Maashaa Allaah Shekh Muhammad Bachu Allaah akuweke na akuzidishie maarifa ktk Dini. Kwakweli una wazindua wengi, na ki uhakika wewe ndie unae fanya inswaaf na uadilifu ktk Da'wa, na Mashaayikh mfano wako. Unacho kipinga kwa ndugu zetu masalafi una hoja nyingi tena nzito za kupingia, na ndiomana uwezo wa kujitetea kielimu kwa vitabu vya maulamaa hawana. Na unabainisha nukta maalumu kwenye nukta hizi wanaharibu kweli Da'wa. Lakini wao ndugu zetu wanakuangusha moja kwa moja hakuna sehemu watakutaja vizuri, pamoja na mchangu mkubwa ktk Da'wa ulio nao. Hapa napata tabu sana kwa hawa ndugu zetu, najiuliza ivi nikweli wanayaitakidi nyoyoni mwao maovu haya au ndio sera ya chama cha ujadida, hatakama wajua kheri nyingi za mtu lkn kwa vile kushaamua asiwe ktk swafu yenu, basi ni kumponda na kumsema vibaya tu, na kumtahadharisha!!! Kwakweli Shekh Muhammad uko juu sana Maashaa Allaah, na Allaah hawezi kukuacha mkono, kwa sbb uko kwenye Sunnah na uadilifu mkubwa ulio nao. Allaah akuzidishie.
Eiwah Alhamdulillah naskiliza masheikh wote bila kinyongo km kna la kheri nachukua km kuna sintofaham naulizia kwa sheikh nnae muamin zaid. Allah atuongoe
DAH ALLAH AKULIPE SHEKHE WANGU KIPENZI, KWAKWELI HATA HATUJUI TWENDEPI SISI WANAFUNZI MANAKE MPAKA TWACHANGANYIKIWA, KILASHEKHE ANAJITUKUZA YEYETU NA WALE WANAOMUUNGAMKONO WENGINE WOTE MAHIZBI DAAH MWATUVURUGASANA KWAKWELI.
قال الشيخ ربيع المدخلي حفظه الله تعالى " فأهل الحق هؤلاء الذين نعرف منهم الصدق والإخلاص ونعرف أنهم راجعون إلى الحق هؤلاء ولو أخطأ الواحد منهم فله عندنا منزلة ولا يضره ذلك"
akiwaraddi ndio atakua salafi? au ndio mtamkubali na kutubia na kutarajaa makosa yenu? mcheni Allah mambo haya ndio walifanya waovu zama za manabii waliwaomba miujiza na swali likawa moja tu je ikiletwa io miujiza mtaamini? sasa na nyinyi na mashekh wenu mwambien bachu waraddi alhajar ukiwaraddi tutaacha ujadida
*Nimekuwa nikifatilia video mbali mbali mtandaoni, hapa kwa Sheikh Muhammad Nassoro Bachu nimegundua watu wengi wanamshauri Muhammad Nassoro Bachu asiwakosoe ( Raddi ) Masheikh wakati wanafatilia kwa wingi sana na wanajifunza kwa uharaka zaidi. Lakini hao hao wanaomkataza kwa wingi wa comment hauwakuti kwenye video za Darasa za Kiarabu wakisifia darasa za Sheikh au kuuliza maswali kwaajili ya kujifunza. Au kutuma swadaqa ili Sheikh aendelee kuwapa faida watu mtandaoni. BINAADAMU BWANA*
@@MohdJuma-w6l kinachonishangaza zaidi wanapinga sana darasa hizi za Raddi wakati ndizo wanazielewa kwa haraka na wanazifatilia kwautulivu mwanzo mpaka mwisho. Zile darasa zisizona mifano halisi ya matukio hata kuzibonyeza waangalie hawabonyezi
Binafsi niseme tu BACHU Ni tole modal wangu na natamani nikachujue ilmu kwake kwasababu ,ni mtu anayetoa ilmu kuelimu na sio kueneza itikadi ,hata wema waliopita hawakuwa hiv ,japo zikitokea ihtilaf
Kundi lao majadida limeanguka ghafla sana😂 Piga kazi sheikh Bachu watu wanaamka alhamdulillah. Allah akuhifadhi na akutie nguvu zaidi na akufungulie maarifa zaidi.
