D Voice - Kuachana Shingapi (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2021
  • #KUACHANA_SHILINGI_NGAPI #D_VOICE
    Watch now music video D voice performing Kuachana shilingi ngapi (Official audio) produced JM brand. This song is a collaborative project ID MAN BRAND
    Booking now ID MAN BRAND
    Art by D voice
    Call any time 0710283676
    • Mzee wa bwa x palu sim...
    • Mzee wa bwa x palu sim...

ความคิดเห็น • 700

  • @victorbenard1219

    Tuliokuwa tunausikia huu wimbo na hatuuzingatii ila baada ya kusajiliwa WCB tumekucha kuicheki tujuane jaman😅😅

  • @vocalizertz6868

    Wangapi wamekuja huku baada ya kusikia jamaa ni WCB😆😆😆😆😆😆 Mimi wa kwanza😆😆

  • @mtaani001tv
    @mtaani001tv 2 ปีที่แล้ว +46

    D Voice Kaka hii Aina ya mziki nakuomba uishikilie yaani ulete hii taste Kwa industry,imekukaa poa sana....yaaaani singeli flani ambayo imeenda shule

  • @breymbasa3451
    @breymbasa3451 ปีที่แล้ว +36

    Mziki huu ndo taste yetu wa Tanzania wakiamua kuusimamia vyema mbona wadhungu watasasambuka nao👍

  • @AmaniNangerembe

    Kijana anajua kiukweli ila wezangu wana familia ya wcb naomba tujuane 🙏🙏

  • @kijanaWaMamaBhajia

    Power of WASAFI....Najua tupo wengi tumekuja kuangalia hizi kazi baada ya kuona amesign wasafi

  • @ellyxplatnumz5655

    Tuliokuja baada ya hiki chuma kuingia usafini like zitililike WCB

  • @em_vee_josh

    WCB fans mko wapi. Yaani wimbo huu umesonga sana after amekua signed WCB WASAFI

  • @sebenmover

    Wale vichwa maji tuliongoja atambulishwe ndo tumjue wakuje apa

  • @JosephJackson-jv1so

    Nimekuja kuicheki hii ngoma baada ya simba la Masimba dango dangote kumsain jamaa😂

  • @mr_cartoon202

    Waliokuja huku bahada ya dogo kusainiwa WCB

  • @DoctorEvarist

    Ndo nimegundua leo kumbe mwamba katoka mbali 🙌🏽🙌🏽😀😀🥰

  • @beatricekalunga6938

    Nilikuwa naupenda huu wimbo hata kabla hujaenda lebo kubwa 🥰

  • @zainabthomas6960
    @zainabthomas6960 2 ปีที่แล้ว +223

    Wale tulio toka tik tok kuja kusikiza hii ngoma gonga like bas❤

  • @rashidchid1828

    Mpaka sasa sijaskya ngoma kali kama iyi magoma ya kaida sana aliyo towa wcb

  • @freddymukindikwa3644

    From south Africa really I love this song guys go far with you talent and sound beat very good you deserve a trophy.

  • @user-pj4xy3wr8k
    @user-pj4xy3wr8k 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mim nipo Burundi huyo dogo anapendwa sana burundi

  • @jonster7973

    Diamond plutnumz ajakosea kijana ana talent kubwa. Umenifunza ni bonge la ngoma. 🔥🔥

  • @user-uc5zj4qb8k

    Weee dogo umefanya sasa nimpenda singeli keep it up broh wewe ni star we kesho much love from Kenya

  • @neemamsabaha8791
    @neemamsabaha8791 2 ปีที่แล้ว +15

    Waooooo nakupenda huu wimbo wajameni kuacha bei Gani mapenzi Toka nikae apo chacha🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wacha we