#LIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024
- #LIVE: MHADHARA WA KINA MAMA UNAOFANYIKA KATIKA MAKAO MAKUU YA TAASISI YA AL- HIKMA FOUNDATION
TAREHE: 06.07.2024
MADA: MAHARI NA HUKMU ZAKE
MUDA: SAA 2:30 | SAA NNE ASUBUHI
SHEIKH ZUBEIR BIZIMANA AKIWA NA SHEKH NURDEEN KISHK PAMOJA NA SHEKH ABDU SHAKUR
AL HIKMA NUSERY AND PRIMARY
TUTAKUA LIVE
KUPITIA CHANNEL ZETU ZA KISHKI ONLINE TV (TH-cam, Facebook na Instagram)
PIA USISAHAU KU_FOLLOW NA KU_SUBSCRIBE ACCOUNT ZETU ZA KISHKI ONLINE TV
TH-cam: / @kishkionlinetv
Facebook: / sheikhnurdinkishki
Twitter: / sheikh_kishk
Instagram: / sheikh_nurdeen_kishk
Mashallah ❤❤❤❤
Maashaallah
MashaAllah sheikh unatujenga hata sisi wa nje❤
Mashallah shekhe zubeir na mashekhe wote mlio udhuria Allah wahifah kwa kutufikishia madam mzur Sana ya mahari kwani ndani yake ina kipengele vingi na kwa uwezo wa Allah mmetufikishia mashkura
❤❤❤❤ mashallah 🥰 tabarakallah
Mashaallah ❤❤❤
Mashaallah ❤
Maashallah
Mashallah rehma na neema ziwe juu yako sheikh
Ma shaallah darsa nzuri
Mashallah tabarakallah
Masha Allah tabarakallah
Masha ALLAH ❤ ♥ ❤ 🎉🎉
❤❤❤
Bakwata wanasumbua
Sana
Sheikh mbona unatuumbua? Wenye maziwa makubwa na yalosujudu tusiolewe? Na tumejisitiri, ila tuu Allah katujaalia maumbile makubwa tunasema tumerithi. Utakuta ukoo mzima ni wakubwa. Sasa tusiolewe? Au kuna watu wanazliwa na hasasia, uwawati tangu wadogo , miili yao maskini si misafi makovu mwili mzima asiolewe pia? Nimehuzunika wallah, nahisi sio sawa ulivyosema. Kama umewakejeli wale wenye kasoro walizojaaliwa na Allah. Wengine wamechelewa kuolewa , umri umekwenda, mwili haubaki vilevile, maziwa yanaanza kuanguka na ngozi kusinyaa asiolewe sheikh??? Mtihani , Allah atupe subra. Alhamdulillah
Wote mko na haki ya kuolewa
Anakusudia wale walio weka maziwa ya badia
Huko wapi nije nkuoe dada
Manshaallah