Asante kaka jumnanne .Kwa maoni yako .na nimefuraia nukuu zote .na ningekukumbusha point ya Ibada. Ni nzuri kama sisi Iman ya kislam inasema kufanya Kazi Ni Ibada maana na tunafata Sunna au njia za mitume.Hakuna mtume wowote aliokuwa akikaa misikitini Kwa ndani nabii Muhammad Saw aliokuwa mfanya biashara ;nabii daudi aliokuwa msonari;Musa mfugaji na kadhalika.
Nashukuru sana kwa mafudisho mazur kiukweli nilikuwa mtu wakuchelewa kulala lakini pia matumizi mabaya ya pesa lakini kupitia mafudisho Haya naamini naenda kubadilika tabia shukulan Mungu akupe maisha malefu by Izacck Lubinza
Asanteee kaka daah nimejifunza kitu mimi nilikua sijui ku save now najitahidi mungu akubariki in sha allah vyoote na vifanya ila.ku save tu ndio kitu kinachonishinda thank you nakushukuru umenivumbua nilikua sijui wap nakosea now nimetambua😊😊🌹🌹🌹
Mafunzo yako mazuri sana aisee kiukweli vijana wengi ibada kwetu ni shida sana na nikweli kabisa kutokufanya ibada ndio kunapelekea vijana wengi kujihusisha na mambo yasiyofaa.... Nimependa sana mafundisho yako..Mungu akubariki sana
Nashukuru kwa kutufunza mengi na pia kwenye ibada Ni vigumu sana Kama ulikua hufanyi ibada ukiwa na nguvu uje ufanye nguvu zikiwa zimekwisha aidha kwa ugonjwa au uzee
Ubarikiwe sana yaani nimejifunza mengi sana kupitia ushauri wako yaani mim ni mtu ambae nikikutana na kitu kama nina hela lazima tamaliza hata elfu hamsini akafu unakuta baadae naumia sana
@@successpathnetwork yote uloongelea inshallh nitaanza moja baad ya jingne coz huwa nafeli sana kwenye maamuz nawez pnga kitu kukifanya lkin maamuz yakukifany hcho nnachowaz nakuwa sna 😓😓😓😓
Thank you so much my Brother since I've started to follow your inspiration video I swear to ALLAH you've Change my Life Bro I'm so proud and grateful to you i usually repeats to watch your Video's every single day May ALLAH bless you n keep help other's Bro🙏🙏🙏🙏
Aamiin!!! Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!
Asante sana Kaka some hili LA mambo yakufanya ili nifanikiwe. Nimelifunza Mengi nitayafanyia kazi hasa kutwa na Aina y'a marafiki, kufanya saving na kuendelea kujifunza. Asante sana
Ndugu nimejifunza yale yote umezungumza kuanzia sehemu ya kwanza mpaka sehemu ya pili nami nakuhakikishia nitayafanyia kazi naamini ipo siku One dey nitakupa majibu juu ya mafundisho yako mazuri sijajutia kukusikiliza wala sijapoteza Mb zangu umezitendea haki Mungu akubariki kwa kazi nzuri ya kutuelimisha.....
Asante sana TYSON JOHN kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
Sorry it's difficult to write in swahli but I understand very well, thank you so much to lead my daily life coz I always watching and follow yo knowledges. Go on to shape me #ezden for #life
Kiukweli nimekuwa nikifuatilia sana video zako na zimenisaidia sana.sku izi huwa naamka mapema sana na kusoma mambo ya shule kiukweli nafanikiw kwa hlo thanks broo
Nashukuru sana kaka kwa kunlfundisha kwani nimeifunza mengi kama kuamka mapema asubuhi matumizi ya fedha kujiamini kuwa na mahusiano mazuri kwa waliofanikiwa kuzaazaa bila mpangolio nimengi sana kaka iliyoeleza mungu akubariki sana kwa huduma ambayo mungu amekupa ya kuifundisha jamii....!
