Haleluya!! Nimeidaka hii!! Mtu anaruhusiwa kuja kwa Yesu akiwa masikini lakini marufuku kuendelea kuwa masikini akiwa ndani ya kanisa (Kumbukumbu la Torati 15:4-7). Asante Chief Apostle kwa huu ufunuo mkubwa. MUNGU akutunze sana, akubariki sana, ukaenee pande zote.
Amina mali zote ni za Bwana na sisi kama Warithi wa Mungu pam9ja na Bwana Yesu ni lazima tuwe matajiri. Tuanze kwa kuwa waaminifu na kutii na kuzifata amri zake kuhusu fungu la kumi zaka na kuacha dhambi. Mungu wetu hatatupungukia kwa lolote wala chochote! Asante Mtume Mutalemwa Mungu abariki neno lake likazae matunda yenye mbegu zinazozaa maishani mwetu. Huu ni wakati wa kuwavamia wa Babylon na kurudisha vyote walivyoteka. Kwa jina la Yesu.
Oh my God i wish I could know this before! Yani mimi sheria ya dini fulani ilinifanya nifanye kiapo cha kuishi umaskini. Nilikuwa nina pata mahitaji yangu yote, lakini nikiongea na wazazi wangu nyumbani unakuta hata hawajala na nilikuwa sina uwezo wa kuwasaidia kwani nilifungwa na sheria. Sometimes nilikuwa hata natumia uwongo kwamba wazazi wangu ni wagonjwa angalau wanipatie chochote niwatumie watu wangu nyumbani. Namshukuru Mungu aliyeniondosha kwenye utumishi wa utumwa. Asante sana Chief. Ubarikiwe sana
Kweli kabisa tunapambana sana ila hakuna Nuru,MUNGU atusaidie Nuru ije juu yetu ili hata waliyo nje ya kanisa waione Nuru hii wavutwe nayo,na waje kanisani wakae watulie ndani ya Nuru.
Mimi kwakweli toka nimekajaga kanisa la ECG nimebarikiwa sana , na kila siku namuombea sana alienipeleka pale kanisani Kaka Honesty Mungu akubariki sanaaaaaaaa, lakin Kubwa zaidi nilivobarikiwa ibadani namuomba Mungu sana ampe maisha marefu prophet Mutalemwa na familia yake ili hadi wajukuuu na vitukuuu na vilembweeee wamkute , namwombea sana pastor wangu wa homecell ya mwananyamara yani yupo vizuri sanaaa na ibada ya jana jamani ilikuwa nzuri sanaaaaaaa, Mungu awabariki kwakweli, naomba ECG Mungu akaweke upendo kwa washirika wote tupendane kwenye upendo kuna baraka nyingiiiiiiii sana,
Asante baba uinuliwe juu sana mafundisho yako sio ya kaida,mungu amekuinua sana yana nguvu kubwa na mamlaka zidi kutuponya tunakufatili sana kwenye TH-cam naomba zidi kuturushia unatuponya sana apostle mtalemwa
Haleluya!! Nimeidaka hii!! Mtu anaruhusiwa kuja kwa Yesu akiwa masikini lakini marufuku kuendelea kuwa masikini akiwa ndani ya kanisa (Kumbukumbu la Torati 15:4-7). Asante Chief Apostle kwa huu ufunuo mkubwa. MUNGU akutunze sana, akubariki sana, ukaenee pande zote.
Mimi tajiri na pia mwanafunzi wa YESU 🙏
Mimi Tajiri na Mwanafunzi wa Yesu.
MIMI TAJIRI NA TENA MWANAFUNZI WA YESU.IYEEEEEEEEEE POWER 🙏🙌💖👏
Fedha ni mali yangu,na dhahabu ni mali yangu,asema Bwana wa majeshi Hagai 2:8(suv)
Amen
That's true
Amen
Jamani baba asantee nikifika daa lazma nitie Tim kanisani kwako maana kila SKU unanifundisha makubwa zaidi wewe umeletwa kwaajiri yangu
Huo.niukweli.sijawahi.kusikia.mahubiri.kamahayo.wwe.mtumishi.wamaajabu.mungu.akubariki.nahisi.nafunguliwa
Amen mtumishi wa mungu mtoto wa MAJOR1 Kwa kutulisha neno zuri na linalotufundisha hakika mungu azidi kuinuwa huduma ya KINABII zaidi ya hapo.
Amina mali zote ni za Bwana na sisi kama Warithi wa Mungu pam9ja na Bwana Yesu ni lazima tuwe matajiri. Tuanze kwa kuwa waaminifu na kutii na kuzifata amri zake kuhusu fungu la kumi zaka na kuacha dhambi. Mungu wetu hatatupungukia kwa lolote wala chochote! Asante Mtume Mutalemwa Mungu abariki neno lake likazae matunda yenye mbegu zinazozaa maishani mwetu. Huu ni wakati wa kuwavamia wa Babylon na kurudisha vyote walivyoteka. Kwa jina la Yesu.
