Eehh, aisee Kazi imetulia sana. Upako lazima upatikane hapo kwa namna ambavyo uimbaji umekuwa wa makini na kwa utulivu. Mbarikiwe sana Pro Studio na Marafiki wa Kigoma!
Kuna wanaoimba “fazili zake” badala ya fadhili zake. Mwalimu/walimu walitakiwa wawarekebishe hao kabla ya kuingia studio ili dosari hiyo isijitokeze kwenye wimbo huu.
Pro studio kazi safi sana 🎉🎉🎉
Mwita izack mume mtarajiwa wa ______________ upo vizuriiiii
Hongereni saaana pro studios. Mnajua mpaka Sasa mnatishaa❤❤❤
No comment mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sauti ya II Aiiiiiiiiiii!
Tunawafwatilizia maeneo haya -Kitale. hongereni sana
Shukrani sana. Ubarikiwe mmno
Hongera Sana , mungu awabariki katika wito wakumuimbia nakulitukuza Jna lak
Napenda huu Wimbo. Well sung . Melodious
Nyie hongera sana Mungu awabariki sana
Safi Sana Wimbo niupendao Sana Mungu awabariki sana.
Mbarikiwe sanaa nduguzangu kwa kaz nzur sauti tam hadi raha ❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
Familia ❤️
Wimbo mzuri sana
Hongera waimbaji na engineers kwa kazi nzuri.. Mungu aendelee kuwainua ❤🎉
Asante sana. Karibu
Wimbo mzuri sana🥳🥳🥳
My Monday morning is sorted with the beautiful voices. I have loved this song before and its better and better
Be blessed
Hongeren sanaa
So Lovely ❤
Thanks 🤗
Mungu aendelee kuwatunza.awalinde daima.Ili KAZI hii njema isivamiwe na ibilisi.. hongereni sana..🌹🌹🌹👏👏👏🌹🌹🌹🌹
Tunashukuru sana. Mungu akubariki wew na familia yako
Hongereni kazi nzr
Hamjawah feli nyie watu❤❤
Shukrani saana.
Mmetisha sana!congrats❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mulemule mambo mazuri sana nabarikiwa sana ❤❤❤❤
Eehh, aisee Kazi imetulia sana. Upako lazima upatikane hapo kwa namna ambavyo uimbaji umekuwa wa makini na kwa utulivu. Mbarikiwe sana Pro Studio na Marafiki wa Kigoma!
Imenenwa vyema
Ubarikiwe sana na sisi tunasema asante saaana.
🎉🎉🎉🎉❤🙏🙏🌷🌷🌷
🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤ hongereni sana
Lovely...Safi sana...
Shukranii
Asante kushukuru
@@MazengoRenatus aminaaa
Kazi nzuri hongereni sana Pro Studio kwa kazi nzuri mnazoendela kuzifanya "Mungu azidi kuwabariki na kuwapa maarifa zaidi na zaid
Shukrani saana. Tunashukuru
Hongeraaa sana !!!
Hongeren sana ☺️☺️☺️
Safiii sana wimbo mzuri na mnaimba vizur
Safa sana hii nawapenda sana
Lol, mnanibariki sana
Safi sana wimbo mzuri saaaaaaana barikiwa sana kwa wote
Wameimba vizuri. Wameutendea haki wimbo huu.
Hongerani sana Kwa uinjulishaji mtoto wa Mama angu🙏🙏🙏
Asante dada 😍🙏🏿
Hongereni sana🔥🔥
Kitu safi
Ansbert Ngurumo my role model.Pole kwa kuwa kwenye kizingiti ila nakuombea urejee Tz .Tungo zako nazipenda sana hasa Misa yako uliyotunga.
yuko wap huyo mwamba
Kizingit gani Tena mwamba
Asante. Tuendelee kumwomba Mungu. Kwa neema yake, narejea nyumbani. Siku na saa vitajulikana baadaye.
Hongera sana kwa kazi nzuri
🙏🏻
Nzuri
Nyie ni baadhi ya wale ambao wanatambua sababu ya kuumbwa kwao. Hongereni sana!
Shukrani sana na karibu sana. Ubarikiwe
❤🎉🙏
Naomba kujiunga nipo kigoma mwanga
I like it
Mwita and the team...kazi safi
Nzuri sana
😢😢😢🙏barikiwa
Nivyema
Wow beautiful
Nawapenda
🎉🎉🎉🎉🎉❤
Kuna wanaoimba “fazili zake” badala ya fadhili zake. Mwalimu/walimu walitakiwa wawarekebishe hao kabla ya kuingia studio ili dosari hiyo isijitokeze kwenye wimbo huu.
🙏🙏🙏
Pro studio kazi safi sana 🎉🎉🎉
Nyie hongera sana Mungu awabariki sana
Mmetisha hatariiii
🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
Mbarikiwe sana. Mmeimba vizuri sana