Uko vizuri sana bro, nakufuatilia sna unatupa elimu kubwa sana
Nashukuru sana ndugu yangu
Nzuri inajenga ubarikiwe sana
Sawa kabisa somo.lako.nisahihi sana nitalifanyia kazi swala lakumeki pesa nakufanya ibada asante kaka mungu akubalik
Ubarikiwe sanaaa binafsi nimejifnza mengi sanaa na nitayafatilia
Ahsante kwa mafundisho!! 👍👏
Asante kakaangu Mungu azidi kukuongezea maalifa hakika nimejifunza vitu hapa sikuwa na tabia yakuweka akiba ,nikipata mshahara natumia wote,napia nina tabia ya kununua vitu bila ratiba Asante kaka Edeni @Jumanne
Hongera sana ndugu yangu. Maarifa yanafaa kutumika siku zote ndio utaona faida yake.
Ameeeeeen mungu akubaliki
Asante kaka jumnanne .Kwa maoni yako .na nimefuraia nukuu zote .na ningekukumbusha point ya Ibada. Ni nzuri kama sisi Iman ya kislam inasema kufanya Kazi Ni Ibada maana na tunafata Sunna au njia za mitume.Hakuna mtume wowote aliokuwa akikaa misikitini Kwa ndani nabii Muhammad Saw aliokuwa mfanya biashara ;nabii daudi aliokuwa msonari;Musa mfugaji na kadhalika.
Naam Asante sana Kwa kuongezea nyama Kwa kutupa ushuhuda wa mitume wetu
Ahsante Mkuu nimejifunza mengi sana Mungu akuzidishie apo ulipo
Asante sana KK Kwa msada wako mungu akubaliki ni mejifunza kuweka akiba muda na marafiki
Asante brother Jumanne nimepata nondo nzuri ambazo nilikuwa sizifahamu .
Nashukuru sana kwa mafudisho mazur kiukweli nilikuwa mtu wakuchelewa kulala lakini pia matumizi mabaya ya pesa lakini kupitia mafudisho Haya naamini naenda kubadilika tabia shukulan Mungu akupe maisha malefu by Izacck Lubinza
Afya ndo utajiri wa kwanza gonga like Kama umeioewa hiyo
Asante kaka nimejifunza vingi juu ya marafiki ,kujiamini, kulizuka, na kupanda kidogo kidogo
Shukran sana tunazidi kujifunza kila kukicha
Money is the symbol of success bt success is happines and good helth
Ahisee we ninoma sana,
Kazi nzuri kaka ezden hakika najifunza vingi Sanaa mungu akuzindishie ujuzi Zaid
Asante sana kaka kwa kutuelimisha Allah akulipe kheir
Asant Sana Kaka ezden najifuza mengi Sana kutoka kwako
Thanks brother for advice 👍👌
Uko vizuri sana my mungu akupe nguvu uzidi kutuelimisha
Asanteee kaka daah nimejifunza kitu mimi nilikua sijui ku save now najitahidi mungu akubariki in sha allah vyoote na vifanya ila.ku save tu ndio kitu kinachonishinda thank you nakushukuru umenivumbua nilikua sijui wap nakosea now nimetambua😊😊🌹🌹🌹
Nimeji funza v2 ving xana kutka kwako brother 👍👍👍👏👏🙏🙏
Brother mungu akujalie uzidi kutufunza nimejifunza mambo mengi sana kutoka kwako
Mafunzo yako mazuri sana aisee kiukweli vijana wengi ibada kwetu ni shida sana na nikweli kabisa kutokufanya ibada ndio kunapelekea vijana wengi kujihusisha na mambo yasiyofaa.... Nimependa sana mafundisho yako..Mungu akubariki sana
Thank you very much i will be role model because of you,
Respect and u change ma attitude totaly
Nashukuru kwa kutufunza mengi na pia kwenye ibada Ni vigumu sana Kama ulikua hufanyi ibada ukiwa na nguvu uje ufanye nguvu zikiwa zimekwisha aidha kwa ugonjwa au uzee
Kaka nashukuru sana najifunza vingi toka kwako pia unanipa moyo sikati tamaa hata kama mgonjwa nime palalaiz God bless you
Bro ww umenitoa shimoni mungu azidi kukupa umri mrefu zaidi uendelee kutupa maarifa ya maisha ahsante bro
Duh.!