ABUUU ISMAIL aliwah kusema kuwa wanafunzi wa kasimu mafuta SIKU wakijua kusoma vitabu vya maulamaa watawaludii tuu na kwer Leo nimeanza kuona Kwa hyu kijna mtoto wa shkh bachu
Allah atulinde waislamu, apa ambao elim zet zipo chini lazm tuchanganyikiwe ikhwaa jambo la umuhimu woote kaeni chini na vitabu tena bila ya kurusha na kuanza kufanya marekebisho ya pamoja ya itikad sahihi
Na kuna kitu utumwa wa kiakili, ukiangalia utakuta huu utumwa wameanza kuukubali hao mashekhe zao kwanza, wamekubali kua watumwa wa fikra za shekh rabii na mfano wake, nawao ndiomana wanataka kuwafanya watumwa wanafunzi wao na kuwamiliki kimawazo kama walivyo milikiwa wao. Na ndiomana kuna kheri nyingi wamezikosa ma baraka za Allaah
@@AlmasAbdallah-r3g salafia jadida wapo ndo ao wanopetuka mipaka et katka kulingania ,wanamuita mtu kuwa ni mtu wa batil ilhali hawan ushahid unaotosheleza kumuita mt hivo
@@muhamadkhalid4976sas kijanaa usojielewa wala usotaka kusoma unaetafta ushabik usojua mwanzo wala mwisho wa jambo lilivo ikiwa hio ni salafia jadida hio salafia kadima ni ipi mana hao mashkh zko hawana majib ktk hili bali wengine wanamajina mengine saiv kma wanatarajaa silence sas we uloshika kamba ya ukaid mana nna hakika huna ata moja ujuao yaezekana ni mshabik wa maskan tu tuwambie salafia kadima ni ipi km una majibu au tafta mwalim wko km unae akufanyie talbis uje ujibu
Hawa majadida wengine bora tu tuwatazame tu, kumbe vijana wa kisalafi wengi ni mbumbumbu na wafuata mikia tu. Hebu ajitokeze mmoja aje na hoja Shekh Muhammad Bachu anataka kuiangusha Da'watuusalafiyya kwa moja mbili tatu
Wallah juzi darsan kauliza shekh Kuna kitabu kimeandikwa na shekh ambae hawampendi sasa anaulizwa je naweza kukitumia au kukisoma shekh anamwambia tumia vitab vingine mbona vipo vingi lkn ukimuuliza nipe kosa ktka hiki kitabu anamwambia mwandish amepinda
Haya yanayozungumzwa ni ya hakki na ndio maana kila anaekuja kumtetea mafuta harudi tena kama muhameddi mafuta na dilele angekuja kasimu mwenye tukajua mbichi na mbivu ili mamb yaendele yeye hajabeba dini aje dini itaendelea asije dini itaendelea kama tulivyo letewa ndio tutakavyo waachia wenzetu njia sahihi ya uislamu
She sembe anasema niwajibu masheikh kujibu maswali yanao wahusu mbona kasim mrjifu hajibu maswali ya picha na yanamuhusu?!! Kwa mwenye akili atajuwa she sembe kampigaradi kasim murjifu😂😂😂😂😂
Hao ndo salafii, nguvu yao kubwa wameipeleka kwenye kuparaganyisha tu Waislam, kila mmoja nibora kuliko mwenzake, na haifai hata kumsiniliza, Hivi kweli wanania safi na Uislam hawa?
Nimegundua TABU zenu zooote mumekosa Sehemu ya kuchukua Dini yenu. MTUME AMEUSIA QUR'AN NA AHLULBAYT.....HEBU RUDINI KWENYE WASIA WA MTUME, UGOMVI UTAONDOKA. QUR'AN NA AHLULBAYT -HAVITENGANI MPAKA VIRUDI KWA MTUME
Hakika kama bado mtu ni mjinga bas atapata shaka katika msimamo wake kwa maneno ya huyu bachu , kwan anaongea sana lakn maneno yake yana talbis sana ila inahitaji ufahamu sana ndio utaelew. Kam we ni mwanafunzi emb nikupe kidog ktk yale anyojichanganya; eti anaulizwa swali ; unatumia kigezo gani, kwani huyo aliyesema haifai kumsikili abulfadhwl na wengine katumia kigezo gani? na hata kama vigezo vikifanana haiwezekani wote wakawa saw ila mmoja atakua sahh na mwengine atakua hayuko saw na mwenye ufaham ndo atajua hilo, mfano mzur hata watu wa maulid wanazitumia zinazopingana na maulid kuyatetea maulid wakat huo masal wanzitumia aya hizhizo kuyapinga maulid haya nambie wao wametumia kgezo gan na masalaf wametumia kgezo gani lakin yupo aliye sahh na yupo asiye sahh , wanlifaham hilo wale wenye ufaham kadhalik jambo lingine Imam Abuu Qilaba al-jarmiy alipotaja mfano wa ahlul- ahwaa katka zama zake haimanish ndio ukomo kua ndio hao pekee bali ahlul-ahwa ni weng husasan katika zama zetu hiz na zinafahamika hali zao, na manen si ya imam Abuu Qilabah pekee bali mane hayo wamezungumza wanachuon weng na makundi ya watu wa matamanio ni mengi na maneno ya wanachuon yanafanya kazi katik zama zote kwa mujibu wa zama na hali za watu, ukiwa mtu wa matamanio w ni mtu wa matamanio tu ila uache. Hivyo Bachu anajichanganya sana embu ikhwaa tusomen tutaijua haki na aliye katika haki inshaallah.
Si utumwa wa fikra wewe si katika watu waliosimama katika haki...masufy ndo marafik zako...mahiz.nk...wala si utumwa wa fikra bali ni kuilinda dini yetu sbb si kila mtu apaswa tegewa masikio...wengine amueleweki na sisi hatujatekwa na utumwa wa fikra bal hii ilmu lazima uangalie wapi wachukua si kuzoa mitandaon kwa kila mtu mfano wa ww...mm kiufupi siwasikiliz mahizb marafik wa masufy.