Mimi tajiri na pia mwanafunzi wa YESU,, napokea neno hili kwa jina la YESU KRISTO🙏, Amen🇰🇪🇰🇪
Mimi tajiri na pia mwanafunzi wa YESU I receive it
napokea vitu vote nilivodhuhumiwa virudi kwa jina la Yesu
Ameen, Mungu akubariki sana mtumishi, maana somo hili limekutana na maombi ninayoomba ya kuukataa umasikini na kuomba baraka na utajiri wa BWANA.
Condtion yetu itakuwa ni moja tu! OKOKA TUKUPE KAZI 👏🤸♀🔥🔥
I arise and shine in the name of Jesus as my light has come in Jesus name. Hallelujah
Mimi pia Tajiri namwanafunzi wa Yesu amenaaaaaa
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU Kwa JINA LA YESU AMEN hallelujah
Mungu wa Major1 azidi kukutunza, mtumishi wake. Nimebarikiwa sana
Mimi tajiri na pia mwanafunzi wa YESU AMEEN AMEN. I RECEIVE IT.
Oh my God i wish I could know this before! Yani mimi sheria ya dini fulani ilinifanya nifanye kiapo cha kuishi umaskini. Nilikuwa nina pata mahitaji yangu yote, lakini nikiongea na wazazi wangu nyumbani unakuta hata hawajala na nilikuwa sina uwezo wa kuwasaidia kwani nilifungwa na sheria. Sometimes nilikuwa hata natumia uwongo kwamba wazazi wangu ni wagonjwa angalau wanipatie chochote niwatumie watu wangu nyumbani. Namshukuru Mungu aliyeniondosha kwenye utumishi wa utumwa.
Asante sana Chief. Ubarikiwe sana
Mm tajiri na pia mwanafunzi wa yesu
Mungu azidi kukuinua mtumishi napenda mafundisho yako yaani yako hai
Mimi tajiri na pia mwanafunzi wa Yesu Kristo. Hallelujah!
Am blessed by this teachings. Am rich boss lady. Vyakwangu ni vyakwangu na vyakwao ni vyakwangu
Mim tajiri na pia mwanafunzi wa Yesu. Amina
Vya kwetu Vyetu vya kwao vya Kwetuu!!! Chief Apostle!!! I receive!
Nafuatilia somo hili japo nimechelewa ...nipo Zanzibar
Mungu akubalik sana mtumishi wa Jehovah, tumekuelewa sana hakika napokea.
Asante Sana chief apostle,umebadisha my mind kabisa,vyetu ni vyetu na vyao ninvyetu,I'm rich woman aka the richest boss lady 🙏🙏🏻❤️💪
Mimi ni tajiri, na tena mwanafunzi wa mungu I received apostle.
Mimi tajiri na pia mwanafunzi wa yesu!!!!!
Mimi tajiri na pia mwanafunzi wa YESU
Mimi ni tajiri na mwanafunzi wa YESU. Amina
Amen Amen amen !
Eh Bwana Yesu nimesikia ujumbe wako
Hallelujah ninabarikiwa sana Kila siku kupitia maubiribyako mtandaoni I wish ungefungua brunch yako Kenya Tukue karibu na weee 🙏🙏
Amen ,thank for msg
Ameen barikiwa mtumishi wa MUNGU
Hallelujah!!!,,,frm today hence forth this will be my song,"vya kwetu ni vyetu na vya kwao ni vyetu"period.
Mrs time time serrry gitingad business toñow nont good
Asante yesu nabarikiwa kupitia neno hili god bless aposle
Huyu mtumishi wa mungu ni mzuri mno kwa sura.Ameumbika vema mno. Nadhani mkewe anamwona hivyo. Glory to God.
Mungu akubariki Sana kwa ukweli huu!! Hakika nimejifunza Sana!! Nashukuru kwa mafunzo
Ameeen ameeen GOOD bless you MUNGU azidi kukutunza dady barikiwa sana🙏🙏🙏🙏🙏
Ubalikiwe Sana Mwajina Wa Baba Yangu Mutalemwa God bless
Amen.by faith am rich first seek thy kingdom first. Hebrews 13:5 Psalms 12:6
I like the teachings
Kweli kabisa tunapambana sana ila hakuna Nuru,MUNGU atusaidie Nuru ije juu yetu ili hata waliyo nje ya kanisa waione Nuru hii wavutwe nayo,na waje kanisani wakae watulie ndani ya Nuru.