Kaka Mungu akubariki sana kwa utumishi wako uliotukuka.
Shukran sana bwana kaka maneno yako mazuri manshaAllah
Ubarikiwe sana yaani nimejifunza mengi sana kupitia ushauri wako yaani mim ni mtu ambae nikikutana na kitu kama nina hela lazima tamaliza hata elfu hamsini akafu unakuta baadae naumia sana
Shukrani Sanaa kaka Allah bless you
Mm nmefulahi Sana kuhusu fedha Ila nmejalbu kutunza imeshindikana jaman
Thanks teacher nimekuelew San bro
good work and god you my blessed everyday
Nmejifnza meng😓😓😓 I can't wait do it ...... yes I can......😟👂
Sijakuelewa, what is that you can't wait?
@@successpathnetwork yote uloongelea inshallh nitaanza moja baad ya jingne coz huwa nafeli sana kwenye maamuz nawez pnga kitu kukifanya lkin maamuz yakukifany hcho nnachowaz nakuwa sna 😓😓😓😓
Asante brother nitakufuatilia sana, barikiwa
🎉🥳🎉🥳🎉🥳🎊🎊💐🥳🥳 respect unaweza kbs
Mashallah
Nimejifunza kuweka akiba na kujiamini,ambacho umeniamusha ni kuchelewa kwamka,asante.
Thanks brother from your ideas
Asante sana kaka.Mungu akufanyie wepes.Inshaallah. Uzidi kutuelimisha
Thanks barikiwa sana
Shukran sana
Asante saana kaka umenifumbua macho kweli niklikua gizan
Nimekuelewa sana kaka
Thanks brother ,now i understand
Ameen barikiwa sana
Thank you so much my Brother since I've started to follow your inspiration video I swear to ALLAH you've Change my Life Bro I'm so proud and grateful to you i usually repeats to watch your Video's every single day May ALLAH bless you n keep help other's Bro🙏🙏🙏🙏
Aamiin!!! Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!
Good lesson
Aise Kaka
Mungu akujalie zaidi kaka
Thanks so much brother I have learn alot of things through your videos
Asante sana kunikumbusha maisha Yangu nitafanyia kazi masomo yako ulionifuza god bless you
Asante sana Kaka some hili LA mambo yakufanya ili nifanikiwe. Nimelifunza Mengi nitayafanyia kazi hasa kutwa na Aina y'a marafiki, kufanya saving na kuendelea kujifunza. Asante sana
kwanza Asante sana kwa elimu hii ingawa mimi mgeni ila nashukuru sana Mungu sijachelewa san kusema Mungu hakubaliki na hakupe maisha marefu🙏🙏❤️❤️❤️❤️
Nashukuru kwa mafunzo mazuri Kaka yangu shukurani hayaty kwangu umasikini umeisha kupitia kwa maelezo umeyaeleza
Shukran sana brother, nimejifunza vitu vingi mnoo barikiwa sana 🤲🙏
Yes vizuli sana brow nimependa
Mengi sana"pamoja na kua mtu mwenye malengo ktk maisha yetu"thenk you brother
Asalam aleikum big up sana brother unaongeya ukweli naamini kuanza kufanyiya kazi yote uliyo sema baazi ambayo mimi sina
Waalaikum salaam warahmatullah wabarakatuh. Karibu sana na Allah akufanyie wepesi katika safari hiyo. Ameen
Nimejifunza mengi kwako 🙏kuokoa muda na kuweka hakiba pia 🙏bro Mungu hakubaliki san jamani❤️ love san
Safi Sana nimepata kitu apa bando langu limeenda kihalali inshala
🙏🙏 4 u're education
Mungu akubalik sana ndugu uko vzl
Much obliged brother may Almighty God bless you abundantly
Thank you🙏🙏🙏
Nashukuru nimenza kubadilisha tabia kutoka video zako
Nashukuru sana bro nitajitahidi sana kufatilia
Asante sana my brother yani mm leo sijalala ata nipo macho nafuatilia mafundisho yako hakika nimejifunza mengi
Umenigusa kuhusu ibada nikweli Kaka Ibada ni nguzo ktk maisha yetu. 🙏🙏
Asante sana kwamafundisho mazuli
asante sana...
