Atukuzwe Mungu. Haya ndio mafundisho yanayo takiwa wa kristo wote wayasikie... Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hakllelujah hallelujah hallelujah, napokea utajiri wa utukufu wa urithi wa Mungu Baba muumba vyote, Mimi sio maskini, mimi ni tajiri, Amen!
Amen my Apostle nimelielewa sanaa hili somo Asante kwa mafundisho haya Mungu azidi kukutumia kama chombo chake Mimi nimeitiwa kuwa tajiri Nina Amani tangu Bwana Yesu aniokoee nina Amaniiii🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Ameen, Napokea urithi mpya wa kiroho na kimwili katika Kristo Yesu, Kwa damu yake inenayo mema ika nene mema juu ya magonjwa ktk familia yangu na mimi mwenyewe,Umaskini na roho za kucheleweshwa.Ikazae afya,utajiri na mpenyo ktk kila mipango na malengo yangu na familia yangu.
Eh Mungu nifungue mpaka nimefunguliwa completely, KILA urithi usionekana ambao ni mbaya kutoka kwa babu zangu naukataa KWA JINA LA YESU, Nakataa kubeba style zao za kuishi ambazo hazikupendezi Elohim , Apostle Mtalemwa, Thank You for Serving Us. I'm delivered
Tumsifu Yeu Kristo Apostle. Neno la Mungu lasema, bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake Kweli kabisa knowledge is power
Jamani apostle naomba uniombee ,hili somo limenifungua nimegundua kwenye familia yetu kuna roho ya kusema uongo kwa Dada zangu na kaka zangu yani akikwambia kitu cha uongo utadhani ni ukweli na ni wote kwenye familia hata Mimi ingawaje naomba kwa ajili ya halo hiyo Mungu aondoe kila urith
Namshukuru Mungu amekutumia Apostle, leo nilikuwa najiuliza maswali mengi juu ya mambo mengi yamenizunguka ya urithi mbaya wa familia,namshukuru Mungu nilipoingia tu utube nikakutana na hili....leo nimefunguliwa Mungu akubariki Apostle.
Apostle Mtalamwe uko vizuri sana katika fundisha neno la Mungu
Atukuzwe Mungu. Haya ndio mafundisho yanayo takiwa wa kristo wote wayasikie... Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hakllelujah hallelujah hallelujah, napokea utajiri wa utukufu wa urithi wa Mungu Baba muumba vyote,
Mimi sio maskini, mimi ni tajiri, Amen!
Nimepokea ujumbe mzuri sana,God bless you apostle
Mwamba piece kinyama ....mungu akubariki na jua mungu akubariki na wewe kwa neema hio utatubariki Ila baraka hiyo ianzie na mm.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Mungu azidikukuzidishia baraka mtumishi.
Amen 🙏🙏🙏, Asante kwa kunijuza kuhusiana na nafundisho haya ya uridhi
barikiwa mnoooo mtumishi wa Bwana nmepata kitu kimya hatujibiwi kw vile twaomba vibaya
Ahsante baba kwasasa naimani kubwa mno
Ubarikiwe Apostle kamanda wa Yesu,Damu ya Yesu isiyo na mawaa,Damu ya kunyunyiza oooh Glory to God 🙏
Amina ubarikiwe sana mtumishi
Ameen and ameen napokea urithi wa MUNGU Baba 🙏
Asante Mungu kuniepusha na KURITHI vitu vya ajabu.haleluyaa umenichagua kukutumikia tangu tumboni nabii wa mataifa🌺💕🇹🇿❤️
Asante Mtumishi wa Mungu kwa Maarifa haya ya kutumia Damu ya Yesu kwa kunyunyiza na kufuta URITHI mbaya.
Amen...Mungu akubariki utokapo na uingiapo.Naamini Sickle cell inayomtesa my 10 months baby itaenda kuhama in Jesus Almighty God
Following you from Saudi Arabia your sermon indeed is 💯💯💯
Amennnnn 🔥💯🙏🏼 ubarikiwe apostle kbs mungu akujaz tna full mafuta
Come on homme de Dieu !! Mungu azidi Kuku tuliya . Una tu faa sana . Enrique toka ka Congo
Shalom Apostle nimebarmikiwa na Somo hili...ubarikiwe mtumishi 🙏
kwa hapo nimekukubari na Roho wa Bwana asikuache,Ubarikiwe.
Glory to God , Apostle,,urithi wowote wa mababu ndani ya maisha yangu naikataaa katika jina la yesu Christo.Mungu azidi kuwe nawe Apostle.