@@esthercharles2210 Amen.Psalms 119:105
Mimi tajiri na pia mwanafunzi wayesu
Mimi nitajiri na mwanafunzi wa YESU AMEN 🙏
Mtumishi wa Mungu niombee nipate ajira,
AMINA AMINA barikiwa sana mtumshi
amen mtumishi
Umennena mtumishi watwajie katika jina la yesu tuwe huru kutumikia mungu
Dah kweli aisee Mtume
Amina, ubarikiwe sana Mtumishi kwa ujumbe huu
Hongela mtumishi wa mungu nimekuelewa Sanaa
Sehemu nyingine za ujumbe huu nimechekaaaa, na sehemu nyingine nimeliaaaaaa....asante Yesu nimepokea.
Hallelujah, thank you so much Apostle, nainuliwa dakika ya jioni , nabadilika, napokea utajiri katika jina la yesu , naomba Amina.
Amina
Mungu atusaidie
Asante mtumishi wa mungu
Amina, Amina
Amina kubwa
Nikiwa NAIROBI KENYA NAFWATILIA
Mm Andrew Theo nitajir na mwanafuz wa Yesu!
Barikiwa apostle...I'm blessed 🙌
Man of God Nakupata vzuri kabisaa huo Ndio ukweli usiopingika Mungu azidi kukuinua
Amina uko Sawa
Ooooh yesu prophet amen
nakufuatilia sana mchungaji kupitia njia ya mtandao mungu akusimamie sana ili uendelee kuwachunga kondoo🙏🙏
I receive in the name of Jesus christ
I receive prosperity in Jesus name. Hallelujah
Kwa hili somo tu kuanzia leo mm sio masikini🎉
Mungu ananiinua kwa mafundisho haya
Amen nimebalikiwa saaaana umekuwa wa baraka kwangu mutumizi hakika hakuna kujuta kumutumikia mungu ni baraka tele balikiweni sana
Ameni
Hallelujah 🙏 Mimi ni tajiri Nani mwanafunzi WA yesu
Mimi ni tajiri na pia ni mwanafunzi wa Yesu💪🔥 barkiwa baba🙏
Leo kwa mara yangu ya kwanza nimekusikiliza nimekuelewa Nimepokea kwa kiwango kikubwa sana ubarikiwe
Mimi pia ni tajiri na mtumishi wa yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai
I receive in Jesus Name
Asante sana. MUNGU AKUBARIKI
Ameni na Asante kwa neno safi.
mungu azidi kukutumikisha mchungaji nimebarikiwa na mafundisho hii ubarikiwe amina.
Mm Tajiri na pia ni Mwanafunzi wa Yesu
Ameen
Asante.. sana mtumishi
Wow hallelujah!!!! Mimi ni tajiri na pia ni mwanafinzi wa Yesu I'm blessed
Mimi tajili pia mtumishi wa Yes
Mimi tajiri tena mwanafunzi wa .Yesu.
Mimi kwakweli toka nimekajaga kanisa la ECG nimebarikiwa sana , na kila siku namuombea sana alienipeleka pale kanisani Kaka Honesty Mungu akubariki sanaaaaaaaa, lakin Kubwa zaidi nilivobarikiwa ibadani namuomba Mungu sana ampe maisha marefu prophet Mutalemwa na familia yake ili hadi wajukuuu na vitukuuu na vilembweeee wamkute , namwombea sana pastor wangu wa homecell ya mwananyamara yani yupo vizuri sanaaa na ibada ya jana jamani ilikuwa nzuri sanaaaaaaa, Mungu awabariki kwakweli, naomba ECG Mungu akaweke upendo kwa washirika wote tupendane kwenye upendo kuna baraka nyingiiiiiiii sana,
Well said Apostle, God will raise me to be a kingdom financier and a ruler over nations,
so help me Lord
Yes Sir Apostly 👏👏👏
Mimi tajiri na pia ni mwanafunzi wa YESU
Mimi nitajiri barikiwa Sana mtumishi
watikiswe....maisha safi iwe kwetu walio mkubali YESU...Nuru
Kweli mtumishi yaani kupitia hili nimepona ameni
Ameen Apostle
Mimi ni tajiri tena mwanafunzi wa Yesu..
Mimi TAJIRI na pia MWANAFUNZI WA YESU.
Namuomba Mungu anipe gar yakubeba watu kila siku ya ibada nikuwapeleka kanisani mana ECG kuna mambo mazuri sana
Asante baba uinuliwe juu sana mafundisho yako sio ya kaida,mungu amekuinua sana yana nguvu kubwa na mamlaka zidi kutuponya tunakufatili sana kwenye TH-cam naomba zidi kuturushia unatuponya sana apostle mtalemwa
Ooh Yesu
Ameeeen
Amen, hallelujah
Wow I am the first to watch this amazing summon. God bless u my Apostle
Mimi tajili na nimwanafunzi wa YESU
I hear you M.O.G.am blessed.
Napokea kwa jina la yesu ameni
Mimi tajiri na pia Mwanafunzi wa Yesu