MWAKA 2025 UTAKUA HIVI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 374

  • @catherinerichard745
    @catherinerichard745 28 วันที่ผ่านมา +12

    Amen nimepromotiwa, nia ndoa , nyumba nzuri kubwa sana na range mpya ya 2024 to God be the Glory.

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn หลายเดือนก่อน +38

    Isevu hii comment,,niliona mwaka 2025 milango mingi ya Neema na vipawa na baraka tele ikifunguliwa juu yangu na familia yangu yote ,,tukutane 2025 tukitoa shuhuda zetu ,,in God We Trust ✍️✍️

  • @manpierre571
    @manpierre571 หลายเดือนก่อน +2

    This message is Gold. Thank you MAN OF GOD for sharing it for FREE 🙌🏾🔥

  • @MfikaMkumbwa
    @MfikaMkumbwa หลายเดือนก่อน +5

    Pastor l understand u, thanks for that,am from Malawi

  • @AthumaniTwahiru
    @AthumaniTwahiru หลายเดือนก่อน +3

    Ameni. Napokea Baraka zangu. Ubarikiwe pia mtumishi wa YEHOVA, Mungu azidi kukufunulia maono.

  • @charlottesindayigaya2030
    @charlottesindayigaya2030 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki saaaaaana mtumishi wa Mungu Apostle Mtalemwa. I connected from Norway. Nimefurahi kusikia huu unabii. Nitasimama ktk Neno la Mungu na kutembea na Mungu. 🇧🇻🇧🇻🙏🙏

  • @edwardmathewmhone
    @edwardmathewmhone หลายเดือนก่อน +18

    Nakupata vizuri sana my apostle kutoka MBEYA - Green City 🎉 Asante kwa mafundisho ya kiroho.

    • @childofgod3216
      @childofgod3216 หลายเดือนก่อน +2

      @@edwardmathewmhone watu wa mbeya wa naakili ya Kristo mbeya ipiii unatoka

    • @josephosborne3072
      @josephosborne3072 23 วันที่ผ่านมา

      KUMBE NA WATU WA MBEYA MNA SIMU KUBWA NA MNAONA KILA KITU HUMU,,HONGEREN NDG ZANGU

    • @childofgod3216
      @childofgod3216 23 วันที่ผ่านมา

      @ kuna zingine ni ndogo na ndogo zipoje King

  • @gladnessdaniel3023
    @gladnessdaniel3023 26 วันที่ผ่านมา

    May God bless you, the Servant of God... I receive all in Jesus name

  • @manpierre571
    @manpierre571 หลายเดือนก่อน +11

    Hii ni kubwa sanaaa nimeamka nayo this Morning 🙌🏾🙌🏾🔥

  • @JULIETOYARO
    @JULIETOYARO หลายเดือนก่อน +2

    Hallelujah Hallelujah 🎉 amen and amen in Jesus'name God bless you 🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lucybaltazary6191
    @lucybaltazary6191 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Prophet, nabarikiwa na mafundisho yako.

  • @GAUDENCIAMAGOME
    @GAUDENCIAMAGOME 16 วันที่ผ่านมา

    Ameen Apostel kwa mafundisho mazuri na ufunuo ulionyeshwa ubarikiwe sana

  • @KostaAgnasi
    @KostaAgnasi 24 วันที่ผ่านมา +3

    Amen napokea neema ya mwaka 2025 kwa jina la yesu kristo

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 19 วันที่ผ่านมา

    Pastor ume tulisha neno tam kabsa Asante sana mtumishi nime jifuza kitu 🙏🙏🙏

  • @gracelymgimwa-jt6nw
    @gracelymgimwa-jt6nw หลายเดือนก่อน +8

    Amen Apostle nabarikiwa Sana na mafundisho yako hadi natamani kujua kiundani hii elimu ya kinabii.
    Mungu Akubariki Sana kwa Somo Zuri

    • @wesongamildred5618
      @wesongamildred5618 หลายเดือนก่อน

      Amen Apostlei receiveandbelieve in Jesus Mighty Name Amen Amen Amen Amen Amen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

    • @wesongamildred5618
      @wesongamildred5618 หลายเดือนก่อน

      Listening from Qatar

    • @wesongamildred5618
      @wesongamildred5618 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen in Jesus Christ Mighty Name Amen Amen 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Shalom803
      @Shalom803 หลายเดือนก่อน

      Ahsante mtumishi wa Bwana. Shalom from Tanga. Be blessed abundantly❤

  • @MachineTayc-x3e
    @MachineTayc-x3e 15 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa muchungaji God bless you

  • @MaryNiima
    @MaryNiima 26 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa mafundisho yak

  • @rehemasilasi2985
    @rehemasilasi2985 หลายเดือนก่อน +1

    Oh! Haleluya napokea hatima ya ndoto zangu kila kilicho changu napokea nyota yangu ikang"ae sana kibiashara niwe na msukumo pia wakuipenda ibada amen

  • @florahkimaro6166
    @florahkimaro6166 หลายเดือนก่อน +1

    Amen and AMEN Mungu akubariki Apostle.