Amen my Apostle nimelielewa sanaa hili somo
Asante kwa mafundisho haya
Mungu azidi kukutumia kama chombo chake
Mimi nimeitiwa kuwa tajiri
Nina Amani tangu Bwana Yesu aniokoee nina Amaniiii🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Ubarikiwe sana mtumish umenifunza mengi hadi nimebadilika kabisa.. MUNGU aendelee kufunulia zaidi..tuelewe bibilia vizuri
Namtukuza sana Mungu wa Major 1 kwa mafunuo hay aliyoyaachilia kwa baba yangu mlezi wa taifa chief Apostle Mtalemwa hakika nimefunguliwa
Amen...God bless his word.. Am blessed. Mwalimu.
I have learned and received all the blessing despite not being there physical. Fresh anointing upon your altar pastor...
Amen .ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai . Asante sana kwa ujumbe mzuri sana .
Hallelujah...mafundisho ya maana sana kwa kanisa ...nimefaidika. Amen
Praise God The Most High
glory to you holy name 🕊
Thank You Apostle Mtalemwa 🙌
Ameen, Napokea urithi mpya wa kiroho na kimwili katika Kristo Yesu, Kwa damu yake inenayo mema ika nene mema juu ya magonjwa ktk familia yangu na mimi mwenyewe,Umaskini na roho za kucheleweshwa.Ikazae afya,utajiri na mpenyo ktk kila mipango na malengo yangu na familia yangu.
Amen
Amêm! Nimepona sana
Amen baba nimepitia kwa jina nilio itwa nakombolewa kwa jina la yesu
Nakataa roho ya kurithi , nifunguliwe kila eneo la maisha yangu, kuanzia leo niwe huru, Barikiwa Sana Apostle 🙏🙏🙏
Mungu atufuñgue
Powerful teaching God bless you
Am blessed daddy
Amen
Mwakore maana ndakutegeza cane ndewe
Amen ,Nakataa roho za urithi kwa maisha yangu katika Damu ya Yesu kristo
Eh Mungu nifungue mpaka nimefunguliwa completely, KILA urithi usionekana ambao ni mbaya kutoka kwa babu zangu naukataa KWA JINA LA YESU, Nakataa kubeba style zao za kuishi ambazo hazikupendezi Elohim , Apostle Mtalemwa, Thank You for Serving Us. I'm delivered
AMEEN AMEEN AMEEN
Utukufu kwa mungu kijiti nimeipokea kwa imani na tumaini
Amen Baba kwa ufunuo huu
WACHAGA wote tupo Ninafuatilia neno la Mungu nikiwa KENYAA.
AISEEEE NGIIKIA MUURII WA ROHO SHO TIKI NGIWONIKE USHYA
Katika Kristu tuna Uridhi Upya... I received it in The Holy name of Jesus Christ.. Shalom
Tumsifu Yeu Kristo Apostle. Neno la Mungu lasema, bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake
Kweli kabisa knowledge is power
Mungu yupo
Nakataa roho ya kurithi kwa jina la yesu.
😢😢 nashangaa naomba sifunguliwi kwa hyo ni Kwa sababu sitoi sadaka
Amen baba nasubiri mafunzo ya msiba na makaburi
Jamani apostle naomba uniombee ,hili somo limenifungua nimegundua kwenye familia yetu kuna roho ya kusema uongo kwa Dada zangu na kaka zangu yani akikwambia kitu cha uongo utadhani ni ukweli na ni wote kwenye familia hata Mimi ingawaje naomba kwa ajili ya halo hiyo Mungu aondoe kila urith
Namshukuru Mungu amekutumia Apostle, leo nilikuwa najiuliza maswali mengi juu ya mambo mengi yamenizunguka ya urithi mbaya wa familia,namshukuru Mungu nilipoingia tu utube nikakutana na hili....leo nimefunguliwa Mungu akubariki Apostle.
Asante kwa mafundicho, Mungu anitoshe katika urithi mubaya ya kifamiliya n'a maisha.
Mungu akubaliki mtumish wa mungu akika umenigusa sana
Hallelujah
Hakika mtume unafundisha.Mi siabudu kanisani kwako lakn unanivusha kwa mafundisho yako.Mungu akuinue zaidi.
Kanisa hili liko wap?
hallelujah
Walai uku sihami najifunza mambo ya ya mungu
😢😢dah nateseka na mizimu naswali weee bila msaada
Napokeq utajiri wa utajiri wa utukufu
Kanisa liko wapi???
Amen🇰🇪
AMEN
Ufunuo ju ya ufunuo!! Comme c'est ce édifiant !
I receive the new inheritance of Christ! Amen
SAWA MTUME UKO DEEP SANA,MIMI NIMEPOKEA MAFUNUO MAKUBWA SANA
Maroho ya urithi nakataa asira talaka uchungu kukataliwa navuka leo
Praise the Lord🙋♀️🙋♀️ASILI NI CHANZO CHA UANGAMIVU MKUU WETU🤦♀️Mungu endelea kutupa UFAHAMU TUFUNGUKE🙌🔥🙌🔥🙌
Nina urithi mpya kupitia yesu kristo na ahadi za ibrahimu
First view