Kasumba hii wapeni watoto wenu wa chekechea, ila nikuulize ,kama hii Dini waijua kweli na wafahamu Assalaf maisha yao yalikua vipi, hebu tupe usawa wa majadida, na makosa ya hao munao waita Mahizbi. Hebu tuneshe ni wapi wametengeneza majadida, na niwapi wameharibu mahizbi. Niwapi majadida Da'wa yao ime leta athar na muamko mkubwa wa watu kusimama ktk maadili ya Kitabu na Sunnah juu ya fahamu za wema waliopita, na niwapi mahizbi wameleta majanga na maafa kwenye hili, kwa sbb ya mahizbi watu wakazidi kua vipofu kwenye Shirki na Uzushi, na ubaya wa tabia, na muamala mbaya baina yao? Ni nani ana elimisha, na ni nani anae wafunga watu akili kati ya majadida na mahizbi hawa tunao wajua, Shekhe Qassim Mafuta, Shekh Sembe, Duktoor Islam, na Shekh Muhammad Bachu. Lete maneno
Huyu jadida niwale gredi ya mwisho ktk ufahamu ukisikia muozo uvundo ndio gredi hii,maana hawa jadida wako aina nyingi mno,ya1-mguu ndani mguu nje(unafiki), ya2- wanajuwa wamepotea lakini watatokaje?na wamesha tukana vya kutosha?!! Ya3-niwale hawajitambui wamekaangwa wakakauka hawawezi kulainika kwa ukweli wowote kutoka kwingine maana funguo zao za akili zimeshikilwa na mashekhe zao masheikh ni rimoti wao ni tivii😢😢
Sheikh muhammad wallah kuna huyu upepo yaan naona anakutafuta sana na leo ametoa video anakwita majina mabaya na ametoa swal ktk clip yake anataka jibu kutoka kwako nahis anakutafuta kiundan na mada aloigusia yafaa umjibu ukipata muda InshaAllah
Subhaana lmaliki itaqi rabbaka mchemola wako weye wacha kwongea kwenye mitandao Mambo yaurongo usiongee kuwafrahisha watu tambua haya yote unoandika utayakuta siku ya qiyama
Ww hizoo shubha za watu walopinda na miongoni mwenu katika wao, answari sunnah ulamaa wamewatowa katika usalafi, wamepinda kiman hajji sasa ni watu wa bidaa tuuh! Shekh Albani shekh muqbuli shekh rabee, na shekh Amani ljamii wameona kupinda kwa answari ni watu wa makundi
@HassanIddy-v1b aixee we jamaa tafuta ilmu acha ushabiki, kama mpk leo upo katika man hajji mseto, huelewi na unahisi upo katika sunnah, hatari xana si wenzio tulikuwa answari sugu kama ww, tukijita answari sunnah kumbe answari bidaa, taasubi mwisho tukaziweka kando tukafata hakki,hivi shekh Abul fadhil, uje ulminganishe na huyu kasuku, wa Zanzibar, bachu?? Kaokoteza ilmu humu humu, kiwango chake ni thanawi ndo alikoishia bachu, shekh abulfadhili amesoma Yemeni kwa shekh muqbuli, alama mkubwa wa ahlsunnah zama hizi, akaenda jamia islamiya kasoma kwa shekh ubeid ljabir, karudi kwa shekh rabeey, hivi umfananishe na kifaranga chenu mropokwaji huyo bachu mbona bado xana
Maashaa Allaah Shekh Muhammad Bachu Allaah akuweke na akuzidishie maarifa ktk Dini.
Kwakweli una wazindua wengi, na ki uhakika wewe ndie unae fanya inswaaf na uadilifu ktk Da'wa, na Mashaayikh mfano wako.
Unacho kipinga kwa ndugu zetu masalafi una hoja nyingi tena nzito za kupingia, na ndiomana uwezo wa kujitetea kielimu kwa vitabu vya maulamaa hawana.
Na unabainisha nukta maalumu kwenye nukta hizi wanaharibu kweli Da'wa.
Lakini wao ndugu zetu wanakuangusha moja kwa moja hakuna sehemu watakutaja vizuri, pamoja na mchangu mkubwa ktk Da'wa ulio nao.
Hapa napata tabu sana kwa hawa ndugu zetu, najiuliza ivi nikweli wanayaitakidi nyoyoni mwao maovu haya au ndio sera ya chama cha ujadida, hatakama wajua kheri nyingi za mtu lkn kwa vile kushaamua asiwe ktk swafu yenu, basi ni kumponda na kumsema vibaya tu, na kumtahadharisha!!!
Kwakweli Shekh Muhammad uko juu sana Maashaa Allaah, na Allaah hawezi kukuacha mkono, kwa sbb uko kwenye Sunnah na uadilifu mkubwa ulio nao.
Allaah akuzidishie.
@@OmarAlly-iz8ot
Ameen JazakaAllaahu'khayran
Eiwah Alhamdulillah naskiliza masheikh wote bila kinyongo km kna la kheri nachukua km kuna sintofaham naulizia kwa sheikh nnae muamin zaid. Allah atuongoe
Mimi nachukua ilmu POPOTE ,baya naacha ..hili suala la kuwapa faida Watu wa pembeni Kwa kugombana sisi wenyew sioni Kama ni sahihi
Huwezi kubaini haqqi na batwil kama elimu yako ni ndogo hiyo ndio maana mnaambiwa msiwasikilize watu wa batwil ili msije mkapotezwa na shubuha zao
Masha Allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 Allah ukupe umri mrefu wenye baraka na manufa sheikh Muhammad nassor bachu uhibuka fi Allahi
Ameen JazakaAllaahu'khayran
Msikikize mtu Kwa kupata faida lakin sio ushabiki,kwasababu unampenda tu shekh Fulani ,chukua ilmu
Allwah akupe maisha marefu tuendelee kujifunza. Na hata wanafunzi wa maswwafika sasa wameanza kujifunza kupitia wewe sheikh Muhammad.