  • @honestyminde5519
    @honestyminde5519 หลายเดือนก่อน

    Amen Apostle. Ahsante kwa somo hili zuri na ufunuo huu.

  • @DavidMpabwanayo
    @DavidMpabwanayo 24 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe Apostles Mungo akuzidshie neema nimekuelewa sana Mungu aniasaidie nikapate kukakaa upande wa bwana

  • @jesussavesme2562
    @jesussavesme2562 28 วันที่ผ่านมา +2

    Bwana YESU KRISTO asifiwe? Je naweza kupata namba ya WhatsApp ya Nabii?

  • @WivinaGolden
    @WivinaGolden 23 วันที่ผ่านมา

    Amen Mtumishi wa BWANA Napokea kwa jina la YESU.

  • @annamakomele339
    @annamakomele339 28 วันที่ผ่านมา +2

    Napokea kwa jina la Yesu mafanikio yangu 2025,ndoa yangu watto wangu , kazi yangu 🙏🙏

  • @hosannaprinting294
    @hosannaprinting294 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa Mtu wa Mungu, asante kwa ufunuo

  • @isackboniphace9934
    @isackboniphace9934 หลายเดือนก่อน +1

    Wonderful message

  • @ms_beth8
    @ms_beth8 หลายเดือนก่อน +1

    Neema na Uzao 🙌🏽🙏🏾
    Thank you God for positioning and preserving me 🙏🏾

  • @hopemakangale1596
    @hopemakangale1596 23 วันที่ผ่านมา

    Amen asante Bwana.Yesu

  • @GidionChacha-x2i
    @GidionChacha-x2i 27 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi hakika napokea mwak kwa barak zot za Mungu natumain hata kwang utakuw ni mwaka wa Neem kwangu🎉🎉🎉🎉

  • @ELISHUAWILIAM
    @ELISHUAWILIAM 25 วันที่ผ่านมา +1

    Nakukubali mtumishi wa Mungu

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 หลายเดือนก่อน +9

    Napokea USHINDI, UTAJIRI heshima,Afya,kazi ya heshima,familia YOTE kumtumikia Kristo,ndoa ya baraka, huduma ya utakaso,Kwa Imani Kwa damu ya YESU KRISTO.Ameen

    • @FloraErasto-ld1kd
      @FloraErasto-ld1kd 26 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu ana sababu kwann niko hapa, NAPOKEA KWA JINA LA YESU.

  • @StellaKilango
    @StellaKilango 25 วันที่ผ่านมา

    Asante mtumishi napokea kukumbukwa na kuburudishwa na Bwana❤

  • @WankyoRaphaeli
    @WankyoRaphaeli หลายเดือนก่อน +5

    Yooooo nilkua wapi mm
    Napokea kwa jina la YESU 2025 nimwaka wamafanikio baraka nyingi
    Mvua ya neema itanijilia mm nafamilia yangu napokea

  • @DINAIBRAHIMU
    @DINAIBRAHIMU หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙏 MUNGU akubariki mtumishi

  • @messageofloveandhope4249
    @messageofloveandhope4249 หลายเดือนก่อน +1

    Amina..kwa kifupi..mwaka 2025 ni mwaka wa maajabu .
    Kweli upande watakao fanikiwa basi ni saana..na upande mwingine pia dhiki itakuwa kubwa sana..

  • @MackrinaKamwela
    @MackrinaKamwela 4 วันที่ผ่านมา

    Napokea kukubalika kufunguliwa utajiri na heshima napokea kwa jina la yesu

  • @petrosamwel2528
    @petrosamwel2528 หลายเดือนก่อน

    Thank you Man of God for revalation

  • @mustafamandindi6434
    @mustafamandindi6434 หลายเดือนก่อน +1

    ❤mungu akubaliliki kwa maono yako napokea kwa jina la mungu amina

  • @rosebaraka8406
    @rosebaraka8406 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa Mungu Mungu akubariki. Ni halisi na kweli. Naamani.

