NIT kushirikiana na kiwanda cha kuunganisha magari kilichopo Zegereni, Pwani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji NIT, Profesa Magnilwa amesema chuo hicho kimeahidi kutoa ushirikiano kwa mwekezaji wa kiwanda cha kuunganisha magari BM kilichopo Zegereni Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani.
    Profesa Mganilwa amesema hayo wakati timu ya wataalamu ya kiwanda hicho ilipotembelea NIT huku chuo hicho kikiahidi kutoa msaada kwa wataalamu hao kwa katika kutengeneza magari yenye kiwango kufuatia kuwepo kwa maabara ya kupima injini na uwiano wa mfumo wa magari pamoja na kutoa ushauri kuhusiana na bei za kuuza magari hayo.
    Mariam Songoro anatuarifu zaidi…
    #AzamNews #AzamTVUpdates
    Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 7

  • @arnoldluwibwakila3458
    @arnoldluwibwakila3458 4 ปีที่แล้ว +1

    Safii sanaa

  • @amosimichael6626
    @amosimichael6626 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania halisi inaanza kutokeza JPM umekomboa jahazi

  • @johnhakika1203
    @johnhakika1203 3 ปีที่แล้ว

    Jpm njia ametuonyesha watanzania sasa kazi na viwanda🙏🇹🇿

  • @hamzalaus9599
    @hamzalaus9599 4 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿0yeeeee 🙏🙏🙏

  • @streetview3045
    @streetview3045 4 ปีที่แล้ว

    hiyo TBS ndo tatizoo

  • @mrmago4870
    @mrmago4870 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzalendo umelala, lakini kazi uliyoifanya kwa kipindi kifupi sana inaonekana....

  • @lucasmsigala3179
    @lucasmsigala3179 4 ปีที่แล้ว +1

    Viva tz