@@salehrashid-fx9rq
JazakaAllaahu'khayran Sheikh
Brother Allah akuhifadhi watetea haqi na waibainisha
Wafungue mabongo yao
@@HudheifaAthman
Ameen JazakaAllaahu'khayran
DAH ALLAH AKULIPE SHEKHE WANGU KIPENZI, KWAKWELI HATA HATUJUI TWENDEPI SISI WANAFUNZI MANAKE MPAKA TWACHANGANYIKIWA, KILASHEKHE ANAJITUKUZA YEYETU NA WALE WANAOMUUNGAMKONO WENGINE WOTE MAHIZBI DAAH MWATUVURUGASANA KWAKWELI.
Tunakupenda sana sheikh wetu kwaajl ya Allah
@@OmarJuma-bk9wl
JazakaAllaahu'khayran Sheikh
Mm nimgeni katika chaneli Yako lakini kusema kweli nimetokea kupenda vipindi vyako sheikh Allah akurehemu na aturehemu na sisi
قال الشيخ ربيع المدخلي حفظه الله تعالى " فأهل الحق هؤلاء الذين نعرف منهم الصدق والإخلاص ونعرف أنهم راجعون إلى الحق هؤلاء ولو أخطأ الواحد منهم فله عندنا منزلة ولا يضره ذلك"
منْ هو ربيع المدخلي
@Kzm-c9 هو حامل لواء الجرح والتعديل بنسبة كلام الشيخ ألباني رحمه الله تعالى
@@muhammadnassibu7706
ههههه الحمد لله الذي عفا المسلمين مما ابتلاكم به
@@Kzm-c9u ونحن نحمد الله الذي عافانا منكم ونسأله أن يثبتنا على هذا المنهج المبارك!!
@@muhammadnassibu7706
أناْ لسْتُ في شكٍّ على ديْني وأعْرف أيْن أضع قدمي وأعرف أقدار العلماء ولكِن لا يحملني ذلك إلى رفْعِهم فوف منزلتهم
Kiboko ya Salafia Jadida ni Sh Muhammad Nassor Bachu.
Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah
Uyo n kiboko wa bibi ake ukoooo
HasbunaAllaahu'Wanaymal
Allaah Amhifadhi Sheikh Muhammad Nassor Bachu.
JazakaAllaahu'khayran.
Simba wa Afrika Mashariki na kati.
Hao wanafunzi Allah awaongoe wazid kuiona haqi mana Sheih Muhammad anaeleza mambo kwa ushahid mpaka nafsi inatulia ☺
Akimaliza mwambie akawaradd al hajar tv wazee wa anasheed
Swadakta kabsa
hasubutu ta sku moja
akiwaraddi ndio atakua salafi? au ndio mtamkubali na kutubia na kutarajaa makosa yenu?
mcheni Allah
mambo haya ndio walifanya waovu zama za manabii waliwaomba miujiza na swali likawa moja tu je ikiletwa io miujiza mtaamini?
sasa na nyinyi na mashekh wenu mwambien bachu waraddi alhajar ukiwaraddi tutaacha ujadida
Uko sawa
Wallahi sheikh wangu nakupenda kwaajili ya Allah
Mungu akuhifadh muhammad bachu ww na wazazi wako Aminii
@OmarRashid-f9l
Ameen
*Nimekuwa nikifatilia video mbali mbali mtandaoni, hapa kwa Sheikh Muhammad Nassoro Bachu nimegundua watu wengi wanamshauri Muhammad Nassoro Bachu asiwakosoe ( Raddi ) Masheikh wakati wanafatilia kwa wingi sana na wanajifunza kwa uharaka zaidi. Lakini hao hao wanaomkataza kwa wingi wa comment hauwakuti kwenye video za Darasa za Kiarabu wakisifia darasa za Sheikh au kuuliza maswali kwaajili ya kujifunza. Au kutuma swadaqa ili Sheikh aendelee kuwapa faida watu mtandaoni. BINAADAMU BWANA*
Duh umejuaje😢😢 wengi wao watafuta udaku2
@@MohdJuma-w6l kinachonishangaza zaidi wanapinga sana darasa hizi za Raddi wakati ndizo wanazielewa kwa haraka na wanazifatilia kwautulivu mwanzo mpaka mwisho. Zile darasa zisizona mifano halisi ya matukio hata kuzibonyeza waangalie hawabonyezi
Allah Amuhifadhi Shekh wetu
@@MkweliMediaTV Allahumma Aammiyn
Misingi ya misimamo hii sio kusoma ni fujo tu
Uyo Hussein sembe hana adabu kabisaa
Sheikh Muhammad bacho ni kiboko wa majadidah
Shekh Hussen Sembe Adabu yuko nazo, ujadida tu ndio tatizo,
*MASHAALLAH ALLAH akuzidishie kheri na afya uzidi kutoa elimu*
@@saidimkwinzu9106
Ameen JazakaAllaahu'khayran
@jamalsaid7475
الهم امين وإياك
Binafsi niseme tu BACHU Ni tole modal wangu na natamani nikachujue ilmu kwake kwasababu ,ni mtu anayetoa ilmu kuelimu na sio kueneza itikadi ,hata wema waliopita hawakuwa hiv ,japo zikitokea ihtilaf
Maasha Allah akhy Allah akuhifadh na fitna akujaalie ktk sunnah iliyo sahihi ya amesem Allah na mtume wke pmj alhlul elmu aamin
Jazaakallahu Khairan duniani naakhera tumekufahamu vizuri
Mashllah muhammad bachu ni kiboko yao mpaka ust malemba amekimbia😂😂
😂😂😂😂
@@الحمدللهعلىنعمةالإسلاموالإ-ق2ح
Swadaqta.
Alhamdulillah JazakaAllaahu'khayran.
