MTOTO MKUBWA WA ROSE MUHANDO AFUNGUKA MAZITO KWA MARA YA KWANZA "MAMA YANGU HAJAWAI KUNIFICHA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- #rosemuhandokenya #rosemuhandosongs #mtotowarosemuhando
kifo cha bahati bukuku 2022mtoto yohana antony songs mazishi ya bahati bukuku live watoto wa martha mwaipaja bahati bukuku funeral agenda by rose muhando bahati bukuku latest songs 2022
rose muhando official mtoto wa martha mwaipaja mtoto yohana wema wa mungu umenizunguka bahati bukuku new song yohanahappy mlinga bahati bukuku death bahati bukuku new song 2022
enock jonas songs christopher mwahangila songs bahati bukuku dunia haina huruma bonny mwaitege songs jenifa mgendi martha mwaipaja bony mwaitege songs rozi muhando mpya rozi muhando nyimbo mpya ushuhuda
Kama na wewe ndo mala yako ya kwanza kumuona mtoto wa rose muhando gonga like tujuane hapa
Wow anafanana mama yake
@@michellesnaidah6503 kabisa
She's very beautiful gal, God bless them for meooooh
@@irenesongwa5147 Ameeen
Baba wa mtoto Kama alimtelekeza ,sijui anajisikiaje
Wow kumbe rose muhando Yuko na msichana mrembo ivi my first time to see her daughter ❤️❤️❤️
Wawooo kumbe Rose Mhando ana mtoto mzuri namna hii mwenye akili nyingi na anayejitambua. Mungu atunze uzao wako.
❤
Ata mimi nampenda huyu.kama wampenda please like tupatane
Beautiful
Nampenda pia
The only child of Rose muhando I have seen na anaongea Kiswahili kama mkenya
Beauty and brains🥰...love from kenya🇰🇪
Wow mrembo kweli...congratulations dada for ur humility
Kwa waimbaji wote napenda rose mohando mungu akupe maisha marefu
❤❤ 🎉
Mwimbaji wetu Rose abarikiwe na familia yake🙏🙏🙏🙏
WOW wow wow,Gift ukona hekima kweli kweli, Asante Kwa kuelewa kweli Kuna gharama kubwa Kwa publicity
Intelligent like her mom Respect Rose family big up watching from Uganda we love you and may God bless you so much 🙏🙏🙏
Dogo, anakuwa kama mzungu, kizazi kipya ni shida sana, hawa wanatamani Kiswahili mwingine Kijerumani Kichina nk,
Am from kenya but Rose muhando i love her so much like my sister
But do you know she’s
been living in Nairobi?
Beautiful with brains,wisdom reloaded sio kujiropokea tuuu.
Waoh she is beautiful,,,big love from Kenya Nairobi
Jamaniiii Da Rosé ana mdada mwenye akili na mrembo. Hongera sister
Nami Pia nakupenda sana
Kweli kadada kazuri Sana hongera yake dada Rozi👏🙌🌹😍💖💝💃
This is my first tyme seeing rose daughter so Beauriful 🥰🥰🥰
even she is so beautiful
Much love to Rose's family from 🇰🇪🇰🇪
Dahhhh. Muhando. Umezaaa. Pisiii. Kalii. Kuliko. Maelezoo. Big up. Sannaa
Huyu ni lawyer mzimchezee, namfahamu one on one hongera Sana mdogo wangu na umepea wengi sleepless night hapa kwa comments unajionea mwenyewe
Yaaa na mfahamu akisoma kijitonyama
Nampendaga huyu mutangazaji mimi sababu hajiinuwagi ameheshimu ngozi mungu amempa barikiwa sana mutangazaji nakupenda sababu haupake mecap balikiwa sana🙏🙏
👏👏👏
Yaan mm kbs huyu spendi kuharb ngoz yng
Kweli anajihamini
she's cute 😍 💕 and like daughter's. like mother be blessed
Very intelligent and beautiful lady. Congrats Rose
Nitapenda rose kila siku na hadi familia yake,mungu awabariki
Hivi ndio nafahamu mwimbaji wetu rose muhando ako na watoto nilikuwa naambiwa kuwa rose akubarikiwa na mtoto
Aisee Gift umekuwa mdada Sasa hongera sana kitambo sana sijakuona
Wow beautiful,Rose congratulations, ❤
Iam from Tanzania i love her too
Jaman Mungu kubarki rose mhando na uzao wako ❤❤❤
She’s very beautiful too much mommy
Msichana mrembo kweli ❤️
Soo cute, we bless God
Mm ni mala ya kwanza kumuona kazuri sana 🥰🥰🥰🥰🥰
Wow congrats Rosé Muhando
Nimepinduwa agenda
Wewe unashangaza sana... Yan umepost post ya Wanafunzi kuandikishwa Uchaguzi alaf umedisable comment.. Unapotosha sana watu kuwa na weledi wa uandishi wa habari..
