Kwa mara ya kwanza, wimbo huu ulirekodiwa na Kwaya ya Kigango cha Kariakoo (1992) chini ya walimu Kanuti na John Tchinyagile. Waliuimba vizuri sana. Tangu zama hizo, nimekuwa nasikia kwaya nyingine zikiuimba, lakini kwa kiwango cha chini sana. Leo nimeona kwaya nyingine ambayo imeutendea haki utunzi huu wa Joseph Makoye. Mmeimba vizuri. Hongereni sana!!
Hakika mmeutendea haki huu wimbo, mbarikiwe na Bwana
Kwa mara ya kwanza, wimbo huu ulirekodiwa na Kwaya ya Kigango cha Kariakoo (1992) chini ya walimu Kanuti na John Tchinyagile. Waliuimba vizuri sana. Tangu zama hizo, nimekuwa nasikia kwaya nyingine zikiuimba, lakini kwa kiwango cha chini sana.
Leo nimeona kwaya nyingine ambayo imeutendea haki utunzi huu wa Joseph Makoye. Mmeimba vizuri. Hongereni sana!!
Asante sana Ndugu yetu. Mwenyezi Mungu akubariki saana..
Hongereni sana, bikira Maria utuombee.🎉🎉
Aminaa😊
Jamani huu wimbo mmeniwahi naupenda sana ❤❤❤nipo naimba kwa sauti ya pili
Asanteni Sana 🙏
Ubarikiwe saana saaaaana
Namba mawasiliano
@@elizeusernestmutahungurwa567 0783481918
Hatari saana..❤ Bikira Maria Nyota ya Bahari utukinge nayo mawimbi yavumayo kasi. 🙏🙏
ubarikiwe sana
Waaaaaaaaaaaaaaaooh❤😊 waaaacha buwana weeeeeee... Namuona Maria hapo akimwimbia Maria mwenzake kwa umakini mkubwa sana
Hahahaha Hakika yuko makini kweli kweli hahahah
🥰💕❤️🌹👌🔥🔥🔥🎙️🎙️
So nice and good for meditation. May our Blessed Mother of God intercede for us.
Absolutely!
Nice, Super aiseeeeee
Well done Pro studio...hatuna zinasonga... Nidhamu ya kazi iendelee kuwafanya muwe bora zaidi ya mlivyo sasa.....
Marie Stella Maris pray for us❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Safi sanaaa
Huu uimbaji ndio unaotakiwa kwa dunia ya sasa,kwa wanaojua litrujia wananielewa vizuri.
Uko sahihi. Ubarikiwe sana
Mzee mwita yaani Asante kwa Mungu
❤❤ Hakika mmemtendea haki Mama yetu Bikira Maria kwa uimbaji wenu uliotulia hongerenii saaanaaa
Waoooh.. kazi nzuri saaana.. keep it up 🎉👏👏
Thanks so much
betha mama,Shem wake Chukueni maua yenu
A beautiful solemn song. Keep up the great work
Lovely
🎉
Hongera san kwa kumsifu bwan unasali mara mbili,oliva Mungu kubark upo vzr ❤❤
Kazi nzuri sana Mungu awabariki sana
Amina sana
🙏🙏🙏❤
iko poa sana hongeren
Waooo kazi nzuri hongereni sana
Excellent message
Hongera sana kazi nzuri. Asanteni. 🎉🎉🎉
tunashukuru saana
utunzi mzuri sana huu, hakika hongereni.
Ahsanteni sana naupenda huo wimbo na Mungu awabariki sana katika utume huu wa uimbaji namuimbia Bwana katika sauti ya Nne
Karibu sana na hongera
Safi sana , kazi nzuri 👏👏👏👏👏
asante sana
Hongeren sanaaa
Asante sana
This song touches my heart every day
Mbarikiwe sana
Mbarikiwe🙏❤️
Umetisha sana Broh 🎉🎉🎉
Asante sana ndugu yangu. Ubarikiwe
Mungu awabariki sanaa
So nice
Thanks
Mungu awabariki sanaa kwa uinjilishaji
Tunashukuru sana
Mary Mother of God......pray for us🙏
Nzuri sana hongereni waimbaji mmeutendea haki
Oliva my classmate i see you❤
Thanks so much
nawatakieni utume mwema, kuimba ni kusali mara mbili
Nice song na well harmonized voices 🎉❤
Mungu awabariki sana, naupenda sana huu wimbo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwe sana tuuuu
🔥🔥🔥🙏🙏
❤🎉
❤❤❤❤❤❤❤