Sembe analalamika wanafunzi hawana vifua watawakimbia😂😂😂
Allah amuhifadhi shekh Mohammed bin bachu ameshika nafasi ya shekh abuu Muawiyah kutubaanishiaa ukweli
Allah akuhifadhi Sheikhe wangu
Allah atuhifadh, na kwa mifumo ya kutupiana mbali having basi huweza kuleta Shari na kupoteza watu wengi kuachana na manhaji hii sahihi asalafiyy
Mitandao ya kijamii iwe chanzo cha kujenga manhaj imara na sahih
@@kazunguhilali
Ameen
Allah asamehe pale ulipoteleza amin
Kundi lao majadida limeanguka ghafla sana😂 Piga kazi sheikh Bachu watu wanaamka alhamdulillah. Allah akuhifadhi na akutie nguvu zaidi na akufungulie maarifa zaidi.
SHK Muhammad unarusha kwa nguvu bana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Mawe hayaa yanaumizaa sanaaa kweli😂😂😂😂😂
Acha wazibuliwe wameyataka😂😂😂
Ok
Safi sana sheikh wangu nilijuwa TU hii siku itafika
sheikhe tuko pamoja nawew
allah akuifadhi
@@shekhekalulushekhekalulu833
Ameen JazakaAllaahu'khayran
Mashaallah alakhy bachu
JazakaAllaahu'khayran Sheikh Muhammad Nassor Bachu Allaah Akuhifadhi kutokana na Hasadi na Jicho Baya na Chuki za watu
ABUUU ISMAIL aliwah kusema kuwa wanafunzi wa kasimu mafuta SIKU wakijua kusoma vitabu vya maulamaa watawaludii tuu na kwer Leo nimeanza kuona Kwa hyu kijna mtoto wa shkh bachu
Allah atulinde waislamu, apa ambao elim zet zipo chini lazm tuchanganyikiwe ikhwaa jambo la umuhimu woote kaeni chini na vitabu tena bila ya kurusha na kuanza kufanya marekebisho ya pamoja ya itikad sahihi
اللهم اهدنا الصراط المستقيم
Jazaakallahu khaira
@@KhalfanMassoud
Ameen
Tupo pamoja Shekh letu Bachu
Abuu kilaba bachu bana 😂
Anyway ALLAAH akujaze kheri nakukubali sana kamanda wa radd za kielimu .
Shukran ❤❤
Na kuna kitu utumwa wa kiakili, ukiangalia utakuta huu utumwa wameanza kuukubali hao mashekhe zao kwanza, wamekubali kua watumwa wa fikra za shekh rabii na mfano wake, nawao ndiomana wanataka kuwafanya watumwa wanafunzi wao na kuwamiliki kimawazo kama walivyo milikiwa wao.
Na ndiomana kuna kheri nyingi wamezikosa ma baraka za Allaah
Oko sawa ndugu
BACHU UPO SAHIHI 100%, ILA NA WAENDELEE KUKUCHUKIA IVO IVO
*Eti jaman ukinywa energ si salafi?*
Shekhe Allaha akuzidishiye elimu utusomeshe inshallah
@@mbwanahussen2950
Ameen JazakaAllaahu'khayran
Allah akuhifadhi
Sheikh Muhammad tuko pamoja wagaragaze ao masalafia jadida
Kabisa
Unajua kama Bachu mwenyewe saivi kashajua kuwa hakuna salafiya jadida?? Alikua na huo ujinga lakini saivi kaanza kuelewa.
@@AlmasAbdallah-r3g salafia jadida wapo ndo ao wanopetuka mipaka et katka kulingania ,wanamuita mtu kuwa ni mtu wa batil ilhali hawan ushahid unaotosheleza kumuita mt hivo
@@muhamadkhalid4976sas kijanaa usojielewa wala usotaka kusoma unaetafta ushabik usojua mwanzo wala mwisho wa jambo lilivo ikiwa hio ni salafia jadida hio salafia kadima ni ipi mana hao mashkh zko hawana majib ktk hili bali wengine wanamajina mengine saiv kma wanatarajaa silence sas we uloshika kamba ya ukaid mana nna hakika huna ata moja ujuao yaezekana ni mshabik wa maskan tu tuwambie salafia kadima ni ipi km una majibu au tafta mwalim wko km unae akufanyie talbis uje ujibu
@muhamadkhalid4976 Lakini mwalimu wako Bachu anapinga hilo hakuna salafiya jadida saivi kahamia kuita swaafiqah muulizeni kwanini kaacha kuita jadida??😁😁😁
Mashaallah wachape hivo hivo
Ulimwengu huu salafi hujui kutumia internet kunufaisha ummah, ni uzwazwa huu.
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Allahumma ghfirli ummati Muhammad swalla Allahu aleihy wasallam ☪️
Shukran sheikh
Hawa majadida wengine bora tu tuwatazame tu, kumbe vijana wa kisalafi wengi ni mbumbumbu na wafuata mikia tu.
Hebu ajitokeze mmoja aje na hoja Shekh Muhammad Bachu anataka kuiangusha Da'watuusalafiyya kwa moja mbili tatu
Sisi tunakuelewa endelea mbele hoja wameshaishiwa ndo maana wanazuiana kusikiliza
أسأل الله أن يرفع درجتك❤❤
ALLAH Akubaarik
@@yasirsaid8464
Ameen JazakaAllaahu'khayran
UTUMWA WA KUKUMILIKI KIFIKRA,, naam upo sahihi sana juu ya hilo.
