MTANZANIA AWASHANGAZA WAZUNGU, WAHINDI, ANAENDESHA BAISKELI NDOGO NA NDEFU JUKWAANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Moja kati ya maeneo ambayo vijana wa Kitanzania wamekuwa wakionyesha vipawa vyao ni kupitia matamasha mbalimbali ikiwemo la Circus Mama Africa ambalo linahusisha michezo ya Sarakasi jukwaani.
    Tamasha hili limekuwa likifanyika maeneo ya Masaki Mwisho jijini Dar es Salaam huku likikusanya idadi kubwa ya watu hasa wageni kutoka mataifa mbalimbali.

ความคิดเห็น • 22

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 ปีที่แล้ว

    Mazoezi rahaaa

  • @tabumpate9762
    @tabumpate9762 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi yeyote maamuzi na kupewa sapoti watanzania tunaweza bwana

  • @amosyohana5351
    @amosyohana5351 3 ปีที่แล้ว

    Noma sanaa

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 3 ปีที่แล้ว

    Safi saba

  • @davidcosmas5306
    @davidcosmas5306 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa katisha saaana

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 3 ปีที่แล้ว

    Miongoni mwa MIKASA ya kusisimua ambao imewapata watu maishani
    th-cam.com/video/HvPgB0tEFsE/w-d-xo.html

  • @fatemaligalawa1918
    @fatemaligalawa1918 3 ปีที่แล้ว

    Ayo bwana umeukatisha uhondoo

  • @jumakiatu.628
    @jumakiatu.628 3 ปีที่แล้ว

    iSiWe.uShiRiKiNa.jAmAni.tUe.mAkiNi.piA.tuSiKubALi.tU.kirAiSi.iVi.

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 3 ปีที่แล้ว

    Wabongo tusijichukulie poa tushirikiane kuijenga inchi yetu tunavipaji

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 3 ปีที่แล้ว

    Huo ni utajiri tosha

  • @welcome-qk6ps
    @welcome-qk6ps 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni

  • @GABBYTZ3
    @GABBYTZ3 3 ปีที่แล้ว

    m.th-cam.com/channels/Hb2oj5skDuWeyZ9hH1JrBg.html
    Gusa uone sababu ya wasafi kufingiwa

  • @simonitaagesti3657
    @simonitaagesti3657 3 ปีที่แล้ว

    Wazungu wanasahau kamq kwao kuna corona 😀😀😀

  • @alexluwaha6768
    @alexluwaha6768 3 ปีที่แล้ว

    UWEZO
    MKUBWA SANA

  • @nyimbompyazadini7307
    @nyimbompyazadini7307 3 ปีที่แล้ว

    Kipaji tz tunacho 💪

  • @bahi_bay24
    @bahi_bay24 3 ปีที่แล้ว

    It's so funny,.😅😅😅

  • @meshajoni5662
    @meshajoni5662 3 ปีที่แล้ว

    Duuh mbongo sihamiii

  • @youcallbbh9607
    @youcallbbh9607 3 ปีที่แล้ว

    Daah bongo kumenogaa

  • @fatemaligalawa1918
    @fatemaligalawa1918 3 ปีที่แล้ว

    Wapi iyojamani🥰🥰

    • @salvationministries3385
      @salvationministries3385 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on (+2349150350821) to prayer for you. For it is not by might nor by in power but of the spirit faith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.....,.

    • @maverickcreativesolutions8285
      @maverickcreativesolutions8285 3 ปีที่แล้ว

      Ilikua masaki karibu na sea cliff kwenye open grounds pale. nadhani wameshaondoka lakini