Nimependa sana,
Nmejifunza mengi Sana Kaka Asante, nayafanyia kazi
Amina mie Sina meng
Ndugu nimejifunza yale yote umezungumza kuanzia sehemu ya kwanza mpaka sehemu ya pili nami nakuhakikishia nitayafanyia kazi naamini ipo siku One dey nitakupa majibu juu ya mafundisho yako mazuri sijajutia kukusikiliza wala sijapoteza Mb zangu umezitendea haki Mungu akubariki kwa kazi nzuri ya kutuelimisha.....
Kaka nashkuru sana kwa muongozo wako
Ume ni inspired sana
Ubarikiwe
Allah akuzidishie elimu uzidi kutuelimisha
Thanks brother
Asante ilamimi ni shujaaa naweza vingi
Braza Mungu akubatiki sana
Asante sana TYSON JOHN kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed.
Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB"
kwenda namba 0759191076.
.
Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
Kaka ez jumanne unanibadilisha sana kwa namna unavyo yatoa maneno ya mafanikio
dah broo umenifunza mengi mungu akupe miaka mingi zaid ili uenderee kutuelimisha..
Sorry it's difficult to write in swahli but I understand very well, thank you so much to lead my daily life coz I always watching and follow yo knowledges. Go on to shape me #ezden for #life
Kuna vitu kama 3 vimeniingia na ndio nilivovivuna japo natamani kujifunza zaidi toka kwako
Daaaah swali lako kaka nimejifunza ila daaah Allah akulipe
Shukurani sana kaka nimejifunza kitu kikubwa sana Mungu akujalie uzima.
Asante sana kaka unamafunzo mazuri
Kiukweli nimekuwa nikifuatilia sana video zako na zimenisaidia sana.sku izi huwa naamka mapema sana na kusoma mambo ya shule kiukweli nafanikiw kwa hlo thanks broo
Elimu nzuri sana mafanikio sasa yaja yehova mungu akuzidishiye hekima ili uendelee kuwaelimisha wengi
Nimejiona moja kwa moja kabisaaaaa! Shukrani sana kwa ushauri huu! Umenifanya nijitambue vilivyo!
Bro umenibadili sana mawazo yangu blessed
Goood sana ipo sawa sana kiongozi.
Nimeipenda sana
Nakukubali sn bro
Richest man in Babylon very good book
Nashukuru sana kaka kwa kunlfundisha kwani nimeifunza mengi kama kuamka mapema asubuhi matumizi ya fedha kujiamini kuwa na mahusiano mazuri kwa waliofanikiwa kuzaazaa bila mpangolio nimengi sana kaka iliyoeleza mungu akubariki sana kwa huduma ambayo mungu amekupa ya kuifundisha jamii....!
Nimejifunza mengi sana be blessed
We jamaa Ni noma Sana%100+..🤝🇫🇮🇹🇿💪
great video
Asante sana kwa mafunzomazuri ninaimani nitayafanyia kazi
Ezden nmependa sanaa somo hillo uko vizuli