Wallah juzi darsan kauliza shekh Kuna kitabu kimeandikwa na shekh ambae hawampendi sasa anaulizwa je naweza kukitumia au kukisoma shekh anamwambia tumia vitab vingine mbona vipo vingi lkn ukimuuliza nipe kosa ktka hiki kitabu anamwambia mwandish amepinda
اسعد الله أوقاتكم بكل خير والبركة
Mashallah, Allah akulipe kheri.
@@nassorally2441
Ameen JazakaAllaahu'khayran
Mimi ni mjadida lakini akili yangu Iko huru sikubali kabisa kuburuzwa na yyte
Kama hukubali kuburuzwa na yeyote, umekua vipi jadida?
@@OmarAlly-iz8otkwasababu yuko na majadida
@@OmarAlly-iz8otunajua kuburuzwa ni kupi?nikupe mifano
Nakuunga mkono usiburuzwe kama hao wasela waliokubali kuburuzwa😂😂😂😂
Sheikh piga kichwani bado wanapumua 😂😂😂😂😂
😂😂,😂
🤣🤣🤣🤣🤣💪🦾🤸akiwapa mapigo haya hawapumui tena😊😊
Hakuna shaka
Kwamba
Bwana mafuta kashaanguka
Hata akizungumza jambo
Tofauti ma zamani
Watu hawamfuati
Hata akimtahadharisha mtu watu hawaskilizi
Sio kweli .....
Nikweli tupu,hii ni kawaida ya الله anapojinyanyu yoyote allaah humshusha
Waelemishe hao wanyooshe vizuri waache hizo fikra
Ukimaliza hapo uwaambie Al ajar TV waache kupiga ANASHID.
Amwambie pia swahib wake imam wa masjid quba jadid mombasa atoe jamatul tableegh mskitini kwake
Nanyinyi swa'aafiqa,mwambieni murjifu mafuta aache uhuni ktk dini
Acha kutukana wew Bachu
Wewe anko issa,we nimwehuuu au?😢
Huyu bachu ndo salafi anafichuwa uovu ktk fikra za walimu wetu na kuziweka wazi kwa wanafunzi
Shukrani kaka kwa kulitambua hilo
MASHAALLAH
Sasa huyo si ni hizbi mwenzako
Allah ataibainisha haqi inshaallah
Haya yanayozungumzwa ni ya hakki na ndio maana kila anaekuja kumtetea mafuta harudi tena kama muhameddi mafuta na dilele angekuja kasimu mwenye tukajua mbichi na mbivu ili mamb yaendele yeye hajabeba dini aje dini itaendelea asije dini itaendelea kama tulivyo letewa ndio tutakavyo waachia wenzetu njia sahihi ya uislamu
Baraka Allahu fiikum....Almuhim kuhusu picha inajuzu kupiga pasipo dharura ama sio sawa kupiga?
She sembe anasema niwajibu masheikh kujibu maswali yanao wahusu mbona kasim mrjifu hajibu maswali ya picha na yanamuhusu?!! Kwa mwenye akili atajuwa she sembe kampigaradi kasim murjifu😂😂😂😂😂
Walaikum salam
Sembe kashaiva sasa bado haji upepo apepea pepea kwa mbaliiiii
Bachu uyo Abuu Hatim Allah amhifadhi. Haumuwezi kielim utapotea ulizz wenzako
Ww unaonekana hii mijadala umefatilia juzic
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ebu mwambie achomoze uso wake aone kitacho mkuta, kama atakuja na ujadida wake
Kasim mafuta mwenyewe kafunga bakuli lake atakuwa huyo kifaranga😂😂
MAASHAA ALLAH
jamani ni elimu gani hiy ya kuangalia madhaifu ya wezako tuu jman hem mche mungu sheikh
Tafuta elimu kwanza, ndio utamuelewa huyu sheikh anaongea Nini?
laayaalamuna ww tafta elmu kwanza ndo utajuwa hili
Du,kunawatu vichwa ngumu😂😂Yani wewe Bado hujajuwa kinacho kusudiwa hapa??!😊😊
Maneno ya bachu kuwa na hikma na upendo kosowa kihikma
MUNGU WA MAWAHABI ANAVIUNGO VYOTE DUH
الرويبضة❗❗❗❗❗❗
Hao ndo salafii, nguvu yao kubwa wameipeleka kwenye kuparaganyisha tu Waislam, kila mmoja nibora kuliko mwenzake, na haifai hata kumsiniliza, Hivi kweli wanania safi na Uislam hawa?
Niwatu wa hovyo
Waalaykum salam warahmatullah
wabarakatuh
WEWE UNASHIRIKIANA NA AKINAMAZINGE AKINASHAFI NA WALIKUTEMBELEAGA HAPO HIZBI WEWE MBONA HAWAENDI KWA PONGWE CHIZI WEWE
Nyie mazinge mna mshinda nin amesilimisha maelfu ya watu ,nyie m akufurisha2 mtaenda kujibu siku ya mwisho
Bachu mi naona sasa wapumuzishe hawa masalafi hamishia kambi kwa mashia sasa
Usipende kupost picha ya Shekh Kasim
Kwanini
Lazima ipostiwe hatakama wewe chawa wake utakasirika,
Nimegundua TABU zenu zooote mumekosa Sehemu ya kuchukua Dini yenu.
MTUME AMEUSIA QUR'AN NA AHLULBAYT.....HEBU RUDINI KWENYE WASIA WA MTUME, UGOMVI UTAONDOKA.
