaaaaa GSM oyeeeeeee
Oyee
kila atakae kabwa na shida yake ataanza kuza suti na raba yake
Jamn ilikuwa pamb
Nazani mmeona wenyewe
Bongo patamu
Kipimo kimejipima chenyewe kumbe yanga niwengi kuliko simba tumeona uwanja
Kipimo cha kiingilio ndo tatzo SIMBA kilianzia 7000 YANGA wameanzia 5000 ujue 2000 kubwa na ndo SIMBA kaongoza kwa mapato ujue apo kaulize takwimu bcz YANGA waliangalia kujaza uwanja SIMBA iliangalia jins ya kupata Mapato
No