  • @KaraniSaitabau
    @KaraniSaitabau 29 วันที่ผ่านมา

    Amina mutumishi wamungu mafundisho ineniguza nashukuru mungu akubariki amina

  • @mselimsuya6952
    @mselimsuya6952 27 วันที่ผ่านมา +2

    Neno la Mungu kupitia kinywa Cha Mtumishi wako litatimia kwa jina la Yesu 🙏

  • @agnesnzali3175
    @agnesnzali3175 18 วันที่ผ่านมา

    Hii imeyoka juu moja kwa moja.
    Mungu atende hayo yote. Naisubiri Ghosheni yangu

  • @RehemaMwambugu
    @RehemaMwambugu หลายเดือนก่อน +1

    Amina napokea unabii huu kwa jina la yesu ubarikiwe sana

  • @christopherjoyce1903
    @christopherjoyce1903 23 วันที่ผ่านมา

    Nmependa unavyofundisha khs elimu ya kinabii.Utukufu kwa Yesu Kristo

  • @IsdoraMoshi
    @IsdoraMoshi 24 วันที่ผ่านมา

    Hii nimeelewa sana apostle aliyepigwa msalabani, akazikwa ndio huyo huyo alie fufuka❤❤

  • @faridadauda3227
    @faridadauda3227 27 วันที่ผ่านมา

    Prophetic message ❤

  • @bettymvanga3273
    @bettymvanga3273 29 วันที่ผ่านมา

    Amen Mungu nisaidie 2025 nikatuliwe mzigo Goshen yangu kila Kona kwa Imani utakuwa sawa.

  • @ZenaAmri
    @ZenaAmri หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana mtumishi🎉🎉

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 29 วันที่ผ่านมา +2

    Naomba sanauzao wa tumbo langu uwe na vipawa na uwezo kwa jina la yesu,zaburi 27:47

  • @YohanaIsraelloishiye
    @YohanaIsraelloishiye 25 วันที่ผ่านมา

    Amen ubarikiwe Nabii wa Mungu

  • @RehemaEmanuel-h2x
    @RehemaEmanuel-h2x 3 วันที่ผ่านมา

    Amina napokea

  • @comfortkitiwi2879
    @comfortkitiwi2879 27 วันที่ผ่านมา

    Asante Mchungaji napokea na naatamia neno hili

  • @eradyrich
    @eradyrich 27 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe Mchungaji kwa mafundisho ya ufunuo

  • @DeborahLusekelo
    @DeborahLusekelo 10 วันที่ผ่านมา

    2025 ni mwaka wa kuinuliwa kwangu na uzao wangu kwa jina la Yesu.

  • @Isack-b9k
    @Isack-b9k 29 วันที่ผ่านมา

    Bibilia imeeleza kujumlisha au kutoa ili upate prophetic numbers ?

  • @SabinaMutie
    @SabinaMutie หลายเดือนก่อน

    Napokea unabii wa 2025 from Nairobi. Thank you Lord for the apostle.

  • @dorahtwaha3574
    @dorahtwaha3574 29 วันที่ผ่านมา

    Amina napokea hizo neema kwa jina la Yesu kristo

  • @FredMwensongole
    @FredMwensongole 27 วันที่ผ่านมา

    Nimebarikiwa sana Leo MUNGU Mbariki mchungaji

  • @gladisywishely821
    @gladisywishely821 24 วันที่ผ่านมา

    Ibarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @HeavenlyThanksMedia
    @HeavenlyThanksMedia หลายเดือนก่อน +3

    Mtumishi nimezaliwa tarehe 25 mwezi 5 mwaka 1985 jumatano saa tano hii ina maana gani

  • @victorialema4033
    @victorialema4033 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen Napokea Ushindi kwa jina la Yesu 🙏

  • @danielchakutema824
    @danielchakutema824 หลายเดือนก่อน

    Amen Asante Apostle

  • @janethruhomwa767
    @janethruhomwa767 หลายเดือนก่อน +2

    neno zuri kingereza sasa n kingi sana😂😂 awekwe mkalimani

  • @kajobreezy8629
    @kajobreezy8629 27 วันที่ผ่านมา

    Kweli kbs mana hata kanisani kwet nabii wetu pia alitabiri hili❤ YESU nakupenda u Mali yanguuuuu

  • @herinitiative4789
    @herinitiative4789 26 วันที่ผ่านมา

    I receive man of Good

  • @harrieth56
    @harrieth56 หลายเดือนก่อน

    Amen, Mungu atusaidie kukusikiliza na kukuelewa kwa ajili ya utukufu wa Mungu wetu