QUR'AN NA AHLULBAYT -HAVITENGANI MPAKA VIRUDI KWA MTUME
Eeeee shia huku watafuta nn?
HAAA
KUMBE MUDI KUMBE WEWE HUFAI KISIKILIZWA WEWE NA GENGE LAKO MIMI SIKU SIKILIZI WEWE MUDI BACHU
Majadida mmefungwa akili
Ndo mnapofeli
Ulipoona shkhe wetu hkujibu unparamia kina shkh Nufaida
Kasim atajibu Nini?😂 Mavi yanagonga chupi😂😂😂😂
th-cam.com/play/PLjjoP2EP8CIAeXMMn_ckWoTYZvPNE0Owr.html&si=1UlBoG43h7ExBPf1
mashallah wakifungua tu wakiona niivi watakimbia mbio hawawez skiza ispokua fujo
FUNGUENII VITABU , ACHENII MATAARABU, BACHU NI MTU WA VITABU, mipasho hata wazaramo tunaiweza
@@mhrmahir3756mambo Ya miaka3 nyuma😂
Hakika kama bado mtu ni mjinga bas atapata shaka katika msimamo wake kwa maneno ya huyu bachu , kwan anaongea sana lakn maneno yake yana talbis sana ila inahitaji ufahamu sana ndio utaelew. Kam we ni mwanafunzi emb nikupe kidog ktk yale anyojichanganya; eti anaulizwa swali ; unatumia kigezo gani, kwani huyo aliyesema haifai kumsikili abulfadhwl na wengine katumia kigezo gani? na hata kama vigezo vikifanana haiwezekani wote wakawa saw ila mmoja atakua sahh na mwengine atakua hayuko saw na mwenye ufaham ndo atajua hilo, mfano mzur hata watu wa maulid wanazitumia zinazopingana na maulid kuyatetea maulid wakat huo masal wanzitumia aya hizhizo kuyapinga maulid haya nambie wao wametumia kgezo gan na masalaf wametumia kgezo gani lakin yupo aliye sahh na yupo asiye sahh , wanlifaham hilo wale wenye ufaham kadhalik jambo lingine Imam Abuu Qilaba al-jarmiy alipotaja mfano wa ahlul- ahwaa katka zama zake haimanish ndio ukomo kua ndio hao pekee bali ahlul-ahwa ni weng husasan katika zama zetu hiz na zinafahamika hali zao, na manen si ya imam Abuu Qilabah pekee bali mane hayo wamezungumza wanachuon weng na makundi ya watu wa matamanio ni mengi na maneno ya wanachuon yanafanya kazi katik zama zote kwa mujibu wa zama na hali za watu, ukiwa mtu wa matamanio w ni mtu wa matamanio tu ila uache. Hivyo Bachu anajichanganya sana embu ikhwaa tusomen tutaijua haki na aliye katika haki inshaallah.
Jahhhil kubwa wewe unataka uichafuwe DAAWATU SALAFIYA hutaweza maisha yako yote wewe
Daawa au wahuni tu nyie
Kapigeni picha uko
Musitutoe Katika reli tunamtaka murjifu qassimu mafuta atoe Bayani kuhusiana na mapicha yakeee
Huo sio usalafi huo ni uhizbi Salafy nyinyi mumemfanya usalafi ni kikundi
Anayepinga daawatusalafiya ni hzb,ukipingwa wewe aimaanish imepingwa daawasalafyya,ukibainishwa ukengeufu wako haimaanini umekosolewa usalafy,pumbavu
@@hafidhwajina6718 na leo wengi tumeijuwa dawa salafiya kupitia masalafi wa Tanzania sasa eti leo ni majadida acheni uhizbi ......
Si utumwa wa fikra wewe si katika watu waliosimama katika haki...masufy ndo marafik zako...mahiz.nk...wala si utumwa wa fikra bali ni kuilinda dini yetu sbb si kila mtu apaswa tegewa masikio...wengine amueleweki na sisi hatujatekwa na utumwa wa fikra bal hii ilmu lazima uangalie wapi wachukua si kuzoa mitandaon kwa kila mtu mfano wa ww...mm kiufupi siwasikiliz mahizb marafik wa masufy.
Apa unafanya nn kama husikilz😂
Punguza mdomo,, maneno yananukuliwa haya
Kasumba hii wapeni watoto wenu wa chekechea, ila nikuulize ,kama hii Dini waijua kweli na wafahamu Assalaf maisha yao yalikua vipi, hebu tupe usawa wa majadida, na makosa ya hao munao waita Mahizbi.
Hebu tuneshe ni wapi wametengeneza majadida, na niwapi wameharibu mahizbi.
Niwapi majadida Da'wa yao ime leta athar na muamko mkubwa wa watu kusimama ktk maadili ya Kitabu na Sunnah juu ya fahamu za wema waliopita, na niwapi mahizbi wameleta majanga na maafa kwenye hili, kwa sbb ya mahizbi watu wakazidi kua vipofu kwenye Shirki na Uzushi, na ubaya wa tabia, na muamala mbaya baina yao?
Ni nani ana elimisha, na ni nani anae wafunga watu akili kati ya majadida na mahizbi hawa tunao wajua, Shekhe Qassim Mafuta, Shekh Sembe, Duktoor Islam, na Shekh Muhammad Bachu.
