Asante kwa ushauri na kutufuatilia vipindi visa vya mabaharia vipo vya kutosha tutakuwa tuna weka kipindi kila siku ya jumamosi ya kila wiki jaribu kuwa karibu kila ifikapo jumamosi saa tatu kamili asubuhi.. ASANTE SANA
Hizi story za mabaharia ni nzuri lakini kinachokera wengi hawajui kusimulia kwa mtiririko...utisikia "nikaenda, nikaenda, nikakaa nikakaa..nimekaaa sana pale..hebu muwe mnawapanga bwana.
Storwway for life message from USA marekani tunamkubali
Umebadilik mtangazaji big up
Hiz stor tam sana tunajifunza meng but unakuwa kimya sana tutafutie na wengine mabaharia wapo weng kaka tafuta stor usikae kimya sana
Asante kwa ushauri na kutufuatilia vipindi visa vya mabaharia vipo vya kutosha tutakuwa tuna weka kipindi kila siku ya jumamosi ya kila wiki jaribu kuwa karibu kila ifikapo jumamosi saa tatu kamili asubuhi.. ASANTE SANA
Yes
Hizi story za mabaharia ni nzuri lakini kinachokera wengi hawajui kusimulia kwa mtiririko...utisikia "nikaenda, nikaenda, nikakaa nikakaa..nimekaaa sana pale..hebu muwe mnawapanga bwana.
🤣🤣🤣
Kasimulie wewe.
@@marionshakur3271 oooolkol
O
O😅l
@@marionshakur3271 l
Wazamiaji meli wote wanatokea pwani
Yes
Ndipo yalipo maji na wajanja kitambo
Kweli
Sasa mwanza kuna bahari
Unataka watokee CHATO?
Kaz nzur kk 😁
Brother wangu huyo kitambo sana mwambie arudi nyumbani makorora
Sawa brother mwabeshi mbishi wa kitaa,mzee wa mombasa
Ndo story nazipendaga hizi
sana sana
Mzee anaehojiwa anaharaka amalize story,mwanahabari anataka aifahamu habari kwaufasaha.
Look
Mi lp
Mabaaria ndio wangetakiwa wawe na pesa nyingi hapa tz, coz wamepitia mengi, au pesa zilikuwa za chamaulete.
✊🏾
Walichukua boti ya magendo mpaka Mayotte,boti ikapinduka ikaua watu wote..
Au alikusudia 69 ndiokamaliza shule
Mtamchoma mzeee wa watu 😂😂😂😂😂😂😂
Punguza matangazo mb zetu siyo za matangazo
Huyu babu muongo hajawahi kufika bombei wala instabul aka instagram🤣
Lakini anasema kamaliza shule 89 ivi anaumri gani
Mbanga kama mbanga
Dah we jamaa kama utakuja na stori nyingi aise utapiga pesa hata kama za uwongo kama makaveli eti nyani wanatolewa wari 🤣 ahh nimiupenda uwongo wake
Kumbe mpka wewe umemstukia kama jamaa alikuwa anatupanga😅😅
Iendelee
Tayari sehemu ya pili iko tayari
Muendelezo tafadhari
Oya wee mtangazaji huwez in pupa