ASKOFU GWAJIMA AANIKA HOJA NZITO ILIYOLETWA BUNGENI | AFAFANUA KWA UNDANI KUHUSU HISTORIA YA DUNIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2024
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Nakuelewa Mno Baba, Nakupenda kwa sababu unasema ukweli
Mungu wa mbinguni azidi kukupa maarifa wew ni baba yangu wa kiroho najivunia kua na baba wa kiroho kama wew mahubiri yako yananipa ujasiri saaana
Gwajima NAKUPENDA Sana mwenzio Mtumishi wa mwokozi sanaaaa kumuona Yesu wathamani ndani Yako
Haleluya ❤
Hallelujah 🙌
Hakika somo la leo limenibariki sn
Askofu gwajima nakupendaga sana niliomba upako wako.sehemu.uniingie uliniingia ni mwanamke ila nacharuka hatari nahubiri.uchawi.uganga.na.ufreemason.siogopi kitu.nilifunga.wiki.nipate.upako.nilipata.siku moja Mungu aje.anikutanishe na wewe ulipokuja tukuyu nilifanikiwa kukushika.mkono.nakuombea.sana.Mungu.akuongezee.maarifa mengi.sana.Tanzania.yote ipelekwe.kwa.yesu yote ipelekwe.ninaumia sana.siku zingine.naamka nachanganyikiwa natamani Tanzania yote watu.wote.wamche Mungu uamsho mkubwa utokee.Tanzania wainuke.wahubiri .wajae mpaka kieleweke
❤❤❤❤❤
Waoooo hongera kamanda wa JESHI LA MBINGUNI
This is the greatest servant of the most high God, I pray for you to run for presidency in 2025
@@user-gg9us4rd8d andika.kiswahili.unaandika kingereza.what?
Barikiwa sana askofu mkuu
"Akili Zake Hazichunguziki".
AMEEEN
Amina Bishop MUNGU akutunze sana
Nabarikiwa Sana
Yaani wewe baba
Natamani uje siku HUDUMA yangu hipo Mwanza uje utume Neno
Uendelee kubarikiwa Rafiki wa Yesu
Master mind 👽👽👽
Safari hii nileteeniI gwajima haipo
Amen Baba
❤❤❤❤❤❤
Ukiwa na maarifa kama haya uwezi kuzuliwa na chochote kupenya
Naomba. Niwe. Mwanafunzi. Wako wa. Bible
Nguo za pinki we mttoto wa kiume. Mchungaji vipi tena au mambo ya upinde😮
Maarifa yako yamefanya niwe shujaa!!! Nitakupenda cku zote japo haunijui
Hata mimi❤
Aamen
Duuh kumbe tulikuwa wengi
Miaka 6000 ni tangu Adam alipoumbwa,kuna tofauti ya tangu dunia ilipoumbwa,dunia iliumbwa kwanza kabla ya adam,tena miaka milioni na mamilioni yalipita kabla Adam hajaumbwa hebu someni vizuri na kuielewa biblia.