Lete maneno
Sisi tunamsikiza kwa kuwa anavunja shubha zenu
Huyu jadida niwale gredi ya mwisho ktk ufahamu ukisikia muozo uvundo ndio gredi hii,maana hawa jadida wako aina nyingi mno,ya1-mguu ndani mguu nje(unafiki), ya2- wanajuwa wamepotea lakini watatokaje?na wamesha tukana vya kutosha?!! Ya3-niwale hawajitambui wamekaangwa wakakauka hawawezi kulainika kwa ukweli wowote kutoka kwingine maana funguo zao za akili zimeshikilwa na mashekhe zao masheikh ni rimoti wao ni tivii😢😢
Sheikh muhammad wallah kuna huyu upepo yaan naona anakutafuta sana na leo ametoa video anakwita majina mabaya na ametoa swal ktk clip yake anataka jibu kutoka kwako nahis anakutafuta kiundan na mada aloigusia yafaa umjibu ukipata muda InshaAllah
Na mm namuuliza sheikh wako elimu yake kaitoa wapi atuambie
Utapata faida gani@@mohdjuma3637
@@mohdjuma3637hili akijibu atuambie Marhaala ya ilmu yake mimi kweli nitampa heshima yake kihaqi
@@mohdjuma3637 namjibia Hilo elimu katoa Kwa walimu
Wewe wataka elimu au wataka madrasa yake?kweli wewe kichwa panzi😂😂@@mohdjuma3637
Sasa hiv kuna salafy wa mtwara,kuna salafy wa kariako,kuna salafy wa zanzibar,kuna salafy wa moshi na kuna salafy wa pongwe😂
😂😂😂😂
Wote masufi hao😂😂😂
Nimfrh hpo kweny neno baharia
Watoto wa mjini wanasema dingi la manyambisi masufi mbona watakoma?
Sheikh bachu mjadida wote tunakusikiliza na wengi tunakukubali ila tukiwa huku markazi hatuwezi ........
Subhaana lmaliki itaqi rabbaka mchemola wako weye wacha kwongea kwenye mitandao Mambo yaurongo usiongee kuwafrahisha watu tambua haya yote unoandika utayakuta siku ya qiyama
@@AllyMahmoud-m6v:mwenyewe kathibitisha hilo wewe unakataa hivi niskili hiyo😂😂
@@HassanIddy-v1b haya iko siku utalipia kwa huo urongo unowazushia watu
nikicomment khalid atanuna 😅😅
في القرن الثالث هل كان فيه أشاعرة وماتريدية ، والمأولة والمفوضة؟ يظهر والله أعلم أن الكتاب الذي سميته (عقيدة السلف) للمتأخرين.
Wachape kisawasawa لعلهم يرجعون huwenda wakarudi kwenye haki
Ww hizoo shubha za watu walopinda na miongoni mwenu katika wao, answari sunnah ulamaa wamewatowa katika usalafi, wamepinda kiman hajji sasa ni watu wa bidaa tuuh! Shekh Albani shekh muqbuli shekh rabee, na shekh Amani ljamii wameona kupinda kwa answari ni watu wa makundi
Usijifiche kwenyemajani ya karanga ukadhani hamuonekani, hapa nimwendo wa vitabu ruduudi waambie hao mahizbi wenzako akina murjifu k,mafuta akina m,mafuta elimu ziro akina dilele,wajibu hoja hizi,siowewe kifaranga hata manyoya hujaanza kuota siutakunya wewe!!!
@HassanIddy-v1b aixee we jamaa tafuta ilmu acha ushabiki, kama mpk leo upo katika man hajji mseto, huelewi na unahisi upo katika sunnah, hatari xana si wenzio tulikuwa answari sugu kama ww, tukijita answari sunnah kumbe answari bidaa, taasubi mwisho tukaziweka kando tukafata hakki,hivi shekh Abul fadhil, uje ulminganishe na huyu kasuku, wa Zanzibar, bachu?? Kaokoteza ilmu humu humu, kiwango chake ni thanawi ndo alikoishia bachu, shekh abulfadhili amesoma Yemeni kwa shekh muqbuli, alama mkubwa wa ahlsunnah zama hizi, akaenda jamia islamiya kasoma kwa shekh ubeid ljabir, karudi kwa shekh rabeey, hivi umfananishe na kifaranga chenu mropokwaji huyo bachu mbona bado xana
@@HassanIddy-v1b
Swadaqta Sheikh
JazakaAllaahu'khayran
Waeka vitabu huku na huku kisha wachungulia katikati.😂😂
huku mlima na huku mlima
hilo nalo ni kosa? au ni uhizbi uo? au bidaa? au ujahil murakkab?
katikati patamu eee ndo mana mnachukia
ukiona ivo dawa inaingia
@@abumuadmahatmohamed 🤣🤣🤣🤣 sheikh Abdallah humeid aliniua Sana iyo😂😂😂
@@mhrmahir3756mipasho ya dilele hiyoo😂😂😂
@@xxy.1da,umepiga kwenye mbavu😂😂😂😂😂
Woyi n'a ra'di nyingi
Mnatandikana tu mlitikana mashekhe leo ndio mnageukana kma wanyama
Hahahaha eti sijapenda kuitwa sheikh 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Dalili ya unyenyekevu na ikhlasi ya huyu sheikh
@@HassanIddy-v1b Na ile kusema nyokonyoko dalili ya nini? Au zlkua adhkaar zile? Huyu ni jaahili2 kama majaahili wengine.
@@AlmasAbdallah-r3guna mdomo sana
@@AlmasAbdallah-r3g wewe jaahili kweli😂😂😂mbona nawe umesema hivyohivyo kwaivo na wewe ni dalili ya usho,,,,,,,,,acha ujinga swa'aafiqa jaahili