Mungu aibariki familia hii , ambariki Rose Muhando ,amen
Diblodibala
Rose Muhando isah blessing🥰🥰
Wawoooo unaweza kunipatia namb zak au zamm
❤ Congratulations Dada 🌹. God bless you and your family you have Amazing Daughter happy to see her and know her
Karembo kanafanana mamake congratulations
Ni vizuri kuwa na watoto wa maana
Huyu mtangazaji si ndo yule aliyeulizwa na bahati bukuku "una mchumba?" Akababaika 😂😂, Huwa sichoki kuitizama ile clip kwakwel.... Gift hongera beautiful
Rose icon wa East Africa gospel
Ongera sana Mm Roze muhando
Huyu binti anafanana ZAIDI🥰
Huyu anakaa amesoma very intelligent
Mzuri sana MashaAllah ila sauti ka ya zuchu
Kweli sana
Kweli kabsaaa anafanana sauti na Zuchu
wow amazing gift
For sure she is beautiful
Ubarikiwe binti mrembo wa MALKIYA MUNGU akujaliye zawadi ya mama
Mungu amupiganiye kwa yote atake panga maishani mwake na huduma anao
Tuna mpenda mamako saaana saaana tunamkubali
Mtoto mzuri sana kama mama yake!
Rose hongera mtoto mzuri mnoooo
Wow..she is so beautiful
Mrembo Sana❣️❣️❣️❣️
Mbona anasauti ya Zuchu
She is beautiful
Hamna mtoto wake Rose muhando, mkubwa ni Enock hapa mwahitaji tu like and comments I know very well , ila uko so smart
Kama humjua wewe ila wenzako wanamjua
Hongera Loz una mtto mkubwa
Tafadhali,si vibaya kupeana#.
Asha ya Binti tu.
Mungu hazidi kuku bariki rose your my favorite
Mara yangu ya kwanza kuona mtoto wa Rose,mrembo kwelikweli 😂😂😂
Alicho. Nifurahihisha. Anajua kukwepa Maswali haingii.jumla kwenye swali linalo Mchimba
Wawoo beautiful girl😍🥰🥰
Sauti km ya Zuchu kwa kweli. Mdada anajielewa.
Anabint mzuri sana
Hivi huyu dada mtangazaji si ndo yule aliulizwa swali na Bahati bukuku unampenzi akakataa kujib😂😂😂😂
Ndyo yey
Nimekupenda mtangazaji umejikubali. Safi sana
alafu ni mzuri
Ndio atusukie twende kilioni? 🙄 Sijapenda
Lawyer mwenyewe huyo💪💪
Kweli anasauti kama ya zuchu🎉
Cutee
My first time to see her❤️❤️ beautiful
The interviewer is amazing.
Wooow! Ni mrembo! Karibu afanane Hamisa!
Kweli kabisa
Yap
Hongera zifike kwake
Hongera sana Dada Roze jamani uko na bint mrembo mno
Wow, congrats rise nuhando
Wow nice family
Nakupenda rose
God.is.good.all.the.time
Wow 😳 very beautiful girl 🇸🇦🌹🌹
Woow
Gift nae Anaimba mnooooooo
Aise hongera sana
Aki poa sana
Be blessed
Wow how a wonderful creature as her mother much love gal💖💖💖💖
Blessed girl
Mashallah mazuri kweli
Mtangazaji tuonane nikupeleke saloon kubwa kabla mwaka haujapinduka safi sana.
Much love rose
Oooho vile tumetoka mbali na rose naona hawezi niasha bure
Sauti nzuri
Wow n msupuu
So cutest
Kazuri
Dah mtoto was Rose mzuri
Wow
Mungu akubariki akujalie
Gyalllll...mtoto wa mama mrembo
C'est une bonne chose