  • @BahatiPeter-k7w
    @BahatiPeter-k7w หลายเดือนก่อน

    Amen Amen,napokea apostle

  • @mosesmarufu8847
    @mosesmarufu8847 25 วันที่ผ่านมา

    Very powerful

  • @AndondileKaliboti
    @AndondileKaliboti 19 วันที่ผ่านมา

    Nyie manabii tushawazoea sikuhizi mnavytabiri 😂kwawatu yote hayo ni ya uongo

  • @kisegeselokisegeselo3815
    @kisegeselokisegeselo3815 หลายเดือนก่อน +1

    Amina man of God, napokea 🙏🙏🙏

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 หลายเดือนก่อน +3

    Chief kasha maliza forex oyeeee prophetic signal

  • @d.mediatv8147
    @d.mediatv8147 24 วันที่ผ่านมา

    Napokea unabii kwajina la yesu

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo หลายเดือนก่อน

    Hivyohivyo mtumishi tunaelewa Mungu wangu weeee I reeeecev it ooh Jesus

  • @emmaculategideon
    @emmaculategideon หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana Yesu kuruhusu nilisikie Neno hili kutoka ktk kinywa chako

  • @pendomdimi
    @pendomdimi 15 วันที่ผ่านมา

    Napokea mwala wa neema katika jina la Yesu

  • @EmmaKioko-j9s
    @EmmaKioko-j9s 25 วันที่ผ่านมา

    Amen. Mazuri yata itendekea.

  • @clemencea.akambengwa3999
    @clemencea.akambengwa3999 24 วันที่ผ่านมา

    Amen, hakika ujumbe wako wa kinabii, umejaa nguvu ya kimungu

  • @anociathafidel2239
    @anociathafidel2239 หลายเดือนก่อน

    Umenitoa mbali mtumish naelewa masomo yako na mwaka 2025 napokea.kwa imani❤❤❤❤

  • @SamwelNaal
    @SamwelNaal 29 วันที่ผ่านมา +1

    My 2025 is blessed, preserved and protected. I am moving from grace to grace! Halelujah❤

  • @ruyagilatv6641
    @ruyagilatv6641 หลายเดือนก่อน +1

    Amen naiwe kwangu baraka hizo

  • @Graceyusuphh
    @Graceyusuphh 22 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu kwa 2025🎉🎉🎉🎉❤

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 หลายเดือนก่อน

    I receive in Jesus Name i will be the member of the Parliament

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli dola imeshuka oooohh yeeeees

  • @SaraM-m1d
    @SaraM-m1d หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubarik baba 🙏

  • @NinaTitus404
    @NinaTitus404 23 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu kutukumbuka

  • @annaagathamsuya9252
    @annaagathamsuya9252 28 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏 Ameeeeen, Ameeeeen, Ameeeeen, I Receive my Blessings of 2025❤❤❤❤

  • @AnethMasaki-c5f
    @AnethMasaki-c5f หลายเดือนก่อน

    Baba Asante hapa nakuelewa sana🎉🎉🎉❤❤

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma 28 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @honorascusmatembe2987
    @honorascusmatembe2987 หลายเดือนก่อน

    Jamani tuendelee kushare ili somo zifike 1000K

  • @stellahmbanga2049
    @stellahmbanga2049 16 วันที่ผ่านมา

    II receive it in Jesus name

  • @patrickhodari4995
    @patrickhodari4995 29 วันที่ผ่านมา +1

    Ni ujumbe wenye nguvu na baraka mtumishi ategemee shuhuda nyingi na kuthibitika kwa Bwana Yesu kwa watumishi wake

  • @polnjau1551
    @polnjau1551 28 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @ElizabethNicholus
    @ElizabethNicholus 22 วันที่ผ่านมา

    Nataka kusikia kutoka kwako mtumishi sema neno moja kwaajili ya familia yangu nipo Arusha

  • @PamelaHezron
    @PamelaHezron 24 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda mtumishi wa MUNGU, MUNGU akupe miaka buku yakuishi hapa duniani utufundishe.

  • @HellenChamy
    @HellenChamy หลายเดือนก่อน

    Amina napokea unabii huu kwa jina la Yesu

  • @MaryJohn-g4b
    @MaryJohn-g4b 22 วันที่ผ่านมา

    NINAKWENDA KUINULIWA KWA VIWANGO VYA JUU KWA JINA LA YESU🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kavuthalinah514
    @kavuthalinah514 18 วันที่ผ่านมา

    naomba neema kubwa

  • @selestiniasenga
    @selestiniasenga หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ahimidhiwe milele.

  • @Mihoaidan
    @Mihoaidan หลายเดือนก่อน +1

    ❤ ameen son of Major

  • @Givendivine
    @Givendivine 25 วันที่ผ่านมา

    Naionq Gesheni yangu